Niliwai pata ndoto zaidi ya tano kwa vipindi tofauti tofauti ndani ya miaka mitano.Ndoto ya mwisho ndo ilinishtua nikajikuta naunganisha dots nikajua ndoto inakua na matukio tofauti lakini kuna component moja iko katika kila ndoto.Namshukuru Mungu ndoto ya mwisho ilinifanya nifanye maamuzi makubwa sana katika maisha yangu.Nimekua na maono , naweza waza kitu na kinatokea.Siku izi nimejifunza nikiwaza kitu no matter kidogo vipi nakifanyia kazi iwe ni maombi ya kukemea au kupokea.One day yes nitakuja kanisani.Bwana Yesu asifiwe.
Nakubaliana na huyo Mkenya, Mimi ni miongoni mwa wale ambao wametamani kufika kwenye hii huduma ya kinabii. Kabla ya hapo nafikiri sijawahi kutamani huduma nyingine. Mahubiri ya Baba yana jibu maswali mengi ambayo mtu angeweza kujiuliza.
Niliwai pata ndoto zaidi ya tano kwa vipindi tofauti tofauti ndani ya miaka mitano.Ndoto ya mwisho ndo ilinishtua nikajikuta naunganisha dots nikajua ndoto inakua na matukio tofauti lakini kuna component moja iko katika kila ndoto.Namshukuru Mungu ndoto ya mwisho ilinifanya nifanye maamuzi makubwa sana katika maisha yangu.Nimekua na maono , naweza waza kitu na kinatokea.Siku izi nimejifunza nikiwaza kitu no matter kidogo vipi nakifanyia kazi iwe ni maombi ya kukemea au kupokea.One day yes nitakuja kanisani.Bwana Yesu asifiwe.
Nakubaliana na huyo Mkenya, Mimi ni miongoni mwa wale ambao wametamani kufika kwenye hii huduma ya kinabii. Kabla ya hapo nafikiri sijawahi kutamani huduma nyingine.
Mahubiri ya Baba yana jibu maswali mengi ambayo mtu angeweza kujiuliza.
Waaaah aki nikisika haya mahubri huwa najengeka sana Kiroho Barikiwa sana Man of God
Amen alafu nikumbuke Kwa maonbi
Barikiwa baba yangu
God bless you my super hero
Prophet naomba umalizie na ile' lucifer nmeongea nae zaidi ya' plz nangoja
amen papa🙏
Am blessed
DEEP
Niko mbali ,lakini hata mimi natamani kuja kwa hii madhahabu, lakini hata hivyo najiabatanisha mimi na hii madhahabu kila wakati
Niliota nikiwa hapo kanisani kwako ukiwa unatuhubiria na kiuhalisia sijawahi fika Tanzania wala kanisani kwako.