christabel wants to stay with the dad & anabell wants to stay with the mum the battle just started

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 329

  • @joycewanjiru6945
    @joycewanjiru6945 6 часов назад +31

    One thing that should not be ignored is how Samaritan show love towards kids ,he has special love towards kids,,God bless you Samaritan ❤❤❤

  • @Nana-x1d
    @Nana-x1d 6 часов назад +20

    Huyo mzee awajengee , awasaidie wakiwahuko.. Abigael ni mtoto mwerevu..

  • @jackmungerezah9012
    @jackmungerezah9012 6 часов назад +26

    Christabel anataka wazazi warundiane na still anataka sister yake asome. Mungu guza roho ya huyu mama

    • @WezzieChimuzi
      @WezzieChimuzi 4 часа назад +2

      @@jackmungerezah9012 you know we understand that the problem is,,, they said fidelis is with there father(Mzee) that's why the mother can't accept coz fidelis is wicked and she ll finish there mother 💔💔

  • @marymungai-ye6yv
    @marymungai-ye6yv 6 часов назад +25

    Yaani mzee hajaachana na fidelis wooi

  • @pamelamudogo5551
    @pamelamudogo5551 8 часов назад +23

    Samaritan unite this family plz mzee has come back to his senses umesaidia wengi

    • @mumbisandtmann8931
      @mumbisandtmann8931 5 часов назад +2

      Wapi kama Fidelis bado yuko huko @Pamelamudogo5551

    • @lydiamuatha1383
      @lydiamuatha1383 Час назад +2

      Kama fidelis Yuko uko watauliwa na ndio ukweli wa mambo let's not sugarcoat

    • @pamelamudogo5551
      @pamelamudogo5551 Час назад

      @@mumbisandtmann8931 ndio nimeona Fidelis na Douglas watamaliza mama

    • @pamelamudogo5551
      @pamelamudogo5551 Час назад

      @@lydiamuatha1383 I didn't know Fidelis came back

  • @WezzieChimuzi
    @WezzieChimuzi 5 часов назад +9

    Abigail, Abigail, Abigail God bless you for standing up with your mom ❤❤❤❤

    • @CarolinenyamburaMuturi
      @CarolinenyamburaMuturi 4 часа назад +2

      She's very mature

    • @WezzieChimuzi
      @WezzieChimuzi 3 часа назад

      @@CarolinenyamburaMuturi true

    • @BintiDanford
      @BintiDanford Час назад

      Abigail Mungu akupe maisha marefu usiwahi muacha mama ako

    • @BintiDanford
      @BintiDanford Час назад

      Sasa Mzee anamludishaje mke wake na Bado Ako na huyu Malaya aki watammalizia huyu mama Mungu ingilia kati hii familia

  • @Userantelope
    @Userantelope 5 часов назад +7

    Cristabel is simply being assertive. She is a strong opinionated character ❤❤❤❤

  • @MargaretteQuite-me3xs
    @MargaretteQuite-me3xs 7 часов назад +10

    Mama Abigail follow your heart,, ukiskia hutarudi , usirudi,, ka ni mimi singerudi,, fidelis is dangerous woman,,, hujui nini itakufwata baadae

  • @loseeal3440
    @loseeal3440 6 часов назад +13

    Kwa hivyo still.fedel wako na mzee pia😢😢😢 aiii hapo sioni poa mama kurudi fedel atamumaliza

  • @Truthfulmen_women
    @Truthfulmen_women Час назад +1

    Yellow Tshirt, Christabell hadi anaita Fidelis step mum, 🙆🙆🙆 msichana wwe na Fidelis hamna tofauti , ata wewe unakaa unaweza nyakua bwana ya wenyewe , kasichana utazaa joto itulie. 😮😮😮😮😮😮

  • @Shiimwass-254
    @Shiimwass-254 6 часов назад +6

    Mama ako sawa hadi mzee ajielewe vinzuri ndio arudi but saa hii akirudi atakufa tu😭😭😭

  • @daynesakulu3169
    @daynesakulu3169 4 часа назад +10

    Kama Fidelis alirudi kwa mzee , kweli hao watoto wasi rudi kwa baba yao , juu hawatakuwa safe kabisa , Fidelis anaweza kuwa fanya vibaya.

    • @lunyako554
      @lunyako554 2 часа назад

      Yes,very risky

    • @lunyako554
      @lunyako554 2 часа назад

      Hata wao wasichana sio watoto ,wanataka wakae na mtu alitaka kuua mama,I heard them referring her as step mother,shame on them

    • @lunyako554
      @lunyako554 2 часа назад

      It's mum to sort out issues with the father for them to go back,wasione tu pesa

  • @williammutende4128
    @williammutende4128 6 часов назад +4

    Sama ongelesha mzee atoe pesa amtibu huyu mama period mengine baadae

  • @MillicentAseyo
    @MillicentAseyo 6 часов назад +5

    Mtoto analala n wanaume inje ndio wakule so msimlaumu just understand her so ameona instead ya kupata ugonjwa inje arudi kwa babake

  • @DoubleSeven-y1u
    @DoubleSeven-y1u 5 часов назад +8

    Christabel is very right.
    She's gone through a lot of pain to survive.
    She's tired of sleeping with boda bodas to fend for her family

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 4 часа назад

      She is feeling still And mature cz of that infact cz she tested it not and done

    • @lydiamuatha1383
      @lydiamuatha1383 Час назад

      Ameteseka ndio ,but truth to be told kama fidelis alirudi huko atawamaliza.Fidelis is another Jacinta gomma

    • @euniceouko650
      @euniceouko650 Час назад

      I feel Christabel,she has gone thru a lot especially by selling her body to fend for mum and Abigael....people should understand her, she's tired of Mateso and poverty yet the Dad is capable......Let Mzee rent them a better house and then take good care of them coz he's still in love with Fidelis and Fidelis is the cause of all troubles in mama Abigael.

  • @mumbisandtmann8931
    @mumbisandtmann8931 5 часов назад +5

    Aki Fidelis atafanyia huyu msichana vibaya utaskia kidogo kidogo ako na mimba

  • @theresiawangui1315
    @theresiawangui1315 7 часов назад +11

    Let them be. Mum should first go to Agakhan hospital, be treated and mzee pays the bills. Sama you can convince her this. The rest will just flow. For now she cannot be convinced that Fidellis is out of mzee life.

  • @floranji3374
    @floranji3374 3 часа назад +4

    Mzee anakuja kuona mama na kuomba msamaha mkono tupu aje ..si afanye shopping ya mwezi mzima halafu aombe msamaha...na ampee time..na alipe hosi sio kungoja aambiwe

  • @mosesdouglas7902
    @mosesdouglas7902 2 минуты назад

    Unaomba Mungu anakujibu anakurudishia mume wako ,alafu unaleta kiburi unakataa kupokea Ulichoomba ,We people is like we don't know what we are praying for,😢😢😢

  • @VioletMwakamu-j4w
    @VioletMwakamu-j4w 6 часов назад +4

    Huyo mzee ajengee bibi yake mahali pengine asirudi huko ,asaidie watoto wakiwa na mama yao,ndoa si lazima

  • @JacklineNyabokeOsiango
    @JacklineNyabokeOsiango 6 часов назад +4

    I like abbiy ,uyu mwingine ananitafutia kifo,,,yeye ndiye atatumika kuua mamake sasa,,,acha mama apelekwe hosi apone kwanza ,sama pliz,confiz mzee alipie mama bil

    • @Sheila-q2f
      @Sheila-q2f 6 часов назад

      That was my opinion though, fidelis atapanga na huyu christa waue mama or fedelis ataua huyu christa

  • @Risk126
    @Risk126 6 часов назад +6

    Mzee is another baba ken if fidelis is still with him.

  • @dorophinenelima1319
    @dorophinenelima1319 4 часа назад +1

    Abigael thank you so much, simama na your mom kabisa

  • @lydiakambua2942
    @lydiakambua2942 2 часа назад

    Weuh,,,Ati mzee alirudiana na Fidelis wasiende huko,,,mzee hajacome bck to his senses....

  • @lydiamuatha1383
    @lydiamuatha1383 3 часа назад +1

    Kwani fidelis alirudi huko wajamani 😢😢

  • @Wilky254
    @Wilky254 2 часа назад

    May God touch mama akubali arudi kwake.. Aende hosi.. Apone and the devil 👿 will be Ashamed

  • @MairieMarie
    @MairieMarie 6 часов назад +4

    Huyu ako na yellow t-shirt. Ni joto tu inamusubua .atazaa atulie

    • @BintiDanford
      @BintiDanford Час назад

      Nikweli kabisa yey anaelewana na baba ake ilibidi atumie hiyo akili ili baba Yao amtibie mama Yao na kuwahudumia na sio kumjibu vibaya mama yake

  • @PurityMusyoka-h5z
    @PurityMusyoka-h5z 6 часов назад +2

    Apo nto mnataka uyu mama arudi na mwuuaji wake asharudi😢😢

  • @josemwash8532
    @josemwash8532 Час назад

    Mama has beautiful daughters but very naive!😂

  • @GladysJemutai-f8j
    @GladysJemutai-f8j 6 часов назад +2

    Both families lazima wakae chini waongee , involve wazazi wa huyu mama na wazazi wa mzee waongee chenye huyu mama alifanyiwa sio kitu ya kuongea hapo nje na iishe ivo ,life yake ni ya maana kuliko chochote aliponea chupuchupu na fidelis bado ako kwa mission yake lazima aridhi kila kitu ya mzee ,so discussion must be made how safe is this woman will be if she goes back

  • @beatricemugambi4659
    @beatricemugambi4659 3 часа назад +1

    This kids are innocent oiye😂

  • @euniceouko650
    @euniceouko650 9 часов назад +15

    Mum should just see how smart Abigael and Christabel are today,their hair is smartly done and their dresses Mwaaaah...... I'm pleading with mum to just go back to her husband,the same God who revealed the people who poisoned her will heal her and bless her with her family abundantly.Samaritan talk to Mama to just go and start a new beginning with Mzee for the sake of keeping their family.

    • @susanngugi2489
      @susanngugi2489 6 часов назад +5

      But if fidelis is there she should not allow children to go there

    • @eunitakesio
      @eunitakesio 6 часов назад +2

      But Mzee has to go to mum's family to apologize alafu wasameame na familia yote

    • @athulumargaret8372
      @athulumargaret8372 6 часов назад +1

      True....the worst has happened...ako kwa wheelchair....arudi apate matibabu!

    • @blackylampard640
      @blackylampard640 5 часов назад

      Mum should just go back to her husband and mend things

    • @jacintawachuru1999
      @jacintawachuru1999 4 часа назад

      Wapatane huko na Fidelis na yy ndie alifanya akue kwa wheelchair

  • @carolinekorio2902
    @carolinekorio2902 Час назад

    Christabel you are my twin,goo with dad

  • @micahkariuki1322
    @micahkariuki1322 2 часа назад

    Waah! Hawa wasichana watawekwa kwa mfuko na fedelis halafu watafanyiwa vimbaya na yy..its so tricky to go to mzee while still there're together with fidelis

  • @morineinziani9547
    @morineinziani9547 2 часа назад

    Kifo kimekondolea huyu mama macho
    Akirudi tuu huko
    Watamaliswa wote

  • @victormaina9343
    @victormaina9343 5 часов назад +2

    I said it before Sama, Abigail will be the mirror of the family and especially supportive to her mother, therefore in my opinion Sama i urge you to talk with mzee to take them back to school and the rest of issues they'll solve them a day at time!!..

  • @dancanomwenga1987
    @dancanomwenga1987 5 часов назад +1

    Samaritan help this family for a reunion, hope understand what happened and the mother should also sit down and make a good decision for her own life and the children msamaha ni ndio jambo la pekee hapa, watoto wasome mama atibiwe apone

  • @Missemmy-g2y
    @Missemmy-g2y 14 минут назад

    Kwani huyu mzee hawezi mtibu huyu mama akiwa hapa kwenye yuko,, c lazima aende kule kwa huyu mzee,,,,let mzee provide for this family while they are still here ,,,,like they are giving fidelis the second chance of finishing this mama Abi

  • @RutagambwaRutaraka
    @RutagambwaRutaraka 3 часа назад +1

    Charitable has a good reason for going to his father.

  • @justofavour9109
    @justofavour9109 8 часов назад +2

    Let God intervine to this woman too....aache ujinga akubali alirudi kwake atoke kwenye iyo maisha ya kuomba omba,barabarani.mzee amekubali alimkosea uyu mama aache kuwa na roho ngumu coz at the end of the day yy ndo anaumia....

    • @sky-nj1nq
      @sky-nj1nq 5 часов назад

      Exactly....she should see the future and not the past...she should just forgive with conditions....

  • @gloria_justgloria2013
    @gloria_justgloria2013 7 часов назад +4

    Sio lazima warudiane sai or later ata,,but let the man be in his kids life,,let the visit their father and also wakuje kwako nothing hard there,,baba Yao Ako na pesa wacha wasome na WA enjoy life,,na pia mama Abby wacha kiburi shuka chini kwanza utibiwe that from there you will decide

    • @evakioko7492
      @evakioko7492 5 часов назад +1

      But that lady fidel can as well harm them.

    • @gloria_justgloria2013
      @gloria_justgloria2013 4 часа назад

      ​@@evakioko7492na Ako Ebru tv closure akijiita mercy😂😂

  • @tabbygabby7330
    @tabbygabby7330 3 часа назад

    Samaritan be blessed wewe hupitia mengi😭😭😭how do you cope with this

  • @SiaCollins
    @SiaCollins 4 часа назад +1

    Huyu mdogo ako na akili sana mkubwa akili imeruka

  • @redemptorwayua9151
    @redemptorwayua9151 3 часа назад

    Mama tu msamehe huyu mume na murudiane kwa ajili ya hawa watoto,fedelis aende jela the mother to get justice.Utatibiwa urudi kutembea tena uachane na kuomba omba.

  • @rolinekathure3021
    @rolinekathure3021 6 часов назад +1

    Let's their Dad help them and stay with mum where they are staying

  • @sallymusinda6599
    @sallymusinda6599 Час назад

    Wah ata ningekuwa hao watoto teketeke kwa dad hizo mashida zote wah

  • @Kayaproducts-m8u
    @Kayaproducts-m8u 8 часов назад +6

    Nyie mnasema mama arudi mnajua machungu yake... Rather she should be treated kwanza and taken to a psychologist..... Kwani hawezi kuishi bila huyo devil of a husband?

    • @SpinicahNyamusi
      @SpinicahNyamusi 8 часов назад +1

      Yy mwenyewe ndie anajua yenye alipitia

    • @lunyako554
      @lunyako554 2 часа назад

      Alafu yule shetani bado yuko na mzee,si atamuua sasa

  • @eunitakesio
    @eunitakesio 6 часов назад +2

    Apana nyinyi hamjui maana ya mtu kuchomewa nguo lazima wakae familia mzee aongee yake na aombe msamaha kwa kumwita mchawi na fidelis is still in that house

  • @wanjikuesther1373
    @wanjikuesther1373 4 часа назад

    Mzee hayuko serious Fedlis anafanya nini kwake ..mama dont go bck God will provide for u

  • @Sylvia20-cl7
    @Sylvia20-cl7 8 часов назад +9

    Christabel is already going thro so much. Abigail hajaumia kimaisha. They should choose without Mom's interference. After all who wants to beg when they can sit back and enjoy like other normal families. Fidelis akirudi we sha deal then. For now, Christabel, enjoy your dad's money. Achana na parent hujui walikosania Nini. You are just a kid.

  • @mei3570
    @mei3570 6 часов назад +1

    I like the way Sama ameuliza Christa kama anajiskiza!

  • @Jk70-s8o
    @Jk70-s8o 29 минут назад

    If Fidelis is still there, mum n her daughters should not go back.mzee should provide them with good shelter,food medication for mum, education n their regular upkeep.

  • @gathoninjenga442
    @gathoninjenga442 6 часов назад +3

    Samaritan, the girls have gone through so much in those three years and they desire a good life and education. Kristi has had to go to the streets to feed the Sister and with the open door, let her get help from the Dad to open a business.

  • @vincenzo3892
    @vincenzo3892 6 часов назад +2

    Mzee can assist his kids if he is willing from anywhere.

  • @Missemmy-g2y
    @Missemmy-g2y 12 минут назад

    If you can feel this mama Abi,,,,that home looks like agrave to her😢

  • @lilianjeruto3201
    @lilianjeruto3201 7 часов назад +5

    Forgiveness is paramount no one is perfect, forgive your husband mama christabel and go back to your matrimonial home

    • @evakioko7492
      @evakioko7492 5 часов назад

      Wapi kama fidel bado akooo😢

  • @MaryMunyao-dw8xb
    @MaryMunyao-dw8xb 6 часов назад +2

    Fidelis afukuzwe Kwa hii boma huyu mama arudi Kwa boma yake lakini maombi kwanza wavunje hi mathabau ya uchawi

  • @rahabkaranja
    @rahabkaranja 9 часов назад +2

    Amen so mama Abigail unataka nini mzee ako Sawa forgive and forget

    • @annkendi9439
      @annkendi9439 6 часов назад

      Ataenda wapi na Bado fidelis Ako uko

  • @IreneMokaya-r7c
    @IreneMokaya-r7c 2 часа назад

    Christabel pia kajunge haziwekewe simu kwa food

  • @FaithKaloki-g1t
    @FaithKaloki-g1t 3 часа назад

    Aaaiii uyo fidelis bona ako kwa mzee

  • @StanzMakau
    @StanzMakau 6 часов назад +1

    Christabel she's very right,she knows once they go back to their Dad definitely the mother gonna follow them

  • @everlynemoraa-bk8lf
    @everlynemoraa-bk8lf 6 часов назад +1

    Wooi mzee bado ako na Fidelis ndio atawaua sasa

  • @alicenjiru4002
    @alicenjiru4002 6 часов назад +3

    Huyu. Cristabel sio mzuri baba mwenye aliwaacha miaka bili dio unafuata surely mutajua fidelis ni nani

    • @sky-nj1nq
      @sky-nj1nq 5 часов назад

      He is their dad after all....their mom need time...time heals....Hope the family reunite

  • @agnesmutindi3094
    @agnesmutindi3094 Час назад

    Surely, mzee mwenyewe anataka huyu mama kisha amerudisha fedel???? Mzee mwenyewe hata alikuja mikono tupu kuomba msamaha, that's mzee hayuko serious

  • @MwendaMwiti-o5o
    @MwendaMwiti-o5o Час назад

    Kwani Mzee amerudisha yule shetani Fidelis kwake tena? This woman must also be realistic, there's no need to continue suffering and destroy these children's lives kwa sababu ya kiburi. Halafu huyu Christabel anakataa shule na amekuwa akitegea wanaume for money...she needs help though she's the most realistic of the three.

  • @GladnessJustine
    @GladnessJustine 2 часа назад

    Uyu christbella anaweza kutumika na fidels kumuangamiza mama yao,,alafu amuangamize yeye na mdogo wake.

  • @nancykabari1487
    @nancykabari1487 4 часа назад +1

    Mimi kama ningeuliswa ningesema huyo babayao awasaidie wakikaa na mamayao Abigail arudishwe shule lkn aendelee kaa na mamake hadi wakati mamayo ataheal amuwe kurudi lkn kwasaai ni mapema sana mzee kuja siku moja tu alafu arudi hivyo akikumbuka yale alioyapitia na pia anayo piatia hadi waleo

  • @WambuiWagura
    @WambuiWagura 4 часа назад

    Anabel congrats for not leaving your mammy❤❤❤she's your destiny,hope,akateseka the nine month pregnancy na kukulea, anyway Cristabel sit and compare your sense

  • @EsthermuthoniKinuthia
    @EsthermuthoniKinuthia 6 часов назад +1

    Kumbe hyo mzee bdo wako na fedilis usirudi mama huko

  • @vitalicecharleswamagemo8527
    @vitalicecharleswamagemo8527 4 часа назад

    Christabel Ako sawa kabiza sama Wacha kuingilia hiyo decision

  • @testzoutune1191
    @testzoutune1191 3 часа назад +1

    I THOUGHT MZEE ALIACHANA NA HUYU MALAYA FIDELIS 😳😳😳

  • @Iragibarune1.
    @Iragibarune1. 11 минут назад

    Huyu mtoto mkubwa iko na roho mabaya huyu fedelis atawahua 😢 msiendeee huko

  • @bethtet
    @bethtet 5 часов назад +1

    Mama Christabel don't go back there if fidelis is there

  • @AnnNyambura-d3q
    @AnnNyambura-d3q 6 часов назад +1

    Wacha chuka nywele already,,,, weeeeeeeehhh pesa ni mzuri kweli

  • @werelawrence4686
    @werelawrence4686 6 часов назад +1

    SHAURI YAO. KIBURI NA PRIDE YET HUNA ANYTHING. watoto wapelekwe shule.achana na huyu mumama.she feels so important.

    • @Shiimwass-254
      @Shiimwass-254 5 часов назад

      But remember Kuna sms huyo mwanamke akisema yeye mwenyewe ndie atamumaliza kama wameshiduo so mama akirudi atakufa tu ....

    • @lydiaokumu1455
      @lydiaokumu1455 5 часов назад +1

      atarudi wapi na ilhali fedelice uko bado huko it’s better Mzee ampeleke hospitali watoi wasome. yaani co-operanting

    • @werelawrence4686
      @werelawrence4686 5 часов назад

      @@lydiaokumu1455 si mzee ni tajiri. atanunua nyumba

  • @naimafaiz5274
    @naimafaiz5274 5 часов назад +2

    Huo ni babak tuu please mum kubali watoto wapata mali yao

  • @PhillistersAriko
    @PhillistersAriko 3 часа назад

    Christabel you are next on Fidelis list......sumu utakula a good dose.....🤯🤯

  • @MaryMunyao-dw8xb
    @MaryMunyao-dw8xb 6 часов назад +1

    Fidelis anatumia nguvu za uchawi..sama hii familia inataka maombi wavunje hio mathabau ya uchawi,

  • @lucykatuku3306
    @lucykatuku3306 59 минут назад

    Huyo Dem ni pesa anaona na Mali.

  • @queentivermorgan630
    @queentivermorgan630 Час назад

    Kwani fidelis hakufukuzwa

  • @janenjenga8906
    @janenjenga8906 6 часов назад +1

    Ata kama Christabel ni kichwa ngumu eti mimi siezi omba msamaha like seriously😮( just tell your mum Sorry )Anabel said very well i will stay with mum but dad anishomeshe.
    ..
    However Mama Abi forgive your husband 🙏🏾

  • @nxjjfj4923
    @nxjjfj4923 6 часов назад

    Eastern tv fraternity Asante sana re unite this family

  • @kadetenyar6597
    @kadetenyar6597 9 часов назад +3

    Mom i think this is the time to change your mind ,, please go back to your house ,, just imagine ,,hako katoi ange kufa please ,, forget and forgive angalia maisha y waschana wako

    • @evakioko7492
      @evakioko7492 5 часов назад

      Aje sasa kama fidel is still around🤷🤷si atawauwa wote ndio achukue mali vizuri sanaa

    • @sky-nj1nq
      @sky-nj1nq 5 часов назад

      Not the same house and the same furniture...same bed...aaah no...a different home and with conditions...time heals

    • @evakioko7492
      @evakioko7492 4 часа назад

      @@sky-nj1nq yeah but mean while anaeza enda hosi sama aseme ndiye atachip in but mzae atoe pesa za matinabu..

  • @LucyMaina-wh7kb
    @LucyMaina-wh7kb 6 часов назад

    Wasichana wameshukwa very smart

  • @margaretmutitu6998
    @margaretmutitu6998 6 часов назад +2

    Christaa is rude and has a spirit of rebellion……. Even at her dad she needs a lot of prayers

  • @annkendi9439
    @annkendi9439 6 часов назад +1

    Abigal clever gal

  • @CharityWachira-zw9cf
    @CharityWachira-zw9cf 6 часов назад +1

    Kwani fidelis yuko tu kwa mzee?mama usirudi

  • @CharityWachira-zw9cf
    @CharityWachira-zw9cf 6 часов назад

    Abigal is reasoning well.awanjengee nyumba wakae kiviao

  • @SamiraMulama-op6bm
    @SamiraMulama-op6bm Час назад

    Christabel will be a victim of fidelis

  • @faithngigi5016
    @faithngigi5016 6 часов назад +1

    Uyo fidelis simuoni vizuri Kwa Hao wasichana

  • @alimualim22
    @alimualim22 4 часа назад

    Abigail may God bless you ❤

  • @jacintawachuru1999
    @jacintawachuru1999 4 часа назад

    Huyu Christabel alikubali kushukishwa nywele Na Fidelis akijua vyenye alifanyia mamake..

  • @annembula4857
    @annembula4857 5 часов назад

    As long as fidelis as ko Bado na Mzee huyu mama hayuko salama

  • @dancanomwenga1987
    @dancanomwenga1987 5 часов назад +1

    Samaritan your agenda ni nini, reunion ama kuharibu mbona unastuka ukiona Mzee? Meaning hauna mazuri

  • @beatricemugambi4659
    @beatricemugambi4659 3 часа назад

    Samaritan stop dominating in this family,kama watoto wanataka kukaa na baba Yao let them go,wewe haujui venye wameteseka

  • @kjyusuf7839
    @kjyusuf7839 6 часов назад

    Samaaa stand with thus family to be together plsese

  • @PhillistersAriko
    @PhillistersAriko 3 часа назад

    Kwani Fidelis is back......waaa......😭😭😭

  • @StanzMakau
    @StanzMakau 6 часов назад

    Sama hata hausaidii huyu mama,, you need to encourage him to go back to her home if msee is willing to take them back,,she has to fight for her marriage

  • @samkim2321
    @samkim2321 2 часа назад

    Huyu mama ako na roho ngumu sana

  • @hopekosgei7408
    @hopekosgei7408 5 часов назад

    Kama huyo mama ako huko pls mama Abby usiende utamalizwa haraka sana cos that was her motive