Hii zanzibar mwenye pesa ndio wenyezulma sana kwa wanyonge yalaiti dc wote wangekuwa kama hivi haya yasingekuwepo mjini kuna msaraka yaani hafai anakula rushwa kama kama kachanganyikiwa na hakuna anaemzuwiya haki haipo kabisa
MDC U ARE RIGHT WAMEZOEYA SANA HAWOO JAMAA NA KFANYA ZULMA YA HUYO MAMA HAO JAMAA HAWATOSHEKI MAISHANI MWAO Alla Akulinde muheshimiwa na unafanya haki kwa kweli u are the best
Bi Nuru unajulikana kuwa wewe ni mtata, maana sio hapo tu hata mjini umekuwa unachukua maeneo ya watu na mumeo alisema serikali ni ya kwake wakati wa shein, yaani anakuja mkuu wa wilaya anatoa ruhusa, siku ya pili anakuja mkuu wa mkoa anakuja kuzuia, siku ya tatu anakuja mkurugenzi anaruhusu siku ya nne anakuja makamo wa Rais anaruhusu, na mumeo anatoa kauli kuwa serikali ni yakwake na nakumbuka alitaka kufungwa na hadi leo eneo lako limezuiliwa kujenga. Mumeo anaona watu weusi kama mbwa fulani. Kwaivo aliyekuwa hakujui ndio atakuonea huruma. Umehama nyumba nyingi kwasababu ya dharau na kutaka kupigwa na majirani.
HIZO STORI UNAZIJUWA WEWE SISI TUNATAKA KUJUWA KUHUSU HII ARDHI NA ULE UKUTA WA ZAMANI NI WAKE AU SIO WAKE HAYO YOTE UNAYOYASEMA WEWE HAIHUSIANI NA HILI TUKIO.
OCd ilikuwa Hana haja ya kumuhoji yule mtu wakati oda ya Mhe Dc imetoka lazima alikuwa atekeleze kwanza oda Kisha mambo ya kunuhoji yafanyikie akiwa kwenye kizuzi.
Mtoto wa marehemu mbunge turki huyo. Ndio familia tajiri zanzibar kuliko zote. Kaka yake pia ni mbunge wa jimbo la mpendae. Ccm ni yao hao. So let see 😅
Hongera sana Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya tunataka viongozi wa aina yako watu wenye nazo wamekuwa kama Miungu watu wanafanya watakavyo pambana naye kutetea wanyonge hata wakikuondoa madarakani cheo ni dhamana usihofu Mungu atakuwa na wewe siku zote usiogope
Kweli wanadamu tujitizame tujiangalie namna tulivyoumbwa tumetokana na udongo na udongoni tutatudi na kwenye udongo tutatolewa tena kwajili ya hukumu mwenye siku hiyo ya hukumu ni Mungu aliyetuumba na atafanya uadilifu ktk kuhukumu ivi tutamjibu nini Mungu aliyetumba
Mhe, rais wa zanzibar mwinyi kama kweli hayo ndo yanayoendea zanzibar hii ni dhulma ya waziwazi na ulisema utamuiga marehemu magufuli hakuwa hivyo tafadhari jitahidi kuyapunguza hayo ni kashfa kubwa sana kijana kakutaja hapo
Kwa kweli znz wamesha rudi wenyew wazungu kama zaman mda wowote bwana mmarekani akisema tuhame bc hakuna wa kupinga. Weupe wanaakili sana tena hawana haraka mambo yao mdg mdg. Badae wataomba wajenge kambi yao ya kijeshi kwa ajili ya kuwalinda watalii.
Haya majina ya bi nuru bwana huku jirani yetu ,alikuwa ana changa moto hixo alikuwa akiitwa bi nuru ukuta ndio chanzo..jamaniii vasi hapo kuna nuru namba 3 nisiyemjua mwingine ana changamoto hizo....😂😂😂😂
Watanganyika hawana haki kwenye kisiwa cha cha Zanzibar na sasa watu waliotutawala wamerudi tena kuja kujimilikisha ardhi tena kwa majivuno na kebehi,nachomaanisha wazanzibar watauza ardhi zao kwa pesa ya chap na mwishoe watakimbizwa Tanganyika kutokana hawana chao tena.
Huyu jamaa hakufsnya hayo kwa bahati mbaya huyo ni swahiba mzuri wa Rais wa Zanzibar sasa hapo duluma itaendelea tu kwa kupitia mkono wa Rais wacha tusikilize mshindo
Uyo kijana na mwinyi mwenye nguvu kijana sio mwinyi ucjongpee uyo ni mtoto wa marehemu turky ndio matajiri wanaoendesha nchi hawawezi kumchkulia hatua. N mwiny ndio wa2 anaokula nao ao that y ana jeuri. Uyo n sawa na mtoto wa baharesa.
Nchi hii yule mwenye haki ndio hunyanyaswa juu ya haki yake mheshimiwa DC Allah atakupa ujasiri wakusimamia wenye haki zao na mama wewe simama na Allah haki yako haipotei
Maneno ya muekezaji, Mungu amesikia, watu hawali kokote je akiwekwa ndani akakuta kuna sinia la mavi na kokoto je atalishika na ugali kidunchu pembeni. Wanawake wanateseka, na utadhani hawakutokana na MAMA, OLE OLE OLE! MATISHO KILA KONA WHY! OH LORD HEAR US. AMEEN
Kuna watu wanapesa tena nyingi2 lakini akitokea bara hauziwi sasa wewe unataka kumdanganya nani na kuna sheria kabisa ipo imetungwa Zanzibar mtu wa bara haruhusiwi kumiliki ardhi zanzibar
Ata akiuziwa hapewi hati anapewa lease yani aendeshe Shughuli zake kwa ajili ya uwekezaji tu kama haja wekeza kwa muda fulani serekali inaweza lichukua eneo hata kama alitoa pesa uko nyuma
Muheshimiwa DC kibarua chako kipo mashakani hii ni Serikali ya Mapinduzi kwa hivyo kwa sasa hakuna wa kuweza kumshindana na familia ya Marehemu mzee White Turkey.
Mheshimiwa DC huo ndiyo uongozi!! You are absolutely right ❤
Mhe Dc hongerq sana mtenda haki Mungu atakushindisha
Hongera sana mheshimiwa DC,
Pole Sana Mh DC na mama alievamiwa ktk eneo lake na mm Binafsi naomba Mh Rais wa Znz aingilie kati haraka inavyowezekana
Nakukubali DC.simamia haki.
Pole sana mh DC paka kama hawa tuwagukuze kwetu warudi makwao wanafikiri pesa zao wanaweza kumnunua kila mtu tuko nyuma yako mh DC
Hizo Ardhi nyote mutaziacha kazi kupenda maisha ya dunia na kuna maskini vibanda hawana
Duuuu hatari sana Mhe Dc wangu anazungumza kwa hisia kali sana. Muwekezaji anamuambia Mhe Dc kazi yake inaninginia ndani ya saa 24?
Duh
❤@@Onlyforfun1992tube
Hii zanzibar mwenye pesa ndio wenyezulma sana kwa wanyonge yalaiti dc wote wangekuwa kama hivi haya yasingekuwepo mjini kuna msaraka yaani hafai anakula rushwa kama kama kachanganyikiwa na hakuna anaemzuwiya haki haipo kabisa
Unaushahidi ndugu
MH DC UPO SAHIHI MUNGU AKULINDE HILA ISIJE IKAWA HUYU ANAYEKAIDI ANA NGUVU KUTOKA JUU KESHA MWAGA RUSHWA HUKO JUU
Jamaa anaonekana hata adabu pia hana ya kumjibu DC,kwanini wasiongee kwa busara wakafikia muafaka.
Hapo mwenye haki ya kuzuia ni wazir wa ardhi
Hata na DC pia maana unapofanya hizo process za lizi ni lazima unanze na sheha na DC.
DC mwenyewe mkali kama pilipili
Shangaa mgogoro wa ardhi mtaani jamaa anamtaja mhe RAIS kampa kibali. Hii ni kumchafua. Mhe haezi shiriki dhulma. Kujuana isiwe tabu
Mhe Rais Hussein Mwinyi jitahidi wanyonge wasionelewe huyo mwekezaji asiwaonee wanyonge kwa pesa zao jitahidi haki itendeke
Tatzo lenu pesa zinawapa kiburi mpaka mnagombania Ardhi
Dah mshkaji ana confidence sana
Hela
Rais yupo mkononi mwao
"Tulimpeleka kishoga-shoga😂"
Ugomvi wa matajiri sie wengine yetu machoo tu angekua yupo mnyonge hapo kweli ila hapo wote wanatumia pesa hao
MDC U ARE RIGHT WAMEZOEYA SANA HAWOO JAMAA NA KFANYA ZULMA YA HUYO MAMA HAO JAMAA HAWATOSHEKI MAISHANI MWAO Alla Akulinde muheshimiwa na unafanya haki kwa kweli u are the best
Bi Nuru unajulikana kuwa wewe ni mtata, maana sio hapo tu hata mjini umekuwa unachukua maeneo ya watu na mumeo alisema serikali ni ya kwake wakati wa shein, yaani anakuja mkuu wa wilaya anatoa ruhusa, siku ya pili anakuja mkuu wa mkoa anakuja kuzuia, siku ya tatu anakuja mkurugenzi anaruhusu siku ya nne anakuja makamo wa Rais anaruhusu, na mumeo anatoa kauli kuwa serikali ni yakwake na nakumbuka alitaka kufungwa na hadi leo eneo lako limezuiliwa kujenga. Mumeo anaona watu weusi kama mbwa fulani. Kwaivo aliyekuwa hakujui ndio atakuonea huruma. Umehama nyumba nyingi kwasababu ya dharau na kutaka kupigwa na majirani.
Hee anaonesha kbsa kma ni mtata huyu maama
HIZO STORI UNAZIJUWA WEWE SISI TUNATAKA KUJUWA KUHUSU HII ARDHI NA ULE UKUTA WA ZAMANI NI WAKE AU SIO WAKE HAYO YOTE UNAYOYASEMA WEWE HAIHUSIANI NA HILI TUKIO.
@@salehothman6144HANA UTATA KAONYESHA NA KAELEWEKA UKUTA WAKE NI MKONGWE LABDA KIPOFU TU NDIO ATAKUWA HAJAONA.
@@salimmalaka256 ok utajua siku hizi hizi
@@zenj1986 OK
Sijafahamu hasa. Wazanzibari hawajui kujieleza maneno meengi lakini hii habari hatujui mbele wala nyuma.
OCd ilikuwa Hana haja ya kumuhoji yule mtu wakati oda ya Mhe Dc imetoka lazima alikuwa atekeleze kwanza oda Kisha mambo ya kunuhoji yafanyikie akiwa kwenye kizuzi.
Huko ni zenji
Mtoto wa marehemu mbunge turki huyo. Ndio familia tajiri zanzibar kuliko zote. Kaka yake pia ni mbunge wa jimbo la mpendae. Ccm ni yao hao. So let see 😅
Mm ninacho jua sehemu ya fukwe hairucwi kuujenga fensi kama hivyo,lakini nchi yetu mwenye nguvu apite
Acha wajenge mahekalu, Tsunami itawapa majibu wao na vizazi vyao. Sio Leo au kesho ila hata Leo inawezatokea
Mtu amejenga na mjengo ushafikia hapo leo ndio unatokea kusimamisha ulikuwa wapi? Wananchi wanataka ajira
WW UNAELEWA KINACHO ENDELEA HAPO?? AU NJAA INAKUSUMBUWA
Na serikali ikishindwa m.Mungu yuko na ww muombe na duwa lako inshaallah litapokelewa na ukiomba anzia alie anza mpaka watu wa serikali
Sawa kabisa fanya kazi wanyonge wasionelewe kunyanganywa haki zao
Hongera sana Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya tunataka viongozi wa aina yako watu wenye nazo wamekuwa kama Miungu watu wanafanya watakavyo pambana naye kutetea wanyonge hata wakikuondoa madarakani cheo ni dhamana usihofu Mungu atakuwa na wewe siku zote usiogope
Kwa znz hili silishangai kabisa
Jamaa anachati safiiii
Uyo mwekezaji angesema hivyo huku Tz cjui kingemkuta nn😂😂
Tunaomba huyu mh dc mtuletee mjini manake mjini kuna zulma sana tena sana watu wala pesa kwenda mbele
HAKIMU NI MUNGU ENDELEENI KUFUNGA MPUNGUZIWE MAOVU YENU SIO KUONGEZA MAOVU.
Kweli wanadamu tujitizame tujiangalie namna tulivyoumbwa tumetokana na udongo na udongoni tutatudi na kwenye udongo tutatolewa tena kwajili ya hukumu mwenye siku hiyo ya hukumu ni Mungu aliyetuumba na atafanya uadilifu ktk kuhukumu ivi tutamjibu nini Mungu aliyetumba
Nchi hii ue na pesa tu japo umeua sheria haioni,,,,,,ukiwa huna pesa huna haki nchi hii
Safisana muheshimiwa mungu akuongoze na huu ndio uongozi kama mnapatikana kamanyie saba
Mhe, rais wa zanzibar mwinyi kama kweli hayo ndo yanayoendea zanzibar hii ni dhulma ya waziwazi na ulisema utamuiga marehemu magufuli hakuwa hivyo tafadhari jitahidi kuyapunguza hayo ni kashfa kubwa sana kijana kakutaja hapo
Wanagombania ardhi wakati tutaviacha hapa duniani Mapito tu
Vizuri sana miledi nawakubari sana🎉🎉🎉🎉
Ningekuwa mimi ningemfungulia kesi kwa Kumchafulia Mh Rais,Kukidhalilisha Chama chetu cha CCM,Kudharau Mamlaka ya Mkuu wa Wilaya.
Yaaani huyu jamaa anadeka anaenda kwa Raisi ili aendelee kufanya dhulmaa DC hongera sana kwa hili.
Huyawezi ndio kwanza unajua Leo kwamba. Wengine walpo juu ya sheria
😂😂😂😂zanzibar inaendelea kuuzwa kwa wazungu mwisho wa siku tutalipa kodi maeeo ya watu kwenye nchi yetu daaagh😂😂😂Allah atujaalie salama
Malizeni kuuza mje bara tuwadalalie maeneo😂
@@NgengeMkeni-uo5hq bora🤣🤣🤣
@@hanifahkhamiss8485 Bara huku maeneo mengi kweli. Karibuni sana😃.. Zenji huko pashakuwa dili, watauza yote kwa Wazungu na Wachina
Kwa kweli znz wamesha rudi wenyew wazungu kama zaman mda wowote bwana mmarekani akisema tuhame bc hakuna wa kupinga. Weupe wanaakili sana tena hawana haraka mambo yao mdg mdg. Badae wataomba wajenge kambi yao ya kijeshi kwa ajili ya kuwalinda watalii.
Ardhi ya Zanzibar ni Mali sanaaaaaa❤
Tatizo inamilikiwa na wenye asili ya Arabia. Mashomvi hamna kitu
Haya majina ya bi nuru bwana huku jirani yetu ,alikuwa ana changa moto hixo alikuwa akiitwa bi nuru ukuta ndio chanzo..jamaniii vasi hapo kuna nuru namba 3 nisiyemjua mwingine ana changamoto hizo....😂😂😂😂
Why kufanya dhulma kwa wengine why kutokutii sheria za nchi na viongozi wake why lakini
Nyie siii mnawachekea MAFISADI ndo hayo viongozi wengi wafanyabiashara
Njoo huku bara Dc
Hii familia ya Turck wanazarau sana. Baba yao Mzee Turck hakua hivi .. lakini hawa watoto Dura& na ndunguye siyo watu wazuri wanazarau sana
Watanganyika hawana haki kwenye kisiwa cha cha Zanzibar na sasa watu waliotutawala wamerudi tena kuja kujimilikisha ardhi tena kwa majivuno na kebehi,nachomaanisha wazanzibar watauza ardhi zao kwa pesa ya chap na mwishoe watakimbizwa Tanganyika kutokana hawana chao tena.
Isaidie HAKI itande, itapakae Kila upande. (Qur’an 4:135)
Hapa kuna Dhulma inaendelea
Maguful Angekuwepo Hiii Kaur Angeijutia maisha yake yote
WEZI NYOTE HAKUNA SERIKALI 😂😂😂😂😂
Hii kweli hatari Hawa ndiyo wale unanijuwa Mimi nani
ccm mnajimaliza wenyewe
Sasa hapo Ccm imehusikaje brother
@@thanimosi8906 hivi jeuli ya ya kumtishia mkuu wa mkoa au wlya utaitoa kama na wewe sio kada ccm utaishia jela miaka yote
@@thanimosi8906huyo muwekezaji ni kada wa ccm na Dc pia ni kada wa ccm. Kuna jambo tu wanatofautiana
Wapo wliopo juu ya Sheria brother uliza mfanya biashara wa kaliakoo yupo mbinguni
Serikali za kidjalim,mtu akijiona kwenye madaraka hujiona kama Mungu ,wamewanyanganya wazee wetu wakati wa mapinduzi ya kidhalim hawjatosheka hadi leo
Mnafanya nini hapo baharini,ondokeni
DC sauti inafanana na Juma Khan mtafsiri wa movie za kihindi 😂😂😂😂
raha ya nchi yetu ukiwa na pesa sheria inakufuata popote ulipo
Nguvu ya uchumi wa blue
Hebu vunja hilo jengo ili tukuone lakini kelele mbona ni nyingi kuliko ustaarabu.
Huyu jamaa hakufsnya hayo kwa bahati mbaya huyo ni swahiba mzuri wa Rais wa Zanzibar sasa hapo duluma itaendelea tu kwa kupitia mkono wa Rais wacha tusikilize mshindo
Zanzibar migogoro ya aridhi inaongoza
Mia juu ya mia 100 percent mambo msije ndio wenyewe
Mambo ya ngoswe hayo.
Oyaaa 😂
Ah!mutamalizana wenyewe
Mwinyi tupe huyu huku bara
Uyo kijana na mwinyi mwenye nguvu kijana sio mwinyi ucjongpee uyo ni mtoto wa marehemu turky ndio matajiri wanaoendesha nchi hawawezi kumchkulia hatua. N mwiny ndio wa2 anaokula nao ao that y ana jeuri. Uyo n sawa na mtoto wa baharesa.
Anza Alifu basi 😂, yajayo ni neema tupu.
Hii family ya turky huwa inakuwaga kibri sana
Anajiona uyo mshkaji Anaela za urithi wa baba ake lkn pia nahisi ni mbunge wa mpendae so ana kibri. Pesa mbaya
muongo kijana ... huyo siye tawfiq mbunge wa mpendae
Ohh kumbee sio bas ndugu yake itakuwa
Mama wapishe wenye nguvu na uwezo ondoka HAPO chukuwa fedha
Je jamani tuone kwamba ss SI lolote zaidi ya uekezaji jamani hata serekali inawapa nguvu ndani ya migongo ya wakuu he hii kali
Ukuta mbichi huuu umeona
Wenye pesa bwana ! Anajidai kapewa ruhusa na Raisi halafu barua ya ruhusa hana mh
Hakuna kitabu kinachoitwa mas'haf ila kuna kitabu kinaitwa Qur'an Mh.DC
Acha ujuaji ww mbele kiza Quran ni maneno ya mungu ambayo yameandikwa ndani ya ,mas_hafu ambacho nficho kitabu chenyewe umeona wap Quran ikashikwa
Nchi hii yule mwenye haki ndio hunyanyaswa juu ya haki yake mheshimiwa DC Allah atakupa ujasiri wakusimamia wenye haki zao na mama wewe simama na Allah haki yako haipotei
Yaani mnafanya vitendo vya zuruma ndani ya mfungo?kweli tutafika mbinguni tukiwa tumechoka
Mhe. Hongera sana....Mara hii ...asipelekwe kirahisi kirahisi...kwida vizuri...😮
hawa mapolisi nao wanaenda kishoga shoga. yani wana pewa amri halafu wana bembeleza.Wakoje hawa watu!
DC soon kz huna, cku zote kizuri hakidumu
Tumempeleka kishogashoga😂😂
Maneno ya muekezaji, Mungu amesikia, watu hawali kokote je akiwekwa ndani akakuta kuna sinia la mavi na kokoto je atalishika na ugali kidunchu pembeni. Wanawake wanateseka, na utadhani hawakutokana na MAMA, OLE OLE OLE! MATISHO KILA KONA WHY! OH LORD HEAR US. AMEEN
😂😂😂😂😂 kamanda anavomuarest sasa😂😂😂😂
ELEWANENI ARDHI HATUZIKWINAZO NYOTE WAISLAM NYIE MWEZI WA KUSAMEHEEANA HUU
Harufu ya ruswha iannanukia hongera Mkuu wa Wilaya tuko pamoja nawe Kwa lolote
We mkuu wa wilaya Acha kubwabwaja kwa mabosi kuwa na heshima
Kumbe zanzibar mzungu anauziwa kiwanja ila mtu wa bala haruhusiwi kumiliki ardhi huu ni ujinga kweli😂😂
ukiwa na hela zako waweza kuuziwa kama mwekezaji
Kuna watu wanapesa tena nyingi2 lakini akitokea bara hauziwi sasa wewe unataka kumdanganya nani na kuna sheria kabisa ipo imetungwa Zanzibar mtu wa bara haruhusiwi kumiliki ardhi zanzibar
Ata akiuziwa hapewi hati anapewa lease yani aendeshe Shughuli zake kwa ajili ya uwekezaji tu kama haja wekeza kwa muda fulani serekali inaweza lichukua eneo hata kama alitoa pesa uko nyuma
DC simamia haki hata kama ya myonge
Cjaelewa kitu apa tatizo ni mgogoro wa eneo au ni kibali?
Muheshimiwa DC kibarua chako kipo mashakani hii ni Serikali ya Mapinduzi kwa hivyo kwa sasa hakuna wa kuweza kumshindana na familia ya Marehemu mzee White Turkey.
😂😂😂😂😂😢
Hawa wapemba wa manga wana dharau sana na ubaguzi sana hawa kenge
Jamani mnamjua vzr uyo kijana alomjibu DC ivo mpk police anaogopa kumkamata anatak amhoji tu ap ap au mnasem tu
mwisho wa yeyote ni kaburi, hawa wanajiona wameshika nchi
Huyu jamaa ana sifa hyo ya dharau yupo tofauti sana na kaka taufiq mbunge wa mpendae,
serekali inatumia nguvu mbele ya sheria
Wacha inyeshe
🙏🏽
Kibali ni nini
Bi nuru asie kujua ww na mumeo atakuona kama mwema vile lkn mh unahatar kwenye kuchukuwa viwanja vya watu
TUTAKUAMINI VP KWA MANENO YAKO TU
Kumbe rais ndiyo chanzo wa yote hayo
Kibri ni mtihani
Tuachane na CCM mbona migogoro mingi