Ukiwa Nje ya Nchi Ukapata Matatizo Sasa Ndiyo Uwende Embassy Halafu nje Unaikuta Hii Bendera👉🇹🇿 Chozi Linavyokumiminika 😭😭Mmmh Sijui Kwann inakuwa hivyo
Pole sana kaka, Nyieee nyieee hawa watu uwiii mim nahisi ntaruka na mlango sipend kucheleweshwa mshahara wangu wee 😂😂 tena adabu iwepo pesa yangu ontime alhamdulillah 🎉
Tujifunze na hili, mtu yeyote anaetaka kwenda nje ya TZ kufanya kazi uhakika, asiondoke TZ kwa visa ya matembezi . Lazima iwe visa ya kazi na mkataba mkononi
Ubalozi wa Tanzania walikuwa wamkamate huyo Mama . kwasababu huyo Mama alikuwa anababaisha na muongo .watu kama hao ni mwizi na watawatesa sana watanzania.wana chukuwa advantage kwa watanzania wakarimu .
Mimi nilitaman wakaongee na viongozi WA ubaloz Hasa Yule mama toka amekuja Huku mm sijawahi kuelewa tumebadilishiwa nn mm nahisi da zari alikuja matembez tu na kutangaza biashara hakuja Kwa Ajili ya wafanyakazi tungeona japo amefika ubalozin kupata viongozi
Pole lakini ndio mkome kufanya vitu ambavyo mungu hapendi yaani wewe mtoto wakiisilamu umemalizatu ibada ya kufunga yani inaonekana ulisafiri ndani ya Ramazani Yani watu wapo kwenye ibada yakufunga wewe unazatu iishe ukafanye maaswi hayo ndio malipo yake ilashukuru mungu ungefanyiwa jambopaya sijui ungemlaumu nani ila sikwamba nakuhukimu lakini nakukumbushatu pia najikumbusha nafsi yangu tumrudie Mungu tuache vitu vya laana visivyo mpendeza mungu mungu atujalie mwisho mwema assalamualaikum 🙏🇹🇿
Dogo acha ujinga wewe nenda nyumbani uombe musamaha mke watoto uwe na miladi mingi kama alikiba mjomba ulime nyanya acha maneno mama amekupandisha ndege umekula Bata usitowe sili maisha ya ugaibuni huku chipis beer bule kaeni kwenu
Ww upo kazini je upo tayar waje kwa boss wako uhojiwe na kusema changamoto ulizonazo maana kila mtu anaogopa huwezi kukaa hiyo nyumba ukishatoa madhaifu yao usifanye masihara we😂😂😂😂
@@OfficialA83640 mm peke yke nisiwe mnafiki nishi vzuri ila changamoto nimepitia kwa mabos wa mwanzo nisinge ogopa mm niseme ukweli ubaloz umenisaid sna cwatow shukran leo na kesho kiama 🤲🏻🤲🏻
Yaani siku zote maagent bibi ni mtihani sana kwa watanzania kwanza wanaroho mbaya wao ndio wanatukandamiza sana kwa mabosi wetu ila Mungu huyu siku ya mwisho maagent moto wao utakuwa mkali Sanaaa hasa huyo jokha unamuweka kaka wa tu miezi mitano bila hata sh 100 hayo utalipia kwa Mungu
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Hongera sana Zariam na Umependeza MashaAllah MashaAllah
Ongela dada zari kwa jitihada zako pokea maua yako❤❤❤❤❤
Pole kk pole sana kikubwa umerudi home karibu
Da zali mm sijapenda mlipo kuja omani hujazungu mza na wafanyakazi wandani na ukazungumza na wafanya biashara na kutangaza biasgsrazai9
Pole jmn kwa mtihani Dah!kuna watu wengine uongo upo kwenye Dam
Huyo Ajent ni mama nasikia anauza wadada kwenye madanguro.. Tatizo sio uarabuni tu nchi yoyote ukisafiri Bila vielelezo jiandae kupata changamoto
Duuuh majnt kiti chenu kipo waz !!!!! Tena nawapa maua yenu❤❤❤❤❤
Ukiwa Nje ya Nchi Ukapata Matatizo Sasa Ndiyo Uwende Embassy Halafu nje Unaikuta Hii Bendera👉🇹🇿 Chozi Linavyokumiminika 😭😭Mmmh Sijui Kwann inakuwa hivyo
Asalam kwakwel. mm globali ata wangefika ata majumbani lakini htr ata vijiji awakugusa
Pole sana kaka, Nyieee nyieee hawa watu uwiii mim nahisi ntaruka na mlango sipend kucheleweshwa mshahara wangu wee 😂😂 tena adabu iwepo pesa yangu ontime alhamdulillah 🎉
Kuwa na subra khabity
Tujifunze na hili, mtu yeyote anaetaka kwenda nje ya TZ kufanya kazi uhakika, asiondoke TZ kwa visa ya matembezi . Lazima iwe visa ya kazi na mkataba mkononi
Hotel Raha naifahamu. Waswahili humo kibao. Ila waarabu wa Oman BAADHI yao (narudia BAADHI yao) ni matapeli na waongo. Wanajifanya janja janja sana.
Pole kaka Edwin kwa mitihan ilo kupata
Pole kaka ten pole na mitihan umelud nyumban umepoteza mda umeludi nyumban una hata mia pole sana ndio maish
Kwa nini inarudi rudi same stroy
Duuh polesana broh
Mnajuana nyie mbona sisihamkuja kutuhoji😅
Huko mupendwa siyosehem yakutafutia maisha
Ubalozi wa Tanzania walikuwa wamkamate huyo Mama . kwasababu huyo Mama alikuwa anababaisha na muongo .watu kama hao ni mwizi na watawatesa sana watanzania.wana chukuwa advantage kwa watanzania wakarimu .
Sasa jichanganye nenda Airport na Visa ya matembezi 🏃🏃🏃
Shukulu mungu kiuno Bado kipo utaendelelea kukatika ujanja kiuno
Mpiga kinanda uyoo siyo dancer
Mimi nilitaman wakaongee na viongozi WA ubaloz Hasa Yule mama toka amekuja Huku mm sijawahi kuelewa tumebadilishiwa nn mm nahisi da zari alikuja matembez tu na kutangaza biashara hakuja Kwa Ajili ya wafanyakazi tungeona japo amefika ubalozin kupata viongozi
Ukifuata laana Utapata laana ndio hio
Pole lakini ndio mkome kufanya vitu ambavyo mungu hapendi yaani wewe mtoto wakiisilamu umemalizatu ibada ya kufunga yani inaonekana ulisafiri ndani ya Ramazani Yani watu wapo kwenye ibada yakufunga wewe unazatu iishe ukafanye maaswi hayo ndio malipo yake ilashukuru mungu ungefanyiwa jambopaya sijui ungemlaumu nani ila sikwamba nakuhukimu lakini nakukumbushatu pia najikumbusha nafsi yangu tumrudie Mungu tuache vitu vya laana visivyo mpendeza mungu mungu atujalie mwisho mwema assalamualaikum 🙏🇹🇿
Meisha mjua huyo jokha ni mtu mbaya basi msimfate tena meisha mjua
Ahh bwana nyie mnajuana
Ungefanikiwa kimaisha usingeita global tv kutoa malalamiko sisi watazamani tunapata faida gani si unafiki huo,,
Ila wewe shida ajakupata sasa kosa lipo wapi
Ungekuwa ww ungefanyaje acha umbumbavu usitukane mamba kabla hujavuka mto 😏😏😏
Wee nae acha kuongea ongea we unaweza kufanyishwa kazi bilamalipo na wenzie wakafungwa kwa mchongo wa boss unaacha familia yako arafu bila faida
Acha kuongea mambo usiyoyajua omba yasikukute tembea uone acha ushamba😮
Mnamficha muhalifu hamuoni mnazalisha matatizo jengine sio sawa
Simlienda wenyewe bwana huko oman
Kwani huyo jokha ndio nani mdudu wa sikio huyo 😢
Pole bro
Dogo acha ujinga wewe nenda nyumbani uombe musamaha mke watoto uwe na miladi mingi kama alikiba mjomba ulime nyanya acha maneno mama amekupandisha ndege umekula Bata usitowe sili maisha ya ugaibuni huku chipis beer bule kaeni kwenu
Dogo umetuzalilisha siwezi kuludi bira pesa
Wewe mushukulu dada huyo dada usitowe namba vijana wasumbufu
Kuroga bado kupo? Mbona m apoteza muda?
Sio wa madawa hawa
😂😂😂😂
Arafu vitu vingine mtu atakama ujui kuroga. Mtu kama uyoanastairi kurogwa
Sasa smtajee tu jamaan ili tusiingie mkengee
Jokha amewakaanga wenzie kwa tamaa
kiukweli mm global nimewakataa mulipokuja Oman mkaanza kuwa hoji wafnya biashara sio wafnya kazi yaani mmenitoa hama asa na kipind chenu 😂😂
Ww upo kazini je upo tayar waje kwa boss wako uhojiwe na kusema changamoto ulizonazo maana kila mtu anaogopa huwezi kukaa hiyo nyumba ukishatoa madhaifu yao usifanye masihara we😂😂😂😂
Wangeenda siku yaijumaz seti senta pale wange waojiwengi wangeambiwa ukweli.
@ kabisa kuna mashagala kibao
@@OfficialA83640 mm peke yke nisiwe mnafiki nishi vzuri ila changamoto nimepitia kwa mabos wa mwanzo nisinge ogopa mm niseme ukweli ubaloz umenisaid sna cwatow shukran leo na kesho kiama 🤲🏻🤲🏻
Watafute wafanyakaz sio wafanya biashara@@OfficialA83640
Hawojama nihovyooooo
Huyo alikuwa ni tapeli kabisa mwizi huyo mama wa msimbazi?
Huyo aliewasumbua ni Jokha mchaga wa Moshi sijui kwa nini kawafanyia wa Tanzania wenzake unyama huu.
MNAONDOKA KWANJAA ZENU YAKIWAKUTA MLETE FUJO MITANDAONI KWENDENI HUKO
Nani alikuwa bosi wake wekeni number yake na jina la huyo bosi wake
Jokha mchaga anaitwa
Sikuwahi msikia wala mfahamu huyu mtu
Yaani siku zote maagent bibi ni mtihani sana kwa watanzania kwanza wanaroho mbaya wao ndio wanatukandamiza sana kwa mabosi wetu ila Mungu huyu siku ya mwisho maagent moto wao utakuwa mkali Sanaaa hasa huyo jokha unamuweka kaka wa tu miezi mitano bila hata sh 100 hayo utalipia kwa Mungu
Mgemrudi narialimgeufata
HAKUNAJIPYA