But obinna said he has no bad blood with Ali ….people always want to make obinna look bad why …kijana wa wanyewe aliwafanyia nini jameni…can’t some people just let him be……..anyways they say when you when you are at top you become the topic
Interview ya ali na baba mama ndo ilikuwa mbaya, hana respect kwa penye anaweka,, hataa kama ni tabia lazima mtu huficha mambo ya nyumba yake, but aliongea mbaya sana
Mwambie aachane na bebi kabisaaa,us we looooooove,!!!!! bebi,toa your hate hapa,ama umetumwa umwambie,sikiza ile Ngoma obinna alimwimbia ya birthday, weather obinna loves her or not,God amemwekea her right husband.leave bebi alone!.
Why is people against this guy obinna aki @the way he's hard working man, responsible, lovely caring,,giver@mentor ,what do people want,,@why to hate to dem wa fb@let's not charge the creator of God,,you guys you don't know the plan of God,,,,
Hii channel bado iko na negative sana na tena bado oga obina ndio kwanza mtamurusha mawe huku anazidi ku trends pamoja na demu wa fb❤ na huyu mwenye mmemhost ebu nitumia namba nimpee za mswaki juu ako na ujinga sana😂😂😂
Indact nimekuwatch na najua wengi wamewatch juu ya picha ya obinna na dem wa fb,otherwise wewe ukiweka sura yako hakuna ntu atafungua hiyo video..nonsense
The beef between Obinna and Ali goes back to an interview that Presenter Ali did with Obinna's baby mama. Since that time Obinna has never forgiven Ali😢😢😢😭😭 What do you think?
@Maaabduly wachana nao aje una jam na umeongea vitu hujui. Kaa binadam. Tubu wacha zako unaongea kaa unajua mi mswislamu so najua nacho kisema don't let social media cause to comment kama mnyama this is content my dear haitaji hasira za kishetani
@RwachiryoraWema nigekujibu lkn acha tu juu uko apa na hasira zako ,apa sioni kitu serious ndio nimekwambia ww tafuta pesa usinilete usione ukita uislamu ndio nn watu wako na elimu zao na huoni wakibishana na umekazana uko muisilam akili yako punguani ww tuliza utako wako mshenzi mmoja 😏😏😏😏
We kumbafu sana ndio maana unakaa hivyo,hebu umwambie huyo Obinna aachane na huyo msichana tuone Kama atatrend.For your information huyo mwenye unasema hawaendani ndiye nyota yake and soon You will call Obinna his excellency only if he will be with DEM WA FACEBOOK
HATERS LEARN TO APPRECIATE OTHERS WHEN THEIR TIME COMES UWIVU HAUNA FAIDA AND ABOUT PRE. ALI IS EVIL AND ALWAYS WANT OBINA TO BE SEEN AS THE BAD ONE BUT THANK GOD IS FIGHTING FOR HIM AND DEM WA FACEBOOK
Ali atafute Obina waongee juu Ali amekuwa akifanya interviews za negativity about Obina na hiyo sii poa that's what made me unsubscribe his channel. Na hata mkimfuata kumuangusha Never never mtajaribu sana
He was disappointed with Ali when he did that interview,he forgave him and even shook hands with him in front of the cameras, Ali alimtaka kumchafua jina coz hange-entertain urongo za ule mama.In Ali's podcast he has continually discussed Obinna in bad light,he pretends to start by saying that he works very hard then he drags him in the mud together with that friend of his in his podcast.Ali aache kudiscuss Obinna in bad light all the time,saying that Obinna hana knowledge ya leadership and videography na anapromote Ile shule ya videography .......what was he trying to say
Kwani hamjui obinna Ako na nguvu za freemason ,ndio maana kila kitu yake inakubalika na watu wengi,, hiyo ni power from Freemason ,hata dem wa Facebook ashaingizwa hapo Freemason lakini mwenyewe hajui,mtu aulize obinna anaendanga church gani? Yeye atakudanganya tu church yoyote
😂😂😂😂
Tupostiee community ama tulie😢😢😢😂😂😂
Ali why have u not been covering any of Obinahs event or interviews
Ati awaendani Kwani ww ni mungu , bro kama mungu amepanga ni bebii hakuna wa kupinga , even you u know nobody can outsmart God's plans .
Na kama tena Mungu hajapanga hata wafanye nini nikazi bure
Mtumaini Mungu acha kulaumu obi acha matusi uezijua Mungu alipangia nn dwf huyu ako na wivu
sasa huyu ndio hater wakubwa,let him know bebii and bebii WA bebii hawachani you people will wait in vain.bebii#forever###
Obinna hama mguu ya mtu, ni kuwa open na watu na social 😢😢😢😢😢😢😢
Eeeh hii uchungu yahuyu kijana iko juu,😂😂😂wee kumbe bidii y mtu unaeza kuwa mbaya Kwa watu,SI mufanye kz Kwa bidii
But obinna said he has no bad blood with Ali ….people always want to make obinna look bad why …kijana wa wanyewe aliwafanyia nini jameni…can’t some people just let him be……..anyways they say when you when you are at top you become the topic
Vallary ukiwa top binadamu hutafuta sababu tu na wao wali ombana msamaha kitambo watu ni watu tu.
hii sura mbili inatoa wapi nguvu ya kuongelea dem wa fb ghasia hii kwani dem wa fb hajasuport obina
😂😂😂😂😂 Aka ni kawazimu
It's time for Oga to shine Ali asubiri time yake msee😅
😂😂ako na utiaji atulie kwanza
Na sioni ata shine😂😂😂 juu ya roho chafu yake @@mercykiongo9686
Ati waendani😏 ujawai ona maskini ameolewa na tajiri ?punguza mehemehe
Huyu mnati bona ako n sura mbili😊😊
😂😂
Interview ya ali na baba mama ndo ilikuwa mbaya, hana respect kwa penye anaweka,, hataa kama ni tabia lazima mtu huficha mambo ya nyumba yake, but aliongea mbaya sana
Leave Oga alone.....ww ndio hater mkubwa
Kwani machozi inapotelea wapi😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Watafuta kupaa na uteo, achana na the obinaz please au tukufanyiye ile kitu
Alii ana expose Wuon Lolla aachane na nyumba ya obinna
Mwambie aachane na bebi kabisaaa,us we looooooove,!!!!! bebi,toa your hate hapa,ama umetumwa umwambie,sikiza ile Ngoma obinna alimwimbia ya birthday, weather obinna loves her or not,God amemwekea her right husband.leave bebi alone!.
Na pia bebii deserves better ,chukueni Obinna wenu mtuachie huyo wetu
Weweeeh kwani hiyo beauty itasafisha roho ya Obina ama atamwongezea stress again,,,achana na dwf kabisaaah,,failure
Kwani bebi wa bebi ndio ako na views?huyo ali wacha akule views za 1year ago wacha wifu hii ni mipango ya mungu wachana na obinna ng'ombe hii..
Why is people against this guy obinna aki @the way he's hard working man, responsible, lovely caring,,giver@mentor ,what do people want,,@why to hate to dem wa fb@let's not charge the creator of God,,you guys you don't know the plan of God,,,,
Everyone is beautiful in the eyes of the beholder, huyu anaongea nini, hater go sleep
Anabooo
Ye na yeye anakaa aje,sura mbaya kabisa
Ali alijitafutia mwenyewe
Any weapon formed upon the obinaz will never prosper
Hii channel bado iko na negative sana na tena bado oga obina ndio kwanza mtamurusha mawe huku anazidi ku trends pamoja na demu wa fb❤ na huyu mwenye mmemhost ebu nitumia namba nimpee za mswaki juu ako na ujinga sana😂😂😂
Usiwai dharau mtu wewe. Haujui ya Mungu
Kwani dem fb hafai Obina vipi? Sema unataka DWFB,
Hiyo mambo ya kusema hawaendani wachana nayo beɓii ako sawa ww si mungu
Ulikuwa wataka abebe alii Kwa mgongo yake ndio ujuwe hana bifu
Nairobi Gossip, still pushing vigorously on negativity. They are Obinnas and DWF haters no 1 in Kenya. Songa Songa, Gulf ladies and fans watembelee.
Uchawi unaanza hivi... Obina ni mama ya Ali aanze kumprovidia ama?
Wacha hata niunsubscribd
Indact nimekuwatch na najua wengi wamewatch juu ya picha ya obinna na dem wa fb,otherwise wewe ukiweka sura yako hakuna ntu atafungua hiyo video..nonsense
Uko na machungu na mafanikio ya Obina why? Wewe nikama huchafulia wengine majina nilikuona ukichafulia Fel wa The pluto😮....unajifanya uko emotional
The beef between Obinna and Ali goes back to an interview that Presenter Ali did with Obinna's baby mama. Since that time Obinna has never forgiven Ali😢😢😢😭😭
What do you think?
Kiherehere yake 😂😂😂 saa hii akule jeuri yake bana huyo ala😂
@@Maaabduly kila pahali eh waislamu mna shida tobacco hujui obinna directly kuwa na busara. Jeuri gani
@@RwachiryoraWema ww achana na waislam plz unaona kumetwajwa uislamu
@Maaabduly wachana nao aje una jam na umeongea vitu hujui. Kaa binadam. Tubu wacha zako unaongea kaa unajua mi mswislamu so najua nacho kisema don't let social media cause to comment kama mnyama this is content my dear haitaji hasira za kishetani
@RwachiryoraWema nigekujibu lkn acha tu juu uko apa na hasira zako ,apa sioni kitu serious ndio nimekwambia ww tafuta pesa usinilete usione ukita uislamu ndio nn watu wako na elimu zao na huoni wakibishana na umekazana uko muisilam akili yako punguani ww tuliza utako wako mshenzi mmoja 😏😏😏😏
DEM wa fb ana kasoro gani bro nyash pekee na kesho hii muone wameoana mutadu??eti hawaendani akhhhh
We kumbafu sana ndio maana unakaa hivyo,hebu umwambie huyo Obinna aachane na huyo msichana tuone Kama atatrend.For your information huyo mwenye unasema hawaendani ndiye nyota yake and soon You will call Obinna his excellency only if he will be with DEM WA FACEBOOK
atlist Lia tuamini, Sasa umelia usiku mzima na hukai
HATERS LEARN TO APPRECIATE OTHERS WHEN THEIR TIME COMES UWIVU HAUNA FAIDA AND ABOUT PRE. ALI IS EVIL AND ALWAYS WANT OBINA TO BE SEEN AS THE BAD ONE BUT THANK GOD IS FIGHTING FOR HIM AND DEM WA FACEBOOK
That is very true,Ali enjoys to talk trush about Obinna na huyu Ako hapa anataka am- support,clout chasers
Na haitawahi enda because of how he turnished Obinnas’ name
Talk to Ali aache envy na Obinna,Obinna anaskuma kazi yake askume pia,achaneninna Obinna mnataka tu attention.
Hii sura inakaa km maneno yk
Ww peleka hiyo sura yako huko
Ali atafute Obina waongee juu Ali amekuwa akifanya interviews za negativity about Obina na hiyo sii poa that's what made me unsubscribe his channel.
Na hata mkimfuata kumuangusha Never never mtajaribu sana
I remember Obina said he has no grudge with anyone ...why are u bringing up lies just to turnish peoples names
He was disappointed with Ali when he did that interview,he forgave him and even shook hands with him in front of the cameras, Ali alimtaka kumchafua jina coz hange-entertain urongo za ule mama.In Ali's podcast he has continually discussed Obinna in bad light,he pretends to start by saying that he works very hard then he drags him in the mud together with that friend of his in his podcast.Ali aache kudiscuss Obinna in bad light all the time,saying that Obinna hana knowledge ya leadership and videography na anapromote Ile shule ya videography .......what was he trying to say
Nonsense wajana na oga na bebi komaa wewe
Peleka huko mastress zako hater mkubwa wewe
😂😂😂😂🎉
I can't subscribe to this channel iko hatred
I hate this channel
Kwani hamjui obinna Ako na nguvu za freemason ,ndio maana kila kitu yake inakubalika na watu wengi,, hiyo ni power from Freemason ,hata dem wa Facebook ashaingizwa hapo Freemason lakini mwenyewe hajui,mtu aulize obinna anaendanga church gani? Yeye atakudanganya tu church yoyote
Ni wewe ulimuingiza ama ni wivu uko nayo
Mtu akijituma ni free mason si wewe pia uingie huko pia
😂😂watu wengine phoo c pia ww uende upewe nguvu my friend,watu wanajituma huku njee wee ni kimdomo tu Freemason failure
Hio ndio yote Obina ako nayo surely ,hio nguvu ya kusema ako freemason mnatoa wapi
Bidii
The worst channel to watch, what is this?
What crap is this?
Immature content