FILAMU DK 3 MUNATUCHOKESHA HATA HAKUNA MTU ANAKIELEWA KAMA HAMUWEZI EKA FULL WEKA BASI HATA DK 20 MTU AELEWE KINACHO ENDELEA SASA DK TATU TU UTADHANI MTU ANAPIGA SIMU YA HOFISINI HATUELEWI , MUNAPOTEZA WATEJA JIONGEZE SIKILIZA NA MAOMBI YA WANAO ANGALIA, HUDUMA BORA NI KUWASKILIZA WATEJA MUBADILIKE
@@lucyhonore9050 asante Lucy honore kiswahili laughs yangu lakini unajua me mtu wa Zanzibar asa sjajua ilo neno wanatumia watu wa tanzania au lipo mote ila asante kwakunielewesha
Tuwekeni full jamani acheni kutuonjesha❤
I love the song but sijui naeza pataje
Kazi nzuri ajabu
Nyie mna roho mbaya sanaaaaaaaaa yaani hata kutuwekea hamtaki
Hongela
We need all episode please
Mtuwekee kwa episode mnatuchanganya
Jamani inapatikana wapi hii movie kila siku mnatuwekea mdogo mdogo sio vizuri jamani
Yaoneshwa kwa gotv/dstv channel 4 maisha magic east
@@mysaumar6382 kwenye simu haifai Au nijulishe nifanyeje ili nipate na mimi ndugu yangu
Mysa Umar siku gani na sangap
mko vzuri mnazingua mfululizo wengne htuna Tv
Mmnaboa sna
Tuekeeni movie kamili jamani movie nzuri lakin episode zanichanganya sana
Wauuuuuuuu nzuri saaana
Jamani,mbona razia ni kama namfananisha na shumileta,au macho yangu
Sie wengne hatuez miliki dstv tuekeen vipande vizima humu youtube
Mbuni Tv Niliona tangazo lake KT24 sijafatilia lakin saa 12 jion
@@mwanaiddaud4224 hio KT24 huku Zanzibar hatuijui sasa mie mpaka niende kwa jirani kumkera aniekee maisha Magic est ndo nione duuh napata tabu
pole jaman nunua dst tu
@@mwanaiddaud4224 ahahahahaaaaa kununua sio shida shida kukilipia kila mwez mwanaid ndomana nkasema sie wengine atuezi miliki dstv
Mbuni Tv 😂😂😂😂😂Kumbee basi tumalize band kwa hizi clip tu🙌
FILAMU DK 3 MUNATUCHOKESHA
HATA HAKUNA MTU ANAKIELEWA
KAMA HAMUWEZI EKA FULL WEKA BASI HATA DK 20 MTU AELEWE KINACHO ENDELEA SASA DK TATU TU UTADHANI MTU ANAPIGA SIMU YA HOFISINI HATUELEWI , MUNAPOTEZA WATEJA JIONGEZE SIKILIZA NA MAOMBI YA WANAO ANGALIA,
HUDUMA BORA NI KUWASKILIZA WATEJA MUBADILIKE
Eeeeh vp jamani tuekeni full episod
Movie nzur ila mbona hakuna namba tutajuaje ipi inaanza
Ileteni hii movie yote kwenye RUclips please 🙏
Jamani kuna neno nimeliskia slijui maanaake kubeza maanaake nini
Yahya Ibrahim just kama kudharau
Yahya Ibrahim kupeza
Kama kumsusa mtu vile
@@lucyhonore9050 asante Lucy honore kiswahili laughs yangu lakini unajua me mtu wa Zanzibar asa sjajua ilo neno wanatumia watu wa tanzania au lipo mote ila asante kwakunielewesha
mbonaaaaaa😢
Jasiri amwaya jasho Kwa mapenzi
Maya
Tuwekeni full jamani
Kwani hamna tv
Wapumbavu sana nyie hebu mtuondolee upuuzi kama hamuwez weka full bora msipost usenge huu
Sasa mbona muna tuinjoy na hii movie vipande vipande
Tamthilia nzur tatzo Mwendelezo ad uone kweny TV ndo unaelewa
Tupee yoote pls
Wekeni kamili tafadhali
Kwan inAonyeshwa sangap na siku gan
Inaonyeshwa saa mbili kamili
Duuh tyuwekeen full wajameni
Ipo vizuli ila munazinguwa
Kwani hii funzi iko upande gani wa kenya
Upande wa bodo
Cjui bodo iko upande gani
Iko county gani
Wanatuzingua to kwann unatuwekea hivi
Patamu hapo Jini Raziya Kesha fika,Tupeni jamani.
Tuwekeen full movie
Muwee mnawekaaa fulll
Razia...NG'MBENI SECO..SKULMENT AMA
Tunaomba muendelezo
Ha ha ha
Jasiri ni mbongo?
Ndio
Nimekupeza sio kibeza maanake nini
Yahya Ibrahim kumiss mtu
maana yke nmekumiss
Karembo wewe Ni mmbombasa haswaaa
Bongo kuna nguva
hii ni ya Kenya
Ndio hawatupei yote
The annoying one...
Wekeni full jamani nn shida