Ww ni Dadangu ima mkubwa wangu au mdogo nakusihi jitoe katika mtandao watu wengi wamepatwa na balaa kupitia mitandao Zishukuru neema za Allah alizokupa Kwa kuzitumia Kwa ajili yake afya alokupa watoto na fmly Kwa ulokupa wangapi wazitamani? Hivyo vyakula unavonunua na mavazi kuna mtu atamani na Hana uwezo ww Allah kakupa hivi wavianika mtandaoni Sehemu unazoenda na mambo unayofanya watu wajue kisha ufaidike na nn?sio Kila mtu apenda mazuri yako ccta watu wahusudiwa na wanapatwa na vijicho wakapozea Kila kitu na wakawa hata wagonjwa Allah Atuongoze sote In Shaa Allah
Mashallah ❤
Allah ibarik🥰
Manshallah rukia ❤❤❤❤❤
🥰🥰❤️❤️
❤❤❤❤
🥰🥰❤️
You review of likoni mall was quite memorable.🎉
Noo I didn’t mayb my sister
Ushafika Mombasa ndugu yngu
Ndio emergency ilitokea tukarudi msa haraka
Enjoy habibty ndio life kwa babu chondochondo
Eeh Sanaa🥰
Mombasa raha
Sanaa
Hiyo gari ni toyota Ractis??
Yes
Hapo ni country government office na governor wa mombasa
Ooh shukran
Subhaanallah!Yani lyf ya mtu na fmly yake anaiweka Kwa mitandao kisa ni views na comments?amesahau hasad na kijicho
Shukran kwa comments yako …
Ww ni Dadangu ima mkubwa wangu au mdogo nakusihi jitoe katika mtandao watu wengi wamepatwa na balaa kupitia mitandao
Zishukuru neema za Allah alizokupa Kwa kuzitumia Kwa ajili yake afya alokupa watoto na fmly Kwa ulokupa wangapi wazitamani?
Hivyo vyakula unavonunua na mavazi kuna mtu atamani na Hana uwezo ww Allah kakupa hivi wavianika mtandaoni
Sehemu unazoenda na mambo unayofanya watu wajue kisha ufaidike na nn?sio Kila mtu apenda mazuri yako ccta watu wahusudiwa na wanapatwa na vijicho wakapozea Kila kitu na wakawa hata wagonjwa
Allah Atuongoze sote In Shaa Allah