Ushindi asante sana kwa kazi nzuri unayofanya MUNGU akubariki na akuzidishie sana nilitamani kujifunza kikorea mda mrefu lakini nimefurahi kumpata mwalim mzuri shukrani sana ushindi
unatisha sana mrembo uko vizur san kiswali chako kiko vizur taechar unaelewa san walimu kama nyie ndoo tunaitaji hapa bongo sio hawa mataechar wa mchongo
Nimejifunza maneno mengi ya kikorea. Asante kwa video
Ushindi asante sana kwa kazi nzuri unayofanya MUNGU akubariki na akuzidishie sana nilitamani kujifunza kikorea mda mrefu lakini nimefurahi kumpata mwalim mzuri shukrani sana ushindi
Wao nilikuwa wapi mimi, Napenda sana kikorea lakini natumai nitaweza Nakukubali sana mwalimu wangu🙏🙏
Good job
Mwalimu wangu katika maisha yangu yote. Nina matumaini sikumoja nitaongea kikorea vizuri kupitia ufundishaji wako mzuri. Nakupenda sana Teacher👍❤🌍
Nakushukuru sana🥰🙏
💯👊
Nice dear I'm oficialsevan
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Jamani natamani tue marafiki unifundishe zaidi ❤❤
Sawa ñakubal
Natamani nami ningefahamu zaidi Kikorea. Nakipenda sana sema sikifahamu😢
Shikamoo dada ushindi
Nzuri sana asante
Miss u
오오오오 대단하시네요 저도 2년전부터 스와힐리어를 시작했는데 저보다 더 잘하시는거같아요 🙈😭😂🙏
와우 2년이나! Karibu sana
@@복숭아쌤 네, 하지만 지금은 말을 잘할 수 있습니다. 지원해 주셔서 감사합니다. WhatsApp 그룹 및 상태에서 RUclips 채널을 홍보하겠습니다. 😍
Mambo ushindi
Nimejua ..tu bwayo tu apo
USHINDI MIMI NI WAKWANZA KUKUSKIZA ❤️
Karibu sana😆
우리에게 한국어를 가르치는 데 자원한 당신과 같은 좋은 자매가 있어서 너무 기쁩니다. 저는 이 언어를 정말 좋아합니다. 당신의 말을 듣게 되어 기쁩니다. 하지만 아름다운 자매 중 한 명을 구하고 있습니다.
Natamani kujifunza kikorea jamani
Hi ushindi
Mkolea ushindi upowapi mbona kimnya
Mambo mimi kakuzuwa jinalako mimi natakakujifuza kikoreya
Umepotea siku nyingi ila leo nimefurahi sana kukuona tena
Nafurahi pia😆
@@복숭아쌤 Jonh
Mimi nafahamu Anaa tuu see nee na Anyashimika tuu
Tujifunze pamoja 😊
@@복숭아쌤 Asante dada
@@복숭아쌤 👋👋👋👏👏🤝✍️
naomba nifunze lugha hiyo samahan
unatisha sana mrembo uko vizur san kiswali chako kiko vizur taechar unaelewa san walimu kama nyie ndoo tunaitaji hapa bongo sio hawa mataechar wa mchongo
Apo sasa mbona ngumu kutamka ..tunafanyaje kulainisha ulimi .
종 는 나 쁜 사람 입니다 하하하하하 najalibu2
Naomb namba ako tuwasiliane whatsapp wew n mwalimu wangu
Nimejua ..tu bwayo tu apo