Msigwa iga mfano wa mzee wetu hayati Lowassa. Baada ya kutoka CCM na kuhamia Chadema mzee Lowassa hakuwahi kuwasema vibaya au kuwadhihaki viongozi wa CCM. Yeye alifanya siasa tu
Msigwa huna hoja badala ya kuongelea hoja za kuleta tija wewe unaongelea mambo ya mtu binafsi sasa lipa bilioni 5 ili upate skill,wewe sio serikali kama unaAkili timamu inakuaje Kwamba Mwenyekiti anaisema serikali wewe unamsema mtu binafsi sasa huoni hiyo tofauti yake
Muheshimiwa Msigwa hayo uliyomtuhumu nayo Mheshimiwa Mbowe yabumilie ukayajibu mahakamani ili ukweli ujulikane kwani mahakama inaweza kuyatupilia mbali kama ni ya kisiasa. Ila kama yamuhusu mtu binafsi ukabiane nayo.
Hapo patamu yaani mpaka aseme amezoe kuwazodoa wengine yaani yeye anaona ndio mwenye haki zaidi ya kuwavaa wengine na yanaporudi kwake povu na vitisho Kama hivi vinaanza.
@@edgarmbegu1974 Kikubwa awe mpole anapoambiwa ukweli asitoe vitisho badala yake ajibu hoja kwa hoja na sio kutoa vitisho kwakuwa anamiliki Saccos amtishe kwa mabilioni ili asimseme akae kimya tu afunike kombe mwanaharamu apite.
Msigwa siasa unazofanya sio za kiungwana hata kidog mbna usiwe kama wenzio mfano lowassa alipohama CCM hakuwasrma vibaya kiongoz wa CCM na hata alipohama chadema kurud CCM hakuwasrma vibaya chadema Kwa nn ww unawasrma vibaya chadema unakua kama taila msigwa
Ulimwita Mbowe kuwa ni Nkurunziza, hivi najiuliza inawezekanaje kutumia jina la marehemu Raisi wa nchi jirani kama mockary ya kisiasa, uhusiano wa Nchi naNchi ukopje?
Mbwa huyu anafikiri Mbowe ni wakushuka kisisa pumbavu kabisa wewe ununuliwe upande kisiasa aliyekuwa aliyekupandisha mpaka wamekununua ashuke kenge kweli sasa sio mzanzibar?
Ukishakuwa ' obsessive ' na mtu kiasi kwamba unamtajataja Kila siku , my take is , unamuabudu Kiaina na kwa mwanasiasa unamuongezea ' political mileage' Nimekuwa inspired sana na hotuba fupi ya mheshimiwa Boniface Jacob wakati anarudisha fomu yake ya kugombea uenyekiti Kanda ya Pwani , if he would live to his promise atakuwa ameonyesha political maturity ya hali ya juu! Sasa siku mheshimiwa Mbowe akistaafu siasa sijui wewe Peter utaongea nini Tena! Kumaliza udhia Hon Mbowe will meet you in court! Huwezi chafua watu at will !
Mnataka mbowe asisemwe yeye ni nani?na bado hicho chama ndo kimefika mwisho,nilisema kitambo kuwa hao wabunge 19,ni mchongo wake anakula nao.wao wanadai wanamawakiri wasomo mfano,lisu,madereka,mwabukusi na wengine wengi kibatara mbona wameshindwa kwenda mahakamani? Kama siyo mchongo?mbowe usiwatie ujinga wanachadema.
Wewe msigwa nimjinga inshu ya mbowe kumsema mama ameuza bandali Ina kuhusu nn ? Mbowe amekanusha uliyo yalopoka kwa kutaka b tano siutulie upigwe spana? Umezidi na njaa ndiyo kwani ungesema umehama kwakua umeamua usingeeleweka? Jipime bro
Nimesoma comment sijaona mtu yeyote anayemuunga mkono msigwa ila naona njaa na uloho wa Madaraka ndo uliomtoa Chadema anafikiri yeye tu ndo anatosha kwenye nafasi hiyo kiasi kwamba hayupo mwingine binafsi nimpe tu pole yake njaa mbaya mjomba!
Wanasiasa Malaya malaya
Kelele za msigwa shida njaa sana
Hiki kijamaa kiongo sana kiliwahi sema kinana anauza wanyama hai baadae kikamuomba msamaha
Njaa mbaya msigwa
Msigwa iga mfano wa mzee wetu hayati Lowassa. Baada ya kutoka CCM na kuhamia Chadema mzee Lowassa hakuwahi kuwasema vibaya au kuwadhihaki viongozi wa CCM. Yeye alifanya siasa tu
Huna lolote msigwa lazima utalipa tu,na hivi huna pesa sijui utafanyaje
Wewe mwenyewe ulisema raise ameuza bandari ukiwa chadema acha uongo msingwa wewe ni mnafiki tu
Alipo sema hivyo alipewa vitisho na kufunguliwa kesi mahakamani? Alitozwa billion gani alipo sema hivyo.
Mbona Msigwa unajibu swala ambalo hujaulizwa, swali siyo kuhama!...
Njaa mbaya
kwa maneno haya ya Msigwa inaonyesha wazi kuwa nia ya Msigwa ni kumchafua Mbowe kama umesema ukweli unaogopa nini kwenda mahakamani?
Yeye anayajuwa ya mbowe na hamuogopi
Akuonyeshe heshima wewe ni munguu ushafeli msigwaa huna jipyaaa chadema ni taasisi kubwaa sanaaa
Kweli umevulugwa jaaa njaa mbaya sana
Msigwa mnafiki kwanini Kama no mkweli siku zote usiseme acha njaa zako
Msigwa nakwmbia mbowe kushuka kisiasa hizo ni ndoto zako ambazo nimatope sisi niwatu wazima ustufundishe
Hili kweli zimwi halijajibu tuhuma na hoja iliyopo mezani linajin'gatang'ata
Brother jibu tuhuma unazotuhumiwa nazo. Acha kuingiza serikali, watu wengine na acha kujitafunatafuna.😢
Mbowe ana heshima , wewe leta hoja acha mambo ya mtu binafsi
Wewe usifananishe nchi za ulaya na kiafrica.
Watanzania tunataka mabadiliko lkn wewe Msigwa unaturudisha nyuma acha njaaaaa
Umefirisika kisiasa mzee, huna jipya, siasa zetu zimetawaliwa na njaa
Weqw ndio umeshuka na chama chako
Haswaaa!
Kesi inayosimamiwa na wakili wa chadema lazima upigwe mzee
Msigwa Hana wivu wenyewivu ni nyinyimnae mtetea mbowe
Msigwa JIBU tuhuma ZAKO
Njaa tuu hata ulikokimbilia hupendeki njaa itakuua
Msigwa hujashitakiwa kwa kuhama chama uwe mwelew a usituchanganye
Msigwa huna hoja badala ya kuongelea hoja za kuleta tija wewe unaongelea mambo ya mtu binafsi sasa lipa bilioni 5 ili upate skill,wewe sio serikali kama unaAkili timamu inakuaje Kwamba Mwenyekiti anaisema serikali wewe unamsema mtu binafsi sasa huoni hiyo tofauti yake
Baada ya kushindwa uchanguzi chadema ikawa mbaya ghafra lakini ungeshida ungesema hayo? Njaa tu imekuponza
Anajua alikuwa anamchafua mbowe. Na hana uhakika na anayosema.
Sasa kaeleze ukweli mahakamani mbowe anakulaje hiyo pesa ya chadema.
Peleka njaaa"
MSIGWA NAKUITA TENA MSIGWA WACHA WIVU! WEWE UNAONEKANA UNA WIVU SANA😂
Jibu swali kwanini unakashfu ukitoka kwenye chama?
Kutoka chama siyo issue
Issue ni kukashfu chama ulichotoka
Kosa lako sio kuhama chama we jiandae kufika mahakamani na kule ccm hawatakuwepo unashitakiwa ww na uwongo wako hakuna anayekupenda ww kenge
Muheshimiwa Msigwa hayo uliyomtuhumu nayo Mheshimiwa Mbowe yabumilie ukayajibu mahakamani ili ukweli ujulikane kwani mahakama inaweza kuyatupilia mbali kama ni ya kisiasa. Ila kama yamuhusu mtu binafsi ukabiane nayo.
jinga sana wewe huna maana yoyote ile.
Hapo patamu yaani mpaka aseme amezoe kuwazodoa wengine yaani yeye anaona ndio mwenye haki zaidi ya kuwavaa wengine na yanaporudi kwake povu na vitisho Kama hivi vinaanza.
Ataenda kuthibitisha mahakamani. Umeelewa?
@@edgarmbegu1974 Kikubwa awe mpole anapoambiwa ukweli asitoe vitisho badala yake ajibu hoja kwa hoja na sio kutoa vitisho kwakuwa anamiliki Saccos amtishe kwa mabilioni ili asimseme akae kimya tu afunike kombe mwanaharamu apite.
Kwani yeye mbowe anaposema polisi wanateka watu yeye anaushahidi?
Taira ww mbwa
Kwani msigwa huoni wengi wana hama ila hawana kelele ww waainagani wengi tunajiuliza
Yani hata mwanamke akipigwa kibuti ukiona ukiona Ana papalika ujue bado anamuhitaji mume
Msigwa mbona kigugumizi?????
Haka kajamaa kanajiona eti kenyewe kaaminifu,kaongo tu hakana hoja,kalisha wahi kumdhalilisha kinana kisha kakamwomba msamaha haka nikahuni tu kamjini.
Wewe ndio umeshuka
Msigwa siasa unazofanya sio za kiungwana hata kidog mbna usiwe kama wenzio mfano lowassa alipohama CCM hakuwasrma vibaya kiongoz wa CCM na hata alipohama chadema kurud CCM hakuwasrma vibaya chadema Kwa nn ww unawasrma vibaya chadema unakua kama taila msigwa
Ww msigwa ni mpuuzi.
Sasa kama wanakupigia cm unashaidi mwingine unalalamika nini?
Huyu jamaa kesha lowa. Leo hakoromi kama ilivyo kuwa kabla ya kupewa demand note. Umelikoroga utalinywa.
Hii dhambi itakutafuna msigwa
Msameheni bure hajitambui
Au ndomaneno ya watu wengi kua njaa naelim nitatizo
Hizo sio siasa bali ni wewe uliomshambulia mtu binafsi sasa lipa ela
Msigwa njaa tuu Ina msumbua
Msigwa upo sahihi,mbowe kashuka kisiasa,ilitakiwa akujibu na awajibu wanachadema.hata lisu alisema unahaki ya kupewa majibu
Mbona mambo ya kawaida, nyie ndio mnfanya yaonekane ajabu, Russia iko kila sehemu, hata kwenye familia, chadema sio Malaika
Mbowe siyo kujibizana na msigwa tukutane mahakamani wakimbeba tutasonga mbele maake naona kama anamlilia mama amusadie
Msigwa acha kutapatapa,chukua chuma hicho.toa pasa.
Msigwa tatizo wewe njaa ndoinakuuwa huna aibu Kwanza mchungaji Gani wewe una mdomo kama nini
Acha uchinga msigwa.
Ulimwita Mbowe kuwa ni Nkurunziza, hivi najiuliza inawezekanaje kutumia jina la marehemu Raisi wa nchi jirani kama mockary ya kisiasa, uhusiano wa Nchi naNchi ukopje?
Wewe hukufanya siyasa ulimshambulia mbowe moja kwa moja
Ameingia uoga baada ya kujua Mbowe yuko serious na hii kesi na ndiyo anamalizwa kisiasa
Mbona hujifuzi
Mbwa huyu anafikiri Mbowe ni wakushuka kisisa pumbavu kabisa wewe ununuliwe upande kisiasa aliyekuwa aliyekupandisha mpaka wamekununua ashuke kenge kweli sasa sio mzanzibar?
Lipa billion tano hizo bwana au huna nikulipie??Ila uache kubwabwaja adi sera zako siyo kushindia wezako
Ulishajibiwa na Mrema
Utalipa tuuu, mie nakuchukia saana
Sawa ukihama tunza adabu yako
Wewe huna akili kabisa...jiandae kulipa fidia uludi kuuza mitumba
Mnashida hiyo ungeshida ungeyasema haya
Msigwa Msigwa Msigwa wewe umesoma Theolojia uwe na akiba ya maneno CCM hawaaminiki
Msigwa kafanye sala ya toba
Ukishakuwa ' obsessive ' na mtu kiasi kwamba unamtajataja Kila siku , my take is , unamuabudu Kiaina na kwa mwanasiasa unamuongezea ' political mileage'
Nimekuwa inspired sana na hotuba fupi ya mheshimiwa Boniface Jacob wakati anarudisha fomu yake ya kugombea uenyekiti Kanda ya Pwani , if he would live to his promise atakuwa ameonyesha political maturity ya hali ya juu!
Sasa siku mheshimiwa Mbowe akistaafu siasa sijui wewe Peter utaongea nini Tena!
Kumaliza udhia Hon Mbowe will meet you in court!
Huwezi chafua watu at will !
Msigwa ukosawa umesema kweli anatakiwa kukujibu si kukutisha huyu mbowe ni mtu wahovyo kabisa anawabuluza kwa kivuli cha demokrasia
kama kasema ukweli na sio kumchafua mtu apeleke huo ukweli mahakamani tatizo liko wapi
@@musa-v3f Tatizo lipo kwa anae mtisha Kisa ana hela kumzidi.
Tukutane mahakani msigwa
Mnataka mbowe asisemwe yeye ni nani?na bado hicho chama ndo kimefika mwisho,nilisema kitambo kuwa hao wabunge 19,ni mchongo wake anakula nao.wao wanadai wanamawakiri wasomo mfano,lisu,madereka,mwabukusi na wengine wengi kibatara mbona wameshindwa kwenda mahakamani? Kama siyo mchongo?mbowe usiwatie ujinga wanachadema.
Acha makasiriko. Huyu Msigwa utasikia kahama ccm. Utasemaje?
Lipa hera umeama chadema unaanza kusema vibaya lipa hera
Sema huja jua hata ccm hawatokuamini maana hata wao siku waki kunyima madaraka utaweka Mambo Yao wazi hivyo wewe hufai.
Siasa kumdhalikisha mtu. Unaongea mambo ya kipuuzi.!!!!!
Utaenda kutana na kibatala mahakamani
Kulipa lazima ulipe huna msimamo ww
Msigwa wewe Ropo ropo lipa
Mifano yako hieleweki huna lolote kisa wenyekiti wakanda tu povu linakutoka utahama malngapi wewe?
Wewe msigwa nimjinga inshu ya mbowe kumsema mama ameuza bandali Ina kuhusu nn ? Mbowe amekanusha uliyo yalopoka kwa kutaka b tano siutulie upigwe spana? Umezidi na njaa ndiyo kwani ungesema umehama kwakua umeamua usingeeleweka? Jipime bro
Mbowe anatajirika ki ujanjaujanja na wizi tu
Yaani wewe umbwa, kweli soma historia. Ufanye utafiti, hakuna mwana siasa, alietoka familia Tajiri kama mbowe
@@melch3097 Anatafuta nini kwenye siasa mpaka sasa, Jambo gani amewasaidia Watanzania ambalo tunafaidika nalo kutokana na utajiri wake.
@@melch3097 mbwa, msenge na ukoo wako historia maana uake nini?? Wezi wakubwa na kengeza unaibiwa unatetea upumbavu
@@abdullahmasakata170 umeonaaa kama ciyo wizi tu