Weddding Vlog; Neema’s Swahili Nikkah 🎊♥️|Najma Ali

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 99

  • @rahimaabdallah1089
    @rahimaabdallah1089 2 года назад +3

    Ma sha Allah thabarakallah Allah awape maelewano na subra wazeeke pamoja in sha Allah Allah awape vizazi vilivyo vya kheri in sha Allah

  • @ashazuber6548
    @ashazuber6548 2 года назад +2

    Masha Allah ndoa iliyo pangwa imekaa sawa hongeren sana

  • @zuu9022
    @zuu9022 2 года назад +1

    Mashallah kwenye ndoa amejaliiwa watu..inaonekana mume n mtu wa watu hongereni sana

    • @swahili2worldtv
      @swahili2worldtv Год назад

      Shukran sana .mungu akubariki ZUU

    • @zuu9022
      @zuu9022 Год назад

      @@swahili2worldtv afwan

  • @ummiali8084
    @ummiali8084 2 года назад +1

    Mashallah tabarakaallah mimk nna bibi wawili bro😁😄😄😄😄😄

  • @eqbalarrith4059
    @eqbalarrith4059 2 года назад +1

    Aunty wa lovies....wallahi you never disappoint🙌

  • @MwanamkasiPesa
    @MwanamkasiPesa Год назад +1

    Mashallah tabaraq Allah very smart

  • @ahlamali6167
    @ahlamali6167 2 года назад

    These comments man... Leave her alone, you don't know what went down before this video was shot or what is going on in her life. If she didn't smile okay so what? She's the one married rn, her husband will take care of her that's all that matters. Y'all are acting as if she hurt you directly.

  • @fatumamusa
    @fatumamusa Год назад +1

    ❤ they are so cute

  • @mwanaishaalfan3145
    @mwanaishaalfan3145 2 года назад +3

    Mume mashaallah.. Hila mke kaboesha sijui niwawapi🙄

  • @joykinyua4475
    @joykinyua4475 2 года назад +1

    Lovie squad hereeee 💃💃💃 Congratulations to the newly Weds...Just that the men were abit rough🤣🤣🤣were they arguing or what.....Then people crowding the bride and groom while dancing even blocking you from capturing them... There was no order there ....my opinion ✌️

    • @swahili2worldtv
      @swahili2worldtv Год назад +1

      Thank you so much my dia .I really appreciate your opinion 👌 .you are right BTW I agree with your point

    • @joykinyua4475
      @joykinyua4475 Год назад

      @@swahili2worldtv welcome...it was just a kind opinion 🤗🤗🤗

  • @bijumaamani623
    @bijumaamani623 2 года назад +2

    First one today😍

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 2 года назад

    Biarusi daah ajainama Allah ipe maisha iindoa

  • @swahili2worldtv
    @swahili2worldtv 2 года назад +2

    Mashallah

  • @barakatabdul3212
    @barakatabdul3212 2 года назад +4

    Ba'ada ya Harusi haya mambo yakulishana na kupooza chaii" hamna tenaa🤣🤣🤣🤣🤣 waswahili tuna Drama" huwa yaishia hapo tu!

    • @abbasathman4721
      @abbasathman4721 2 года назад +2

      @Barakat Abdul sio waswahili hao ni wadigo ndo walio na mambo hayo.. Na maybe ndo mila zao so let them do

    • @barakatabdul3212
      @barakatabdul3212 2 года назад

      @@abbasathman4721 nankweli mm sijawaii ona kwenye harusi za kama Muarabu, msomali, na etc.. wakifanya hivii wallahii😂😂

  • @bijumaamani623
    @bijumaamani623 2 года назад +1

    MashaAllah as always dd wa lov squad atuangushi keep on shining

  • @ummiali8084
    @ummiali8084 2 года назад +1

    Jamani yule mkaka hataki kutwaliwa vdeo na yuala kombe😁😆😆😆😆😆

  • @shushushushu9034
    @shushushushu9034 2 года назад +1

    Aaah bi harusi kazengua bana mnuno huo kwiooo mie Tisha Tisha.. 🤣🤣🤣🤣😏😏😏😏😏😏😏😏

  • @rahmasalim5252
    @rahmasalim5252 2 года назад +5

    Bibiaruc kukasirika uko kwioo🤣🤣🤣

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 2 года назад +2

    Mashaallah wamependeza

  • @binti_athman8145
    @binti_athman8145 2 года назад +1

    Kombe mbona nla vita?

  • @youayyouse2444
    @youayyouse2444 2 года назад +1

    Mashaallah😘

  • @muniramohammed2328
    @muniramohammed2328 2 года назад +2

    ❤MashaAllah

  • @MwanamkasiPesa
    @MwanamkasiPesa Год назад

    Mwinyi nmekuona 😅

  • @fatmamohammed3411
    @fatmamohammed3411 2 года назад +2

    Mke kaaharibu video yote hata kumtizama mume hajui

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 2 года назад

    Hii translate in English kwani muko London c wajua wakisoma kidogo university ashapata formula ya ♋ bi harusi kanuna mavya KAZI unayo atoka nyali mke,, in Bora ni ati translate kwa ni nyi wazungu mnaka wadigoooo

  • @mwanakombomnyeto7759
    @mwanakombomnyeto7759 2 года назад +2

    Masha Allah wamedamshi#

  • @Nury1784
    @Nury1784 2 года назад +2

    Biharusi amenuna tasema alazimishwa iiiwiiiii

  • @mwanaishaalfan3145
    @mwanaishaalfan3145 2 года назад +2

    Bibi aruc kiazi Sana umeniudhi natamani uyo mume kanipata mm

    • @zuu9022
      @zuu9022 2 года назад

      😄

    • @neemamarere
      @neemamarere Год назад

      MVUMILIZI HUNGOJA LAKE

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 6 месяцев назад

      ​@@neemamarerewee nema kweli jeuri kununa kwiooo

  • @EuniceOdegea
    @EuniceOdegea Год назад

    Biharusi.jamani mbona umenuna mdogo wangu

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 2 года назад

    Hapa kazi ipo mawifi na mavyaa mjiandae Dada mke hawi ivyo

  • @mejusworldchannel8869
    @mejusworldchannel8869 2 года назад +1

    Gorgeous

  • @Amena-z5r
    @Amena-z5r Год назад

    😢😢😢❤❤

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 2 года назад

    Ati translate in English kwani waishi bratin we did mdigo????

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 2 года назад

    Innallillahi wainna ilayhi rajiun mume a dance mbele ya wanawake tobaaa

  • @fatumamusa
    @fatumamusa Год назад

    😂😂 she needs to be smile why serious?? It's her day

    • @FatmaMwinyi-jt2rr
      @FatmaMwinyi-jt2rr Год назад

      It's better you saw that😂😅😅😅😂😅😅

  • @sarakarisa7314
    @sarakarisa7314 2 года назад +1

    🥰❤️❤️❤️🎊🎊🎊

  • @mwanabayadola5476
    @mwanabayadola5476 2 года назад

    Bi harus kanunua kweli Kalazimshwa kwani au mume n wakutafutiwa

  • @fatumaaden2097
    @fatumaaden2097 2 года назад

    Ungecheka kidogo tu hata umpe bwana harusi hope dada

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 6 месяцев назад

      Ndio mana hakuja bwana Ile video aliovaa nguo ya Pink 😢

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 2 года назад

    Hayaaa harusi nikkah c masjid niwapi huko

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 2 года назад

    Mashallah mabruk

  • @aminasaid4174
    @aminasaid4174 2 года назад

    Bibi harusi aonekana jeuri 😂😂 acheki uwapiga watu macho mabaya uwabenuwa mdomo 😂😂achunge cje akasonya watu 😂😂

  • @zuhuramwawimo2824
    @zuhuramwawimo2824 2 года назад +2

    Mabrok mabrok maharusi

  • @rizikichamosi7551
    @rizikichamosi7551 2 года назад +2

    Bi harusi kanuna kama kalazimisha

  • @mejusworldchannel8869
    @mejusworldchannel8869 2 года назад

    Mbona bibi harusi kanuna jamani

  • @mwanaishaali5338
    @mwanaishaali5338 2 года назад +2

    Bi harusi mbna km hakai bi harusi wengne ana wacwac ka anaingia siafu

  • @fatmasalim2694
    @fatmasalim2694 2 года назад +2

    Bi harusi naye aboesha😂😂😂😂sasa kwani amelazimishwa kuolewa,mbna kucheka hacheki😂😂😂😂😂😂khaaaaaaaa ameboesha shughuliiii

    • @halimasawa611
      @halimasawa611 2 года назад +1

      Kambe amekula mabuyu😂😂😂😂😂

    • @mkasiali6956
      @mkasiali6956 2 года назад

      @@halimasawa611 jeurizimezidi

    • @neemamarere
      @neemamarere Год назад

      Omba Mungu akupe mume kwanza mengine ni majaaliwa

  • @mariamjay5594
    @mariamjay5594 Год назад

    Huyo bibi haruc yuwariaria utadhani yuwasubiri aambiwe kitu

  • @dakuadi5758
    @dakuadi5758 2 года назад

    Mbona bi harusi anabehave funny

  • @aminazecha5841
    @aminazecha5841 2 года назад

    🥰🥰🥰🥰

    • @shumiyusuf1107
      @shumiyusuf1107 2 года назад

      Cheka bwana bi harusi kununa huko kwiyo😏

  • @nargisdelights6152
    @nargisdelights6152 Год назад

    Y bride is serious 😮

  • @bahatijumakingonyo2128
    @bahatijumakingonyo2128 2 года назад +1

    Bibi harusi anakuangusha

  • @zuu9022
    @zuu9022 2 года назад

    Jamani mke Kwan umelazimishwa uyo mume smile fake

  • @aishatwaha7863
    @aishatwaha7863 2 года назад

    Bi harusi kanuna matho makavu aisee

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 года назад +2

    Biharusi mkware macho makavu kama sio mwari vile

    • @alifetty342
      @alifetty342 2 года назад +1

      Wacha matuci dada

    • @neemamarere
      @neemamarere Год назад

      Lakn mm nshafika mjengoni cjui wa mwenzangu

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 6 месяцев назад

      Ana mtoto mwari Gani 😂😂

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 2 года назад

    Huuu ni ushamba mume utoke masjid ukajieke katika ya wanawake ama ni wadigoooo OK

  • @sarahally2821
    @sarahally2821 Год назад +2

    Mashallah

  • @podwty147
    @podwty147 Год назад

    Beautiful

  • @zakiaferuz4561
    @zakiaferuz4561 2 года назад +1

    🥰🥰🥰🥰