Huu ndio upendo mungu anaoutaka babu ally mungu azidi kukubariki ktk maisha yako mungu awabariki viongozi wote wa dini mlio fanya hili swala la kurudisha furaha tabasamu kwa babu ally 🙏🙏
Wacheni mbwembwe zilizo na maana. Hiyo yasemwa "Takbir!" Siyo "Takibirrrr!" Inshaa Llah mudumu na wa ndani wenu! Jazaakumu Llah Khayr Taasisi na Viongozi husika!
@@emmadora7848mjinga kweli hajui wakristo pengine wanafanya zaidi ya hayo kwa vile hawajionyeshi na kwa uelewa wake mdogo anaona hawafanyi mjinga kweli huyu jamaa Mungu amsamehe kwanza kulikuwa na maana gani kwenye mambo ya waislamu unaingiza wakristo mpuuzi kweli yani
Woote mliohusika na hili Mwenyezi Mungu awabariki sana sana sana
Amin Allahumma amiin
Wakati wa mungu ni wakati sahihi mashaallh 😍
Maa shaa Allah
Mashallah Mungu awazidishie nyote mliomsaidia kijana wetu🙏🙏mungu aisimamie ndoa yao
Mungu ampatie maisha marefu Babu ally katka ndoa yake😢
Huu ndio upendo mungu anaoutaka babu ally mungu azidi kukubariki ktk maisha yako mungu awabariki viongozi wote wa dini mlio fanya hili swala la kurudisha furaha tabasamu kwa babu ally 🙏🙏
Haya ndio mambo yanayo hitajika ktk jamii Mungu awabariki
Allah awabariki wote walio husika kufanikisha vijana 70 kuoa.. wameepusha zinaa, Allah awajaalie viongozi wetu wa kiislam dunian kote
Babu Ally namjua anakaa Mikoroshini jirani yetu Maasha Allah Allah Amzidishie sheikh Abdulkadir
Kazi njema Allah akupe mwisho mwema sheikh wangu nurdin kishki
Mashallah Allah awajalie ndoa zao zikawe na masikilizano❤❤❤
MashaaAllah babu ali mwenyezi mungu akujalie Afya njema inshallah
Alhamdulilah Rabbil Aalamiin hamna kazi ilio haina changamoto. Basi tuombe subra Allah akufanyie wepesi yaarab
Mungu amujalie kijana huyo Mungu amusaidie biashara yake iwe nzuri 😊
Mungu awabaliki waliotoa kwa ajili ya babu aly mungu awajaze na asiwapunguzie
Hongera ndoa yenu iwe yenye mibaraka❤❤❤❤
ALLAH awalipe wote waliofanikisha hili Inshallah
Mashaallh Allah ampe baraka nyingi babu Ali 🤲
Mwacheni Mungu aitwe Mungu ukimtumikia yeye siku zote hutaaibika kamwe huyu kaka pamoja na ulemavu Bado alikuwa anachakarika hongera saana
Haw ndiyo viongozi wadini tunaowahitaji bila kujali dini ubarikiwe sana shekhe. mimi mkristo ila nabarikiwaga sana na maubili yako🙏
Mashaallah ndoa rahaa jamani❤❤❤❤❤❤ mskin babu Ali amenities machozi
Nimetoa Machozi Pia ..NDOA NI KITU CHA BARAKA....MUNGU AWABARIKI KWA KUFUNGISHA NDOA HIZI..
Mungu akubariki sana Shekhe kishiki Mimi ni Mkristo ila nabarikiwa sana na utendaji kazi wako Mungu anataka tutende mema Kwa wanadamu wenzetu Amen.
Na ww jitahidi uwe mwislamu sasa maana hii ndio dini swahih ambayo mungu amewatuma mitume wake wote kuja kuitangaza
Na ww jitahidi uwe mwislamu sasa maana hii ndio dini swahih ambayo mungu amewatuma mitume wake wote kuja kuitangaza
Na ww jitahidi uwe mwislamu sasa maana hii ndio dini swahih ambayo mungu amewatuma mitume wake wote kuja kuitangaza
Allah awalipe kheyr nyingi sana na Allah awazidishie maradufu mashekh wetu
Mashallah huu ndo uislamu, kupendana mungu amfanyie wepesi kwenye maisha yake ya ndoa
Mashaallah Allah akuhifadhi shekhe kishiki
Allah aqbar licha yaivo tukiambiwa tuishi nawat vizur huwaga kuna maana kubwa sana Allah akulipen pale mlipotoa Kishk twakupenda kwajil ya Allah❤❤
Ata mim nimelia😢 MashaAllaah❤
Masha Allah Tabaaraka llah ❤
Subhallah Allah atupe Kila la khery inshallah katika ndoa zetu
Wacheni mbwembwe zilizo na maana. Hiyo yasemwa "Takbir!" Siyo "Takibirrrr!"
Inshaa Llah mudumu na wa ndani wenu! Jazaakumu Llah Khayr Taasisi na Viongozi husika!
Allah ajaalie kheri taasisi yako shekh kishki na kupitia jambo hili iwe ni sababu ya sisi sote kuwatendea wema waja wote wa mungu
Mungu akuongezee shekh Nurdin Kishki
Amen Mungu wa mbingu na nchi awabariki kwa kumsaidia na kuwafungisha ndoa Mungu awakumbuke sana,kweli wakati wa Mungu ukifika hakuna wa kupinga
Mungu akusimamie katika ndoa yako pia abariki biashara yako izae bajaji nyingine
Mashaallah ❤❤viongozi watu allah atawalipeni duniatu nae akher
Mungu akubariki sheikh
Mashaa Allah Allah amuongezee mali Sheikh Abdul qadir
Mwenyezi Mungu awabariki sanaa wote mlioshiriki kumsaport babu ally
MashaAllah🥰😰ALLAHU AKBAR
Mungu ampatie mwisho mwema kwenye imani asimkufuru Mungu awe baraka kwa watu.
Masha Allah thabaraka llah, mabruq alfu mabruq
Mungu akufanyie wepesi Shekhe!🙏🙏🙏
Allahu akbar Allahu akbar allah anatoa katika njia anazo zijua yy
Jmni duuuh mungu ampe na mke bora inshaallah
Mungu awabariki sana
Masha Allah Allah awahifadh Al hikma Foundation Aamyin
Nimelia sana kwa furaha😭😭😭 Allah awajaze khery
Ameen,wakiristo wenyew wanajaz matumbo yao mbn hawafany km ndg zetu mungu awajalie mlotoa wote
Hata aibu huna, Wakristo wanafanya mengi, kwani ni lazima nao wawatolee watu mahali ndio ionekane wamefanya ? Shame on you
@@emmadora7848mjinga kweli hajui wakristo pengine wanafanya zaidi ya hayo kwa vile hawajionyeshi na kwa uelewa wake mdogo anaona hawafanyi mjinga kweli huyu jamaa Mungu amsamehe kwanza kulikuwa na maana gani kwenye mambo ya waislamu unaingiza wakristo mpuuzi kweli yani
Mh wakristi wanatoa sana ila hawatangazi
Na meme nime anza kulia 😢aseeh ishalaa mungu awajalie wote
Mashallah...Takbir Allahu Akbar
Mashaallah kwakweli nifuraha isio nakipmo Hadi najiskia kuli
Shekhe kishki Allah atakulipa Inshallah kazi nzur unafany.
Mlitakiwa kuanza siku nyingi mambo haya.Hongereni sana
Mungu hamjalie maisha marefu
Mashaallah Alhikma foundation mungu atawalipa kwa wema wenu
Mungu akuongezee mara dufu we uliemsaidia, uwaone na wengine wanaotaabika kama huyu
Alhamdullillah 👏👏
Mashallah sheikhe wang mwenyezi mungu akubalik 🙏🙏🙏
Allah Qadir Uislam mzuri jamani, alhamdulillah
Daah mpaka imeniliza😭😭
Hongeren sana kwa kumpatia zawadi nzuri mungu wazidishie
Mungu awabariki sana
M/Mungu awatunze,huu ndio uislamu
😢😢😢😢😢nimejikuta nalia tu duuuu Allah awalipe kher
Allah akujalie maisha marefu yenye Baraka teree
Allah awajaalie yye namkewe kizazichema
Thank you God🙏❤
MashaAllah mashaallah Alalh awalipe kher ❤❤❤❤❤
Mashallah Allah awahifadhi walewote mlioshiriki kufanikisha hayo yote
From 🇧🇮mashaallah
Allahu Akbar ❤
Allah akbar ❤ MASHA ALLAH MASHA ALLAH
Mashaallah .Allah aqbar
Alhmdulillah Allahu Akibar Allahu Akibar Allahu Akibar
Millad ayo umetisha sana baba LA baba
Mashaallh jmn 🤲🤲🤲
Ndoa ni baraka ❤
Mashallah tabaraka llah 😢😢😢❤❤❤❤
Mansha Allah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Ma Sha Allah allah,, awabarik
بارك الله فيكم
Allah ampe wateja wenye ofu ya mungu
Mashaallah Wala hi machozi yamenotoka
Allah azidi kumfanyia wepesi yarab amuongoze na amlinde na kila mabalaa
Allah awalipe pepo ya daraja ya juu kila aliehusika kwa njia yoyote ile
Mungu awalipe kheri Sheikh kishiki
Alhamdulilah mungu hunyanyua amtakae🥰
Daaah kweli wakati wa mungu ni wakati sahihi
Allah akibra❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashallah mungu awabariki sana na awalipe
❤❤❤ Allah bless
Allah azidumishe ndoa zao inshaall
Ata mimi😭kwa furaha mungu awabariki wote mliohusika kwenye hili tukio
Mashaallàh......Allah awalipe kila lenye kher
mungu akubarik
Mungu awabariki wote mliompatia huyu ndugu bajaji.
Blessing
Allah awalipe kheri Duniani na akhera
Mashaa llaah
Mashaallh thabrk allh
Allah awajaalie