HANS RAFAEL:''HUYU KOCHA VIPI!?/HAJAWAI KUFUNDISHA TIMU YOYOTE YA CAF/WACHEZAJI HAWAPAMBANI/PACOME..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 11

  • @clarencesichila9497
    @clarencesichila9497 8 часов назад

    Upo sahihi

  • @RamaHRIzmaelov
    @RamaHRIzmaelov 11 часов назад

    "wamefungiwa kutofanya usajili"... Kiswahili ni kigumu kwa kweli

  • @JosephatMganzi
    @JosephatMganzi 12 часов назад

    Huyu nae na kugusa mpira mara Moja kwny box imekuw Kila Kona anakopita

  • @UpdatesDocumentariesTv
    @UpdatesDocumentariesTv 8 часов назад

    Hakika ni mchezo mgumu hasa Kwa Yanga, na hii ni kutokana na Matokeo ya hivi karibuni ya Klabu ya Yanga...lakini kama tunavyosema Mpira unadunda si ajabu Yanga akipata ushindi katika mpira hakuna neno haiwezekani ila Kuna ugumu tu

  • @tumainielmremi7912
    @tumainielmremi7912 22 часа назад

    Wachambuzi hawana nidhamu. Kocha yeyote anaweza kukuza uwezo wake taratibu. Kwani kocha yup alizaliwa na uzoefu?

  • @GeorgeMponda-ri7fc
    @GeorgeMponda-ri7fc 21 час назад

    Daah wananch huy jamaa kasema kwel sem yang ni giant na tuwachezaj wanaoweza chez bil hat kocha tutashindaaaaaaaaaaaa

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 22 часа назад

    Hahaha bado hans huu msimu

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 4 часа назад

    HUYU MCHAMBUZI ANA KA USIMBA NA DHALAU SANA..MBONA AZUNGUMZII KOCHA WA SIMBA KWAMBA ALIKUWA KOCHA MSAIDIZI ?

  • @EliyaKudaga-u4q
    @EliyaKudaga-u4q 9 часов назад

    MIMI Simba mnyama,,,ila kwa uzalendo naiombea yanga itoe sale,,,au ipigwe GOLI moja tu yasiwe mawili,,, inshallah,,,

  • @JasmineSelemani-c2w
    @JasmineSelemani-c2w 20 часов назад

    kwenda zako huna lolote