kabla yakumfaham vizuri lauphone nilijua ni bongeee la jituu kubwaaa sanaa mzeeee; kumbee kijanaa tuu mdogo nikajiuliza kwann hatua kapiga kubwa tofauti na umri wakee? baada yakujua ni aina gani ya uwekezaji kaupa kipaumbele nikaamini hakuna ndumba bali akili ni ndumba
Wote tunatakiwa tuige mema yanayofanywa na mwenzetu kwa faida ya baadae nafahamu kazi zako mungu akubariki sana akuongezee hapo ulipo na kupata mama kumi
hongera zako mungu akupe umri tunaamini kuna watu nyuma yako wanakuhitaji daraja lao kama tunavokufaham
Mtangazaji upo vizuri sana
Sawa Nashukuru Sana kwa sapoti yako pia
hongera sana kwa mafanikio.lakini nakukumbusha mkumbuke muumba wako siku hizi za ujana wako
Point
hongera sana laurent ndelwa huo nimfano tosha kasisi vijana t
mimi nataka unifundishe kufanya biashara Kaka
tuzid kumuombea maisha malefu
namimi nahitaji unifundishe biashara Kaka
kabla yakumfaham vizuri lauphone nilijua ni bongeee la jituu kubwaaa sanaa mzeeee;
kumbee kijanaa tuu mdogo
nikajiuliza kwann hatua kapiga kubwa tofauti na umri wakee?
baada yakujua ni aina gani ya uwekezaji kaupa kipaumbele nikaamini hakuna ndumba bali akili ni ndumba
hongela kijana
Wote tunatakiwa tuige mema yanayofanywa na mwenzetu kwa faida ya baadae nafahamu kazi zako mungu akubariki sana akuongezee hapo ulipo na kupata mama kumi