ALIYEKUA MPENZI WA TABU MTINGITA AFUNGUKA MAZITO/SABABU YA KUACHANA/YALIZIDI NIKASHINDWA
HTML-код
- Опубликовано: 28 ноя 2024
- Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
ALIYEKUA MPENZI WA TABU MTINGITA AFUNGUKA MAZITO/SABABU YA KUACHANA/YALIZIDI NIKASHINDWA
#Bonatv #Exclusive #TabuMtingita
Wanawake tujielewe na tujifunze kwann munatongoza wanaume na muna kubali kua na wanaume watoto sio size zenu mwisho wake ndio huu hii ni haibu
Mungu tunusulu na hawa watto zetu kwakweli me nikiangali mwanangu na Aya ya mitandao nalia to
😆😆😆😆😆😆😆
Kwa tuliosoma 🇨🇺 Cuba , Uyu dogo kapigwa sana matukio.Shikilia sana hapa "UTULIVU WA AKILI NA MWILI".
Umekonda umebaki kichwa wooooiiii uwiiii mshukuru tabu
Watu wazima hapa kunachakujifunza msikilize kwa makini
Wanadada tulomuelewa Alex tujuane ili tuache kuvuliwa chupi na watoto
Tukivuliwa na wazee shida ,wadogo shida 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!!
😆😆😆😆😆😆😆😆
Kabisa jamani 😂😂😂😂
Alex nimependa umeongea vzr
Wanawake tuache kudeti na wavula Wadogo tuliowazidi umri
Huyu kaka nimemuelewa sana,,huyo tabu hta hio ndoa kijana haitadimu angetafuta MTU mzima,Alex unamawazo akili za kuona mbali mwenye akili watakuelewa
Watu tusingekujua km sio tabu kumshukuru kakupa umaarufu kuachana ni kawaida toka enzi za mababu ivyo si vyema kumuongelea vibaya mtu uliekuwa nae mwili mmoja jifunzeni adabu alafu unaoneka unamia tabu kuolewa lakini jikaze si kwa ubaya
Huyu hakumpenda Tabu Ila alimfanya km daraja la kujulikana.
Kashapata analichokipata.
Mastar wa kike wawe makin
Kabisa! Ni MSEREREKO
Nikweli
Sometimes it last in love but sometimes hurts instead 🙌
usimalize maneno mungu anajua yaliyo moyoni mwako japo unajikaza kichelema hapo usimtukane alikusitiri kumbuka hilo...hata huyo ulienae anakasoro zake kwa sababu mkamilifu ni mungu pekee
Huyu kaka anaongea point sana
Yuko na busara sana
Moyo wa mtu kichaka 😘😘
Nimejaribu kuelewa lkn najua kabisa Tabu aliumia. Na hapa nazidi kusema kua siri ya mtu ni kichaka...yaani doh imagine unaishi na mtu for good 4months anakutafakariii aiiii sio mchezo hii dunia
Pole Dear ex maana umepauka
Umeona eeeh kachoka haswa
Alipenda san uyu
Kasahau bila tabu asingejulikana bora angekaa kimya maisha safari ndefu
hawajuwi ilo hawa
Ukiowa mwanamke wa kimakonde ni Mtihani sana na inataka moyo sana, kwasababu huwa hawawezi kutulia.
Fact maana uku nilipo nawaona
Sema yule mdengereko nawao ndy tabia zao hz hz km wamakonde
@@jasminshemsanga8727 kuna jirani yangu binti yao alikuja kuposwa, na baada ya mazungumzo na wazazi wa huyo binti, na mwanaume alivyokuja kujuwa kuwa ni mmakonde, basi aliahirisha kumuowa kwasababu ya kabila lake, Yaani hao watu ni kichwa umiza sana.
@@jasminshemsanga8727 sijui huwa wakichezwa wanafundishwa wasikae na mwanaume mmoja au? Yaani kuna makabila hawawezi kutulia kabisa kwa mwanaume mmoja, Sijui wanakuwaga na mdudu wanawawasha?🤔
au ndo huko kukeketwa man wanasema binty alie keketwa huwa hatuli sijuwi ni kweli am vip
Ukweli mchungu hakuna kijana atakubali kuish na mtu mzima bila kuwa na familia ni swala la muda Tu lazima utaachwa hata kajala ataachwa Tu
Mbona kajala lakini😂😂😂😂
Ni kweli kabisa
@@latifaalsh5421 nyieee
Mbona kashawachwa atharani yaani bongo Acha tu
Hongera kaka angu umetoka gizani saizi jenga familia
Kabisaaa kwa kweli mnao mkashfu hajajiumba mjue
Wanakosea mungu
Mkiachana kutoleana siri sio vzr.acha kumsema mwenzio vibaya mbona kakustiri tunajua .et nimemuacha tokaa huko we niwakumuacha tabu😄😄😄😄dogo mwenyew anaonekana anaumia
Na miwani yake ka kiwavi jeshi
@@vanessalaizer4363 yan kanakela na hio pua kama kobe mxuu
@@vanessalaizer4363 🤣🤣🤣🤣🤣
@@estermathias8354 eeeeh pua kama kobe😳
@@vanessalaizer4363 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shemeji yangu unaongea point ujali wala nn kikubwa unaitaji kuwa na watoto ili wakusaidie baadae ujana unamwisho
Ulimchoka tu mama wa watu afu huna adabu na linyimbo lako litabuma shenzi
We Alex mbaya sijakupenda' kwa Nini ulimuacha mwenzio bila sababu?😭😭😭😭
Kamdhalilisha Sana Tabu et Hana utulivu izo dharau
Kamzalilisha vp ndio wanaweka tujielewe na tujiheshimu kwann alikubali kua katoto kadogo kama haka kama sio ukahaba tena yeye ndio alio mtaka sasa Leo akubali Tu matusi kutoka Kwa huyu kijana 😏😏
Aliyejizalilisha ni tabu hajielewi kutongoza watoto wadogo acha ayatoe na yale ya ndani 🤣🤣
@@omanlove3968 umeona heeh haibu kwake sio Kwa huyo kiposongwa
Kajinga haka, eti ni mzee heri kasitirika na ndoa.
@@eashaeasha9776 kama hujaona uzalilishaji basi umezoe kudharaulika😆😆😆😆
Vijana tafuteni ela acheni kutafuta maish ya short kati😂😂
Mmh sio kumuacha kiivo ungetafuta basi sababu yakumuacha siovizuri kumkatisha furaha mwanamke inaharibu cv yetu wanaume!
Kweli tabu anajua kutunza Mpaka kijana amepauka uso umekosa nuru
Kakonda haswa
🤣🤣🤣Pesa ni noma sanaaa
Watu nilikuwa nawaamini ktk mahojiano yao huwa Diamondi,Kusah,Alikiba,Naleo namuongeza uyu kaka anaakili sana Mungu akusaidie haropoki hovyo
Xalehe Mzee Baba hayo maswali umeyaandika pahali au....!!!
Kwakuuliza huyo kiboko🤣
Yaan anajua kutuwakilisha waja maswali yetu yote katuulizia hapo hongera swalehe👏
@@modycombo7421 yn nimemvulia kofia!!!
Bitterness overloaded.....
Ila umepauka my dear but nilichokuic ni kma unahitaji familiar. Mpendwa alfu fanya hii ndio Sehemu ya kwanza na mwisho kumuongelea ex wko hpo hutakuwa hupo sahihi
Mama kulala na mwanae ni laana
Hadi walivaa Sare lkni wapi, mapenzi nyie nyoko😂😂
Acha tu ni sheenzi kabisaa
Kuna watu waliovaa sare km Aunt Ezekiel na Mose Iyobo lkn wp chaliiiiii
😃😃😃😃
@@OfficialA83640 😃😃😃😃
@@OfficialA83640 😃😃😃😃
Alex ditaa nakukubaki sana jamani
Mimi nimependa vidole vyako Salehe
Mtoto wakiume aliolewa najimama
Nikikumbuka huyu kaka walikua wanavaa hadi madera sare na tabu 😂😂
😂🤣🤣🤣
Madera tena 😅😅😅
🤭🤭
Dah jmn dera la Tabu litamtosha kweli🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣khaaa jamani. Ila kaongea vzuri sana hajaropoka kama wanaume wengine wakichana.ameleza kitu chenye kuleta maana na ameonekana yuko very matured. Anasema Tabu alikuwa habadiliki umri ule kutwa anaact kama mtoto anaropoka analeta commedy kilamahali hata palipokuwa na issue serious.
Apo nimipongunduwa tabu mcharuko anadanga sana
Hyu kijana alilimbikiza visa dahh
😱😱😱Nimeshiba
Ila Salehe unajua kuhoji maswali
Ya kujitakia hayana majuto mtoto mdogo kwenda kulibeba ngalangala🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haya haya kibonge muanike kayataka
Haibu kweli mwanamke mwenzetu ndio hasara kua na watoto wadogo kwani wakubwa wezake hawajaona Yule kazidi sasa ache yamfike
Nmekumiss huu ubuy😂😂
Jamaa anajiona special balaa😂😂😂
Sana kumbe wa kawaida tu
Mshenz kweli huyu kijana hata anavyoongea utafikiri ana mapengo mxieew
Yule mama naye aliamuwa kujidhalilisha
Na anaendelea kujidhalilisha maana kakulia umakondeni lazima arithi tabia za wamakonde mmakonde hachagui na kumnyima ntu wanakwambia dhambi🤣🤣
Tena sana
Nani kasikia mtangazaji kasema maswali kibao ya majibu yako unaweza kuyapata🤣
Ovyo kichefu chefu
Uyo dogo boya kwei ameanza kuongea upuuzi huu akianza kufunguka tabu atakoma
Bona tv Kuna brodher wangu anafanya mziki ila hajatoka naomba na yeye umfanyie interview anaitwa mnapepe nambie nitakupata vp tusaidien na sisi tujulikane
Nyie kaka nimemuelewa vizuri yuko na maamuzi mazuri
Mimi nina utu na utulivu njoo kwangu lexy ila mbon nyoote amjakaa hata mda kila mtu anafuraha Yake mpya🙄🙄🙄 ngoj kwanza lexy
Shikamo mapenz
Mtihani huu watu wanaanza zinaa halafu ndoa
Naombeni like mnaelewa vzr
Bro yuko smart.inaonyesha tabu hata kwa mapenzi au utulivu wa akili na mwili ni HAJARI WALA NN🤣🤣🤣🤣@JITU NZIMA AFU HAJATULIA..et ana mapresha jaman wamama kilometa zksoma tafuta size yko.ona sasa tunaumbuliwa
😀😀😀Nawasikitikia wanawake wanaodate na wavulana🙌🏽
Yaani
Kwan huyu ndio kifosongo
Eeeeeh ndio uyo
Ulitafakari ulijiona nimdogo maji makumbwa tabu humuwezi
Ety kirahic kuanzia leo tuachane alafu hajali wala nn
Ushenz tuu jamani
Kazeekq kumanyoko😂😂😂🤣🤣
🤣🤣🤣 ila wewe
Nisipite bila comment ila uyu Alex eti amemuwacha kwa sababu tabu ana utulivu wa mwili na akili daaah😂😂😂😂😂😂
😃😃😃😃😃
Kwa sababu Hana siyo ana
@@henricamikambi6147 😀😀😀😀
Mjingaaa huyo
🤣🤣🤣🤣🤣 ila aleksi eti mapumu mapresha mamoyo 🤣🤣 ila we kaka huko sio kufanya intanvu ila ni kuchamba
Wewe ule mwili sio nzuri Mimi Nina mwili sio mkubwa sana lkn naumwa kila wiki
Hahaha
😀😀😀😀😀😀😀😀
Salima intanvu ndo nn😃
@@saidhamza5318 🤣🤣🤣🤣🤣🤣naweyee si uchune tuu hata mie nimeona lkn nimekausha kakusudia Interview bana
Jamani wanene mbona hivyo mapresha mamoyo mapumu Bora walivyoachana
umefurah mtu kuacha kisa mradhi
Wanaume kama mabinti 🤣🤣🤣
😬😬😬😬
Umemtumia mama wawatu ukamuacha
Mama ndio kamtumia kijana alimvuliaje kijana wa mwanamke mwenzie
Huyu kijana akili zake zinafanya kazi vzr pia huyo tabu amezoea umlaya limama lizima hovyo hatatulia kwasababu uyo alie kua nae nimoto zaidi yahuyu
Bado anavaa hili shati🤣🤣🤣
Hahaha ulitaka achome moto tutamtambuaje kama ndio yeyr bhn
Bora tabu kajitoa huna akili yanini useme haya shenzi kabisa huna adabu
🤣🤣🤣
Umeona eeee!!
Tena adabu kweli wakat alikuwa anapew ugali
@@neemajames4825 wanaume kama hawa hawa kufunzwa ndio maana bora nipate mume hana kitu lakini awe na hekma kuliko hawa wenye vichwa sufi
Unamtumia tabu kutoa wimbo,🤣🤣🤣 vijana umaarufu utawauwa
Kweli kabisa
Tz Noma sanaa
kabisa
Majina ya Alex ukiwa nae kwenye mausiano tegemea chochote Hawa tabiliki wa vumilivu Ila akisema bc sahau Ila nakupongeza
Alex Alex ili jina🤣🤣🤣
Ila ukiwaona wapole mnoo ila yao tofauti na sura
@@nasranasranasriyahay9119 kabisaa yani
Aka kanaume muonekano wake kama kuku kishingo😀😀😀😀😀
Jamani😢
Aii 😂😂😂😂😂
Ndugu Mtangazaji tunaomba uwe unachana nywele mana zinatisha na kusisimua mwili utazani mkutano wa nzi hasa izo za pembeni , mbayaaaaa
Mkutano wa nzi🤔🤔🤔
Hachani anazisonga songa tu na nywele zke nzr lkn ujana ndio ivo
@@OmanOman-bx5du mavuzi ya vichaa😩😩😩😩😩😩😩😩
😂😂😂😂😂 umechokaaaaaa
Ati hana utulivu wa akili wah tusi hilo
Ni kweli hana utulivu
Yani kwa kifupi ulikuwa unampenda mpaka ukafikisha miezi 5
😂😂😂😂😂😳😳😳
Chaaaa
Hapa kuna cha kujifunz
Unahekma Kaka unaongeya viziri.
Uyu si ndio yule alikua anamuita kiposongo? Au sio uyuu??
Ndo uyo uyo
🤣🤣🤣🤪
Kikumwa upendo tu hongera
Kama mmeachana wazima wa afya asantee MUNGU kuliko kuuwana
Huyu kaka mbona kakaa kama mkaanga sumu? Na kutangaza kuwa umemuacha mtu unaona mazuri we mkaanga poison😡😡mxiuuu. Pia sio vizuri kutangaza magonjwa ya mtu hili halijalelewa vizuri ili
Kwa maelezo ya Alex me nilichokiona huyu sio muongeaj so hata alipokuwa akikosewa hata akiombwa msamaha anasamehe mdomon ila anaweka vitu moyon sasa siku moyo ukijaa maovu ambayo hutoi msamaha wa kweli ndio haya matokea yake
Ety mapumo daaa
Ila siosiri mlikua mnaendana sana kiukwel dah jamani 😭😔
😂😂😂😂😂sarehe mbona umecheka
Dah
Ndio mkome kutembea na mabibi zenu
Mhhh, napita tyuuuu
Kua msanii sio lazima MTU ujichetue tabu anakata mauno ovyooo na kuna baadh ya nguo anazo vaa ana jiona mtoto kumbe mmmmmmmmmmh
acha atakuj kuumbua unaweza kuiichi na mwanamke mwaka5
MH mbonau,unampenda,watoto
Mnapenda kuzamishwa na majimama mana ni majimama mvulana mwenyewe fidodido loh🤣🤣🤣
Unamaanisha nimwehu tabu
Tabu Ana miaka 41 au 42 ss hv yule na ile sidhn km ndoa maana hakuna chet cha ndoa wala mume kupiga got na ubani juu yn ndoa za wasanii tusione cheti cha ndoa?
48
Jaman huyu kaka ana akili sana anajibu maswali Kwa HEKIMA sana jaman na hajamsema mwanamke wake vibaya jaman amejitaid sana
Hekima ipi😁😁😁 watu wenye akili wamesha elewa MSEREREKO
heeee hujasikia alivyo sema han utulivu wa akili so maneno mabay hyo kumuongelea vibay mwanamke alieishi nae ndani ya miak mitano
Alex saf ulikuwa unanikeraga
Nimeamua kuachana na mapenzi rasmi 🤣
Tafuta pesa enjoy alafu usubiri kufa😃😃😃😃story yako imeishia apo
Haya jichukulie Sheria mkononi
@@neemamkemae2580 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Wee 😅😅😅
Unamuachia nani sasa😃😃😃😃