Wakadinali -"Morio Anzenza" Ft Dyana Cods (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024

Комментарии •

  • @Wesley_Kibande
    @Wesley_Kibande 3 года назад +962

    Ni mimi tu ndio hurudi uku kuskiza hii song ama tuko wengi? 😊 2024 inaelekea kuisha and I am back!

  • @ochungulo_family
    @ochungulo_family 5 лет назад +749

    Nyi wasee ni wanoma Sana🔥🔥🔥

    • @Wakadinali
      @Wakadinali  5 лет назад +257

      Pia nyinyi sisi wote

    • @ezekielk7694
      @ezekielk7694 4 года назад +93

      "Sisi wote"......Napenda io...kuna siku youths wataungana....

    • @clintonmbero
      @clintonmbero 3 года назад +20

      @@ezekielk7694 alaa king umekubaliana na hii maneno??

    • @robooskeme1336
      @robooskeme1336 3 года назад +2

      Mpige collabo

    • @harveymurimi8245
      @harveymurimi8245 3 года назад +9

      @@Wakadinali This comment is so underrated
      There is so much respect in it

  • @josephnduati4561
    @josephnduati4561 3 месяца назад +70

    Likes Kwa Mwenye amerudi apa kuskiza Dyna cods akiroga after set it

  • @krystalkubai9378
    @krystalkubai9378 4 года назад +1266

    This song is highly underrated, it deserves more recognition, 🙌🏼

  • @karimkib8693
    @karimkib8693 3 месяца назад +10

    Dyana Cods kila mtu hukuwa na time yake ya kushine ikijipa she is🔥🔥🔥

  • @lifewithbambi8635
    @lifewithbambi8635 5 лет назад +1562

    This track hits differently when yoh high❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🚬

  • @sammygathaiya2639
    @sammygathaiya2639 5 лет назад +798

    Wakadinali...but verse ya Mad Munga imeua. Wapi likes bana

  • @sarahkiboi5414
    @sarahkiboi5414 5 лет назад +448

    "Hii ni ya Gikomba na ni Fendi" 😅
    Scar though!

  • @solomonwise8126
    @solomonwise8126 10 месяцев назад +20

    wakadinali can sing for a million years but theyll never sing a better one than this likes for this song chemenii

  • @siraji23
    @siraji23 10 месяцев назад +17

    This is the greatest Wakadinali song ever 💯

  • @CapitalFMKenya
    @CapitalFMKenya 5 лет назад +309

    🔥🔥🔥🔥 Tune in on #Hits984 (Mon - Thur 7-10pm) and catch Morio Anzenza on #TheNewWave #PlayKeMusic

  • @stevemtour
    @stevemtour 5 лет назад +327

    Reputation ni same Gang ingemblain ningekuja na ndeng'a
    I can't believe this day, Nilitoka jail nikakujiwa na dem
    Hii ni ya day ones pekee Morio anzenza
    Madenge madingo, plus mapinji Wa Mukuru kwa Njenga
    Reputation ni same Gang ingemblain ningekuja na ndeng'a
    I can't believe this day, Nilitoka jail nikakujiwa na dem
    Hii ni ya day ones pekee, Morio anzenza
    Madenge madingo, plus mapinji Wa Mukuru kwa Njenga
    Munga
    Mi huzoza mamzinga, Zile kali kali kama shuzi za simba
    Mnabonga mtanishika shati Kwa keja ya mabati, Mmejificha wapi?
    Mi huwanga na dinga, Lakini bado mi huenda rotejo huko Mtindwa
    Huezi nitishia life, Mi nilikuwa na du street na patipati
    Nyi mkivishwa nappy
    Mi ni Rong Rende boy machachari, Say it to my face unabeef kina nani?
    Oh my gosh samahani, mitishamba ndio mboga plus ugali flani
    Hizi side miracle hazifanyikagi, Msee aliniroga aliniacha ka amenilaani
    Rap game haitaki chali, Na usishangae mbona, Ju ni mimi nimei-marry
    Lay down flat, stay on your lane Incase haujajuwa utapepetwa
    Serial killer hatu-fightingi terror, In short tume upgrade weapon
    Fake ass niggas, back biting haters, Kazi ni ku-update status
    Wivu juu ni si paper chasers Kwa kila bus station, BS hadi Afya Centre
    Mi sichezi wazeiya, Mi ukinicross utagenya
    Kuna dem anashinda akiteta, Akikuja asipate mbogi kwa keja
    Fine gyal lakini huwezi sema, Pia yeye ni jeshi ya kusumbua feds in Kenya
    Mayengs hunipenda, Shori denga anataka kuchukua selfie tena
    Sisi zetu ni hustle, Acha tukuwachie we king castle
    Managerr alirudishwa home Ju promoter alidai kumeet doshi in person
    Niko kuber na mandom, eeh Pale Instagram I wrote this caption
    Munga mi hutembea na machrome Ata nisipo-act Utavuliwa na kovi vihasho
    Scar
    Siendi, siendi, Waambie watafute plan B
    Ndio nikuje watume kwa Pay Bill, Nyi mapromoter siwapendi
    Shughli kubwa huku spending, Hakuna kitu fupi ka wikendi
    Ongea bas, what you can't be
    Appearance, 10Gs
    Nikizoza hawapendi, Hii ni ya Gikomba na ni Fendi
    Huku ni kubaya nimeona mengi, Mpaka manugu malaya washenzi
    I never knew they will play me, Namaanisha kwa radio na telly Eey
    Revenue looking crazy, Nitakodesha ka Benzo na Bently
    You talk much hautendi, Youth fund iko pending
    You fuck niggas just can't be Serious, bullshits trending Eey
    These old niggas can't bear me, These new niggas ain't family aah
    These old niggas can't bear me, These new niggas ain't family
    Nakuwanga roho, On the low but naeza burn na Boy
    Kidogo nikang'e banga wine, Nikiwa mtoi nilikuwa na gun za toy
    Dyana Cods
    Obe babe (yeah)
    Obe babe si kidogo ni (Mmh)
    Ka ni mbali mi nafika, sijali na hali Mi mkali niko ndani
    Ndani Kamali nafika bei Bila chali, nafika bei till Diani
    Mtoto fulani bei kali Lakini rhyme flow fiti ka Yeezy
    How many times imma tell you this, I need a nigga like Kanyari
    He making that money, He making a mummy go low Ka chasing a kulo
    Feeling da lingo feeling da brew (Huh), The brewery Bella Rosa
    Cheki manzi bila ring, Jegi fiti bila fake Wanadai kunifeel
    Obe baba hii ni real, Obe baba hii na kill Aki ya nani na kill
    If ulionaga kwa misitu Panda miti bila kitu eey
    Listen Ati ma slay ni wale wa Obe baba bado mimi ndo ule wa Shika hiyo ladha
    Taste fiti kama Lager, Haga seti kama ladha, fika hiyo bei
    Reputation ni same Gang ingemblain ningekuja na ndeng'a
    I can't believe this day, Nilitoka jail nikakujiwa na dem
    Hii ni ya day ones pekee, Morio anzenza
    Madenge madingo, plus mapinji Wa Mukuru kwa Njenga
    Reputation ni same Gang ingemblain ningekuja na ndeng'a
    I can't believe this day, Nilitoka jail nikakujiwa na dem
    Hii ni ya day ones pekee, Morio anzenza
    Madenge madingo, plus mapinji Wa Mukuru kwa Njenga

  • @KevoYardie99
    @KevoYardie99 5 лет назад +321

    Ukidislike hii ngoma unacomment na LOCATION tuje kutembea.

    • @mulwakelvin7479
      @mulwakelvin7479 5 лет назад +13

      Yeah tutembee tuongee mawili matatu

    • @winniewainaina2862
      @winniewainaina2862 5 лет назад +6

      😂😂😂😂😂😂😂😆

    • @tymilyfe
      @tymilyfe 5 лет назад +4

      Ahahahaaa... word!

    • @kalash9411
      @kalash9411 5 лет назад +16

      Na madenga madenge madingio plus mapinji wa mukurukwa njenga🤣🤣

    • @kaydinash
      @kaydinash 5 лет назад

      Hehehe

  • @edgarshikokoti2861
    @edgarshikokoti2861 2 месяца назад +9

    kumbe mboga flani ni MISHEVEVE☘️ munga saw this coming in 2024

  • @theleading1655
    @theleading1655 4 года назад +336

    1 million views finally. Nilijua itafika, love ina spread kama wildfire. 2 more years na Wakadinali will be the official face of hardcore rap in Kenya.

  • @lendmeabook8216
    @lendmeabook8216 5 лет назад +1092

    Like ya scar please please nampenda buree. Guzisha apo tu
    👇👇👇

  • @amoskamdoo9834
    @amoskamdoo9834 5 лет назад +135

    "Never knew that they'll PLAY me, Namaanisha kwa radio na Teli"

  • @qwincemusic
    @qwincemusic 5 лет назад +341

    Y'all talking about Scar, yes he's damn amazing, but hamjaskiza huyu dem ama 🤔. She's damn lit 🔥 🔥 🔥. Nipeni likes zake

    • @_RatBastard
      @_RatBastard 5 лет назад +1

      Qwinceempire Ent amespit flames 🔥 no lie

    • @TheMoe2310
      @TheMoe2310 5 лет назад +7

      "Obe baba hii ni real, Obe baba hii na kill Aki ya nani na kill
      If ulionaga kwa misitu Panda miti bila kitu eey
      Listen Ati ma slay ni wale wa Obe baba bado mimi ndo ule wa Shika hiyo ladha
      Taste fiti kama Lager, Haga seti kama ladha, fika hiyo bei"
      🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯

    • @Sharikshariksharik
      @Sharikshariksharik 5 лет назад +3

      @@TheMoe2310 Mi nimekua niki dhani ni Huba bubba😂

    • @Jamiekanyi
      @Jamiekanyi 3 года назад

      You damn right🔥 she's spitting some real vibes

    • @urghsean606
      @urghsean606 3 года назад

      She spitting 🤟🏽💯
      Alafu she so hood like WOAH‼️

  • @yvonnem.m6607
    @yvonnem.m6607 4 года назад +25

    Twitter imenileta hapa nijue ni kina nani wanaitwa wakadinali😄 and ... i love it!

  • @ericksonombisa772
    @ericksonombisa772 4 года назад +6

    Huyo dem anachana kuliko ata msomali 🔥🔥💯

  • @rubythare7077
    @rubythare7077 5 лет назад +179

    Encore Encore!! Huyu producer pia maze apewe standing ovation! Beat imekubali. #KunaSikuYouthsWataungana

    • @lusarshameli7057
      @lusarshameli7057 5 лет назад +3

      Ako sawa...but anaeza improve on mastering. Kuna vile vocals ziko suppressed sana.

    • @kim1570
      @kim1570 3 года назад +2

      Kabisa!

    • @b.k.5659
      @b.k.5659 2 года назад

      Alex Vice ama?

  • @royandasilva9090
    @royandasilva9090 5 лет назад +205

    Nakuanga raw, On The Low but naeza Burn A Boy 🔥🔥

  • @doomedcrecent
    @doomedcrecent 5 лет назад +70

    Mnabonga mtanishika shati kwa keja ya mabati, mmejificha wapi 🤷🏿‍♂️... 🔥 🔥 🔥 #RONGHIT

  • @dfw_jerry
    @dfw_jerry Год назад +8

    2:43 Nakuanga RAW, on the low naeza burn na boy ( Burna boy)🔥🔥🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @swatkariuki6594
    @swatkariuki6594 4 года назад +14

    kuna dem anadhinda akiteta, akikuja asipate mbogi kwa keja..Mad Munga🙏🙏🙏

  • @royandasilva9090
    @royandasilva9090 5 лет назад +71

    "Hii ni ya gikomba na ni Fendi....
    ...I never knew they would play me, namaanisha kwa radio na teli.." SCAR!! 🔥🔥🔥

  • @juliuskilonzi4421
    @juliuskilonzi4421 5 лет назад +55

    Nakuanga raw, On The Low but naeza Burn A Boy 😈

  • @lilfreddy5959
    @lilfreddy5959 5 лет назад +124

    Munga went in too hard😩😩and the flow

    • @justinngatho3281
      @justinngatho3281 3 года назад +4

      haha hii verse ya munga ni hatari bana shieet

  • @johnmwai9450
    @johnmwai9450 3 года назад +76

    Let's all agree here that Domani Munga here executed his verse in a tupac/BIG kind of way

  • @fisherman8265
    @fisherman8265 4 года назад +258

    This is the song where you just love Domani's uniqueness😩

  • @tylerswabrie2376
    @tylerswabrie2376 5 лет назад +53

    Nipeeni likes za Dyana Codz😂.. give this guys million views fam😎

  • @qs.emmanuelopondo3182
    @qs.emmanuelopondo3182 5 лет назад +641

    I am not from Kenya.... I do not understand what they are rapping about.....
    Lakini wasee tuseme ukweli.... Hii ngoma ni fire ta bom!!!

    • @floydmayy9138
      @floydmayy9138 5 лет назад +31

      😂😂😂u had me in the first half

    • @poru160
      @poru160 5 лет назад +3

      😂😂😂 true true

    • @johnking3684
      @johnking3684 5 лет назад +13

      The name Opondo betrays it all

    • @jaycalliam4956
      @jaycalliam4956 5 лет назад +2

      Opondo

    • @issaadam867
      @issaadam867 5 лет назад +3

      QS. EMMANUEL OPONDO You ain't from Kenya but umemaliza comment na Swahili pwaaahaahaa

  • @sollpin4013
    @sollpin4013 5 лет назад +76

    Likes za Dyana cods hapa... She's on fleek

  • @Unidentifiedflyinghuman-2gt
    @Unidentifiedflyinghuman-2gt 4 месяца назад +12

    EVEN IF WAKADINALI RELEASE 1000 SONGS, NOTHING CAN BEAT THIS MASTERPIECE. TAKE IT FROM ME

  • @OzrenOsi
    @OzrenOsi 4 года назад +10

    1st rapper noma sana

  • @carlson4195
    @carlson4195 5 лет назад +189

    Scar mkadinali should be arrested, this is too much heat Damn!!

    • @hood254-c5l
      @hood254-c5l 5 лет назад +2

      ruclips.net/video/RzD2UnfeCao/видео.html

    • @noelkitonga
      @noelkitonga 5 лет назад +3

      tumengoja sasa..

    • @hood254-c5l
      @hood254-c5l 5 лет назад +2

      He's talking facts no need to arrest him

    • @carlson4195
      @carlson4195 5 лет назад +6

      @@hood254-c5l Hahaha, Dude in lame man's language it just means the song is lit.

    • @hood254-c5l
      @hood254-c5l 5 лет назад +1

      @@carlson4195 yah the song is lit even #ylace should be arrested for this lines
      ruclips.net/video/t9DlghNtCIg/видео.html

  • @ericwaweru9150
    @ericwaweru9150 5 лет назад +17

    Hi niya gikomba na ni FENDI.......I felt that

  • @wangarigikonyo4405
    @wangarigikonyo4405 5 лет назад +242

    Me : Hello Fire Department?
    FD : Wakadinali again??
    Me : Yeah.
    RongRende.

  • @maxwellmuritu6090
    @maxwellmuritu6090 3 года назад +13

    Diana cods killed it☠️wakadinali nawatambua vibaya mad munga

  • @commentator254
    @commentator254 3 года назад +4

    Rap game haitaki chali🔥🔥🔥🔥🔥

    • @sakang4
      @sakang4 8 месяцев назад +1

      na usishangae juu ni mimi nimeimarry🙂🙂

  • @FelixKims
    @FelixKims 5 лет назад +37

    ZoZa Nation,
    "nikiwa mtoi nilikua na guns za toy..."
    I felt that in my cheek bones.
    ||RongRende||

    • @innocentkarani727
      @innocentkarani727 5 лет назад +2

      broooooooooo

    • @FelixKims
      @FelixKims 5 лет назад

      @@innocentkarani727 hehe naona umejoin Zoza Nation... 👍👍👍

    • @FelixKims
      @FelixKims 5 лет назад

      @@innocentkarani727 umenicheki hapo 0:46... Pale backrow...

    • @joashbowen4685
      @joashbowen4685 5 лет назад

      joh

  • @adeshcobra7543
    @adeshcobra7543 5 лет назад +75

    At least jina ya mta yangu iko kwa chorus
    "Mukuru kwa njenga"

  • @roneykimani8669
    @roneykimani8669 5 лет назад +40

    I know the director hapati credits but video ni class👌👌👌

  • @Author_Himself
    @Author_Himself 2 года назад +27

    I don't understand the language but damn 🔥🔥🔥... Much love from South Africa

  • @Frankie254
    @Frankie254 9 месяцев назад +18

    Imagine if sewersyda was also here😊

  • @danielsimon223
    @danielsimon223 5 лет назад +49

    I can’t believe you all on scar,Munga killed this song right from the start sa hii tuko burial.

  • @morriskiilu5597
    @morriskiilu5597 5 лет назад +7

    🚀🔥🔥🔥noma wakadinali nawatambua#morio Anzenza🔥🤑inacheza kwa kichwa ya mine kila time nko dudu

  • @jumajack-d4w
    @jumajack-d4w 5 лет назад +29

    Munga ni master wa mahooks msee

  • @shadrachfavour
    @shadrachfavour 25 дней назад +1

    Munga nailed it banaaaa..
    That guy 😅

  • @brianlusiola
    @brianlusiola 4 года назад +97

    Morio anzenza is the best Kenyan thing I've put in my ears in ages.

  • @emmanuelserem2343
    @emmanuelserem2343 5 лет назад +39

    I never knew they would play me, namaanisha kwa redio na telly. Hey! 🙆‍♂️🔥 SCAR IS A WORD SMITH 🔥🔥💯💯.

  • @davigucciyoung1266
    @davigucciyoung1266 5 лет назад +21

    I played this song,jirani akaitar Polisi,polisi kufika alikamata jirani .

  • @dankiptala7295
    @dankiptala7295 5 лет назад +15

    Mapinji wa mukuru kwa njenga🔥🔥... Serial killer munga eiish

  • @ryankibet1229
    @ryankibet1229 3 года назад +7

    "mi nauza mzinga zile kalikali kama chozi za simba" mistari kali jooh💥💥🕶️

  • @jonahotieno5458
    @jonahotieno5458 Год назад +10

    Here for Man Munga🔥🔥

  • @sativuuhh
    @sativuuhh 5 лет назад +116

    Guys I can barely understand this song I'm from South Africa
    Lakini hawa mamorio wanapeleka hii industry na rieng safi⚡

  • @Medak__
    @Medak__ 5 лет назад +6

    Day ones pekeee💥💥💥

  • @JefeAmigo
    @JefeAmigo 5 лет назад +30

    Munga ndio Nate Dogg wa hizi streets .Hizi hooks ni catchy AF. #Wakadinalified.

    • @icceym1102
      @icceym1102 5 лет назад +1

      Hio chorus bana 🔥

    • @k3ygvrv
      @k3ygvrv 5 лет назад

      Munga ni mziii

  • @rapoo9
    @rapoo9 Год назад +4

    Kali Sana man

  • @ngugikioi
    @ngugikioi Год назад +15

    This is my favorite Wakadinali song of all time🔥🔥🔥

  • @birch_kalawa
    @birch_kalawa 5 лет назад +21

    Nimejibatula ki shabalula whole morning nikingoja hii vidaa!!💯💯💯

  • @annritakahindo7807
    @annritakahindo7807 5 лет назад +12

    me huzoza ma mzinga zile kali kali za simba mnabonga mta nishika mashati kwa keja ya mabati mmejificha wapi?

  • @WashingtonOngombe
    @WashingtonOngombe 5 лет назад +64

    WENYE BADO WANAREPEAT HII JAM KWA PLAYLIST *LIKE*

    • @Slim-wr9be
      @Slim-wr9be 4 года назад

      Washington Ong'ombe Siku ikiisha kama sjaskia ii ngoma naskia sjafikisha gangsta points for the day

    • @cosmaskasongo669
      @cosmaskasongo669 3 года назад

      Iendeee ikuje tena

  • @phoebembithi3050
    @phoebembithi3050 2 года назад +3

    ATI mi ukinicross utaGENYA,💥🔥

    • @ongalajohn32
      @ongalajohn32 2 года назад +1

      Vitisho live😂😂😂
      Siendi waambie watafte plan B

  • @jayking5033
    @jayking5033 4 года назад +83

    I can't stop listening to this song.
    Munga killed it!

  • @milinaxcheche7061
    @milinaxcheche7061 5 лет назад +26

    Hii ni ya gikomba na ni fendi
    Someone call 911😭😭😭🔥🔥🔥🔥🔥

  • @thefreaks1038
    @thefreaks1038 5 лет назад +30

    officially best 2019 hitsong......
    'madenge madingo plus mapinji wa mururu kwa njenga' EASTSIDE TO THE FULLEST

  • @adeboTNM
    @adeboTNM 5 лет назад +18

    Madenge madingo duh io sheng kwa hii jam ndio inanice 🔥🔥🔥 #RongRende

    • @mojamal007
      @mojamal007 5 лет назад +3

      Plus Mapinji Wa Mukuru Kwa Njenga 🔥🔥🔥🔥

    • @adeboTNM
      @adeboTNM 5 лет назад +2

      Ndioo 🔥🔥🔥

  • @andersonpyaban8042
    @andersonpyaban8042 3 года назад +2

    mnabonga mtakam kunishika mashati kwa keja ya mabati,,,mmejificha wapii

  • @kulanhofinestdon
    @kulanhofinestdon Год назад

    Mi Ni fan Wa @Wakadinalib since day one 💪🏿👊🏿❤️..ma-morio wangu Wa nzenza one love +254🇰🇪...👑💯🔥🇸🇸

  • @TheKEprince
    @TheKEprince 5 лет назад +18

    Lines ziko sawa.... sasa mtafute manager mwenye atawaingisha kwa hii mulla lane sasa. Same way khaligraph anakulia hiyo talent, nyinyi mko 🔝

  • @TheCliff
    @TheCliff 5 лет назад +17

    Hii mbogi hu-dislike ngoma ka hii ni ya wapi? Wish I had a way of liking this tune twice. It's lit!👍

  • @mosesmarknnie3413
    @mosesmarknnie3413 5 лет назад +21

    FINALLY imetoka. Hii ni moto..na first lady tu!

  • @EmmanuelAkuam10.7
    @EmmanuelAkuam10.7 4 года назад +12

    Domani baba!!!!!!!🔥🔥🔥🐐

  • @kibetimmanuel5741
    @kibetimmanuel5741 3 года назад +4

    Dem ameshinda akiteta akikam asipate mbogi kwa kejaa💥

  • @lordmadollah5010
    @lordmadollah5010 5 лет назад +254

    The producer deserves a grammy nomination

  • @birch_kalawa
    @birch_kalawa 5 лет назад +15

    Dyana Cods anawezaa!! Pande zote wajua!!

  • @denonedosvevo368
    @denonedosvevo368 5 лет назад +57

    Big ups fo sampling system ya majambazi...respect the o.g's..niliskiza hii ngoma nkaambia my boss he's fired

  • @lewismakori5509
    @lewismakori5509 3 года назад +2

    Domani munga is a beast

  • @matynrafiki242
    @matynrafiki242 2 года назад +2

    "Mnabonga mtanishika shati Kwa keja ya mabati!..mlijificha wapi?"

  • @XRayKing
    @XRayKing 5 лет назад +36

    Kuna siku maYouths Wataungana!!!!
    Rong Direction 🔥 🔥
    #NdiziFlowCeo

  • @mulwakelvin7479
    @mulwakelvin7479 5 лет назад +5

    Hakuna kitu fupi ka weekendi...hii line si iingie kwa national anthem tu

  • @OsarisTsunguch
    @OsarisTsunguch 5 лет назад +7

    Siendi siendi wambie watafute planB ama walipe kwa PayBill......pia Dyanna ameenza Sanaa rrrrrrraah
    #Zozanation #RongRende Wakadinali

  • @Kochw221
    @Kochw221 Год назад +12

    After this hit is when things changed for Wakadinali, Right now they untouchable 2023💯🇰🇪

  • @brayokiombitho3273
    @brayokiombitho3273 Год назад +4

    I got so much respect to this song it made me know wakadinali huwanga very bad 2023 tunazidi siaka mbaya...

  • @felixmumia3926
    @felixmumia3926 5 лет назад +57

    Wakadinali to the world. Umoja to the world, big up MA boys

  • @justbmg
    @justbmg 5 лет назад +5

    Mi schezi wazeiyaaaa, mi ukinicross utagenya!!

  • @winniewainaina2862
    @winniewainaina2862 5 лет назад +15

    Munga Thanks Kwa Kuwachia My Son King Castle😃🔥😂

  • @FrenemyKE
    @FrenemyKE 10 месяцев назад +3

    Greatest wakadinali track ever🔥

  • @lewismureti7342
    @lewismureti7342 Год назад +6

    Hii ngoma ni addictive kulingo bangi 🔥

  • @starlight_channel
    @starlight_channel 5 лет назад +6

    Domani Scar Dyana🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌 Mi huzoza mamzinga zile kali kali kama chozi za simba mnabonga mtanishika shati kwa kenja ya mafati mmejificha wapi..? Hii shit mi ucheza daily.This beat goes hard..

  • @musicislife9646
    @musicislife9646 5 лет назад +6

    so lit. uyo dem jo ako fiti kwa rap game
    pita na kalike ka we ni fan wa true

  • @EmmanuelAkuam10.7
    @EmmanuelAkuam10.7 4 года назад +4

    Domani ni 🐐..aiii apana...🙏😆😆🔥🔥

  • @williamloki9859
    @williamloki9859 4 года назад +2

    Tuifikishe 1M✊🏾

  • @blankinvestments
    @blankinvestments 5 месяцев назад +4

    5yrs later am playing this to my 5yrs old son just to let him have the same feeling i had 5yrs ago.

  • @telawangeci2688
    @telawangeci2688 5 лет назад +189

    YOU GUYS DESERVE MAIN STREAM AIRPLAY CIRCULATION!😩❤

    • @k3ygvrv
      @k3ygvrv 5 лет назад +1

      Tela Wangeci for shoo most underrated hip-hop crew

    • @larryachiya2475
      @larryachiya2475 4 года назад +1

      Wakienda mainstream wataisha.
      Most of the hip hop acts who went commercial are not as good as when they were underground acts

    • @habelmwakio154
      @habelmwakio154 2 года назад +1

      Finally it came to pass with Geri Ireng

    • @Manuwell_Ryiepa
      @Manuwell_Ryiepa Год назад

      Underground Still Superstar How?? Mwishoe I'm Glad My Ni55aZ Made It & Went Mainstream.

    • @authentic254
      @authentic254 Год назад

      great comment

  • @shaneelwak2482
    @shaneelwak2482 5 лет назад +13

    After kuskiza hii ngoma nimeshow my boss “You’re FIRED!!”

  • @hassanmohamed6762
    @hassanmohamed6762 Год назад +7

    Domani munga 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
    Much respect 🫡

  • @slimvisuals8421
    @slimvisuals8421 4 года назад +1

    Millioni Moja..#RongRende #SlimVisuals

  • @Charley3170
    @Charley3170 4 года назад +83

    The Original Kenyan HipHop Artists, Khaligraph does Trap Music and has nothing on these dudes 🔥🔥🔥🔥