Aki ww true k, karibu uniuwe nakicheko, Ati muharo umefika na choo zimefungwa, we kumbe ni fundi wa mkono wa stima, Leo lazima waseme Davi Yuko wapi, twamtaka Davi wetu
Kumbe hii ikiendelea hao mapolisii waliandamana na Fred knew what was going on na walikuwa wanampangia. Fred, may God deal with them and let them have no peace.
Director Jay eti jina moja kama chapati. Kweli Mungu awasaidie awalinde na na awaongoze with your team to accomplishe your mission of rescuing Senior Dave remain blessed
OMG 😰so people from Kenya takes eazy Job to abdact kids look at this woman how do you feel after someone's child 🚸 it's not good Kenyans feel the same pain plz
She (anita) should join others to such for his husband the whole country knows dave was kidnapped she has a tube channel so she should be telling others to help her search for her husband
Jay mungu akubariki kuungana na Dci kumtafta Dave
Jay unaeza kua comedian eti akuna choo huko inje inatoka inatoka derelict hadi kwa room good job 👏 my brother 😂😂😂😂😂😂
muheshimiwa 😂😂😂😂tunawaombea tu sana S Dave apatikene 🙏
Fred mimi ni mheshimiwa wenu 😂😂😂😂😂😂
WEWE NDIO DCI GODFREY KWA WANANCHI WA AFRICAN VIBULI BRAVO DCI 💪🙏✊️
Wewe huyo msichana ako na simu ......hamkuona hiyo simu alikuwa nayo mkiingia
Wonderful Dci Fred kiboko must be applied accordingly God be with you
DCI FRED kuna mtu kwa nyumba.command her to open those doors
Woiye Senior Dave God 🙏 protect you,❤❤❤wallae huyu mama anapiga kelele hadi simu inatetemeka ciskii kitu
Camera man kwani uko na chuki na fred amh 🤔🤔 mbona usitumie akili jangili akiundwa c ati unaeka camera huko aaaih style up 🫵🫵🫵🫵🫵
When a suspect refuses to comply a little pressure is applied
@@alexombui1098 yeah very true but hastahili kueka camera kila kitu atumie tew akili na kaujanja
Mungu tubariki pia nasi tusije tukapatana na mambo kama haya kwa nyumba za watu
Amen
Atleast good job, headlines zimekuwa sawa, zinaabatana ❤good job guys keep it up
Na mbona Alice akuja huyo ni boss wake ama maids😢
Ni maid tu
Fred niue....🤣🤣🤣🤣🤣machozi ya paka
😭😭😭mimi cha muhimu SD apatikane aky God of mercy
The greatest problem is - Many people in our country Kenya don't know the Law.
Gani
Tell us the law
Mungu wangu watusaidie kutoa senior Dave aki 😭😭 Sasa mbona hawa wanatesa Dave 😭😭😭
Aki ww true k, karibu uniuwe nakicheko, Ati muharo umefika na choo zimefungwa, we kumbe ni fundi wa mkono wa stima, Leo lazima waseme Davi Yuko wapi, twamtaka Davi wetu
Camera man uko na ujinga sana n lazima umulike fred akichapa gaidi style up man 🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵use common sense 👌👌
Wee camera man umeskia c kila kitu una record gaidi akipigwa ,common sense tu
@RashidAsmani-h3w akh ukweli juu mwingne anaeza poteza kazi na sio vizuri
True
Na mnapeda matusi😢cheiii
amulike kabisa😂😂😂
Jay unanimaliza😂😂eti jinamoja kama chapati😂😂😂nawey cameraman acha ujinga mtu akifinywa zima camera hujafundishwa kazi ao😮
Barikiweni nyote kwa kazi mzuri tunaomba Dave apatikane
Jay bado umekazwa🤣🤣🤣🤣
Kumbe hii ikiendelea hao mapolisii waliandamana na Fred knew what was going on na walikuwa wanampangia. Fred, may God deal with them and let them have no peace.
Jay unakula pozi vizuri kwa kochi ya wenyewe kama kwako. Unajisikia utamu.😂😂😂😂.
Hata Mimi nimeona hio nikacheka 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wao husema wasiyliwe yet wao ni wauaji.
Patamu apo kwa simu 😅😅😅😅aki uyo ndio mama joan
Hapo anataja Grace, I suspect ni yule friend ya Alice. Hapa kuna maneno. Toeni Dave, period.
Ata huyo msichana ako kwa Dave anajua mambo mengi
Ingieni kwa rooms zote muangalie Nini Iko uko j7 munawaste time nyingi na mwashwali,ur soo eager to know where don SD ako plzzzzzzzzx
After kuwatch najitegenezea headline
I love you Fred 😅😅😅😅, ati machozi ya paka nakupeda bure😂😂😂
😅😅😅😅
@gracekaruga897 yeah nampenda bure machozi ya paka hio ni noma sana 😂 😂
@@pspdep6405 yeah he is genuine friend of SD
😂😂😂
God pliz protect sd wherever he is
Director Jay eti jina moja kama chapati. Kweli Mungu awasaidie awalinde na na awaongoze with your team to accomplishe your mission of rescuing Senior Dave remain blessed
director jifunze kufocus na camera c kila kitu unamulika
Mgne hata gun anamulika
Ama yy ndo mama joan
Fred yule alikuwa ameanguka nayo😂😂😂😂
Haki nimelia nimechoka 😢, eti walileta Dave apo Kwa nyumba na tena wakamtoa God protect Dave penye walieleka😢
Jay Choo imeisha Sir.😂😂
Huyu hakuwa anaenda choo
Aki jey et ukona jina moja km chapati😂😂😂😂
Unanibamba bt aky woie davi place ako anaumia mungu amuonekanie
Mungu awasaidie sd apatikane
Kenya kumekuwa kubaya aki senior atapatikana woiyee
Meib huyu ndie mama Joan
Why do I feel she's mama Joan
They need to get Grace to ID her..
Hata Mimi naona ni yeye
Aki watu wanaongopa kifo na...huku wana ua wengine... Mungu linda Dave mahali ako
Headline za ujinga one slap hakuna kitu kama hio ujinga mob. Director fake unafuta bangi ngani hio
😂😂😂
bangi mbichi
😂😂😂😂
Camera man tumia akili gaidi akifinywa ama unataka strike
OMG 😰so people from Kenya takes eazy Job to abdact kids look at this woman how do you feel after someone's child 🚸 it's not good Kenyans feel the same pain plz
Those saying they are wasting time, should behave. How do you want interrogation to be done?
Hizo mirango afungue zote Fred
Fanya thourough investigation pale kuna hidden agenda
Huyo ndio mama Joan ama mwite Alice akuje aongee ukweli aseme akowapi juu nikama apo Kuna kitu fiche apo
Director jay unaogea kikamba sanifu sana,ww ni mkamba ama ni kuijulia TU kwa mtaa
Hata mamake na baba wa kambo ni wakamba
Hope mmefunga main gate wasee
Hawa househelp huwa na kiherehere 😢
Useless confusing headlines..
😂😂😂kamene fm Huwa unaongea aje
Sually
Tell them. Please always use right headlines.
But Y always they do that surely
Stop watching*
Huyo director ni mjinga sana ni kama akusoma 😅
Huyu mama alisema mara ya kwanza wacha aingie apigie boss yake simu,hiyo simu ilienda wapi?
Wambo ambiiya mtuu wa 🎥 camera ,asioneshe Fred akifinya mtuu ,mutakuja kureta shida !Jerry alifutwa kazi sababu ya huyo ujinga yakuonesha kila kitu.
Jerry alifanya kusimamishwa
How is he doing now is he fine
wah huyo n mama joan😢
Asrme yote kama umemnyonga usimwachilie.
Mary njina moja kaa Chapati 😂😂😂
Ata chapati iko jina ingine chapuu😂😂
😂😂😂😂😂😂
Camera man be professional ujie sio kila kitu ya kimulikamulika fred akifanua mambo zake
Jay ulienda choo?
Jay choo ulienda kweli,Fred kazi poa
Hakuna choo alikuwa anaenda
Mheshimiwa ni nani hapo..wuii mueni .ukikosa kucoparate utajua hujui
Mungu mwenye uwezo Dave yuko wapi😢
Why don't you want to tell Senior Deve's wife what are you hiding why you don't ask his wife even if you don't see him
Unataka anita ajuliswe kwani wewe umejuliswa na nani
She (anita) should join others to such for his husband the whole country knows dave was kidnapped she has a tube channel so she should be telling others to help her search for her husband
Pia SS tumejulia online
Ata Dave hakuwa na wife,walikuwa wameachana so ata naona huyo wife Ako kwa Frontline ya kuficha dave
Mchukueni Alice huenda atasema, kama huyo mnaye huenda ndio mama Joan! Au la
Yes hata Mimi ndio nashuku
Huyu ndiye mwenye nyumba.asiwacheze
Nendeni naye huko jikoni mumhoji grace, yy ndio atasema kilakitu
My prayer is fred spine ndo akaokoe dave
Kindly work on the information you are giving audience.the headlines are confusing surely what happening
Huyo ndio mama joan
Ulizeni huyo mrembo mmeacha kwa gari,kama ndiye mama joan
Yule grace alipatikana kwa baba kafue😮😮😮
Amejanganyikiwa mbaka anaitana mweshimiwa
Kwani kila kitu you will cry watching
MUNGU PIA AMNYONGE FRED!!! PLEASE....
Hi ni gaidi piano kwa comment section. Fred is doing his work. Were hautaki Dave apatikane
Mungu hanyongani. Atamrinda Fred. Tunamfunika na damu ya Yesu na moto wa Roho mtakatifu.
Huyu ni adui Mungu anamfunua Kwa kinywa chake. Fredy chunguza huyu
Kama hamjui kuamdika headline si muache
Sijui mbona wanakuanga hivo hadi leyvne pia ameanza hiyo tabia😂
Dave mungu akulinde ,ulete ushuhuda ukipatikana
,2wks alafu 1 yr aiiiiiui na haonangi mbali
Huyu ni mwenye nyumba aseme ukwel yeye c maid kuwa makini aky mungu sd
Huyu Sio mwenye nyumba I think mwenye nyumba ashaona Fred RUclips.
Sasa nani anaandikanga headlines
Eti jina moja kama chapati?😂 Jay yawah
Huyu mama ako na mdomo mingi.
Angalieni kama Grace ni yule msichana alikua kwa mama kafue
Vile mlingia alisema apingie mtu wa stima simu.
True k aka JAY how is dci Fred
Huyu amechanganyikiwa adi anasema mweshimiwa
FRED mtu mbaya sana anaweza kuua kabisa! HAFAI KWA JAMII
Peleka ufala uko bana
Ww pia nimhalifu ndomana ujaogea ujinga wacha wauwe
Hi ni gaidi ingine.
Wewe ni nogwe gaidi sugu tunakukujia pia
Mm sielewi hoi ishu walai
Director ni kumulika kila kitu yahwaaa,be warned ama risasi ya matako ikupate
Mgeeda na na mary kupiga maraudi ndani ya nyumba
Huyu anakaa ndiye mwenye nyumba aliwasoma.
Ama inaeza kua huyo ndo mama joan
Mheshimiwa 😂😂😂
😢😢😢Sometimes we need to be real...
Jay et uk na jina moja kama chapati 😂😂
Hope mliweka hidden camera
Huyu house maid na mama mwenye Nyumba wako kimoja...