CASSIAN AWAONYA WATAKAO SHEHEREKEA CHRISIMASI KAFARA ZINA WAHUSU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 87

  • @WssWss-w3p
    @WssWss-w3p 5 дней назад +3

    Hallelujah hallelujah MUNGU nisaidie kufahamu majira na nyakati kwa muda huu ambao umebaki.

  • @dicksonjames-u7t
    @dicksonjames-u7t 4 дня назад +2

    Kwa sasa Mimi na familia yangu tunaufurahia wokovu wa kweli,tumejua kweli na kweli imetuweka huru,aminaaaaaa barikiweni sana watumishi mnaopambana kulifundusha kanisa kweli

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 5 дней назад +2

    Asante ulinisaidia kufunguka macho kwa hili..... Mtumishi Mungu akubariki kwa hakika nilikuwa gizani ila kwa msaada wa Mungu ulinisaidia.
    Yesu anapaswa kuzaliwa na kuwa hai ndani ya mioyo yetu kila dakika tunsyopewa kuwa hai, na tunaadhimisha kwa utukufu wa kuunganishwa naye kila siku.
    Wakati adui anaitumia siku hii ya sherehe ya Krismasi kuuhadaa ulimwengu, akiwaongoza kwenye UOVU wa juu, wakristo wa kweli tunapaswa kudumisha usafi, tukishuhudia Kristo kuwa hai ndani yetu daima. Tunapoteda jambo njema lolote tunajua Yesu amezaliwa.
    Nuru ya Bwana Yesu ikuangazie milele mtumishi.

  • @lucymwangi944
    @lucymwangi944 4 часа назад

    Asante Mchungaji ni kweli hakuna kwa biblia, Yesu anazaliwa kila siku katika roho zetu.Huu ni mwezi wa makafa

  • @WssWss-w3p
    @WssWss-w3p 5 дней назад +1

    Amen MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU.

  • @MerInaJonas
    @MerInaJonas 4 дня назад +2

    Mungu atusaidie hizi ni nyakati mbaya sana tusipo kua chini ya uongozi wa Roho mtakatifu tutachanganyikiwa kiimani nakuacha kila kitu Mungu atusaidie

    • @masokodilo
      @masokodilo 2 дня назад

      Uko sahihi mpendwa wangu tunamuhitaji roho mtakatifu atuongoze

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 7 часов назад

      Munatakiwa kusoma ili mufahamu ukweli sio kufata mkumbo

  • @bernadetteshukuru9154
    @bernadetteshukuru9154 4 дня назад

    Amen amen amen ubarikiwe sana na shukuru kwa mafundisho mazuri sana tulikuwa atufahamu haya ubarikiwe kwa kazi zuru

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 5 дней назад +5

    Kwa kweli wachungaji wanatupoteza, kwa sasa ni maandalizi na kununua vibawa kununuliwa kama tuzo kwa wale watakariri vizuri katika uimbaji. Wachungaji wanatuelekeza wapi? Nasi tuliopofushwa fahamu tunapohubiriwa, kila kitu ni " amina". Ni lini tutazinduka usingizini? Mungu atusaidie

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 8 часов назад

      Ndio mujuwe tumesema muda mrefu munatutukana waislamu sasa mutafakari munatumiwa kibiashara na kutajirisha watu

    • @MuunganoChrisanth
      @MuunganoChrisanth 7 часов назад

      Amen ukigundua kuwa unapotea kimbia hata kama unacheo kanisani kimbia chapu Bwana YESU anatuita kwa sauti ya upole

  • @ShukuruBaruwani-j6f
    @ShukuruBaruwani-j6f 4 дня назад +1

    Amen ubarikiwe mtumishi

  • @NyotaBuhendwa-g7z
    @NyotaBuhendwa-g7z 4 дня назад +1

    Mungu atuurumie sisi sonte tulisherekea Christmas munda mrefu sana tulikuwa atujuwi ukweli mimi siwezi tena kusherea Christmas umbarikiwe mtumishi wa Mungu unae panbana nakutuonesha ukweli

  • @ChristanahChristanah-oo8jn
    @ChristanahChristanah-oo8jn 5 дней назад +2

    Wambie mtumishi Mimi niliacha mingi ilioisha nàshukuru mungu

  • @MichaelAbel-m5y
    @MichaelAbel-m5y 5 дней назад +2

    Ukweli pia uzima hauko ktk sikuu kols 2:16----,,kalenda ya wayahudi ni tofauti hivyo uzito ni yeye aliyezaliwa ,kalenda iliangukia mwezi wa tatu wa nne,kwa mapokeo ya Kirumj yakatofaufisha; hivyo hatuwi chini ya sherehe yoyote uko sawa! Sisi ni lmani ktk yeye aliyezaliwa, Kols 2:16.Sherehe,siku kuu ,mwandaamo wa mwezi au sabato! Tunasherehekea Yesu ndani ya mioyo yetu kila siku daima, Yoh 4:21-26.1kor 2:10-16, ni heri wewe uliyefunuliwa na wao watakaofunuliwa.Amen

  • @asherylungwa3647
    @asherylungwa3647 3 дня назад

    Amina shalom shalom

  • @emmybynith-y8i
    @emmybynith-y8i 4 дня назад

    Amina mtumishi wa mungu ubarikiwe sana

  • @dicksonjames-u7t
    @dicksonjames-u7t 4 дня назад +1

    Ameni huu ndio ukweli mtupu ni maombi yangu watakatifu wote walielewe hili.

  • @AgnesMgaya-y6l
    @AgnesMgaya-y6l 5 дней назад

    Amina mtumishi wa mungu Kwa kutufumbua macho

  • @MaryBaltazary-o1u
    @MaryBaltazary-o1u 3 дня назад

    Ni ukweli kabisa ninafurahi kusikia ukweli huu unawekwa wazi mungu atusaidie tujuwe uongo uliopo kwenye tarehe 25

  • @DianaDeclass-lz7yg
    @DianaDeclass-lz7yg 5 дней назад

    AMEEN Mungu akubariki Sana,

  • @KaviraMulumbi
    @KaviraMulumbi 3 дня назад

    Amen amen ❤🎉🎉

  • @laurentbulabo5002
    @laurentbulabo5002 21 час назад

    Mtumishi wa Mungu uko sahihi 100%, lakini ni ngumu sana hawa watu kukuelewa maana wameaminishwa hivyo na wale wanaojiita wamesoma theology

  • @MiriamNganzi
    @MiriamNganzi 5 дней назад +1

    Amen daddy

  • @SaraAa-m9r
    @SaraAa-m9r 5 дней назад +1

    Ukweli kabisa amen amen 🙏

  • @barakaelias1116
    @barakaelias1116 4 дня назад

    Ameni ubarikiwe

  • @AlfredAsanwisyemwankotwa-dl2zy
    @AlfredAsanwisyemwankotwa-dl2zy 2 дня назад

    Bwatuka bwatuka mbwa poli

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 4 часа назад

    Mwaka jana tulikukataza.inaonekana cassian.una kiburi cha uzima cassian acha kumkosea loho wa Mungu.usijifanye unajua kila kitu nyerere.day zipo unamuonea.wivu Yesu hii sikukuu hujazaliwa ipo cha Mungu kinasimama cassian.acha hayo mawazo mabaya cassian.umekuwa yuda iskalioti shetani kakuingiaje.heee

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 4 дня назад

    AMINAAA

  • @Magufuli.
    @Magufuli. 4 дня назад

    Kweli Cassian, mimi nilishashtuka.

  • @JescaEdward-k5k
    @JescaEdward-k5k 5 дней назад +1

    Hata sikukuu ya mwaka mpya kibiblia hatujaambiwa kuadhimisha,tunaadhimisha tu,

  • @keeonirishuraHonore
    @keeonirishuraHonore 5 дней назад

    Amen 🙏

  • @AndréNdayizeye-l9z
    @AndréNdayizeye-l9z День назад

    nataka kuuriza wakristo anachozungumza nikwer ?? kwa hiy yesu kristo hakuzariw ??baadhi ya watu Hua wanafanya sikukuu ya kuzariw yaani bartyiday angarieni msij mkapotea Maan ni siku zamwisho tumuomb roho mtakatifu atuongoz Amen

  • @MargaretMlai
    @MargaretMlai 4 дня назад

    Wafu gue watu macho nami pia nangangana huku kenya

  • @LoycemwaigomoleMwaigomole
    @LoycemwaigomoleMwaigomole 7 часов назад

    Mmmmh kaxi kweli

  • @lindajeremiah35
    @lindajeremiah35 3 часа назад

    Ni kweli alipo ki biblia.lakini mflme konesteni,alikua mpiga kristo na ukirsto kwa kipindi icho ulikua ukubaliki. Na walipo enda vitani wakashinda.nae alikua na Mungu wake ambie alikua ni jua. Na akaamua kubadilisha na kuweka wa Christian ku sherekee kuzaliwa kwa Yesu.

  • @melkizedck
    @melkizedck 5 дней назад +1

    Sikia we mwenye ufahamu mdogo . Hatusherehekei siku wala hatumaanish hivo unavyofikir wew. Krismas iwe tarehe 25 au tarehe yoyote sisi haitusumbui. Ktk siku hiyo ni fursa ya sis kuchapa injili kisawasawa. Piga injili mtumish achana sikukuuu

    • @GwandajaGidamejod-w6f
      @GwandajaGidamejod-w6f 4 дня назад

      Hujui na umekuwa mkali bure christmas no upumbavu kuisherehekea masks ibada ya mashetani

    • @melkizedck
      @melkizedck 4 дня назад

      Hujui

    • @melkizedck
      @melkizedck 4 дня назад

      Krismas iwe ni ibada ya mashetani au nini! Sis wenye ufahamu tunachojua ni tunachapa siku hiyo had hayo mashetani yajue Yesu ni Bwana na Mwokozi wetu. Barikiwa amekuwa mvivu kuhubiri Habari njema

    • @RozaliaSanka-kv5dy
      @RozaliaSanka-kv5dy 3 дня назад

      Uhamu mkubwa

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 7 часов назад

      Wacha uongo

  • @MashalaNgwanzalima
    @MashalaNgwanzalima 3 дня назад

    wanaokataa ukweli huu nawasihi wafuatilie biblia

  • @agustinohizza1395
    @agustinohizza1395 3 дня назад

    Maana mpaka masikio yanauma Kila anaye ibuka anaongea lake ni shida

  • @ConsolataEmmanuel-jk3jm
    @ConsolataEmmanuel-jk3jm 4 дня назад

    Mutumishi ubalikiwe tumeigeuza iwe wokovu wao waliifanya kuwa ya miungu sstuigeuze iwe wokovi kwatu

  • @MamaBambala
    @MamaBambala 4 дня назад

    Pembe mbili zilizong'olewa ni zipi? Na pembe tatu zilizong'olewa ni zipi? Hebu liangalie hilo mhubiri.

  • @Magufuli.
    @Magufuli. 4 дня назад

    Cassiani kuna maandiko mengine HAYA hapa, wagalatia 4:8-11maandiko yanakataa

  • @musamalaba6401
    @musamalaba6401 5 дней назад +1

    Upagani hauwi kwenye siku, bali kile unachokifanya kwenye hiyo siku.
    Huwa ninakufuatilia sana, ila hapa bado kuna ufunuo wa kimungu unatakiwa uupate.

    • @annigtonkoome
      @annigtonkoome 5 дней назад

      Ufunuo gani tena mtu WA mungu krismasi ni upagani, hata Yesu alituachia mfano wake tuufuate na hakuwai sherekea siku yake ya kuzaliwa

    • @IskariMasawa
      @IskariMasawa 4 дня назад

      Ufunuo gan tena wa Kimungu unaotuambia kusherekea krismas?

  • @JescaEdward-k5k
    @JescaEdward-k5k 5 дней назад +3

    Kama unaamini kuwa Yesu alizaliwa kusherekea krismas si jambo baya,

    • @NyangeMagere
      @NyangeMagere 5 дней назад

      Unajidanganya biblia inasema na waende kwa Sheria na ushuhuda na biblia hiyo hiyo inasema usiongeze neno wala kupuunguza

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 7 часов назад

      ​@NyangeMagtatizo hakuna hio sikukuu ni upaganiere

  • @noahmwm7116
    @noahmwm7116 День назад

    Swali! Je Unakumbuka kwamba Yesu amezaliwa? Je Unasoma lile historia matayo 1:18…?
    Kwasababu kama unakumbuka kwamba Yesu amezaliwa, sijuwi kwamba utakuta mstali ambao unakwambia ukumbuke. Siongeyi sherehe, lakini tu kwako kumbumbuka.

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 7 часов назад

      Alizaliwa lakini sio mwezi wa 12 wangeweka tu siku ya kweli kwa nini wabadilishe kuna nini

  • @EstherYoram
    @EstherYoram 5 дней назад +1

    Sikuhii imewekwa na kanisa kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa yesu " ifahamike ni kuazimisha" tuelewe hivo. kuna biblia na kanisa hiyo siku imewekwa kikanisa na ili mladi haivunji wala kuharibu taratibu kwa watu wanaomwamini mungu.Ni siku njema wapenda .

    • @annigtonkoome
      @annigtonkoome 5 дней назад

      Hebu angalia historia ya krismasi ilitokana na uabudu WA sanamu Yesu akuiadhimisha kama alivyoadhimisha meza ya bwana Biblia pia imesema tusiifuate namna ya dunia hii

    • @gidongailo7174
      @gidongailo7174 5 дней назад

      Krismas ilikuwepo kabla ya Yesu ila haikuitwa Krismas, ilikuwa na jina tofauti

    • @annigtonkoome
      @annigtonkoome 5 дней назад

      @@gidongailo7174 hiyo ni uongo umedanganyika hapo aisee nionyeshe kwa Biblia ni wapi

    • @annigtonkoome
      @annigtonkoome 5 дней назад

      @@gidongailo7174 tena ingekuwaje kabla ya Yesu kuzaliwa na NI siku ya kusherekea kuzaliwa kwake kama mnavyosema🤔

    • @sosbrayantbenjamin9701
      @sosbrayantbenjamin9701 5 дней назад

      ​@@annigtonkoomehawajui tatzo watu wavivu kusoma hyo siku alizaliwa TAMUZ

  • @CatherineDavid-bl1jc
    @CatherineDavid-bl1jc 5 дней назад

    Pastor je? ukiamua kushelekea kwa kukata keki ni vibaya

    • @GwandajaGidamejod-w6f
      @GwandajaGidamejod-w6f 4 дня назад

      Ili kuonesha nini kama ni destur kukata keki soon mbaya lakn kama ni sikuku ndo unafanya basi unakosea

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 7 часов назад

      Utakuwa umeamini na kuunga mkono

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 4 часа назад

    Unataka upate tarehe aliyozaliwa Yesu utaumia sana husomi maandiko na hujui ma'ana yake biblia inaonyesha kuwa siku alipozaliwa dunia majira yalibadilika siku hiyohiyo walianza kuhesabu majira upya ivi nani angeandika tarehe na angeandika kivipi cassian umelahisisha kuzaliwa kwA Yesu et soma biblia ilikuwa vita kubwa duniani na binguni ndugu yangu ndio ma'ana wanakuambia malaika walijaa.duniani.mm ninavokuona unalahisisha kuzaliwa kwA Yesu ndio ma'ana huogopi kusema kristomas.ni.sikukuu ya wapagani inauma sana siku.ya.mwisho mtakuja muaibike sana kweli wa kwAnza watakuwa wa mwisho wapagani wanaogopa kuongea maneno kama y'ako wewe unaongeaongea.tu

  • @YeremiaKuyangwa
    @YeremiaKuyangwa 4 дня назад

    Sisi tunachojua yesu alizaliwa sisi kama wacristo tumechagua sku ya tar 25 kwaajil ya kushelekea sku aliozaliwa yesu kana unapinga bac nawe waweza kupanga sku yakushelehekea kuzaliwa Kwa yesu sio dhambi

    • @IskariMasawa
      @IskariMasawa 4 дня назад

      Ilichaguliwa na kanisa la Roma siyo chaguo la wakristo wote madhehebu mengine yaiga mkumbo tu.

    • @GwandajaGidamejod-w6f
      @GwandajaGidamejod-w6f 4 дня назад

      Unajiprndekeza kea usicho ambiwa na Bwana mtu wa mungu

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 7 часов назад

      Sasa kwa nini uchaguwe hiyo

  • @stevenstationary
    @stevenstationary 2 дня назад

    Unaongeaga mengi mazuri ila hapo umechemka ,siyo kila kitu tunachofanya Kiko kwenye Biblia

  • @MwanaeshaAsthma
    @MwanaeshaAsthma 5 дней назад

    Amen Amen

    • @vumiliawambula1716
      @vumiliawambula1716 4 дня назад

      Amen Amen, kabisa watu ufata mkumbo nashukuru Mungu nimefaamu ukweli ,Ata ukutulipo siku ya crismas wazungu husherekea adi soko ufungwa ujuwe Sasa niya kushakia crismas

    • @vumiliawambula1716
      @vumiliawambula1716 4 дня назад

      wazungu usherekea adi ma soko ufungwa Wana sherekea sikuu ya crismas ujuwe Kuna kitu kinaojificha apo Mungu atusaidie