JESHI LA POLISI DAR LAWASHIKILIA WATU 27 KUTOKA SUMBAWANGA NA MOROGORO KWA UTAPELI WA MITANDAO.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 май 2024

Комментарии • 22

  • @mzeewajambo8293
    @mzeewajambo8293 27 дней назад +3

    Hongera kwa kazi mzuri mliofanya kwa Kweli hao matapeli wanatusumbua sana nakupengesa sana

  • @lukumanisharifu
    @lukumanisharifu 26 дней назад +1

    Ongera sana mkuu hii ndio watu tunataka miaka30 au maisha wanatuhujumu sana,safii sanaaa

  • @jamaa2760
    @jamaa2760 26 дней назад +2

    Kazi Nzuri KAMANDA,,

  • @seifali7406
    @seifali7406 27 дней назад +2

    Kuna wengine wanatumia number za kigeni sku hizi ,hongera mkuu kwa kazi nzuri

  • @its.ramadjr751
    @its.ramadjr751 26 дней назад +3

    Ifakara ni wahuni Sana asee

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 27 дней назад +3

    Kesi za Ulawiti zimekuwa nyingi mno , na watuhumiwa wakifika mahakamani tu wengi Huachiwa

  • @abrahammwambije2769
    @abrahammwambije2769 25 дней назад

    Taarifa ziki tolewa police zina puuziwa sana hasa kwa baadhiyao

  • @kiboshokiboshomungumkubwa7789
    @kiboshokiboshomungumkubwa7789 26 дней назад +1

    Safi sana kamanda

  • @user-fk4st8qj2k
    @user-fk4st8qj2k 27 дней назад +2

    Wanakamatwa wengi lakini hatuoni kuwa wamepewa adhabu maana tunaona wanarudi mitaani na kuendelea na business za wiki hizi.Itungwe sheria wakikamatwa washitakiwe kama wahujumu uchumi.

  • @charlesmnuo3292
    @charlesmnuo3292 27 дней назад +1

    Tunaonyeshwa hapa simu tu wanazotumia kutapelea watapeli hatuonyeshwi wala adhabu wanazopewa hatuzioni

  • @shivobs4485
    @shivobs4485 26 дней назад +3

    Sumbawanga ndio kazi yao sina pingamizi

    • @gilbertkalanda9354
      @gilbertkalanda9354 26 дней назад +2

      Yes wamepanga nyumba majengo kule na watu wanajua , ni makundi ya vijana Wengi niliona mwaka Jana nilishangaa

    • @shivobs4485
      @shivobs4485 25 дней назад

      @@gilbertkalanda9354 MBEYA wapo sehemu kibao maeneo mengine ni jirani na vituo vya police na hakuna wanacho fanywa

  • @alonnantala4497
    @alonnantala4497 26 дней назад +1

    Kiukweli sumbawanga inashika namba moja kwa tz

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 26 дней назад +1

    Mnyau nyau😮

  • @truelove2028
    @truelove2028 26 дней назад

    ifakara nako kuna wajanja

  • @user-mn1nd5qr4v
    @user-mn1nd5qr4v 25 дней назад

    Wahukumiwe kunyongwa

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 27 дней назад +1

    NôMaaaa😢😢😢😢

  • @user-mn1nd5qr4v
    @user-mn1nd5qr4v 25 дней назад

    Wafungwr

  • @BoydSande
    @BoydSande 10 дней назад

    We sema wanyongwe afu kesho na keshokutwa unakuta mdogo wako nae ni tapeli au ndugu yako utajiisije

  • @johnmsihili2508
    @johnmsihili2508 24 дня назад

    kunalink inatembea ya kuombea kazi ya upolisi ifatilieni muone kama ni sawa maana haina sifa zinazohitajika katika maombo haya