Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Nice Sana mwamba
Friji bovu unatiaha 🎉🎉🎉🎉🎉
Pamoja xnaaa,,,👏👏👏👏👏👏
Yusuph Nakukubali sana ila kama una dada Yako hajaolewa uniambie nije Kuchukua maana nitatoa ng'ombe nyingi Sana
Nawakubali Sana noma Sana nyinyi❤
Dogo yusufu wwe ni noma sana
Nakukubari Sana firiji unatema madini ya maana sana
Iwe red card kivipy wakati Chee Malon alikua kwenye mstari
Big up sana kamandaUBAYA UBWELA MWANZO -MWISHO
Umeongea kikubwa sana BROO
Unaweza kuchambua hongera sana
Nakubar kaka
Unaongea mnoo fact bro,chukua maua yako friji bovu 🎉🎉🎉🎉🎉
Kama kawa mzee fact data frij bovu mtu wa maana sana piga kazi Bro keap on it!!
YUSUF uko vizuri sana
Nawapata sana kk
Jamani huyu mtoto maashaallah anachambua kama mtu mzima
HATA MM DOGO AMENIFIKIRISHA KINOMA 🫡
Kaka friji bovu ww nimchambuzi mpira unaujua samaaaaas brooo
❤❤❤
Binafsi nawakubali sana wachambuzi wetu Fridge bovu pamoja na Dogo Yusuf. Nyie hamnaga unafiki mnachambua soka kweli kweli
Fliji bovu wwe ni kiboko tunakupenda sana
Friji bovu saluti kwako
Leo mmetisha zaidi sio kwa colabo Hilo kwa uchumbuzi makinikia.
FRIDGE BOVU; Piga kelelee kwa yule Dogo wa Zanzibar
Didia Gimez Darossa
Huyu dogo kipaji chake ni extra ordinary yaani yapo matangazaji makubwa mno kiumri na yanashindwa mno kwa kipaji na huyu mtoto
Mnyama.anatisha.ubayaubwela
Wachambuzi wawili bora, Yussuf yuko vizuri, Friji yuko vizuri.
Firiji mbovu ujawai kuishiwa madini bro
😂😂😂 Yusufu na we utese jasho friji bovu slijikota analemewa😂😂😂😂😂
Firiji bovu mrisiwako dogo
Wanaoteseka hapa ni nyuma mwiko wanaugulia maumivu ya kubakwa kwenye mwiko wao na tabora
Friji Leo unalo😂😂😂😂 we ndo friji ukatae maswali
Dogo yusuf nafasi ambayo haimruhusu kuku kula mchele😂😂
Wewe mbona huu lizi bwaduke au hajasoma
Utoporo, frank umekwama
Hamna wachambuz hapo wote waswaga ndama
Ww haukuona ya ateba kuwa ilitakiwa iwe red card?
Huyu mtoto anasoma darasa la ngapi!
Mm naomba kuku uliza frig bovu huyo mtoto anasoma au ndoo yuko bize kuchambua mpira
Wewe ulisoma au ulikuwa busy na kusuka mabutu
Anasomaaa
Bora aendelee kuchambua mpra mana shule soishu
unajifanya una uchungu na mtoto wa wenzio we wa kwako anasoma au anauza karanga
😂😂😂😂😂 Mimi nasoma comment
Mbeleko yooo, mbeleko yooo. Goooooal refa kaficha na kuongeza dk 2 bahasha isikonde.
Kufa sasa imeshakuwa hivyo sasa utafanyeje
Naona lofa una lialia 😂😂😂
Unateseka ukiwa wapi et
@Os umasahau derby mbeleko uliyo ipata kibu penati tatu refa kakataa
@@STE-v8g uyu akili hana amesha sahau
MSIANGALIE LA SHOMARI KAPOMBE TU KUTOKUPEWA RED CARD.MBONA HAMKUSEMA KUWA ALIPASWA KUPEWA RED CARD YULE ALIEMDONDOSHA ATEBA NDANI YA BOX
Friji bovu acha kuwatetea Makolo ile ya Shomari ilipaswa kuwa red card bila kujali tukio limetokea haraka au taratibu!
kapombe hakuwa mchezaji wa mwisho,lakin pia aliyemshikilia Ateba alipaswa kupata red card,,kuwa mtu wa mpira sio ushabiki
We lofa tambua kuwa Alie mfanyia faulo ateba alipaswa kupewa kadi nyekundu elewa hilo usiwe kama msenge
@ramadhanmahongole9293 kumbe hum Kunawalez,, sass ndugu ramadhan mahongole matusi ya nin? Au umezoea matusi ndugu
😂😂😂😂 @Ramadhani umepiga pabaya
Itabidi tukupe wewe urefa gemu inayofuata 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 hatuko huko friji bwana si kugongana ki mpilaa au 😂😂bwana wewe
Nice Sana mwamba
Friji bovu unatiaha 🎉🎉🎉🎉🎉
Pamoja xnaaa,,,👏👏👏👏👏👏
Yusuph Nakukubali sana ila kama una dada Yako hajaolewa uniambie nije Kuchukua maana nitatoa ng'ombe nyingi Sana
Nawakubali Sana noma Sana nyinyi❤
Dogo yusufu wwe ni noma sana
Nakukubari Sana firiji unatema madini ya maana sana
Iwe red card kivipy wakati Chee Malon alikua kwenye mstari
Big up sana kamanda
UBAYA UBWELA MWANZO -MWISHO
Umeongea kikubwa sana BROO
Unaweza kuchambua hongera sana
Nakubar kaka
Unaongea mnoo fact bro,chukua maua yako friji bovu 🎉🎉🎉🎉🎉
Kama kawa mzee fact data frij bovu mtu wa maana sana piga kazi Bro keap on it!!
YUSUF uko vizuri sana
Nawapata sana kk
Jamani huyu mtoto maashaallah anachambua kama mtu mzima
HATA MM DOGO AMENIFIKIRISHA KINOMA 🫡
Kaka friji bovu ww nimchambuzi mpira unaujua samaaaaas brooo
❤❤❤
Binafsi nawakubali sana wachambuzi wetu Fridge bovu pamoja na Dogo Yusuf. Nyie hamnaga unafiki mnachambua soka kweli kweli
Fliji bovu wwe ni kiboko tunakupenda sana
Friji bovu saluti kwako
Leo mmetisha zaidi sio kwa colabo Hilo kwa uchumbuzi makinikia.
FRIDGE BOVU; Piga kelelee kwa yule Dogo wa Zanzibar
Didia Gimez Darossa
Huyu dogo kipaji chake ni extra ordinary yaani yapo matangazaji makubwa mno kiumri na yanashindwa mno kwa kipaji na huyu mtoto
Mnyama.anatisha.ubayaubwela
Wachambuzi wawili bora, Yussuf yuko vizuri, Friji yuko vizuri.
Firiji mbovu ujawai kuishiwa madini bro
😂😂😂 Yusufu na we utese jasho friji bovu slijikota analemewa😂😂😂😂😂
Firiji bovu mrisiwako dogo
Wanaoteseka hapa ni nyuma mwiko wanaugulia maumivu ya kubakwa kwenye mwiko wao na tabora
Friji Leo unalo😂😂😂😂 we ndo friji ukatae maswali
Dogo yusuf nafasi ambayo haimruhusu kuku kula mchele😂😂
Wewe mbona huu lizi bwaduke au hajasoma
Utoporo, frank umekwama
Hamna wachambuz hapo wote waswaga ndama
Ww haukuona ya ateba kuwa ilitakiwa iwe red card?
Huyu mtoto anasoma darasa la ngapi!
Mm naomba kuku uliza frig bovu huyo mtoto anasoma au ndoo yuko bize kuchambua mpira
Wewe ulisoma au ulikuwa busy na kusuka mabutu
Anasomaaa
Bora aendelee kuchambua mpra mana shule soishu
unajifanya una uchungu na mtoto wa wenzio we wa kwako anasoma au anauza karanga
😂😂😂😂😂 Mimi nasoma comment
Mbeleko yooo, mbeleko yooo. Goooooal refa kaficha na kuongeza dk 2 bahasha isikonde.
Kufa sasa imeshakuwa hivyo sasa utafanyeje
Naona lofa una lialia 😂😂😂
Unateseka ukiwa wapi et
@Os umasahau derby mbeleko uliyo ipata kibu penati tatu refa kakataa
@@STE-v8g uyu akili hana amesha sahau
MSIANGALIE LA SHOMARI KAPOMBE TU KUTOKUPEWA RED CARD.
MBONA HAMKUSEMA KUWA ALIPASWA KUPEWA RED CARD YULE ALIEMDONDOSHA ATEBA NDANI YA BOX