SHILINGI Ep 03

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии •

  • @LiBon-z1c
    @LiBon-z1c 8 месяцев назад +2

    Amazing, watching from Kenya.

  • @IsaacRama-f4n
    @IsaacRama-f4n Год назад +3

    Nmeikubali

  • @AbeidOmar-xc5nl
    @AbeidOmar-xc5nl Год назад +3

    Madebe kk hii filamu nzuri Sanaa kaza msuli

  • @IsmailMadrelya
    @IsmailMadrelya Год назад +3

    😂😂😂et bint yako hajajifungua mtoto,,Doctor we ni mnaa sana

  • @BiisheBugao
    @BiisheBugao Год назад +4

    Mapema ndio best movie nzuri sana nawapenda mno

  • @biommy6700
    @biommy6700 Год назад +3

    Nzuri iyoo can't wait next aisee

  • @OmmyManengelu
    @OmmyManengelu 8 месяцев назад

    Hongera. Sana. Broo. Ww. Ndio. Kanumba. Namba. 2

  • @ggvv9970
    @ggvv9970 Год назад +3

    Shilingi noma sanaaa😂😂😂

  • @maburudani1234
    @maburudani1234 Год назад +2

    Nammiss mzee jengua😂😂😂😂❤❤❤❤❤😊

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 Год назад +1

      Hata sijuwi kwanini vitu vizuri havidumu😢😢😢😢

  • @kamarhelo
    @kamarhelo Год назад +3

    Jamani fungafunga katokea wapi tena mbona mwanikosha mie uwiiiii

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 Год назад +3

    Mungu akurehemu mzee jengua we still love u

  • @Gift-kijiti
    @Gift-kijiti 6 месяцев назад

    Ndio nimefaulu kutegeneza sim😢yangu ilikua mbovu😢wenzangu mlimaliza etiee😮

  • @fatimafatuma4848
    @fatimafatuma4848 Год назад +1

    ❤❤ nawapenda sana

  • @kavulumay9460
    @kavulumay9460 Год назад +1

    Nimeikubali🙌🙌🙌

  • @SalumAbeidy
    @SalumAbeidy Год назад

    Ndo matatizo haya asa maana kuoa kwamtu tajil hahaha ndo hvy

  • @hadijamwakare5713
    @hadijamwakare5713 Год назад +2

    Hongera sanaa move nzuri ❤❤❤

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 7 месяцев назад

    Munvi nzr san hongeleni

  • @EdsanMedady
    @EdsanMedady Год назад +1

    Nzuri sana,tuomba muendelezo

  • @ancillarneema
    @ancillarneema Год назад +2

    Jaman nachanganyikiwa aky uyu Mzee funga funga si alikufa jaman

  • @johnurio1900
    @johnurio1900 Год назад +1

    Huyu dada ndio auchukulii serious

  • @jamesmutali4356
    @jamesmutali4356 6 месяцев назад

    watching from butali chegulo ward malava kaunti ndogo

  • @yusufmsaa5693
    @yusufmsaa5693 Год назад +2

    Piga kazi bro yani wewe ongeza kila wakati vipande vijae uku

  • @jamesmutali4356
    @jamesmutali4356 6 месяцев назад

    jaymoh mtoto wa shamgaz live from timbito malava kenya

  • @KubelaJuma
    @KubelaJuma Год назад +1

    Hii nayo ni hatar

  • @Wanyuztz
    @Wanyuztz Год назад +2

    😂😂😂apa kwanza ncheke binti Ako hajajifungua mtoto

    • @epmarkchami2536
      @epmarkchami2536 Год назад

      Ata me nicheke kwanza bint yako ajajifu ngua mtt kajifungua mapacha

    • @NicodemusKithi-xe7mg
      @NicodemusKithi-xe7mg Год назад

      Big up madebe💯🔥🔥🔥natizama kutoka Gulf..

    • @fatumabakari2640
      @fatumabakari2640 Год назад

      ​@@NicodemusKithi-xe7mgSI wengine tuna rudia tu tuliona kwa sinema zetu

  • @rehemamaduhu5642
    @rehemamaduhu5642 Год назад +1

    Na jengua yupo kumbe ni ya muda mrefu

  • @yasmeen3429
    @yasmeen3429 Год назад +2

    Hongereni sana wazee ❤❤❤

  • @Emanueljanuary
    @Emanueljanuary 6 месяцев назад

    Mnazingua sana mbona mmeifungia kudownlod sasa ndio pigo gani

  • @ElkanaKagunda-t5o
    @ElkanaKagunda-t5o Год назад

    Sawa

  • @Jajakanjaniri
    @Jajakanjaniri Год назад

    Yanii Hiyi Movie inaniumiza. loho Yangu Kbx 😭😭😭😭😭 Muna Nikumbusha Mbari Sana Kbx Eeeeeee Mungu Wangu Nataka Papayangu Umupe Maishaa Marefuu

  • @mbembefilms5379
    @mbembefilms5379 Год назад +1

    Kaz nzurii sanaaa

  • @aminamwanzala2183
    @aminamwanzala2183 Год назад +2

    Wooow 🥰🥰😘

  • @hassanabdul7141
    @hassanabdul7141 Год назад +1

    Mmefeli sehemu moja2 hamjaweka sehem ya kudownroad

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 Год назад +1

    Uyu drtk anaboa ss kusema ajajifungu mtt ndo nn nilishtuka nikajua kajifungua jiwe

  • @Rajabusaidi-k8l
    @Rajabusaidi-k8l Год назад +1

    Nimeipenda

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Год назад +1

    Acheni nitafute hela jamani nazijua dharau kama huna kipato sasa hapo madebe angekuwa na hela hata kama kasaliti angepewa tasrifa

  • @jumaantony8087
    @jumaantony8087 Год назад

    mjini vp leo hàmtuonyeshi mbn

  • @alonda123
    @alonda123 Год назад +1

    Huyu mzee bado yupo?au nimdogo wake

  • @Aneduu254
    @Aneduu254 Год назад

    Maskini kuoa Kwa tajiri aki Dunia ni dhuhala😢😢😢

  • @maurinenarotso2193
    @maurinenarotso2193 Год назад +1

    Nimeipenda sana next plzzzzz

  • @ancillarneema
    @ancillarneema Год назад +2

    Sasa mtoto unapeleka wp madebe😂😂😂

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Год назад +1

    Jamani muosha magari sio mtu?

  • @Farthun
    @Farthun Год назад +3

    Ila wazazi wengine hawatendi haki kwa watoto wao 😢😢😢😢

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 Год назад +1

    Mzee jengua kz zako zidum milele❤❤❤❤

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 Год назад +1

    😂😂😂😂😂jmn

  • @afriexpertfashion3584
    @afriexpertfashion3584 8 месяцев назад

    Hey hili ni bonge la movie na pia nimependa quality ya video wanayo tumia management wanitafute niwaunge mkono

  • @muniraahmedawadh2619
    @muniraahmedawadh2619 Год назад +1

    Nice madebe

  • @ancillarneema
    @ancillarneema Год назад +1

    Santha wee wakwanza npen like zote plz...asanten wahusika movie tamuuuuuuu🤸🤸🤸

    • @Farthun
      @Farthun Год назад

      😂😂😂😂😂😂😂 Mashaallah hongera zako

    • @Farthun
      @Farthun Год назад

      Asante dj kwamuendelezo

    • @rehemaabdullah7606
      @rehemaabdullah7606 Год назад +1

      😂😂😂😂😂

  • @zulfayusra8747
    @zulfayusra8747 Год назад +1

    Mzee funga funga amerudi tna jamani

  • @MatesoNtumba
    @MatesoNtumba Год назад

    Jaman madebe umenikosha mno mm

  • @jasmineedamu6089
    @jasmineedamu6089 Год назад +2

    Mtu alietoka kujifungua hawezi kuita kwa nguvu wala kuwa na nguvu ivo😂

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Год назад +2

    Hongeren sana madebe hujawahi kosea kazi mzr sana❤❤❤❤

  • @samsonbaruani865
    @samsonbaruani865 Год назад +2

    Madebe hajawahi kuniangusha hata kidogo

  • @mulundi
    @mulundi Год назад

    Yan iyi kitu noma inabamba kibabe lkn miwakwanza t nyipen like zangu nikauze

  • @saidhamisi8986
    @saidhamisi8986 Год назад +2

    ❤❤❤❤❤❤🎉

  • @maburudani1234
    @maburudani1234 Год назад +1

    ❤❤❤🎉🎉

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 6 месяцев назад

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SeifMkaranga-sv6ss
    @SeifMkaranga-sv6ss Год назад +3

    Madebe tunaihitaji mkwaju muendelezo wake

  • @zena6203
    @zena6203 Год назад

    Hospital zingine nikubwa ilazakishambaaaa tu

  • @BiisheBugao
    @BiisheBugao Год назад +2

    Next episode plzz yani inabamba ajabu 💋👌👌

  • @mfukojr
    @mfukojr Год назад +1

    Rip mzee we2

  • @rizikikazi3221
    @rizikikazi3221 Год назад

    Funga funga si ni marehemu

    • @abdihamzah
      @abdihamzah  Год назад

      Mungu ailaze roho yake mahala pema. Hii ilikuwa moja ya kazi zake za mwisho

  • @ngova12345
    @ngova12345 4 месяца назад

    Nmi

  • @rozakita7506
    @rozakita7506 Год назад +1

    ❤❤❤❤

  • @tunumussa945
    @tunumussa945 Год назад +1

    4 ep

  • @NuruNoor-u5c
    @NuruNoor-u5c Год назад

    Catamusikyawakabo

  • @alonda123
    @alonda123 Год назад

    Mbona alishafariki

  • @nailaty
    @nailaty Год назад

    Kwani hii movie ni marudio au huu mzee jengua si alisha fariki?

    • @winniembodze5378
      @winniembodze5378 Год назад

      Apo ndo sielw 😂

    • @babycappuccinocappuccino
      @babycappuccinocappuccino Год назад

      Hizi movie zinakuwaga za muda zinalushwa kwenye tv uko baadae ndo wezi wanaiba wanaleta youtube na sis tunaona mana wakilusha pale pale za moto moto wanashtakiwa na wenye movie zao so ukiona mtu alikufa na yupo hapa usishtuke

  • @oscaroscar2555
    @oscaroscar2555 Год назад +1

    Mali yamasikini ni mtoto na mali ya tajili ni pesa kunautofaut mkubwa sana yan ni kuta mbiliaziwez kuingiliana mpaka dunia inaisha😭😭😭😭😭🙏🙏

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Год назад

    Kmb mchezo aliucheza baba

  • @ahmedsdk6736
    @ahmedsdk6736 Год назад

    Kwa kuiba mtoto umefanya Movie kua ya hovyo ukweli usemwe hakuna mwenye maisha ya hivyo akaenda mtoa mtoto kwenye raha akamleta kwenye shida Dam n Dam lazima wakutafute wakikua..!! Ww sio Mtunzi Mzuri n sifa unapewa 👎👎

    • @mamasalhat
      @mamasalhat Год назад

      Kwa kukosoa Tu mupo vzr sasa wachanganyikiwe VP wakati wanajua alio muiba mtoto ni Baba mtu sasa wamsake VP na polisi juhudi unaziona ebu acheni kukosoa ebu chezeni nyie move zenu tuone

  • @Aneduu254
    @Aneduu254 Год назад +3

    Maskini kuoa Kwa tajiri aki Dunia ni dhuhala😢😢😢

  • @ElkanaKagunda-t5o
    @ElkanaKagunda-t5o Год назад

    ❤❤❤🎉🎉