VILIO MWANANYAMALA: MJUMBE AGEUZIWA KIBAO, MJENGO WAUZWA MILIONI 90 “WASIOJULIKANA”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 231

  • @jozamsolomon4002
    @jozamsolomon4002 6 часов назад +14

    Duh angekuwepo Jerry Slaa ingekuwa simple.

    • @JitihadaRashidi
      @JitihadaRashidi 36 минут назад +1

      Yan vile nataka niandike Tu Jerry Slaa nakutana na comment yako KWELI JERRY SLAA NI MWAMBA serikali ifanye KAZI yake Haki ipatikane

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 6 часов назад +20

    Mama Samia ingilia kati swala ili mama etu ni mama Samia ❤❤❤❤❤

    • @FrenkMushi-i7f
      @FrenkMushi-i7f 5 часов назад +2

      Mama Samia awezi ingilia katiii watu wanakufa Kila cku

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 7 часов назад +18

    Mjumbe mjumbe jmn dah!!! Uyu kaka mbona ana roho mbaya hivo

    • @MahamuduAbasi-o1n
      @MahamuduAbasi-o1n 5 часов назад

      Kwahiyo kama mtendaji ameshiriki bila kukushilikisha unaweza kukuta kuna mkubwa mzito anayetaka kuinyanganya.

  • @sebastianthadeus5270
    @sebastianthadeus5270 19 минут назад

    Tanzania ni nchi ya hovyo sana mwenye Hela anakuwa kama Mungu mdogo !!!!

  • @MariamAbduly-g6v
    @MariamAbduly-g6v 6 часов назад +6

    Iv hawa watu wanaojifanyaga kutumia pesa zao hili kudhulumu haki za wenzao wanatoka wapi n a wanajiamin nni aswaaa kushindwa kumuogopa ata mwenyezi mungu😢😢😢 walah inaumiza sana Mungu pigana nao wote walioshiliki kumuumiza huyu dad kupitia hili mmi sipeendagi kabisa dhuluma ktk maisha yangu😢😢😢😢Nashtaki kwa mungu walah tena

  • @ReyuuAli
    @ReyuuAli 4 часа назад +7

    Hiiii kesi kaka ndo mwenye makosa benki ndo ilouza nyumba dah

  • @RahemaJumany
    @RahemaJumany 7 часов назад +9

    Jikatae tu Dada angu urithi huu hapana kama ni haki yako mama ipo itakufata tu never give up sister angu nenda kaanze maisha upya haki haipotei Bure be strong

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 7 часов назад +11

    Kaka yenu mbaya sana naUongoz ulioshiriki

  • @modestamodesta3940
    @modestamodesta3940 33 минуты назад

    😭😭😭😭mama angekuwepo daaaah mama sikia kilio Cha mwanao

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 7 часов назад +5

    Pole sana mpenzi. Staki kuwaza huo mtihani unao pitia.

  • @swalehaltooq5233
    @swalehaltooq5233 7 часов назад +11

    Haya mambo Mbona kila mara yanatokea serekali iko wapi kwenye mambo kama haya lazima viongozi wajipange kwenye maswala kama haya ya urithi mtoto mmoja wa familia hawezi kuuza nyumba ya urithi ikiwa wengine wapo bila wao kutidhia na sahihi zao na wajitokeze siku ya mauzo

    • @CristinLyanga
      @CristinLyanga 2 часа назад

      Shida ni hawa wenyevit wa mchongo..

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 8 часов назад +14

    Milioni 90 ni mchicha? Janaume xima badala litafute vyake ladhulumu dada xake.

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 6 часов назад +6

    Tanzania nchi ya ajabu sana leo siku ya tatu viongozi wamekaa kimya kama hakijatokea kitu 😭😭

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 Час назад +1

    Mjengo mashallah mwanamke wawatu alipambana kuwaachia watoto wake kivuli

  • @aluneanthony3468
    @aluneanthony3468 Час назад +1

    Huyo kaka duh😭😭😭kuwazunguka ndugu zake jmn duh

  • @AshaMwamba-m5x
    @AshaMwamba-m5x 5 часов назад +3

    Ingeuzwaa zaidi ya hapo wakapewa kilichobaki wakawapa , jamanii watoto. Wakiume fanyeni kazii

  • @SalumMohamed-x6g
    @SalumMohamed-x6g 4 часа назад +5

    Huyo aliyenunua nae jau alunanunua nyumba yenye mgogoro

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 8 часов назад +14

    Uridhi huu ni shida sn kk mkorofi sn afungwe

  • @elizabethkikoti7265
    @elizabethkikoti7265 2 часа назад +1

    Mama samia mrudishe waziri jerry slaa JAMANI alikua ana tatua matatizo ya wananchi

  • @Aisha-t2q
    @Aisha-t2q 5 часов назад +2

    Yan mimi nilivyo na hasira huyo kaka angekua kaka angu mimi. Tungegawana majengo ya serikal

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 7 часов назад +5

    Wasiojulikana warudishiwe Hela zao sasa hiyo familia itaishije? jamani..Serekali angalieni Kwa jicho la pili.

  • @tiffah9234
    @tiffah9234 5 часов назад +3

    Jamani mali kaka hakujali utu wa wadogozake

  • @farahali6041
    @farahali6041 7 часов назад +10

    Ndio mana sipendi nyumba zauridhi kabsa ndugu sisi tunatabu sana

    • @VictoriaZakaria-d3n
      @VictoriaZakaria-d3n 6 часов назад

      Kwakweli

    • @OmanOman-dd5qk
      @OmanOman-dd5qk 3 часа назад +1

      Faraha upo sahihi tafuta chako yani hamuwezi wote mkawa sawa mmoja lazima atakua chizi

  • @msakadoobongeladada-uh3sk
    @msakadoobongeladada-uh3sk 6 часов назад +11

    naamini waziri wa ardhi yuko vizuri ktk kesi km hizi na akipata hii taarifa atamaliza kwa haki

    • @ReyuuAli
      @ReyuuAli 4 часа назад

      Apo ingekuwa yule slaa lingekuwa limeisha hili mbona

    • @PrincessMaryam-c1r
      @PrincessMaryam-c1r Час назад

      Kwani uyo sila kwa xx yuko wapi I?

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 5 часов назад +1

    Pole sana Mungu aingilie kati haki ipatikane🙏🙏

  • @masikaboniphace3643
    @masikaboniphace3643 8 часов назад +7

    Hapo shida IPO kwa kaka yake

  • @AshuuuBakari
    @AshuuuBakari 6 часов назад +4

    Jamani tufiche hati. Hakikisha unaficha hati hii itakuwa imeuzwa kwa hati kabisa

  • @EstherElias-u8o
    @EstherElias-u8o 6 часов назад +2

    Tatizo la kuzaliwa na ndugu mmojawapo kichaa mvuta bangi hatari sana yani naona kabisa huyo kaka ni mshenzi sasa kama unauza si mgawane iyo ela ili kila mtu afe na chake sasa hapo uyo kaka inamana ananufaika peke yake pumbavu zake

  • @pancrasmalamla9799
    @pancrasmalamla9799 3 часа назад

    Nchi nyingine mjumbe angechukuliwa hatua Kali tena na kufungwa kabisa hii ndio Tanzania ila ipo siku Mungu ATAWALIPA

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 8 часов назад +6

    Poleni saana duh

  • @HusseinMwatende-ws1nt
    @HusseinMwatende-ws1nt 7 часов назад +4

    Hapo hamna tatizo mwambieni devi arudishe pesa ya watu

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 7 часов назад +13

    M 90 ela ndogo ukilinganisha na thamani ya eneo

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 6 часов назад +2

    Wee mtangazaji nae kwani notice atapewa mjumbe si wanapewa wanaoishi ndani ya nyumba

  • @jovinmancomedytz
    @jovinmancomedytz Час назад +1

    Uyo kaka yenu atakufa kifo kibaya sana siyovizuri nirahana tu

  • @DullyTz-z4w
    @DullyTz-z4w 6 часов назад +7

    Ukiondokewa Na wazaz Mkapata Bahat ya kupewa urithi wa pamoja. Bola Muuze Kila mtu asepe na ela yake. Hii Inaumiza aisee. Unalia unakumbuka Na alie fariki 😭😭😭

    • @happynesbaemuhappynes8813
      @happynesbaemuhappynes8813 5 часов назад +1

      Kweli kabisa

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 5 часов назад +1

      Hakika ndugu yangu nyumba ya urithi uzenu fastar kila mmoja afe na chake

    • @DullyTz-z4w
      @DullyTz-z4w 5 часов назад

      @@FatimaAli-of4gh. Yes Watu uwa tunaingiwa tamaa unadhurum wenzio. Kuepusha mengi bola iuzwe Yan Dah😭

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 5 часов назад +1

      @@DullyTz-z4w nimekuelewa ndugu yangu nimelia na huyo mwanamke mwenzangu anaenda wapi gafura hivo😭😭

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 2 часа назад

    Watoto wa kiume mara nyingine huwa ni mzigo mnoo,huwa wanauwaza pesa tuu na ndiyo maana wengi huwa mariooo😢😢😢

  • @gervaslukaya
    @gervaslukaya 5 часов назад +2

    Dada wa watu anaumia sana mpaka anakumbuka mama yake asije akajiua tu

  • @HusseinMwatende-ws1nt
    @HusseinMwatende-ws1nt 6 часов назад +6

    Hapo jamani sio samia,mda mwengine tupunguze mizigo kwa serekali,ALO WEKA RAHANI NYUMBA NI KAKA WA FAMILIA.MSHIKENI DEVI ARUDISHE PESA YA WENYEWE TATIZO LIPO WAPI?pesa mshazitumia kula chapati sasa mwalia

    • @florangido202
      @florangido202 2 часа назад

      Aliye nunua hana Haki
      Uwezi uza nyumba ya Familia au kuchukulia Mkopo.
      Ni kosa kubwa sana Kisheria.
      Dada Nenda Mahakamani

  • @SimonSaguda
    @SimonSaguda 5 часов назад +1

    Nyieeeeee kuna Mungu mpeni huyo binti nyumban yake jamani na hawa viongozi wetu kwa pesa tu na huyo mkaka yke jimpu

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter 21 минуту назад

    David kaleta shida kwenye familia,daaah😭😭

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 24 минуты назад

    Jerry Slaa arudishwe hii wizara awasaidie wananchi

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 5 часов назад

    Wewe kaka una hatari mdogo wako analia mpaka anamkumbuka marehemu ungekuwa mimi ndo mdogo nikimaliza machungu nakupiga kitu kizito dunia uione chungu sote tutaabike sasa kwa nini hiyo pesa usiwape na wao wakakodi vyumba vya giza wangeshazoea na maisha kuliko hiyo surprised uliyompa😢😢

  • @kinderztv9091
    @kinderztv9091 29 минут назад

    JERRY SIRAHA ARUDI KWENYE HII TAASISI HALIJITOLEA SANA YULE MZEE MUNGU AMUONGEZEE ALIJITOA SANA😢

  • @LeodigerBeda-o2p
    @LeodigerBeda-o2p 7 минут назад

    Mama samia mama mwenye huruma ona hili nakuamini

  • @RukiaMziwanda
    @RukiaMziwanda 7 часов назад +5

    Shida ni kaka

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 17 минут назад

    Jmn watt wangu popote mlipo na nitawahusia nyumba yangu niliojenga kwa kufanya kazi za warabu isiuzwe wala kiwanja acha ioze iyanguke eneo limeni hata mboga mboga au mjengepo tena kibanda kingine.

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 6 часов назад +3

    I hl cjui itaishalini tzd jmn yn imekuwa tatizo sn kwa wananchi

  • @mariyamgharib940
    @mariyamgharib940 Час назад

    Ayo Tv mtafuteni waziri apo mtupe mrejesho please maana tv yenu hii kubwa please mtihani huu kila cku. Wahuni wameingiya tena kazini jerry silaha kaondoka

  • @YonaLengai-cc6tq
    @YonaLengai-cc6tq Час назад

    dah kwa kweli hakuna mnyama saidi ya mwanadamu poleni sana

  • @AgustaZaile
    @AgustaZaile 3 часа назад

    Mama Samia angamiza hawa wahuni Mungu atakuelewa

  • @JoshuaMgeni-b4w
    @JoshuaMgeni-b4w Час назад

    Daah inauma sana aiseee

  • @FaidhaChusi
    @FaidhaChusi Час назад

    Yaani milady kuna stories inasikitisha watu wanaumia uku moro wanafanyishwa biashara ya ngono pesa wanampa muhudumu wa gest bila kupazwa Sauti hakuna wakuwaokoa

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 Час назад +1

    Wenye pesa wanamoto wao.maalumu

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Час назад

    Kwaiyo mjumbe kazi yako kukaa pemben😢😢😢

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 8 часов назад +4

    Hapo tafteni vyenu tuu hiyo kesi ni ya kifamilia😢

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 4 часа назад +1

    Makaka ni miyeyusho nyie bora dada😊

  • @JosephJackson-f1s
    @JosephJackson-f1s Час назад

    Binadamu ni mnyama mbaya sana

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 5 часов назад

    Msimuingize samia kwenye ujinga wenu,,,kumbe mlikopa nilitaka nishangae,,,,hao wavunjaji wanajiamini nn kumbe wanacho cha kujiamini😊,,na mwisho kabisa kama we ni msimamizi tunaomba hati dada ata ile ya kuuziana tu...kaka yako ndo shida...

  • @praisesteven7774
    @praisesteven7774 5 часов назад +2

    kumbe kaka ako alichukuaaa mkopooo 😂😂😂😂😂😂bas kauzaaaa na yye nyumba ya mama ake kama wew au mim nakoseaaa jmn 😎😎😎😎

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 5 часов назад

      Hiyoo nyumb kuuzwaa lazimaa watu watatuuuu wahusikeeee

    • @LuluAquai
      @LuluAquai 5 часов назад

      Yeah umekosea,ile ni mali ya wote,yeye kauza kama yake binafsi,amewadhulumu ndugu zake,binaadamu tonatofautiana,unasababisha dada zako wahangaike na dunia na mama aliwaachia pakujihifadhi

  • @JosephJackson-f1s
    @JosephJackson-f1s Час назад

    Happ ndo mahali unamkumbuka magufuli nchi hii

  • @hafidhiabdullah3172
    @hafidhiabdullah3172 8 часов назад +5

    Nyumba za urithi zinakazi kweli

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 7 часов назад +2

      Ndoman mie bola nipambane tu kusaka vyangu

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Час назад

    Usilie Wala usiogope, hiyo nyumba HAIJAUZWA kiufupi MAMLAKA zimekuskia

  • @FuadKassim-d6w
    @FuadKassim-d6w Час назад

    Kazi iendelee

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 2 часа назад

    Nimelia jamaniiii😢😢

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 6 часов назад +1

    😮😮😮😢😢Pesa ndogo 😢😢nyei

  • @SaadiaAhmad-p4k
    @SaadiaAhmad-p4k Час назад

    Ooh, pole dadangu😢

  • @deomassawetv
    @deomassawetv 7 часов назад +3

    Mambo haya sio mageni jijini

  • @HassanHassan-si2rt
    @HassanHassan-si2rt 7 часов назад +2

    Wanahaki hao wanunuzi,
    Maelezo ya huyo Belinda hayajanyooka

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 6 часов назад +2

    Duh bora kupambana kutafuta vyako

  • @ahmedkandoro24
    @ahmedkandoro24 34 минуты назад

    Jerry Salaa tunakukumbuka

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 4 часа назад

    Nyumba za urithi haya ndiyo madhara yake daah😢😢😢😢

  • @AliphonceMartina-q1u
    @AliphonceMartina-q1u 51 минуту назад

    SAMIA ANAENDA KUJICHAGUA MWENYEW SASA MAANA HAKUNA ANAEMUELEWA TENA TOFAUTI NA JESHI RAIA WOTE HATUMTAKI

  • @amirjuma9395
    @amirjuma9395 2 часа назад

    Viongozi kama wajumbe na serikali ya mtaa mbona hawakusikiliza upande wapili au nao walipewa Chochote walishindwa kuomba nakala ya nots

  • @temuramadhani5134
    @temuramadhani5134 4 часа назад

    Pole Sana kwa uchungu

  • @lissaMetta
    @lissaMetta 2 часа назад

    Happy alienunua hana nakosa nakosa ni yadevid

  • @NungulaRais
    @NungulaRais 2 часа назад

    Tataendelea kumkumbuka magufuli jembe maana haya yalikomaa lakn mama samia inch imemshida huyu maana watu mara utejaji nimbo ya ajabu

  • @davidjohn9535
    @davidjohn9535 2 часа назад

    Huenda alivyoenda kuchukua mkopo walishirikiana..hela imekata wamegeukana

  • @Neemaalex2057
    @Neemaalex2057 Час назад

    Akii neenda sumbawanga aliye nunua nyumba akija hapo kuangalia nyumba haioni akiondoka kwambali anaiyona mwisho ataiyacha

  • @PatrickDavid-l3p
    @PatrickDavid-l3p Час назад

    Nyumba ya urith unaikopea mikopo jaman mama yako aliye jenga anasononeka jaman ndugu wanalia ivyo pole berinda.

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Час назад

    Mama Samia tunakuomba

  • @njuka3515
    @njuka3515 54 минуты назад

    R,I,p magu

  • @hafidhiabdullah3172
    @hafidhiabdullah3172 8 часов назад +3

    Hiyo ndio Tanzania bara haya mambo hayatokei Tanzania visiwani

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 7 часов назад

      😂😂😂😂Yan utojuta kuwa mtanzania

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 3 часа назад

    Watoto Wa kiume ni wakatili sn kwa wanawake,tunaomba serikali iingilie Kati,uyo david ashughulikiwe,ahusike na Deni lake mwenyewe ,nini anasumbua Dada zake ,davidi afungwe ,afungwe,huu ni unyanyasaji,akope yeye atese Dada zake?watoto Wa kiume wananyanyasa Dada zao sn,sn,Mama Samia,wewe ni mama msaidie ,loh watoto Wa kiume sio,unyanyasaji

  • @AngelRimoy
    @AngelRimoy 5 часов назад +3

    Unajenga ili watoto wako wasije kuteseka or kusimangwa kwenye nyumba za watu mwisho wa siku watoto hawohawo wanatesana nimtihani kwa kweli😢

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Час назад

    Huyo Kaka akamatwe

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 5 часов назад

    Watu kama hawa ndio wanasababisha watu kupata afya ya akili wakajiuwa hatari hii

  • @Mama_masai_Tz
    @Mama_masai_Tz Час назад

    Sitaki nyumba ya Uridhi..

  • @tobosha3236
    @tobosha3236 2 часа назад

    Kwani waziri anafanya kazi gani yani tangia aondolewe Jerry Silaa ktk wizara maonevu yameanza kurudi

  • @SophiaMwacha
    @SophiaMwacha 55 минут назад

    Hata huyo aliyenununua nyumba hii ni fala anakabidhiwaje nyumba wakati watoto wa marehemu wako ndani?hata huyu mjumbe anatakiwa auwawe maana kama ulikuwa ni mchezo si mngehahirisha zoezi la mnada ? Anafungaje nyumba na kuweka walinzi ?aliyenunua ashitakiwe ,kuna rushwa imeendelea hapo.hii siyo haki ingekuwa yetu angetambua uongozi angekufa mtu hapo

  • @ايتيتووينويو
    @ايتيتووينويو 2 часа назад

    Ndio musijiachie saana kwenye majumba ya urithi hayo ndio madhara yakee tafuteni vya kwenu ubinaadam skuizi ni mdogo

  • @AsiaRajabu-t2n
    @AsiaRajabu-t2n 4 часа назад

    Lazma aulizwee huy dada kwanza kwasababu kwann usimuulize kwanza huy dada mjumbe kapewa kitu hap mama tumbua wat

  • @arafaally2895
    @arafaally2895 6 часов назад +3

    Wamtafute mkuu mkoa au wa wilaya au waziri ardh

  • @FatoumiaMango
    @FatoumiaMango 5 часов назад

    Huo uongozi unaelekea kunaulicho pata hawawezi kuruhusu maliya ulisi akubaliwe mtu moja auze bila kushilikisha wenzake huo niuonevu hao viongozi wazembe

  • @EmanuelMbandi
    @EmanuelMbandi 5 часов назад +1

    Kwanini mnapenda mikopo

  • @neemakoka599
    @neemakoka599 7 часов назад +2

    Kaka akamatwe

  • @jobmaclean5382
    @jobmaclean5382 Час назад

    Kaka msenge

  • @AllyShaban-ms7ot
    @AllyShaban-ms7ot 5 часов назад +1

    Hao Ni matapel

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y 7 часов назад +3

    Hapa ndio tunajua umuhimu wa rais magufuli 😢

    • @abdallahselemani6423
      @abdallahselemani6423 7 часов назад

      Magufuli anaingi vipi bwege wewe wakati kaka Yao kachukua mkopo bank na mnunuzi kauziwa kihalali kwa bank

    • @samwa9496
      @samwa9496 6 часов назад

      Rais anahusikaje hapo Kila mzigo abebe yeye matokeo yake Magu amebeba kada mapemaaa Kuna waziri wa ardhi anakazi gani mahakama zipo pelekeni hiyo ni kesi kama kesi zingine itasikilizwa

    • @mnyorishow5050
      @mnyorishow5050 6 часов назад

      Kwn nyumba imeuzwa uyo Dada halikua ana aki ya kusahin

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 3 часа назад

    Mama asaidiwe!

  • @DevidiCosmas
    @DevidiCosmas 4 часа назад

    Jerry silaa Yuko wapi mbona Kama balazi anajichanganya