Bwana Yesu akubariki sana mtumishi, umesema kweli kuhusu msingi wa Yesu. Mimi mwenyewe ni sista. Nakubaliana na wewe. Nawashauri watu wasiishie tu kusomewa neno la Mungu kanisani, tujitahidi kujisomea neno Kila wakati mahali hutuelewi tuulize watumishi wa Mungu kama Hawa. Ubarikiwe sana mtumishi
Nilimjibu mchangiaji wa kwanza, huyu halalamiki wahubiri hawalalamiki bali wanawaeleza watu ukweli ili kutufumbua macho ya kiroho nasi tufunguke tuone ukweli ili tupone
Msitaje jina bwana wenu bira sababu usiape bure jina la bwana.wako. mnachukuwa uchawi nageria freemason mnavuta watu kwa nguvu za giza ole wenu olewenu nyinyi mafarisayo.
Nakupenda sana mtumishi wa mungu naomba mungu akupe maisha marefu ili kufumbua macho ya vipofu katika kweli halisi,❤❤❤
Bwana Yesu akubariki sana mtumishi, umesema kweli kuhusu msingi wa Yesu. Mimi mwenyewe ni sista. Nakubaliana na wewe. Nawashauri watu wasiishie tu kusomewa neno la Mungu kanisani, tujitahidi kujisomea neno Kila wakati mahali hutuelewi tuulize watumishi wa Mungu kama Hawa. Ubarikiwe sana mtumishi
Safi sana Kwa kuieleaza kweli ya Mungu, Tuna hitaji ukweli wa Kristo Yesu, siyo mafuta na vitu vingine.
Amen ❤❤
❤❤❤❤❤❤❤
Amen
Amina
Amme
Nilimjibu mchangiaji wa kwanza, huyu halalamiki wahubiri hawalalamiki bali wanawaeleza watu ukweli ili kutufumbua macho ya kiroho nasi tufunguke tuone ukweli ili tupone
Lakini kwanini usiombe haya yasitokee unabakia kulala mika wakati wewe unaomba sadaka tukushangia
Acha ujinga huyu anaonya na kuweka wazi uongo inayofundishwa na huyo mwamposia wenu na Biblia inaruhusu kuonya na kukemea hao mashetani wanaopotosha wateule sasa aombe nini wakati wanatenda anatakiwa naye atende ndipo Aombe