Huu wimbo unanibariki sana kwakweli hta mm sipiganagi mwenyew ninapiganiwa na baba, kama nawwe unapigana,,,read more ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amina Amina. Ukisikiliza huu wimbo akika unapata nguvu ya ukimya kwa maadui zako na kukaa na kuangalia mungu anavyo wachapa maadui zako. Jamani kumtegemea mungu ni rahaa sana.LIKES ZENU KWA MARTHA MWAIPAJA 2022.
@@mbakapetermungai2545 huyu ni msanii wa karne ! amepakwa mafuta na Mungu, kwanza kabisa mimi ningebahatika kukutana na yeye ningemutunukia tunu nzuri kwa kuniwezesha kufaidika kujua lugha ya kiswahili kwa methali na misamiati kadha wa kadha .kutoka RWANDA mimi naitwa JEAN DAMASCENE HITAMUNGU Mbalikiwe nyote msiochoka kumfuata dada mpendwa Martha Mwaipaja Amen !
Mungu amenipigania vitu mingi mno am a living testimony,being in a foreign country (Saudi Arabia) I have seen akinitendea,amenipa kibali kwa nyumba ninayofanya kazi, nashukuru,much love from Kenya(home country)
I have not been going to church for 6 years but this song has changed my behavior sincerely speaking, and to all Martha funs and followers be blessed all❤
Huwa sipigani mwenyewe maana tangu utotoni napiganiwa na babaa""hallelujah"wengi tunapoteza nguvu nyingi kutaka kujitetea na kujisafisha mbele ya wanadamu"acha YESU akupiganie"na matokeo yake watesi wako wote watakuona uking'aa na kupanda kila cku in Jesus name.
Hakika Martha Mwaipaja "BARIKIWA SANA", Nafarijika mno na nyimbo zako zilizojaa Utume uliotukuka, AMENITENGENEZA HUYU BWANA na sasa ANATAWALA zinasuuza nafsi si haba.Barikiwa MAMAANGÚ
Huuu wimbo ni kama nimeimbiwa mimi napitia matatozo, shiki na tabu ndugu jamaa wamejitenga na mimi lakini najua Mungu atanipigania atafanya njia pasipo na njia asante sana dada Mwaipaji
I love listening to this inspiring song, hakuna sababu ya kupigana na wenye wivu, tamaa,uchawi,madharau na wenye wako na mipango mibaya kwa maisha yetu, tuwachie BABA mwenyezi Mungu awanyoroshe mwenyewe.
Matendo ya Mitume 6: 4 na sisi tutadumu katika kuomba na kulihudumia lile Neno. *TUTENGE MUDA WA NENO NA MAOMBI KILA SIKU ILI MUNGU ATUNAWIRISHE KIKAMILIFU NA KUTUIMARISHA; UTUKUFU WAKE UONEKANE KWETU NA KUNUFAIKA KWETU KUSIWEZE KUZUILIKA, KATIKA JINA KUU LA YESU, AMEN!!!*
To those who think salvation is only for the confused and ugly, this is your testimony. Mwaipaja is beautiful, stylish and classy and still love Jesus. Much love from 🇰🇪
I am a living testimony. God has been always there fighting for me. May God continue to use you to spread the Gospel. Much love from +254.🇰🇪 Kenyans let's gather here and show our mama some love.
Am a living testimony that some years ago our God fight for us,I can't forget,He told Moses tell the Israelites that "the enemies you are seeing, you will never see them again"
Kwa kweli huu unanibariki sana ktk maisha yangu na unanitia moyo sana maana ktk hii Dunia Kuna watu ambao kwa macho ya kawaida huwezi kuwatazama bila msaada wa Mungu ee Mungu naomba unipiganie peke yangu siwezi hii vita ni vikali sana kwanguu😭😭😭😭
It was my favorite song the time I was going through frustrations in every area of my life, but Baba Mungu alinipigania I came out victorious. Glory be to God
For sure my battles i live hem to God for he's the worrior of my battles he's the burning spear ,mwenzio sipiganagi mwenyewe ninapiganiwa na baba aliye juu binguni.
Dada Martha, thank you so very much for allowing God to use you. Your songs have been touching my heart for a very long time. I am a Zimbabwean living and working in South Africa. I not not speak nor understand Swahili but I use Google Translate to find out what you will be singing about and I must confess that that your diction (choice of words) is very good and quite blessing. I am praying for you that God may continue to use you, protect you and your family. Stay blessed.
Martha is a well defined woman of God. A living example of a singer with a spiritual unction, may the Almighty continue to lift you even higher and higher.
Ni. Kwel mungu kanipigia katika shida, na majaribu yote, hakikq mmm sipiganagi mwenyewe napiganiwa na baba mungu, hata wew ndugu yangu, mwambie mungu hakupiganie katik maixha yako, kama meshark na abedinego,
One of my best Gospel Singer! Kama wewe ni shabiki wa matha mwaipaja na Kama unaamini kwamba hupigani mwenyewe gonga like twende pamoja
Amen amen mungu atushindie majaribu yetu amen
Haya. Nguvu ya MUNGU NI KUBWA
Kwl, sifa kw Mungu.
Saf sana
Am the no one fan of Martha Mwaipaja....Mezio sipiginagi mwenyewe
Kama una mkubali Martha naomba like hata 💯 zinatosha
Hakika mungu ndie anae tupigania a
Hakika kama umepiganiwa na mungu kwa maisha yako nipe like........from kenya kanairo vita napiganiwa na baba aaah..
Happy new 2025 🎉 kwa kupiganiwa na mungu tumeona mwaka mpya
Happy new year dear
Wow! Huwa wanibariki Sana dadangu, nakupenda Sana dada martha.
KAMA NA WEWE WABARIKIWA NA HUYU MPAKWA MAFUTA GONGA LIKE TUENDE SAMBAMBA
Mary Marie yuko vzr sanaaaa
Ubarikiwe sanaa Dada kwa kazi nzuri
Ubalikiwe sanaa dada
Amen
@@elizabethmwangomwango8157 nipiganie yesu wangu nina maadui sana.
Mimi wa kwanza kam hupiganagi mwenyew like apa Mungu akubariki
Tunapiganiwa
Barkiwa Sister
Amen God bless sis Mather
Mungu akubalik dada yangu
Dada Martha ua song has really touched my ♥ may the Lord uplift u more siz
Wonderful song...kama unaamini kua upiganagi mwenyewe ila Baba ndiye ukupigania. Gonga likes za Martha hapa tukiendelea kuskiza na kusoma comments...
My lovely one wow mungu akubariki marthar mwaipaja nakupendaa sanaaaa mummy
My all time song...
Good song
Very good
Yan nampenda uyu Dada jaman nyimbo zinaujumbe
Huu wimbo unanibariki sana kwakweli hta mm sipiganagi mwenyew ninapiganiwa na baba, kama nawwe unapigana,,,read more ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hiyo mungu uliyoandija ni ya mungu shetani. Badilisha neno mungu, andika Mungu hii ndio nikupe LIKE
Amina Amina. Ukisikiliza huu wimbo akika unapata nguvu ya ukimya kwa maadui zako na kukaa na kuangalia mungu anavyo wachapa maadui zako. Jamani kumtegemea mungu ni rahaa sana.LIKES ZENU KWA MARTHA MWAIPAJA 2022.
KUSEMA NI KWEMA KUNYAMAZA NI ZAIDI.
amen mingi Manungu akipigania tangu utoto wangu hadi mwisho wa maisha yangu
Wakati nmfungikiwa nausikiza huu wimbo akika wanitia nguvu
@@mbakapetermungai2545 huyu ni msanii wa karne ! amepakwa mafuta na Mungu, kwanza kabisa mimi ningebahatika kukutana na yeye ningemutunukia tunu nzuri kwa kuniwezesha kufaidika kujua lugha ya kiswahili kwa methali na misamiati kadha wa kadha .kutoka RWANDA mimi naitwa JEAN DAMASCENE HITAMUNGU Mbalikiwe nyote msiochoka kumfuata dada mpendwa Martha Mwaipaja Amen !
Ukwel lazima mungu anibariki nikamshinde maadui eeeh mungu niokoe nione ufalme
Kama umepiganishwa kama mimi like iyi commentaire n'a Mungu atupiganiye kwa jumla
Wanaopiganiwa na Baba wa like
Wapendwa tuzindi kupinganiwa na Mungu❤❤like za Martha zi wapi jameni????
Wapi likes za team Gospel 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪254 listening from 🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦
Mungu akuinue na akupe miaka ming uendelee kuwepo penda sana martha
Jaman umenikoshaa roho
Yes
Kweli yatupasa kumkabidhi mungu vita yetu.barikiwa sana
Hizi hapa mkuu
Ngonga like twende pamoja kama tumemsoma Matha, nooo kupgana na Mtu2020, na maisha yenyewe mafupiii..
Unajua mama
Dada unaweza ongeza kasi
💯
Namshukuru mungu kwakweli ananisaidia kwenye mapambano yakidunia from bukwe utegi
Joshua 23:10_ Kweli sisi hatuwezi kupigana, ni Mungu ndiye hutupigania.
Whos here 2024 kupiganiwa na baba❤
🙏🙏
@@Neemabigailnnnnmmmnnqqqmnnmqnnnnnnqnqqnqnnqqqqnnnnnnnqqqqqnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnqqq
Mwenzio vita nimekatazwa, natetewa na Baba💯🙏
AMINA.
Tupo hapa ❤❤❤❤❤
Mungu amenipigania vitu mingi mno am a living testimony,being in a foreign country (Saudi Arabia) I have seen akinitendea,amenipa kibali kwa nyumba ninayofanya kazi, nashukuru,much love from Kenya(home country)
@@puritynzilaniofficial m
GLORY BE TO GOD FOREVER 🙏🙏🙏
Me too. Am in saudi dear Saudi is only God who fight for us fail. To that we are doomed!!!! I thank God for everyone
@@joyjoy2334 prayer is the key,coz God will always fight our battles.
Mimi nime piganiwa na baba yangu siku zote mahana sigekua Leo shalom 🙏
Mwezio sipiganangi mwenyewe napiganiangwi na BABA😢😢 Wapi likes za 2023.
Napiganiwa na baba 2024❤❤
Heri kupiganiwa,kutetewa na Bwana. Vita sio yangu. ...
Kweli kabisa
This song is about me haki, Mungu ananipigia, wapi likes za Martha, she's a blessing
Very amenipiginia huyu mungu sijuwi ni mlipe nini jamani
Haki hii nyimbo niyangu. Mungu ananipigania kwa kila hali Martha be bless
@@fatumahamadi9628 I am
Infact mungu ni kila kitu
Hakika kama uliniimbia mimi! Much blessing Martha Mwaipaja
I have not been going to church for 6 years but this song has changed my behavior sincerely speaking, and to all Martha funs and followers be blessed all❤
Mungu amenipigania vitu mingi ..siwezi jipigania mwenyewe hakika.
Amina
Amenipigania 2024 hata 2025 atanipigania
Mwaka huu wa 2020...nakuwachia wewe yesu. Sitapigana, sitashindana. Simama kwa zamu yesu.
Bless you Dada Martha.
Yesu krusto
Amen
WINNIE K. Ameni
Asante
My break through must come 2020 through this wonderful worship in Jesus name ..Amen!!!
Especially for single mothers people don't have full respect for us . But only God fights for us. Wagapi wakubaliana na mimi?
Amen. The ALMIGHTY GOD is our only refuge and strength in the might name of JESUS CHRIST.
Very true but sir God haezi tuacha anatupigania
True
Linet Kalamu
True speaking especially for us single mothers most of people they don't respect us,bt in all jehovah God is our fighter, waau
Napiganiwa na Baba 2021 here we come ..Nani anabarikiwa kama mimi .. Nairobi Kenya
Nmebarkiwa sana be blessed.
Martha God bless you more your songs zina fanya nkumbuke mbali
I'll e
hatupigani wenyewe hii 2021.....nabarikiwa nikiwa Dar es Salaam Tanzania
@@emeldandunge2901 acss
Ameen dada mwaipaja hakika huu wimbo hunituliza sana by the time I start thinking huwa najisikia nayo sana keep it up
Miee ni mwisilam lkn waallaah nyimbo za huyuu dada zanigusa mnoo shukriaa kwa allaah na viumbe vyakee🙏🙏🙏💞💞😘
Tuko wengi dear
Martha Mwaipaja anaimba, kisha anagusa hisia za watu wengi. Mungu ambariki sana
🤔🤔🤔🤔
Same to me
Yaan acha tuu
Huwa sipigani mwenyewe maana tangu utotoni napiganiwa na babaa""hallelujah"wengi tunapoteza nguvu nyingi kutaka kujitetea na kujisafisha mbele ya wanadamu"acha YESU akupiganie"na matokeo yake watesi wako wote watakuona uking'aa na kupanda kila cku in Jesus name.
Nimenyamaza nimemuachia Baba anipiganie 2021 nipiganie make goliati najua anapotoka
@@naomimsamba6073 🙏
I love this song so much but I don't know the longuage can you please explain for me 🙏
Amen my Sister
Aki kweli. Mungu ni baba. Ye ni ushindi kwa kila vita.
I'm ex muslim. This song make me realize that the Love of JESUS greater than anything in this world. Hallelujah
Amen.Welcome to the Kingdom of Most High....To Jesus the Redeemer,Saviour and Intercessor of our lives....Thankyou for being Bold as Lion....
Amen
L
@@reginawanjiku6536 my h
Amen and amen!
Napinganiwa na yesu, who is still saying that in may 2020
Really nice song
Amen
Hii NATO nmaono yambali barikiwa
Mgonjwa wewe
Amen
Huu wimbo unanibariki sana kwakweli hta mm sipiganagi mwenyew ninapiganiwa na baba,Kama nawwe unapigana mwenyew twende pamoja🙏🙏
Hongera sanaaaaaaa my Dada
Hakika Yesu anatupigania
Nakupenda sanaaaaaaa my Dada
Napenda sanaaaaaaa huduma yako
Mungu akuinue juu zaidi ya ulivyo leo
Mwajina wangu tuko pamoja me mwenye nampnda sana da martha nabarkiwa sana na nyimbo zake
napingiwa na mungu mm
Hakika Martha Mwaipaja "BARIKIWA SANA", Nafarijika mno na nyimbo zako zilizojaa Utume uliotukuka, AMENITENGENEZA HUYU BWANA na sasa ANATAWALA zinasuuza nafsi si haba.Barikiwa MAMAANGÚ
Ameeen🙏
Here two years later, testifying the goodness of the Lord. He has fought very difficult battles for me. Today am a living testimony of the hand of God
Amen
Amen🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Congratulations Martha 🎉🎉🎉
Martha nakupenda ❤️ ❤️
Huuu wimbo ni kama nimeimbiwa mimi napitia matatozo, shiki na tabu
ndugu jamaa wamejitenga na mimi lakini najua Mungu
atanipigania atafanya njia pasipo na njia asante sana dada Mwaipaji
Mungu akupe hitaji la moyo wako
@@pendoyese4452 Amen
Napiganiwa na Baba
Ok I am going out of the latest news for me l have a good time at home with my friends n I am sure
Pole sana Mimi ni moja wapo
Hata kuwepo 2020 Ni Baba mungu hakuna mwingine wekeni like wapendwa zenu nyingi kwa uwezo wake baba
I love listening to this inspiring song, hakuna sababu ya kupigana na wenye wivu, tamaa,uchawi,madharau na wenye wako na mipango mibaya kwa maisha yetu, tuwachie BABA mwenyezi Mungu awanyoroshe mwenyewe.
Why say the truth
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊😮😮❤
True
It true
❤❤Dada Martha Mungu akuvushe kwenye Vita kali
Hakika Mungu ananipigania sana,ananipitisha kwa watesi wangu pasipo Mimi kujuwa🙌🙌🙌💪💪🙏🙏 barikiwa sana dadangu, nyimbo zako Huwa zinanijenga sana🎉🎉
Naparikiwa na hizi nyimbo napeda sana sina mboya rooho yagu
Kuna majira nilitaka kupambana mwenyewe nikasikia sauti imeubeba ushindi barikiwa sana Dada Martha
Kauli hii ilitoka Rohon
Kazi nzuri siz 2023 na bado inahit much love from Kenya.
Matendo ya Mitume 6:
4 na sisi tutadumu katika kuomba na kulihudumia lile Neno.
*TUTENGE MUDA WA NENO NA MAOMBI KILA SIKU ILI MUNGU ATUNAWIRISHE KIKAMILIFU NA KUTUIMARISHA; UTUKUFU WAKE UONEKANE KWETU NA KUNUFAIKA KWETU KUSIWEZE KUZUILIKA, KATIKA JINA KUU LA YESU, AMEN!!!*
To those who think salvation is only for the confused and ugly, this is your testimony. Mwaipaja is beautiful, stylish and classy and still love Jesus.
Much love from 🇰🇪
❤❤❤❤love mwaipaja songs zina nipeanga moyo
Xxdx4xxp6
Happy nesi mimi sipiganagi mwenyewe napiga niwa na yesu wangu wa ngomeni
Uyo dada na mpendaka San mungu azidi kuku bari
Kwa kweli mungu amenipigania muongo mmoja amenihifadhi.
hallelujah yesu wangu nitetee amen that's true wonderful song amen may God bless you 💪🙏🙏 amen
I am a living testimony. God has been always there fighting for me. May God continue to use you to spread the Gospel. Much love from +254.🇰🇪 Kenyans let's gather here and show our mama some love.
amen
hi wimbo ikoo xawa
Hadi mm amenipigania kwa maisha angu❤❤🎉🎉
Am a living testimony that some years ago our God fight for us,I can't forget,He told Moses tell the Israelites that "the enemies you are seeing, you will never see them again"
Yes
And God told Moses I will make your enemies to see you and run back away from you.
Wimbo mzuri video Kali Dada mbarikiwa love from Kenya +254🇰🇪
Umejuwa kunibariki Dada matha, mungu azidi kukutunza
Very nice song.
God bless you my sister l napenda nyimbo zako hua nabarikiwa sana sitapikana mwenyewe sitapikaniwa na dad
Amina sana nimebarikiwa nawaomba na wengine wanaosikliza wimbo huu wamuweke Mungu mbele awe mtetezi ...........hakika hakuna kinachoshindikana
Kweli Mungu kama a'akupigania, wewe ni salama hata woga hautakuwa nawo.
when you trust God he will always fight your battles.wimbo mtamu sana barikiwa dada kwa maana bila yesu hatuwezi.mimi vita siwezi
Hi, the song really hits on me, be blessed
Huu wimbo unanipea nguvu ya kuvumilia mengi katika dunia nashukuru mungu kwa yote...ubarikiwe sana.
Pole
Jesus Christ love's you
Msanii ambae ukiacha kumpenda na kumwimbia Mungu""anazipenda nywele zake""so natural and beautiful always.Be blessed Martha in Jesus name.
I like 👍 her short natural hair too
kwa mungu hakuna kinachixhindikana kikubwa n kuamini tu
Naamini napiganiwa na baba.baada ya my boyfriend kuninyoga that day ndio nilijua ni siku yangu ya mwisho lakini nashukuru napiganiwa na baba
Good my sister.
Heee jaman 😭😭
Patience Akinyi sasa ukiolewa naye si atakuua kbs km ni boyfriend anafanya hayo pole huyo wa kimkimbia km corona
My be wewe ni mkorofi???
Patience Akinyi poleeeee love
Kwa kweli sipiganagi mwenyewe napiganiwa Na Baba ktk maisha yangu Asante kwa huu wimbo unanibariki sanaa
Napigawa na baba ,kwani vita soyo yetu vita niya mungu.
Iam always touched and blessed with Martha Mwaipaja songs...kweli Amenitengeneza at the moment sijaenda church bt Iam in youtube being blessed.
Nashindaniwa na yesu wangu siku zote halelluya!! Wimbo naupenda mno mungu azidi kukubariki na kukuinua zaidi AMEN
Mungu hakulinde dada wimbo huu umenigusa sana kama nilikupa mimi uimbe asante mtumishi wa mungu
😢God bless this lady 😢 through this song we learn God is fighting our enemies 😢
Amen 🙏🙏 dada kweli mungu amenitoa mbali siwezi msahau kwa maisha yng
Amenipigania nimemaliza mwaka salama amina
I don't think this woman is a human being she just an angel in a mission ♥️♥️
That's true
Sure
🤗🤗
Tuna pinganiwa na baba yetu na barikiwa na huu mwimbo sana shalom dada
Yes umenena vyema. There are many angels among humans
Kwa kweli huu unanibariki sana ktk maisha yangu na unanitia moyo sana maana ktk hii Dunia Kuna watu ambao kwa macho ya kawaida huwezi kuwatazama bila msaada wa Mungu ee Mungu naomba unipiganie peke yangu siwezi hii vita ni vikali sana kwanguu😭😭😭😭
Napata
Faraja
Sana
Kwa
Wimbo
Huu
Barikiwa
Sana
San
Wimbo umetulia sn
@@neemamosha5619 z Zach be bb
@@neemamosha5619 j.
Hata hili Martha kumbuka hupiganagi mwenyewe
Mungu nipiganie mimi vita siwezi Jehova ...nitete usiache nizame 🙏🙏🙏 barikiwa sana Martha, can't get enough of this am just rewinding
2021 wangapi wanaamini bado Mungu atazidi kutupigania 🙏🙏
Am the one
Kindly welcome to our church
ujumbe jaribu Islamic
@@raufuuled6080 Christian milele
Ukiamn ww inatosha usituchukulie like zetu bure
2020 nipiganie baba,naona mitihani mbele yangu,siwezi Mungu wangu,wewe n baba yangu.
Amina👏
Sipiganagi mwenyewe napiganagi mwenyewe💕💕
MUNGU WA MBINGUNI AWE UPANDE WAKO SIKU ŹOTE ADUI ZAKO WAKAWE ADUI WA MUNGU WA MBINGUNI IN JESUS NAME 🙏
This song came nikiwa kwenye kipindi cha betrayal Kali sana,it was my song,Na bado naimba hadi Leo...Asante Mungu,Asante Martha
It was my favorite song the time I was going through frustrations in every area of my life, but Baba Mungu alinipigania I came out victorious. Glory be to God
Amen💯🙌🙌🙌
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen...from Kenya...twakupenda Martha...mungu akupeleke mbali
unajua Dada mungu azidi kubariki kaziya mikono yako
🎉🎉🎉🎉kimya kimya uzidi kupiganiwa na Yesu...mamagu❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
For sure my battles i live hem to God for he's the worrior of my battles he's the burning spear ,mwenzio sipiganagi mwenyewe ninapiganiwa na baba aliye juu binguni.
Hata covid 19 hatupigani ,wenyewe ni baba aliye hai
If you believe like
Yah
Mungu ni mwanifu vita sio vetu
Rose
Yaani Martha kama angekuwa bado hajaolewa aisee ningemuoa kwa gharama yoyote ile
@@erastongede2444ni kweli kabisa matha mungu akupe maisha marefu na afya njema pambana mungu you naqe dada.
Barikiwa sana Dada Martha Mwaipaja, nazipenda nyimbo zako, Mungu akuzidie kipaji Mara dufu am Bonny from Rwanda
Sipigani mwenyewe,balikiwa sana
Ninachobarikiwa nacho ni HUDUMA YAKO....
Kuhusu maisha yako NAMUACHIA MUNGU , maana sio ninachokitafuta.
Am proud of U MARTHA MWAIPAJA
Mimi watanikoma mwaka huu !!
Poline Nkya hahahaaa jamani poline wewe
Amen martha
This song inanipea nguvu na Imani maishani. Mungu nipiganie bila wewe Mimi siwezi
Dada Martha, thank you so very much for allowing God to use you. Your songs have been touching my heart for a very long time. I am a Zimbabwean living and working in South Africa. I not not speak nor understand Swahili but I use Google Translate to find out what you will be singing about and I must confess that that your diction (choice of words) is very good and quite blessing. I am praying for you that God may continue to use you, protect you and your family. Stay blessed.
Amen
Glory to God brother...Martha has touch many Saul's through his ministry of gospel.
Aombe basi msamaa kwamuzazi wake jameni tumeishiwa sisi hukutulipo .
Yes Napiganiwa na Baba. wewe nipige tu vijembe vyako
Mwenzio Napiganiwa na Yesu
Nakupenda sana Dada #♡♡♡♡♡Matha☆☆☆☆♡♡
Huwa nabarikiwa nisikiapo wimbo wa #Matha
Yeeees napiganiwa na baba
From Kenya we love you Martha
We'll come Tanzania
Amen
@@fransavinhonacmela827 Karibu Kenya
@@georginachembe1159 uwimbo unani baliko
L
I like this song so much.Inanibariki sana.Mola akujalie
Your songs are amazing, touching wow may God be with you darling
Awesome
Amen ,napiganiwa na babaa,💔😭😭😭 5/11/2024
I was so weak until I heard this song and I play it daily in my house.
Mola endelea kunipigania
Namtwngea mungu daima
Mungu ananipigania adi naogopa me saizi sijui kupigana na mwachia yeye
Napiganiwa na baba
Helped me alot
This song lightens you up even at your hardest just like jesus
Martha is a well defined woman of God. A living example of a singer with a spiritual unction, may the Almighty continue to lift you even higher and higher.
Amena 🙏🙏🙏
Ameeen ubarikiwe sana na wimbo huu
Huu mwaka 2020 sipigani yesu unipiganie 🙏🙏🙏 am blessed
Amen
amen dada
Ni. Kwel mungu kanipigia katika shida, na majaribu yote, hakikq mmm sipiganagi mwenyewe napiganiwa na baba mungu, hata wew ndugu yangu, mwambie mungu hakupiganie katik maixha yako, kama meshark na abedinego,
If you are reading this undergoing some pressure feeling down, surrender it unto the most high the battle is not yours,be encouraged
Fact
Hakika, haitupasi kupambana wenyewe
Maana vita vyetu si vya damu na nyama...
Nabarikiwa sana na nyimbo zako Martha, ongeza bidii Mungu yu pamoja nawe.
Hatuwezi kujipigania....Mungu ndiye mtetezi mwema...barikiwa sana martha
when i listen to this song when am down, it raises me up again.
Una hekima kutoka kwa Mungu .....and you need to protect thta.
Hakika dada mungu azidi kumtia nguvu
Asante sitapigana mwenyewe
Mimi hapa shahidi, sijawahi
kujipigania but always winning ❤....Asante Mungu Baba🙏