MJENGONI CLASSIC BAND MAPENZI YANAUMA OFFICIAL MUSIC VIDEO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии • 71

  • @urassahaji7276
    @urassahaji7276 5 лет назад +9

    👍 whooooooo nice nice nice Mjengoni Band who else is listening huku unascroll hapaaaaa...
    🙏🙌🎶

  • @kiranjafaddy2708
    @kiranjafaddy2708 5 лет назад +9

    🙏 like kama Mjengoni Band na Tanzania nzima😍😍😍😍 tuko juu kimziki jamaa
    🙌🎶

  • @khalidnyundo9640
    @khalidnyundo9640 3 года назад +2

    Mjengoni band ni noma sana digital nakuvisha nyota tano Arusha bend hakuna wakumufuata

    • @williamchristopher5028
      @williamchristopher5028 2 месяца назад +1

      Kuna mshkaji anaitwa Albert bass na emma sollo sijawaona hao jamaa ni balaa alafu kuna digijital mkongya na gires muimba rumba hatari hao watu ni balaa aise

  • @mwitaemmy
    @mwitaemmy 2 года назад +1

    Inakuwaje hii video haijafika milioni 100... Yaani best song of all time!... Félicitations digitale MUKONGYA tigre 🐯

  • @kevinogada1
    @kevinogada1 3 года назад +1

    Kila kitu Perfect.
    Nimeipenda Muzuki Kabisa.
    Shukran Kwa Muziki Mzuri.
    Nasikila Kutoka Mombasa Pwani Kenya.
    Naisikiza mara Kumi sasa kwa siku moja.

  • @ErickMbunda-n6q
    @ErickMbunda-n6q 4 месяца назад

    Mjengoni mnajua saaaana nawakubali sana

  • @siriyamwanamkemkakamavu
    @siriyamwanamkemkakamavu 4 года назад +6

    Imetulia, I like❤️ from Tanzania 🇹🇿 to Germany 🇩🇪

  • @jabirhiba9421
    @jabirhiba9421 Год назад

    Nimeiangalia video hii mara kumi IPO poa hasa niliposikia jina la babu bomba

  • @lilyfaustin2075
    @lilyfaustin2075 Месяц назад

    Uakika mapenzi yanauma sana

  • @InnocentRaymondjunior
    @InnocentRaymondjunior 9 месяцев назад

    Lakini Mungu hatakagi mi nipateshida,mjengoni classic itabaki mwalimu ya music ❤🔥🔥🔥

  • @musasabas8895
    @musasabas8895 5 лет назад +2

    Pround Tanzanians watakubali Mjengoni Classic motoooo video safi

    • @VMGAfrica
      @VMGAfrica 4 года назад

      🔥🔥🔥🔥🔥

  • @carolmagessa314
    @carolmagessa314 5 лет назад +1

    ..........leo nimekua rafiki ya pombe kwa ajili yako......Mapenzi yanauma.....
    Wimbo mzuri sana japo unaniliza kila nikiusikiliza😥

  • @kindambanganjau9707
    @kindambanganjau9707 5 лет назад

    Hiki kibao ni balaa, sasa msiishie hapa tu, muendelee kukonga mioyo yetu, nawakubali sasa mjengoni classic band.

  • @mahonameshack4196
    @mahonameshack4196 2 года назад

    Mjengon mkojuuuu sana Big up

  • @Raymond6497
    @Raymond6497 5 лет назад +1

    So nice...Ila tuu msije mkasambaratika....ila.mkianza issue za Mjengoni Academia..sijui Mjengozni Plus...itakuwa mwisho wenu..tulieni..mtoe vituu Dunia iwajue

  • @austereaniceth7577
    @austereaniceth7577 5 лет назад +1

    Kibao kizuri sana mekipenda

  • @andreamajura255
    @andreamajura255 4 года назад +3

    Mjengoni mnajua sana kuimba, asante kwa nyimbo kali inanifariji sana wakati huu wa janga la Corona hapa China

  • @lidyatai2883
    @lidyatai2883 5 лет назад +5

    🙌 Mjengoni Band KATIKA AFRICA MASHARIKI MUNAONGOZA GAME
    🎧🎶

  • @johnginni9926
    @johnginni9926 4 года назад +1

    Nice inspiration from tz arusha

  • @emmamoshiyz1679
    @emmamoshiyz1679 4 года назад +1

    Mlifanya kazi nzuri mlipo kuja moshi pazuri... big up brothers

  • @ismailchikoko9990
    @ismailchikoko9990 9 месяцев назад

    Alikiba dj sbuu my w0men

  • @esajackjack3032
    @esajackjack3032 5 лет назад +1

    Safi Sana naipenda sana hii Ngoma

  • @andreamajura255
    @andreamajura255 4 года назад

    Huyu OPORUJI anajua sana, mjengoni mko juu sana

  • @jeffballafundi9776
    @jeffballafundi9776 Год назад

    Kali Balaaaa👏👏👏👏🙌

  • @giddyakali27
    @giddyakali27 3 года назад +1

    Beautiful song, cute video

  • @simonringo4435
    @simonringo4435 5 лет назад

    nice nice Mjengoni Band who else is listening huku unascroll comments hapa..

  • @djkalizona2760
    @djkalizona2760 5 лет назад +2

    👌👍🙌 like 😍😍 kama Mjengoni Classic iko juu dunia nzima
    🎶

  • @adilimichael497
    @adilimichael497 4 года назад

    asante mjengoni nawakubali sana melody imetulia sana

  • @loshiyetambe928
    @loshiyetambe928 5 лет назад +1

    👍 Mjengoni Band tunakukubali kazi mwaka wenu huu.
    🙏🙌🎧🎶

  • @lucykini5630
    @lucykini5630 5 лет назад

    👌👍🙌 ii Kaziiiii hatari Mjengoni Band 😍😍😍😍 video safi sana nimeipenda
    🎶

  • @husseinhasla6753
    @husseinhasla6753 5 лет назад

    👍🙌🎧 doh aisee Mjengoni Band nilijua lazima utatoa zaga kali kama kawaidaaaaaaa
    🎶

  • @karimmaro6533
    @karimmaro6533 5 лет назад +1

    🙏 nakuelewa kinyama tena sana Mjengoni Band tuna watching from America hahaha ya usa river
    🙌🎧🎶

  • @jeffballafundi9776
    @jeffballafundi9776 5 лет назад +1

    Kazi nzuriiiii

  • @supagodlisten3281
    @supagodlisten3281 5 лет назад

    🙏 Video nzuri Mjengoni Band kama kawa hutuangushagi kabisaaa #proudtobeafan
    🙌🎶

  • @swissboy3694
    @swissboy3694 5 лет назад

    👍🙌 fo real Mjengoni Band toka mwanzo nawaambia wana una akili kama einstein
    🎶

  • @swedybeats3188
    @swedybeats3188 5 лет назад +1

    👍🙏 #one love 😍 East Africa 🌍 ndugu zangu wa tanzania mjengoni class Band
    🙌🎶

  • @iddisuleman5717
    @iddisuleman5717 5 лет назад

    👍🙌🎧 kubwa sana Mjengoni Band kama kawa safii kabisaaa #proudtobeamjengonifan
    🎶

  • @ghostgee2577
    @ghostgee2577 5 лет назад

    👌👍🙌🎶 DUDE LA HATARI Mjengoni Band MZIKI MKALI SANAA WAKUU

  • @juankisad5362
    @juankisad5362 5 лет назад +1

    🙌 Mjengoni Band 🔥🔥Ngoma kali Mjengoniiiii kama uko na mashida wewe ndo utadislike
    🎧🎶

  • @gitauwaithira5322
    @gitauwaithira5322 4 года назад +3

    Wooow these guys are amizing.. Nice songs. Was there in Cocoriko lounge and the performance was great. Keep it up 👊👊👊👊👊

  • @karimpalla6449
    @karimpalla6449 5 лет назад

    👍🙌 noma Sana Mjengoni Band ... Nawatch huku natikisa kichwaaaaa nakubaliiii
    🎧🎶

  • @othumanlorenzo260
    @othumanlorenzo260 4 года назад

    Balaa sana mjengoni

  • @solomondox5620
    @solomondox5620 5 лет назад

    🙏 video nzuri Mjengoni Band narudia replay😍😍😍 hapa
    🙌🎧🎶

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 2 года назад

    Bravo vraiment bon courage

  • @jabirhiba9421
    @jabirhiba9421 Год назад

    Babu Bomba

  • @tumainifrank8970
    @tumainifrank8970 5 лет назад

    👍🙏 Banduguuu kazi juu ya kazi Mjengoni Band mko juuu
    🙌🎶

  • @kombakomba7922
    @kombakomba7922 4 года назад +1

    Nice song,Big up mjengoni classic band.

  • @josephrobertsawe3597
    @josephrobertsawe3597 5 лет назад

    Mjengoni itabaki kileleni...

  • @sabasnassir456
    @sabasnassir456 5 лет назад

    👍 sawa sawa mmeni shikaaaaaaa Mjengoni Classic bigap to u guys
    🙏🙌🎧🎶

  • @samsonmalosha6517
    @samsonmalosha6517 5 лет назад

    👌🙏 kila mara muwe mnatupa video vizuri Mjengoni Classic nyimbo iko superrr
    🙌🎶

  • @MelodyMbassa
    @MelodyMbassa 5 лет назад

    Babu bomba 💥💥💥🙏🏾🙏🏾umetishaa humu 💥💥💥💥💥

  • @dazking6899
    @dazking6899 5 лет назад

    🎶 Tunakukubali sana tuu Mjengoni iko vizuri sana 😂😂😂...

  • @amanimosha839
    @amanimosha839 5 лет назад

    👍 Wakuu kazi juu ya kazi Mjengoni Band big yes
    🙏🙌🎶

  • @maleackfareed2785
    @maleackfareed2785 5 лет назад

    👍 nice one Mjengoni Band sasa wale wanaulizaga video njoooni hapa
    🙏🙌🎶

  • @hamzazola2571
    @hamzazola2571 5 лет назад

    👍 sana tuu Mjengoni tuna watch from Rock city
    🙏🙌🎶

  • @loshiyetambe928
    @loshiyetambe928 5 лет назад

    👌🙏 this wimbo is lit sana Mjengoni Band you deserve a presidental maaaaaaster
    🙌🎶

  • @xbasstonaofficieltv
    @xbasstonaofficieltv 5 лет назад +1

    Big up

  • @luchaxtz
    @luchaxtz 4 года назад +4

    sasa uyo anaebofya dislike hii ngoma imemkosea nn

  • @hajimakwinya4640
    @hajimakwinya4640 4 года назад

    Kitoko makasi

  • @VMGAfrica
    @VMGAfrica 3 года назад

    2021 #Classic

  • @dextermoses6607
    @dextermoses6607 5 лет назад

    👍🙌🎧
    🎶

  • @VMGAfrica
    @VMGAfrica 4 года назад

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @sosypande1956
    @sosypande1956 4 года назад +1

    Naomba hii video +254722776858 watsap

  • @esajackjack3032
    @esajackjack3032 5 лет назад

    Muda si mrefu street One radio itaanza kusikika kupitia HAPA>> zeno.fm/street-one-radio. Tunajua street One radio ina waskilizaji wengi ndio maana tunazidi kukuwezesha kuskiliza Radio yako kwa urahisi street One radio kiburudani zaidi KAA HUMO street One radio Ni moja tu duniani na ipo jijini dar es salaam Tanzania kupitia masafa ya INTERNET RADIO Station

    • @boscojames3957
      @boscojames3957 4 года назад

      Babu made:tajir nyeupe) music wa dans lzma urud mjengoni fanyeni kz wadau wa muziki huu tupo nyuma yenu kwnye kuurudisha

  • @andreamajura255
    @andreamajura255 4 года назад

    Huyu OPORUJI anajua sana, mjengoni mko juu sana