Jinsi ya Kuongeza Trading Confidence na Kuondoa FOMO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 83

  • @DamasGambishi
    @DamasGambishi 22 дня назад +1

    Thanks much, confidence adds odds of winning

  • @imagraphizer
    @imagraphizer Месяц назад +3

    Kujijengea kujiamini kunahitaji kujituma zaidi, kujifunza kila siku na kuwa na consistence katika kutekeleza jambo.
    Journaling ni njia nzuri ya kujenga nidhamu ya biashara pia inasaidia kujifunza kutokana na makosa na mafanikio yako na kuzuia kurudia makosa. Kingine ni kuwa mwaminifu tu kwenye analysis zako. Ni jambo muhimu sana kwa sababu linakusaidia kuondoa emotions zisizo za lazima na kuzingatia mikakati yako kwa uhakika zaidi.

  • @JOHNMLULA
    @JOHNMLULA Месяц назад +4

    The fear of missing out, Lack of confidence, be honest to your trading analysis, make Journaling to every step you have done to your trading. This is what I learned to this video and alot of this

  • @kambii_99
    @kambii_99 22 дня назад

    Right information kutoka kwa watu sahihi.... Confidence... Hard work na engine mengi ni vitu muhimu sana katika trading

  • @tonnykipeja9111
    @tonnykipeja9111 Месяц назад +1

    Mimi naamini confidence tiba yake nzuri kabisa ni consistency kwenye executiona na analysis

  • @Capt_Willy
    @Capt_Willy 24 дня назад

    Appreciation kwenu wakuu

  • @planctv5961
    @planctv5961 Месяц назад +1

    Confidence
    Ni vitu vitatu
    1) right knowledge
    2) consistency
    3) experience.
    kwa Sasa naamin IFX ndo community Bora Tanzania kwa kujifunza FX one day mung akipenda ntajifunza FX kwa Hawa wenetu💪

  • @TinyKideo
    @TinyKideo Месяц назад +2

    I really admire your consistency in creating content. Keep up the great work, dude! 👊🏽

  • @JacksonFabian-df6nj
    @JacksonFabian-df6nj Месяц назад +1

    Confidence is everything.

    • @Side-i5w
      @Side-i5w Месяц назад

      🎉🎉

    • @Side-i5w
      @Side-i5w Месяц назад

      Success need confidence bro❤

    • @Side-i5w
      @Side-i5w Месяц назад

      🎉🎉❤

    • @Side-i5w
      @Side-i5w Месяц назад

      🎉🎉❤

  • @godfreymutiganzi8611
    @godfreymutiganzi8611 Месяц назад

    Confidence Gained through Journalling data Analysis 💪

  • @augustineenock7372
    @augustineenock7372 Месяц назад

    Talk about control, Big boys

  • @FaroukSaid-l7r
    @FaroukSaid-l7r Месяц назад

    I wish one day to be in your community and am dreaming of it, i will make sure I archieve the spot best of the best IFX

  • @JOHNMLULA
    @JOHNMLULA Месяц назад

    The aim is to impact millions

  • @aidanalex1785
    @aidanalex1785 Месяц назад

    Always learning, lets impact millions🎉

  • @ANNASTAZIAPIUS-s9j
    @ANNASTAZIAPIUS-s9j Месяц назад

    So precious ue guys❤❤❤loves you all

  • @colinebernard6697
    @colinebernard6697 Месяц назад

    Always 🧠

  • @hawahawa-vd6oy
    @hawahawa-vd6oy Месяц назад

    Bravo mentors🙏🔥🔥🔥

  • @Koala_pro_fx
    @Koala_pro_fx Месяц назад +2

    Psychology is not a problem anymore if you have good technical edge

    • @moodforex
      @moodforex 26 дней назад

      We kijana unaelewa maana psychology lakini?

    • @Koala_pro_fx
      @Koala_pro_fx 26 дней назад

      @moodforex find what is repeating everyday inthe market and say if psychology is problem anymore

    • @Koala_pro_fx
      @Koala_pro_fx 26 дней назад

      Psychology inaaffect pale unapokosa kitu kinacho happen day in day out week in wwek out
      Na ndi inapelekea unapata wasi wasi wakumiss entry ,lkn after every opportunity kuna nyingine inakuja
      Ukishajua wapi unachukua iyoo opportunity na upo na cal. risk hiyoo madhara ya kukosa confidence unatoa wap brother

  • @omarsalum4052
    @omarsalum4052 Месяц назад

    Very nice content ❤

  • @mpegwamakama7331
    @mpegwamakama7331 Месяц назад

    Hii ni netflix 😂
    Sema i appreciate😂

  • @Kamwendo
    @Kamwendo Месяц назад +3

    What is confidence
    : confidence this is the feeling of belief or trust that a person or thing is reliable
    SOURCE OF LACK OF CONFIDENCE
    * Lack of knowledge
    * Lack of skill
    * Lack of review a privies performance

    • @Kamwendo
      @Kamwendo Месяц назад +1

      A WAY TO RECOGNIZE THAT A PERSON’S HAVE LACK OF SELF-CONFIDENCE
      1. To be honest by your self
      2. To check the privacy dates
      THE THINGS THAT MAKE PEOPLE LACK CONFIDENCE
      * They are not working hard
      * To be better person
      * They don’t have discipline
      * They don’t have good and quality education
      * Lack of patience
      * They don’t have good information

    • @Kamwendo
      @Kamwendo Месяц назад

      THE ADVICE THAT CAN MAKE SOMEONE TO BE BEST TRADER IN CONFIDENCE BETWEEN 3 TO 6 MONTHLY
      1. To collect dates
      2. To be expected to the market in a long time
      3. To have a correct knowledge about market
      ADVICE IN OVER CONFIDENCE
      * To have laws in your disprin
      * To have an accuracy mindset
      * To have good dates
      *

  • @MussaSilla-v6w
    @MussaSilla-v6w 21 день назад

    💯💯💯

  • @johnmakakala800
    @johnmakakala800 Месяц назад +2

    kiukweli confidence ni tatizo Maan mtu unakuwa unakosa uwezo wakuchukua opportunities nzuri ulizotengeneza sababu ya kutokujiamini mfano mm niko nashida kama hiyo mara nyingi nikitake trade nablow accounts zangh.
    lkn ukiwa na confidence ukaweza kuifuata trading edge yako for 100 percent your going to make it in fx

    • @johnmakakala800
      @johnmakakala800 Месяц назад +1

      kahika fx is a large pool it need a highly knowledge to swim in it

    • @johnEmmanuel-m4l
      @johnEmmanuel-m4l Месяц назад

      kweli man Maan mm confidence ina nikata kwel 😮
      kunasiku nilikuwa nimeanalys gold nikawa naogopa kuingia lkn cha ajabu nilishangaa gold imeenda kwenye direction yangu

    • @johnEmmanuel-m4l
      @johnEmmanuel-m4l Месяц назад

      hatr sana

    • @johnEmmanuel-m4l
      @johnEmmanuel-m4l Месяц назад

      forex ina mambo mengi

    • @johnEmmanuel-m4l
      @johnEmmanuel-m4l Месяц назад

      watu tunapoteza kin

  • @mathiasmsami-v6k
    @mathiasmsami-v6k 12 дней назад

    Lack of confidence and hesitations leads to fatal death

  • @nixonswai734
    @nixonswai734 Месяц назад

    there's a big difference between education and knowledge, but all in forex you need to be aware of educational psychology meaning that
    Educational psychology is the study of how humans learn and retain knowledge, primarily in educational settings like classrooms. This includes emotional, social, and cognitive learning processes.

  • @Kamwendo
    @Kamwendo Месяц назад +1

    🎓

  • @MussaSilla-v6w
    @MussaSilla-v6w 21 день назад

    📌📌📌

  • @robertmpumbi9399
    @robertmpumbi9399 Месяц назад

    🙌🙌🙌🙌

  • @geraldmwangosi8831
    @geraldmwangosi8831 Месяц назад

    🤝🏾

  • @tonnykipeja9111
    @tonnykipeja9111 Месяц назад

    Kumbe tajiri amrisaly huwa anacheka nilijua huwa hacheki 😂😂😂😂

  • @peternjuu3035
    @peternjuu3035 Месяц назад +1

    Safari ya trading mpk kufanikiwa zinafanana kwa watu wengi 😂😂

    • @Smart_FundamentalFx
      @Smart_FundamentalFx Месяц назад

      Huwezi Luka 😂

    • @peternjuu3035
      @peternjuu3035 Месяц назад +1

      @@Smart_FundamentalFx most of succefful trader nikiwasikiliza naona the same ila ila hizi jamni 😱🤲

    • @Smart_FundamentalFx
      @Smart_FundamentalFx Месяц назад

      ​@@peternjuu3035tupambane tutafikia tu nasisi hapo kwa successfully traders😂

    • @peternjuu3035
      @peternjuu3035 Месяц назад +1

      Ela bila kutia jitihada za ziada haziji kubabake hahahhahahah

  • @malundemedia
    @malundemedia Месяц назад

    bro amry umeongea kitu kikubwa sana iyo kwene upande wa trade imotion huwa inatusumbua sana mpaka tunaogopa ku hold trade naamua kutoka sokoni baadae unakuta trade iko upade wangu huwa inanitesa sana