Mnaongea Tu, Njooni Kwenye Uhalisia Mfano Shule X Mkuu wa Shule Ana Masomo 9 walimu Wapo 5 Mwalimu 1 anafundisha Std 1&2 na Hao 4 waliobakia ndo Wanafundisha Kuanzia Std 3 had 7. Siasa ndo imekuwa ikiharibu Kada ya Ualimu
Semeni kama yamewashinda mambo , walioko kazi kwa sasa unawaweka kundi lipi ? Mbona kitu hakihitaji kulamaba maiki hiyo elimi huyu anazidi kuiharbu kabisa
Hakika Tanzania Bado Tunafikira Finyu Licha ya Kuwa na wasomi lakini Bado wamekuwa na Ujinga Sasa Vyuo Vinafanya Kazi Gani? Kwann Vyuo Vinatoa Mitihani? Hakika Bado Tunahitaji Watu Wasome Watoke kwenye Ulimbukeni.
Uongo et kazi ya Elimu ni ufunguo wa maisha.
Wekeni somo sasa la Ufunguo wa maisha
DHARAU.
Tupeni hizo module na vituo vya kupigia pepa hadi kufuzu ualimu hatujabahatisha leteni hizo pepa
Mnaongea Tu, Njooni Kwenye Uhalisia Mfano Shule X Mkuu wa Shule Ana Masomo 9 walimu Wapo 5 Mwalimu 1 anafundisha Std 1&2 na Hao 4 waliobakia ndo Wanafundisha Kuanzia Std 3 had 7.
Siasa ndo imekuwa ikiharibu Kada ya Ualimu
Mmmh! Tanzania yangu! Kila mtu akipata pipi anataka aonekane jinc anavyoiramba, tutafka tu
Mitihani ya chuoni haina maana Tena hahahahhahahhaa
Kiundwe chombo cha kusimamia waalimu kama zilivyo taaluma nyingine kama sheria, wahasibu n.k
Dah😢
Mmmh Tz yangu
Toeni ajira mtupe hiyo mitihani watu tupige msitutishe hahahahaha
Very sure
Tunawasomi wengi saana lakini bado niwavivu wakufikiri.sasa hapo nini maana ya vyuo vya ualimu.Siasa ndiyo inaharibu sector ya elimu
😂😂😂😂😂 aise paper tena?
Sasa si mfute vyuo vya ualimu, mwalimu toka 2015 Hadi Leo 2024 hajaajiriwa, Sasa huo mtihani si ungeletwa mwalimu akiwa chuo?
😂
Semeni kama yamewashinda mambo , walioko kazi kwa sasa unawaweka kundi lipi ? Mbona kitu hakihitaji kulamaba maiki hiyo elimi huyu anazidi kuiharbu kabisa
Hakika Tanzania Bado Tunafikira Finyu Licha ya Kuwa na wasomi lakini Bado wamekuwa na Ujinga
Sasa Vyuo Vinafanya Kazi Gani?
Kwann Vyuo Vinatoa Mitihani?
Hakika Bado Tunahitaji Watu Wasome Watoke kwenye Ulimbukeni.