HOUSE GIRL EP 67 | S3 | LOVE STORY 💞💕

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии • 1,2 тыс.

  • @busatitv
    @busatitv  3 дня назад +86

    BONYEZA LINK KUJIUNGA GROUP LA WHATSAPP 👇
    chat.whatsapp.com/JyrN7hIxoagKiVTISAAdm0

  • @mickychuku6444
    @mickychuku6444 3 дня назад +373

    wangapi hawajapenda alichofanyiwa TASHA😢😢

  • @GilberthRajab-n4x
    @GilberthRajab-n4x 3 дня назад +315

    Tulioguswa na tukio alilofanyiwq Mr TASHA wangapi tujuane kwq LIKE hapa🎉🎉❤

  • @HidayaHamisi-w5k
    @HidayaHamisi-w5k 3 дня назад +328

    Tulo furahi danieli kujua ukweli like hap like zake danieli

  • @moizjohnston3841
    @moizjohnston3841 3 дня назад +150

    Waliogundua Daniel ana roho nzr gonga like

    • @SerenaKarembo
      @SerenaKarembo 2 дня назад

      Mie ata nmempenda siwez kuishi bila yeye😅😅😅😅

  • @ashrafghulam2561
    @ashrafghulam2561 3 дня назад +144

    Kipara mtelezo ndio alikua askar mpelelez na yy ndio mwenye ukweli wote wa chiko anae amni na mm tujuane apo kwa liki ❤

  • @christinewanga7385
    @christinewanga7385 2 дня назад +12

    Woow! Wanaofatilia Thamthilia ya house girl kutoka Season 1 mpaka tulipo kwa sahizi natumai tumejifunza mengi kuhusu kuishi na Jamiii, wazazi, marafiki na sanasana kwa lindi la Mapenzi na Mausiono, Asanteni saana Wanabusati T.v kwa mafunzo hayo, Mungu awajalie maisha marefu🙏🥳🥳🥳🥳

    • @JosephineJoneslucas
      @JosephineJoneslucas 2 дня назад +1

      Nikweli ndg namm nataman nipate mume niwe mtiifu na mnyenyekevu kwake niwe km Kai na zuu wamepitia mengi😥

  • @QweenNickson
    @QweenNickson 3 дня назад +109

    Walioumia kwa kitendo Cha Tasha kudhuriwa like hapaa please 😢😢 na waliofurahi pia Daniel Mdimu kuujua ukweli like hapa please 🥰🥰.

  • @HidayaHamisi-w5k
    @HidayaHamisi-w5k 3 дня назад +99

    Tulo sikitoshwa na Mr tasha like hapa

  • @MariamHamisi-ti9vb
    @MariamHamisi-ti9vb 3 дня назад +36

    Daniel mdimu umecheza kama wewe yaani 🎉🎉🎉🎉🎉mauwa yako brother alafu tasha brother mungu yupamoja nawe insha'Allah

  • @TedyTibalilira
    @TedyTibalilira 3 дня назад +64

    Wenye Iman Mr Tasha hajawah kipofu tujuane

  • @YoeliMakula
    @YoeliMakula 3 дня назад +82

    Tasha ni mtu wa kuvaa miwan daily Kwa iyo hata iyo tindikali Yao haijamqingia machon nione like zangu

    • @MalkaNinik
      @MalkaNinik 3 дня назад +2

      Pia mimi nafikuria hivyo haiwezi kumuathiri sana maana yuko namiwani

    • @SemeniJuma-vm9jd
      @SemeniJuma-vm9jd 2 дня назад +2

      Miwani imedondoka chini😢😢😢

    • @elitumainimathayo9405
      @elitumainimathayo9405 2 дня назад +2

      Unaijua kongo salfrck acid ww???

    • @vivianoscar9344
      @vivianoscar9344 2 дня назад

      Conko sulphuric acid asinge jalibu ata kujikuna ni anaungua tyu

    • @NameMe-c8l
      @NameMe-c8l 2 дня назад

      Askali ni kipara​@@elitumainimathayo9405

  • @Flomena-s5k
    @Flomena-s5k 3 дня назад +83

    Wanomchukia kina chiko pigeni like tukisonga😢😢😢😢😢😢😢

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq 3 дня назад +182

    Zuuuu amejifungua kabla ya Maria wa jua kali Maria amebeba mawe ayakui nani anakubaliana n mm like apa

    • @TheresiaEliazary
      @TheresiaEliazary 3 дня назад

      😜😜😜

    • @RoseJoseph-e7l
      @RoseJoseph-e7l 3 дня назад +4

      Kbsa yaan jua kali washa anza kunikera na mimba yao

    • @OmanBd-s7z
      @OmanBd-s7z 3 дня назад

      Hii inaisha lkn jua kal ni isidingo haishi Ile Leo Wala kesho

    • @safiahignas1553
      @safiahignas1553 3 дня назад

      Hamlali jamani mnawah

    • @zainabkutwaa3327
      @zainabkutwaa3327 3 дня назад

      Kwa kweli ileo nime uliza miba ya maria wa jua kali ina karibia mwaka sai

  • @DoktaGidawida
    @DoktaGidawida 3 дня назад +45

    Chiko chiko chiko ??????? Ubaya wote utakurudia mara mbili yake 😊😊😊😊😊

    • @FinindyFiana
      @FinindyFiana 3 дня назад

      Chiko atapigwa na kitu kizito huyo😂😂Sina huruma nae

  • @ImeldaKabby
    @ImeldaKabby 3 дня назад +75

    Tunao tamani Mr chiko afungwe gongen like za kutosha

  • @JovinDominic-n4g
    @JovinDominic-n4g 2 дня назад +5

    Duh ya Leo nzuri sana ukija huku ukweli umegundulika ukigeuka huku ndoa ukigeuka huku tuko na furaha ya mtoto was so amazing 🎉

  • @AminathabitKihanga
    @AminathabitKihanga 2 дня назад +43

    Mnaoamini kama kipara mterezo alibadirisha tindi kali na ndie askari mpelelez gonna like

    • @abidandastanmaliyatabu1373
      @abidandastanmaliyatabu1373 2 дня назад +1

      Wewe unaonekana ni sipai

    • @faigel
      @faigel 2 дня назад

      Yni hpo umeongea kitu ya maana,hayo ni maji tu ya pili pili ama teargas lakini sio acid,,asikari mtelezo ashaa Fanya Ile kitu

    • @MartinaAgustino-fp5eo
      @MartinaAgustino-fp5eo 2 дня назад

      Ndio maana nilisema kipara mtelezo ana macho ya kipelelezi mwangalieni vzr

    • @nasrangatanda
      @nasrangatanda 2 дня назад

      Umenipa moyo sana mungu akubalik sana

  • @salamamwazuma315
    @salamamwazuma315 3 дня назад +35

    Ama kwel mbio za sakafuni huishia ukingon 😅😅 chiko master habari yko kwisha tuliofuraia chiko kutiwa mbaron tujuane 😁😁😁💃💃

    • @aishahamis1609
      @aishahamis1609 3 дня назад +1

      Kwishaa sheria imemfikia

    • @ywydhhd7941
      @ywydhhd7941 3 дня назад +2

      ​@@aishahamis1609😂😂😂atoe milioni 5 zetu za kazi kwanz ndio aende jera 😂😂

  • @rahmadaudi-u7d
    @rahmadaudi-u7d 3 дня назад +24

    Mungu awabariki sana ndugu zangu wote tunaoangalia house girl pia tukumbuke kufanya toba na mungu awape maisha marefu team gulf wote❤❤❤

  • @SomyaS-q9t
    @SomyaS-q9t 3 дня назад +22

    Bila shaka huyo askari ni kibara mtelezo japo sija onasura😂😂😂😂 kama mnakubaliana namimi gonga like Yako hapa

  • @MaryMbithi-nw5sr
    @MaryMbithi-nw5sr 3 дня назад +23

    Kipara die askari wangapi tunakumbaliana ila sjapenda alichofanyiwa tasha nimeumia ady nasahau ni movie maua yenu hayo busati 🎉🎉🎉🎉 🇰🇪 twawapenda

  • @WardaKambi
    @WardaKambi 3 дня назад +30

    Nahis askari wenyewe kipara mterezo😂😂. Wanaokubar tujuane 👆👆

    • @ElizabethBanda-p4i
      @ElizabethBanda-p4i 3 дня назад +1

      Anaeamini kipala mtelezo ni huyo Askali like twende sawa

  • @Najima-r6r
    @Najima-r6r 3 дня назад +70

    Kipara mtelezo kumbe alikua mpelelezi 😂😂😂chiko kaisha mamaae kama umependa like hapa 😂😂😂😂

  • @janeburu6538
    @janeburu6538 3 дня назад +11

    Chiko nenda ufugwe ulipe vyenye ulifanya alafu zuu n'a Kai hongeleni kupata mutoto wa kiume❤❤

  • @Dorcas-w2b
    @Dorcas-w2b 3 дня назад +19

    maskini tasha wetu 😢😢chiko ipo siku yako utakuja kulipa kila kitu ww 💔💔💔💔💔💔

  • @Regina2000Nelson
    @Regina2000Nelson 3 дня назад +20

    Sema busati mnatukosea san saivi mnachelewesha kutuwekea movie😢😢mnaoungana namimi like please

  • @EstherJames-z1h
    @EstherJames-z1h 3 дня назад +32

    Wakwanza kutoka kenya. Mnipe like basi

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 3 дня назад +19

    Mumenichanganya🙆sijui niende sipitali nkaone Tasha,sijui niende sipitali nkaone zuu,sijui niende maulidini kwa kibendu🎉😂😂

  • @saudangambo8711
    @saudangambo8711 3 дня назад +12

    Tulio furahi Chiko kufail kwenye mission zake ❤ na Daniel kujua ukweli gonga like ❤😂

  • @AminaNgumba
    @AminaNgumba 3 дня назад +33

    Mshanikera yaan busati yaan tasha jmn loooh mmeshaharib

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 3 дня назад

      😂😂😂😂usikereki ndoivo lazima apitiye mitihani

  • @FinindyFiana
    @FinindyFiana 3 дня назад +13

    Huku sherehe ya ndoa,huku furaha ya kuzaliwa kwa mtt na huku maumivu ya tasha kumwagiwa tindikali😮😮😮,, mshukur mung kwa kucheka leo, wengine wanalia mpaka sasa

    • @susanchebet3298
      @susanchebet3298 3 дня назад +1

      Umesahau chiko na Jordan, humu tu humu tu 😅😅😅 Jordan ameambulia patupu hamna chal milioni wala senti

    • @busatitv
      @busatitv  2 дня назад

      ❤❤

    • @sharonbhoke-hk2my
      @sharonbhoke-hk2my 2 дня назад

      ❤❤❤

  • @MinnahOmary-p3r
    @MinnahOmary-p3r День назад +2

    Hongera Zuu a k mama Sair 🎊🎊🎊🎊

  • @faigel
    @faigel 2 дня назад +4

    Uzuri nikwamba askari mtelezo ashaa change ile acid akaweka teargas so mr tasha haitamuaffect,kwa ivyo mr chiko commission yake imefeli

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 3 дня назад +8

    😢😢bora huyu kaka kajuwa ukweli pole tasha masikini kai ungejuwa mwezako kapatwa natatizo

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 2 дня назад +3

    Chelewa ufika aki kumbe huyu Daniel anaroho nzuri hivi,chiko n sukwandi yake jela bila huruma bt pole sana Tasha,na pia kugesi huyu askari n kipara mtelezo 😅😅😅

  • @ShillaVennesa
    @ShillaVennesa День назад

    Well done, Daniel mdimu and congrats to Zuu and ba Sahil💓🎉🎉🎉🎉🎉💓

  • @Soone123
    @Soone123 2 дня назад +2

    Tasha pole saan jamn utqon kwel Huyu Chiko kashakufany kuwa kipof zatity vumiliq saan Mamy Kai zuuh hogeren saan kwakutuleta saheel wetu kibendu nakeina tunawatakia ndoa njmea inshallah 🙏Chiko Kweli Kwenda Yako kaozee sengelea uko ubay unamwisho wake Sasa Acha yakukute

  • @IldaRafaelElias
    @IldaRafaelElias 3 дня назад +2

    Chico chico chico,uko chini ya urizi,patamu apo, from Mozambique 🇲🇿🇲🇿.

  • @ManfeitaShahbani
    @ManfeitaShahbani 3 дня назад +18

    Jodan na chiko mtalipia mabay mnayoyafanyaj ,chiko ckupend na tabia zako

  • @EstherMlawa-ud9ku
    @EstherMlawa-ud9ku 3 дня назад +2

    Huyo anaingia ukute ni yule Mr. Upala kamtumia weee bila kujua kazi yake ahahah acha nisubiri ijayo. Chiko kwisha habari Yako.
    Pole Kwa Mr Tasha. Hongera Mr.& Mrs Kai kupata kidume.
    Pongezi nyingi Kwa Daniel Kwa kujua ukweli wote na kuto kufumbia macho maovu.

  • @Hellen-l9o
    @Hellen-l9o 3 дня назад +2

    Wooow Ngoma ni zuri Hadi nimefurahi l love you all members ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hamisuuhamadi1663
    @hamisuuhamadi1663 3 дня назад +5

    Msijifanye huyo kaka anae cheza dufu hapochini na kugargar hamjamuona 😂😂😂

  • @ElinahChama
    @ElinahChama 3 дня назад +2

    Dhaaa pole tasha mungu akufanyie wepesi upone hakikaa huyo chiko atakipata cha mtemakuni na afungwe maisha simpendi chiko mie

  • @Teresia-bg9dt
    @Teresia-bg9dt День назад +1

    Woiiiie kaka nyangu Tasha pole sana 😭😭

  • @Mystery79969
    @Mystery79969 3 дня назад +5

    “Humu tuu humu, humu tuu humu”😂😂 mbona nilicheza nao🤣

    • @fideliafaida1247
      @fideliafaida1247 2 дня назад +1

      Hata mm nimewasaidia kwan kuna shido😂😂😂😂😂😂

    • @Naima-v6v
      @Naima-v6v 2 дня назад

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @UpendoHeri
      @UpendoHeri День назад

      Haahahaha

  • @JoyceKayombo-y3g
    @JoyceKayombo-y3g 2 дня назад +1

    Tuliofurahishwa na chiko kuadabishwa tujuane hapa kwamakopa kopa❤❤❤❤
    Bila shaka kipara mtelezo ndo askari 😂😂

  • @soleilm823
    @soleilm823 3 дня назад +5

    Kutoka Burundi🇧🇮🇧🇮soleil nawapenda wakaka nzangu nawa dada zangu

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 3 дня назад +1

    Busati nawapendea venye matokeo mengi yako real 👏 yanaleta uhalisia...harusi zenu,kama ivo zuu kujifungua yani mpo 🔥 🔥 🔥

  • @careymariahhhh
    @careymariahhhh 3 дня назад +3

    Daniel mdimu anajua sana next project awepo movie ifupisheni iishe mtoe mpya muwepo wote

  • @FarhhFarhh
    @FarhhFarhh 2 дня назад

    Zoo, kai ongela kwakumpata mtoto wakiyume tasha pole mwanawume jasili ufia vitani nakushukur kwakupambaniya penzilako afuchiko uyomudA unapoteza kupiganiya mukesiyo wako tafuta ngumba kama wewe. Zatiti nakupongeza kwakuwa mwanamuke jasili nakupenda sana ❤❤❤❤❤

  • @MohammadSwaghir
    @MohammadSwaghir 3 дня назад +9

    Wakwanza jaman ndoa tunayo hatuna❤

  • @ESHAMWAKIVUMBA
    @ESHAMWAKIVUMBA 2 дня назад

    Pole sana Mr Tasha. Chiko umekwisha baba. Sasa nenda segerea ukale maharagwe mabichi. Tena ufungwe maisha maana huna maana kabisa. Zatiti muombee baba rujaina apone Kwani dua ya mke Kwa mume hupokelewa haraka

  • @SarahCharls
    @SarahCharls 3 дня назад +3

    😂😂😂😂yaan apo Kwa zuu utafkir ni live kabisa et amejifungua dume Tena linene na Kai alivolipokea utafkir sio movie ni live du Hadi nemependa

  • @zippyzippy6292
    @zippyzippy6292 2 дня назад +1

    Congratulations zuu and Kai I like this couple 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AsiaJasphone
    @AsiaJasphone 2 дня назад +3

    Hata japokuwa ni mvi chiko nakuchukia sikupendi munaekubaliana na mm like nyingi😂😂😂😂

  • @JaneAndason
    @JaneAndason 2 дня назад +2

    Duuu madactar wamenikumbusha Mbali Sana jaman zuu hongela yake Tim zuu oyoooo

  • @EsterWachota
    @EsterWachota 3 дня назад +4

    Nafulahi daazuur kujifungua salama ❤❤❤

  • @mariammwinyiali
    @mariammwinyiali 2 дня назад

    House girl inazidi kuwa moto haky❤❤Leo nmefurai SANA kipochi manyoya chiko aende gerezan Nina furaha sana we kipochi manyoa chiko enda upumzike bana.. bila shaka askari mpelelez ni kipara mtelezo 😂😂❤big up Wana house girl 🎉🎉🎉🎉

  • @KizaWilondja-t7g
    @KizaWilondja-t7g 3 дня назад +14

    Watu hamlali kwa sekunde 30 nimekuwa wa 15

    • @FinindyFiana
      @FinindyFiana 3 дня назад

      Kila cku nawaambiaga kua house girl hainaga no 1😅😅

  • @PriscaKagendo-w7q
    @PriscaKagendo-w7q 2 дня назад

    Chiko🎉 kimekuramba vabaa, mr Tasha pole sana mungu😢akona ww brother kai na zuuu ongera sana 🎉🎉🎉kwenu

  • @fadhilalungwisha
    @fadhilalungwisha 3 дня назад +3

    Jaman tasha Mungu akuponye like bhas wapendwa

  • @UwingabiyeEsperance-c2p
    @UwingabiyeEsperance-c2p 2 дня назад

    Waaaaahhh yaani nimeanza kufurahi ki ukweli kubona chiko mambo yake yote yameanza kufeli na kuwekwa wazi ,Kai hongela zako kupata mtoto na zuu

  • @KissaMwakilembe
    @KissaMwakilembe 3 дня назад +2

    Nimefulai mabaya ya chiko yote kujulikana jamani ❤❤❤❤ naomba lake zangu

  • @SakinaAbdallah-mo4dh
    @SakinaAbdallah-mo4dh 2 дня назад

    Hapo kwa kupush mtoto ZUU nakupa🌹ume act vizuri sana congratulations 👏👏❤❤

  • @CharityGilla
    @CharityGilla 3 дня назад +8

    Nimejikuta nalia baada ya mr tasha kufanyiwa kitendo cha kikatil namna ile ah😢😭😭😭😭chiko hyo roh dah h😭😭😭🙄

  • @hffh7717
    @hffh7717 3 дня назад

    Congratulations zuu kwa kumhelimiza Kai pia congratulations kaka kipendu wacha mungu akuongoze kwa Safari hiyo ya maisha

  • @KilaindmbapeJnior
    @KilaindmbapeJnior 3 дня назад +5

    Waliyo penda chiko kukamatwa tujuwane kwenye like

  • @VicentPaschal-w7x
    @VicentPaschal-w7x 3 дня назад

    Afadhali Chiko kaingia kwenye mtego "mbio za sakafuni huishia ukingoni " Mr. Tasha Mungu yu pamoja nawe utapona. We love you all participants in this series from BUSAT TV kazi yenu ni njemaa!!!🎉🎉🎉🎉

  • @Saumu254
    @Saumu254 3 дня назад +15

    Mwenzenu nkimuona chiko naskia kutapika nyongo😅😅😅😢😢😢😢😢😢😢

    • @FaisalAlrefai-u2y
      @FaisalAlrefai-u2y 3 дня назад +1

      Ela hauna kitu chake 😂😂😂😂😂

    • @Saumu254
      @Saumu254 3 дня назад +1

      😅 weeeh anikome sije nkazaa kma yey😊😅😅😅​@@FaisalAlrefai-u2y

    • @FaisalAlrefai-u2y
      @FaisalAlrefai-u2y 3 дня назад +1

      @@Saumu254 😂😂😂

    • @lailatumhessi-cd4kh
      @lailatumhessi-cd4kh 3 дня назад +1

      Had Kuna mda naoma movie mbaya

    • @JescaYusuph-m4y
      @JescaYusuph-m4y 3 дня назад +1

      na sio nyongo tu, mpaka figo😂😂😂

  • @IrangiBintu
    @IrangiBintu 2 дня назад

    Pole tasha utapona Chiko sasa ni muda sahihi kuozea jela Hongera nyingi kwa kay na zuu kwa kupata mtoto

  • @MinnahPetra
    @MinnahPetra 3 дня назад +8

    Wangapi wanajua uyo askari ameingia ni kipara mtelezo wagonge like hapa tujuane

  • @EvethaSimba-i1c
    @EvethaSimba-i1c 2 дня назад

    We daniel kwnn hujaenda nyumbani kwa tasha umueleze mpango wa chiko hadi amemzuru jamani Tasha wetu😭😭Chiko awae kwa upanga nae atakufa kwa upanga Kai acha kulaumu limemkuta jambo mwenzio njiani,Sijapenda na nimeumia sana kwa alichofanyiwa tasha,Hongera tasha kwa kuwa baba basi bibi zuu msaidie Tasha wetu,Jamani chiko kimekuramba hapo huchomoki,Jordan ulizarau maneno ya sania sasa tamaa imekuponza,hongera daniel kwa kuwa upande wa tasha

  • @SuzanJilala
    @SuzanJilala 3 дня назад +13

    Busati mnajua kutufurahisha Mimi kama Mimi sijutii mda wangu Kwa kuangalia house girl hakika mpewe maua yenu mmejua kufundisha jamii , kuelimisha na kufurahisha🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @urbanusmasilah
    @urbanusmasilah 2 дня назад

    I like Chiko's side of humour. Ati, "Mungu katutendea wema" 😂😂😂

  • @DolinKavishe
    @DolinKavishe 3 дня назад +11

    Nimewai jomon like hata 5 tu

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin 2 дня назад

    Nimeumia Tasha pole utapona kwsb unamwamini mungu zuu hongera my dear from Oman nawapenda ❤❤❤

  • @ElizabethMumbi-c6x
    @ElizabethMumbi-c6x 3 дня назад +4

    Mimi Leo hata sitaki kuongea kitu Niko na hasira nahuyo chiko naweza kutana naye Barabarani nikamuweka Kofi la uso

  • @AloyceLukas
    @AloyceLukas 7 часов назад

    Hongera Sana da zuu mungu awazidishie ulinz🎉🎉🎉🎉

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 3 дня назад +4

    Mbn tamthilia ishakua mbaya why tasha amwagiwe tindi kali😢😢

  • @HappyWelldone-x9t
    @HappyWelldone-x9t 2 дня назад

    Leo nimefurahi sana hatimay leo uongo na mbaya, uliojificha ,katika ukweli mambo yote yamewekwa wazi👏👏

  • @PendosimonDenis
    @PendosimonDenis 3 дня назад +3

    Wangapi wamemuona kaii naa zatiti kwenye connection simema zetu

    • @irenestephen399
      @irenestephen399 3 дня назад +1

      Nimeona house girl yote imehamia connection yupo chiko mama tasha baba Kai Kai mwenyewe na keina

    • @JosephineJoneslucas
      @JosephineJoneslucas 2 дня назад

      ​@@irenestephen399kumbe km wamepata shavu uko bas wameendelea

  • @ChinyavuMkuta-m4z
    @ChinyavuMkuta-m4z 3 дня назад +2

    Zuu congratulations 🎊 👏 Mr tasha pole

  • @meryJoel-h7h
    @meryJoel-h7h 3 дня назад +5

    Nalia kwa ajili ya tasha c mwingine

  • @doreenkimaro6926
    @doreenkimaro6926 2 дня назад +1

    Daah nimefurahi sana sanaaaaa Chiko kukamatwa mualifu mkubwa nenda kaozee jele usitoke kabisaaaaaaaaaaa mliofurahia pia gonga like hapa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Mariam-u6z6f
    @Mariam-u6z6f 3 дня назад +2

    Chiko hautaiona pepo kabisa na utakufa vbya sana

  • @EverlinNamalwa-ml4oe
    @EverlinNamalwa-ml4oe 3 дня назад

    Congratulations zuu Na Kai,, pole sana zatiti

  • @gentille1766
    @gentille1766 3 дня назад +1

    Kwali mimi nimesikitika kumuona mr tasha 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @كامليا-ر7ز
    @كامليا-ر7ز 3 дня назад +2

    Tumshukuru mungu Daniel mundima ashajua chiko n mrongo ila pole Sana mr tasha

  • @MELVINBBY
    @MELVINBBY 3 дня назад +2

    Mm niliwapa ushauri kwamba CHIKO mmutupe baharini akaliwe na mamba hamkuskia ona sasa anavyokera lione komwe lile

    • @neemanzemba9277
      @neemanzemba9277 3 дня назад +2

      😂😂😂😂chiko akaliwe na mamba🎉🎉🎉

    • @MELVINBBY
      @MELVINBBY 3 дня назад +1

      @ walai tena😂😂😂

    • @FaridaAbushirMussa
      @FaridaAbushirMussa 3 дня назад

      😂😂😂😂

    • @neemanzemba9277
      @neemanzemba9277 3 дня назад

      ​@@MELVINBBYanafaa aliwe na papa mwenywe uyo madevu😂😂😂😂😂

    • @MELVINBBY
      @MELVINBBY 3 дня назад +1

      @@neemanzemba9277 anaboh nakwambia yaani nikieza pata chance ya kuingia hpo ndani ni makofi tu hadi akili imkae😂😂😂

  • @MaimunaNangabo
    @MaimunaNangabo 2 дня назад

    😊😊 congratulation Kai kwa kutuletea baby boy 😊😊may God bless you dady sahil😊😊🎉🎉❤❤❤❤

  • @Hapygideon
    @Hapygideon 3 дня назад +3

    Masikini tasha😢😢😢

  • @Haleema-dg5bo
    @Haleema-dg5bo 3 дня назад

    Hongera sana Daniel kwa kuwa mwelewa haraka , Naomba Chiko akufie jele shenzi sana , aki leo nmeshindwa na kula kwa Mr Tasha jamani Nmejisikia vibaya Pole sana Zatiti wapitia wakat mgumu , na hongera sana Zuu kwa kutuletea ka Bby Boy ❤

  • @Lucy-v3y
    @Lucy-v3y 3 дня назад +2

    Jamani mr tasha nakuombea

  • @AAl-r1s
    @AAl-r1s 3 дня назад

    baadhi ya wanaume wako kama chiko ukiwa nae hakushuulikii Hana haja naww ukipata mtu sahihi kwako anaana kukufatilia na kukuaribia mungu atuepushe na wanaume kama chiko inshallah hongera busati tv kwa kazi nzuri

  • @MohammedshuNguya
    @MohammedshuNguya 3 дня назад +8

    Leo nimewai japo like 5😅

  • @VentaViolet
    @VentaViolet 2 дня назад +1

    Alleluia ❤chiko wahenga walisema naam hakuna ncha yasiyokuwa na mwisho😅😅❤ kama mnakubaliana na mumi mnipe like zangu❤🎉

  • @mauamshindo2558
    @mauamshindo2558 3 дня назад +2

    Askari ni kipara mtelezo 😂😂😂😂

    • @JoyceKichele
      @JoyceKichele 3 дня назад

      Hata mm nahisi kipara niasikali pia tash atakuwa hajamwagiwa tindikali Kam kipala niasikali bs atakuwa alimshitua Tasha kiain afu mchezo ukachezwa Tasha nakipara ila sin uhakika

    • @سعدههوام
      @سعدههوام 3 дня назад

      Ndio yeye 😂😂 imeishia patam kipara mterezo alikuwa ana wa pelelez😅

    • @mauamshindo2558
      @mauamshindo2558 3 дня назад

      @@JoyceKichele ndo ivyo ivyo producer joyce 😂🙌

    • @سعدههوام
      @سعدههوام 3 дня назад

      @@JoyceKichele na iwe ivyo duuuuh

  • @AdelaideWanyonyi
    @AdelaideWanyonyi 2 дня назад

    Asante sana danie kwa kujuwa ukweli Mr tasha mungu siku zote chiko mm nataka hata ukufe na uko

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz 3 дня назад +2

    Wakwaza leo naombeni laki zenu