ALEX PART 04

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 ноя 2024

Комментарии • 122

  • @NeyMarco-b8g
    @NeyMarco-b8g 12 дней назад +4

    Alex una mabalaaa makubwa

  • @MoniraMonira-dg3cd
    @MoniraMonira-dg3cd 12 дней назад +5

    Uyu mkaka ana hakili jmn n kujielewa pia ajielewi duuh 😢😢

  • @kombomvungi730
    @kombomvungi730 12 дней назад +7

    Tamu na nusu. Huku Equatorial Guinea 🇬🇶 ni ududu tu.... no puturu, karibuni sana wandugu

  • @Sur-v9s
    @Sur-v9s 12 дней назад +7

    Happy anakera sana anajiona keki sana yeye si alimkataa mwenzie adi akawa mlevi sasa leo kasikia anataka kuoa anakuja na kusema mumewe😏😏😏😏

    • @EsterSayi-s1q
      @EsterSayi-s1q 11 дней назад

      tena alimuitia polis nyumban kwake leo sijui kawaza nin

    • @Wakiomiss.78
      @Wakiomiss.78 10 дней назад

      Kawaza dudu la Alex 😂😂coz toka alex aende gerezani hajamvulia mwanaume yyt chupi that's why,hapo amewaza Alex akisha owa dudu ndio basi tena 😂​@@EsterSayi-s1q

  • @NeyMarco-b8g
    @NeyMarco-b8g 12 дней назад +4

    Jmn alex nae ni roma mdogo

  • @AzizaRashid-c7u
    @AzizaRashid-c7u 12 дней назад +2

    Maua Yako kaka said 🎉🎉🎉🎉🎉 kazi nzur San

  • @ReginaJumanne
    @ReginaJumanne 12 дней назад +7

    Leo nimewahi jamn nawapenda sana 🎉🎉❤❤

  • @Saida-tv2vj
    @Saida-tv2vj 12 дней назад +11

    Wakwanzaa jmn mbn sipati like za kutosha wadau 🎉🎉

  • @FaithNdenge-k9i
    @FaithNdenge-k9i 12 дней назад +5

    Wow nice one 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @ChristinaPaulinus-i4y
    @ChristinaPaulinus-i4y 12 дней назад +4

    Alex anamambo mengi sana asee😢

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 12 дней назад +6

    Kaendekaende na simulizi yetu ya Alex..🎉🎉🎉no 1 hapa

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 12 дней назад +3

    Alex kazi anayo

  • @NeyMarco-b8g
    @NeyMarco-b8g 12 дней назад +2

    Me naona alex amuache tu happy na alola, sjui olola akizingua pia ana mpiga chini,, anabaki na jenivevi maana yeye ni muelewa

  • @AmisiMariamu
    @AmisiMariamu 12 дней назад +5

    Leo nimewai pia

  • @ManhalMuhammed-c3f
    @ManhalMuhammed-c3f 12 дней назад +6

    Duuuh jmn skuzote nakuwa wa mwisho leo wa 4 hahag😅😅😅😅

  • @ZulfaSeif-p2s
    @ZulfaSeif-p2s 12 дней назад +5

    Mambo ni moto

  • @furahangoty5059
    @furahangoty5059 12 дней назад +3

    Lucas Lumbas huna baya na mtu pokea mauwa yako kaka🎉🎉

  • @TechnoceFabien
    @TechnoceFabien 11 дней назад +1

    Tuna kuku bali sana Lucas lumbasi❤❤ 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 12 дней назад +6

    ❤❤Iucas mambo vp🎉🎉

  • @hafsasaid9666
    @hafsasaid9666 12 дней назад +3

    Alex nae anajitakisga majanga wallah haya wacha tuone mwishowe

  • @MwanaMpole-mo5di
    @MwanaMpole-mo5di 12 дней назад +5

    Present sir

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 12 дней назад +4

    Iwe njema kwa alex

  • @YusraBadru
    @YusraBadru 12 дней назад +5

    Waoooo❤

  • @Hajramohammed-t5f
    @Hajramohammed-t5f 12 дней назад +3

    🎉🎉🎉 Kaka lumbasi ❤

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 12 дней назад +2

    Isipoingia mimba nyingine kwa Happy leo sijui

  • @mwanamksisoppah9325
    @mwanamksisoppah9325 12 дней назад +3

    Jamani happy silisema mwenyewe ama kiroho kipapo😅😅😅😅

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 11 дней назад

      Wivu tuuuu pili hajawai kumfuata jela hata alisema alikufa.alex.naye anamisala tele jenevivu ako namimba

  • @gracewanguig1327
    @gracewanguig1327 12 дней назад +3

    Tuendelee

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 12 дней назад +8

    Wakwanza jamani likes zenu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 12 дней назад +2

      🎉🎉

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 12 дней назад +1

      Khaaah mbona huyu alex anamkosi hivi jamani sasa jenavivi mjamzito duuuh kazi anayo😅😅😅😅😅

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 12 дней назад +2

      @zenaathumani8144 kaz kweli😭

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 12 дней назад

      @TeklaNdekeja aisee mbona anamakumbwa daaah 🥲🥲🥲

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 12 дней назад +1

      @zenaathumani8144 ata Aurola anae mtamani kumuoa nijambazi si bado ni ble🙆🙆

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 12 дней назад +4

    Wow finally shukran kaka Lucas ❤❤❤

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 12 дней назад +5

    😮♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🔥🔥

  • @ManisaboSifa
    @ManisaboSifa 12 дней назад +3

    🎉🎉🎉🎉🎉❤😊

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 12 дней назад +2

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @MoniraMonira-dg3cd
    @MoniraMonira-dg3cd 12 дней назад +2

    Uyu mwanamke nae pia n kicheche mume tabu mke tabu 😢😢

  • @UmySele
    @UmySele 12 дней назад +12

    Jamani nimejitahidi sana leo jaman naomba like😢😢😢

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 12 дней назад +5

    🎉🎉🎉

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 12 дней назад +5

    Kumbe marelia yupo makin, ila binam ake, kiazi 😂😂😂

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 12 дней назад +3

      😂😂😂😂😂😂😂matatz matupu

    • @ReginaBenjamin-ij2ec
      @ReginaBenjamin-ij2ec 12 дней назад +2

      Uko sahih hajuw ata kweny maish yake anatak nin

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 12 дней назад +1

      @@ReginaBenjamin-ij2ec wanamuharbia tu lkn mbna anajielewa jmn

  • @SofiaKhamis-ol1bn
    @SofiaKhamis-ol1bn 12 дней назад +6

    Nimewahi pia mm leo 😂🎉🎉🎉like hata 3 bc

  • @MaryamSaid-s8p
    @MaryamSaid-s8p 11 дней назад +1

    Wanawake kama happy hawajulikan wanatakaga nn kiufupi hawajielewi

  • @هايلينل
    @هايلينل 12 дней назад +2

    I think huyo Alex ako na laana na amejiloga mwenyewe

  • @candidekaneza8587
    @candidekaneza8587 12 дней назад +3

    ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @christinahaule-p8i
    @christinahaule-p8i 12 дней назад +5

    Happy kinacho mchanganya ni nini mwanaume amemuacha amesikia Alex anataka kuoa yy ndio anajifanya awezi kumuacha mzazi mwenzakee ❤❤❤❤ pongezi ziende kwa Lucas lumba sauti yako ni nzuri sana simulizi ni tamu mno yenye kufundisha na kuelimisha ❤

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 12 дней назад +1

      Happy anakera anadharau alizan atamtesa kwa vipesa vyke lkn kaona hajafanikiwa ndo anatak kumharbia mwenzke

    • @milkaboaz1244
      @milkaboaz1244 12 дней назад +2

      Happy kaniudhi sana mshenzi kweli

    • @FauzaFauza-d2h
      @FauzaFauza-d2h 11 дней назад +2

      Sanaaaa mshenzi sanaaaa

  • @Fayek-o9i
    @Fayek-o9i 11 дней назад

    Asant sana kaka Lucas

  • @ReginaBenjamin-ij2ec
    @ReginaBenjamin-ij2ec 12 дней назад +2

    Hivi huyu Alex ana shid gan lakin kwenye maisha yake mbon anapenda kuwa chambo kweny matatizo ya watu

  • @loyc6306
    @loyc6306 12 дней назад +5

    Nimejaribu pia mimi Acha tuone huruma za Alex zitamfikisha wapi

  • @zuhramwavyoni8400
    @zuhramwavyoni8400 12 дней назад +4

    ❤❤❤

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 12 дней назад +4

    Alex jamani huruma cjuw mukos gani ad apitie yote haya jamani😭😭

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 12 дней назад +2

      Tatz sehem ya kusem ukwel hasem mapema mpka yamkute ndo aseme

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 12 дней назад

      N​@@Babyfaty-m3yMy nimekutafuta❤

  • @MariamHawa-b4w
    @MariamHawa-b4w 10 дней назад

    Nc san

  • @Fayek-o9i
    @Fayek-o9i 11 дней назад

    Namba y'a tanu

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 12 дней назад +3

    Kweli Alex anafanywa vibaya jamani,kweli Happy alivyomdhalilisha vile,mbona anataka kumharibia wakati yeye hamtaki

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 12 дней назад +1

      Happy anakera na dharau zake anajion kmaliza kila ktu kw kuwa anapesa

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 12 дней назад

      @Babyfaty-m3y Happy ni mshenzi sana,kama ni tamaa ya fedha nae ni sawa na Alex tu,naamini sababu ya Alex kukubali kuoana na yule mtoto wa tajiri ni huruma,pia aliamini ktk faida ya familia yao,kwani hakuwa na mapatano yoyote ya mapenzi na yule muolewaji,pia alikuwa anamuogopa yule tajiri

  • @AliphonceIrene
    @AliphonceIrene 12 дней назад +6

    Wakwaza like plz🎉

  • @EsterSayi-s1q
    @EsterSayi-s1q 12 дней назад +4

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @Aishamzamilu
    @Aishamzamilu 12 дней назад +2

    Dh huyo alex kila sk ni matatizo t kwake 😢😢

  • @RahabuKal
    @RahabuKal 12 дней назад +2

    Kama alimuowa Happi kama anampenda naakarudi akamjukia pamoja Na mtoto yy Ni kama kina Nani🤣🤣🤣

  • @IreneFuraha-y6z
    @IreneFuraha-y6z 12 дней назад +3

    Wa 53 jamani naomba like

  • @TechnoceFabien
    @TechnoceFabien 12 дней назад +4

    👍👍👍👍👍✊👍👍🎉❤❤

  • @ademago3375
    @ademago3375 12 дней назад +2

    Alex amekuwa Roma wa Edina

  • @ImeldaKadogoo
    @ImeldaKadogoo 12 дней назад +2

    Alex Alex jaman mbna huna msimamo na wanawake?

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 10 дней назад

    Alex hafai kuwa mume wa lola kabisaa mana kalala na hapness naalivyoo nambeguu sharp ukute mimba pap huku yule dada mwingine anamimbaa kazi anayoo

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 12 дней назад +3

    Mm natamani huyu Alex arudiane tu na mke wake, ila haya mambo ya binamu ni nyama ya hamu yanachosha kweli😢😢, kule ameoa ndoa ya pili, kwengine anatarajia mtoto, binamu naye ana yake ya moyoni kumtaka Alex hili ni balaa, hata kama ww ni kidume kiasi gani tena yatakushinda tu

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 12 дней назад +2

      Bora ata awe na geneveva kuliko kurd kwa happy mna anadharau kwkuwa anapesa

    • @RehemasiryaKabahasha
      @RehemasiryaKabahasha 12 дней назад

      @Babyfaty-m3y kuna ukweli hapo happy anadharau😀😀

  • @milkaboaz1244
    @milkaboaz1244 12 дней назад +6

    5

  • @jinaanhkareem3650
    @jinaanhkareem3650 12 дней назад +3

    Yani huyu happy sijui nn anataka kwa Alex 😢

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 12 дней назад +1

      Wivu tu unamsumbua

    • @jinaanhkareem3650
      @jinaanhkareem3650 12 дней назад +1

      @Babyfaty-m3y si alisema hamtaki lakini

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 12 дней назад +1

      @@jinaanhkareem3650 ndo apo alianza kumtak tng cku alipo ona anapo kaa ndo akaona hajamkomoa alitka mwenzke ateseke lkn mungu ypo upnde wa alex ndo akaona sas amuharbie iyo ndoa yke

  • @EsterSayi-s1q
    @EsterSayi-s1q 11 дней назад

    ukitaka kujua mwanamke mjinga wakwanza happy 😂😂😂

  • @AeshaSaid-pe3tn
    @AeshaSaid-pe3tn 11 дней назад

    Mmmh tamaa za ngono zitamponza Alex

  • @KarekeziHaslan
    @KarekeziHaslan 9 дней назад

    Uyu ALEX kama hata kua ROMA basi Atakua BARTAZARO aise😂😂😂😂😂😂😂

  • @hafsasaid9666
    @hafsasaid9666 12 дней назад +3

    Kwanzia leo huyu Alex ni mdogo wake Roma bila ubishi maana ni baba huruma mwenzie Roma alikuwa mbabe na mzinzi sasa yeye mzinzi ubabe hana ila happy mbinafsi kama Edna ila Edna alitekwa na Athena huyu happy siocop nimwenywe kabisa ananikera bwana sasa naanza kumkubari veve wifi yangu ndio mke mwema bwana😂😂😂

    • @ReginaBenjamin-ij2ec
      @ReginaBenjamin-ij2ec 12 дней назад +1

      🤣🤣🤣🤣 daaah nimechek san

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 День назад

      😂😂😂😂afu msinitanie mie sio mbinafsi kbs ninavyowapenda wake wenzangu wewe@hafsasaid unikome kabisaa 😊😊

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 12 дней назад +5

    ❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉😢22

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 12 дней назад +3

    Mhm,hapo mtu anataka kupakua msosi kwa wizi wakati chakula karibu kinatengwa mezani😂😂😂 mama yangu wee,na Genoveva tayari kaja mbona maana ya Alex inatakakuwa mkosi maskini jamani,inabidi afanye maamuzi magumu sasa

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 12 дней назад +1

      Kiazi yule😂😂

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 12 дней назад +2

      Anashida kila sehem ata akitulia kaz umepita Mna kila mtu anatak kumuharibia lkn geneveva yy ni muelewa afadhali

  • @mariammasawe-h5c
    @mariammasawe-h5c 11 дней назад

    Pt 5 saa 9 hii jamani 😭😭😭

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 12 дней назад +1

    😢😢😢🤔

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 7 дней назад

    Wadau muwace kulaumu Alex arikoseya mbere lakini katoka jera hepp hanahakiri arimukata ukumbuke fimbo aripigwa kwenye polisi munakumbuka kamwambia siohazi yaketena sasa Alex afanye nini vakiato ça Alex arimufanyiya zarau kubwa sana hunalolote arimucamba vyagutosha uyu Hepp nikorofi anataka kumuhabiatu wanaume bana Alex acatama utakuta unalikodia uuuuuiiiiiii😁😁😁😁

  • @nancybendera9011
    @nancybendera9011 7 дней назад

    yote tisa huyu mrembo watu hapa ni nani

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 11 дней назад

    Huyu happnes sialiamka Alex natalaka juu sasa nn anatafuta jamani nayy anampenxi wake

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 11 дней назад

    Heee kumekucha Alex kazi unayoo lkn hii mimba iliingia wakati walitegeshwaa yani hakufuatilia nn chazo Alex kaxi anayoo sijui kama kutakua na ndoa ndomana mama bibi harusi mtarajiwaa amehisi hii ndoa haifai kabisaaa

  • @AliphonceIrene
    @AliphonceIrene 11 дней назад

    Mh alex anamajanga jamani afu ii simulizi inataka kufanana ba ya edina kiasi flani ivi ninzuli sn alex kashafikisha wana wake 3😂😅 inafulaisha

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 12 дней назад +4

    Jamani Alex anapitia magumu😢😢, laana gani hii jamani

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 12 дней назад +4

      Kla kitumbua knaleta balaa 😅😅 nahapo kwa varelia, subl aje agundue hiyo mimba mbona patawa🔥🔥

    • @RehemasiryaKabahasha
      @RehemasiryaKabahasha 12 дней назад +3

      @TeklaNdekeja nafikiria ni laana ya mamake inamtafuna😂😂

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 12 дней назад +3

      @RehemasiryaKabahasha nikweli hujakosea

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 12 дней назад +3

      Kila sehem ni matatz tu

    • @milkaboaz1244
      @milkaboaz1244 12 дней назад +2

      Duu

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 12 дней назад +4

    🤣🤣🤣🤣🤣jmn maskin alex matatz kila sehem ukija kwa happy shida kwa aurora shida kwa gineveva shida mna mjamzito ukija kwa mama valeria pia ndo kabisa cjuw utaangukia wap maskin alex pole😢😢

  • @RahabuKal
    @RahabuKal 12 дней назад +1

    Alex Mjinga Xana naatakuja kujutia

  • @Aishamzamilu
    @Aishamzamilu 12 дней назад +2

    ❤❤

  • @ZaiZainabu-o4p
    @ZaiZainabu-o4p 5 дней назад

    🎉🎉🎉

  • @ElizaSada
    @ElizaSada 12 дней назад +1

    ❤❤❤❤

  • @FarahaShwaibu
    @FarahaShwaibu 12 дней назад +1

    ❤❤❤