Abdul mujib shida yenu mawahabi ni kupinga jambo msilokuwa na ujuzi nalo,na bahati mbaya hata mkioewa ushahidi bado mnabaki kuleta vikwazo juu ya ushahidi mliopewa,kwa kukusaidia kitafute kitabu kiitwacho mjadala baina ya vijana wa twariqa kadiriya na mawahabi wenzako ukikipata nenda kwenye ibara inayozungumzia dhikri saadiya nimiongoni mwa maswali yaliyoulizwa na mawahabi wenzio na walishindwa vibaya sana,munaqasha huu ulifanyika tandika msikiti wa chihota,
Acheni uzushi jamani

Wewe unae Sema uu niuzushi wewe sio mzima wewe nichizi
Wewe ndomzushi hihi ndodini.sasa.yani.wewe unahikiata zikili