Mtoto Halali Na Pesa Maana ataibiwa Kwa Usingizi Zetu Pont 3 viva Yanga viva Nani wakuwapiga Yanga Nani Kasema watapoteza Mchezo Huu 44 44 44 44 ....444 44 Daima Mbele
Mwambieni Masau bwile Azisome Hapo ni Tatu Mbili Wamebana wamebana Mpaka Wameachia Walichola Saba Wakakamatia goti Bx Utamu Ukiwa ndi basi Makambo akafungulia koki
Nafurahi nikiona yanga inanjaa hadi ya magoli uwanjani hongera sana twendeni tú mambo yako njiani kunoga hakika mnatudai sí mshahara tú na fadhila ya kutupa furaha inatuhusu sana chapeni kazi vijana
mwamuzi kwa namna gani makambo aondoka huu mchezo bila kadi ya njano?! kumzonga mwamuzi ni tabia hii tayari sio?! maana mwataka mharibu hata mlinda mlango wetu wa timu ya taifa ya u23 asee na hat bdae timu ya taifa pengine.,na vipi kuhusu mkwaju wa nani ya maguu 18 waliyonyimwa madogo asee, ila hii ligi hii haya bhana!! Pongezi washindi kwa kutumia uzembe wa mwamuzi
This is yangaaaa💣💣💣💣point tatu muhimu we are the best😍naipenda Timu yanguu gonga like if u like yanga Kama mm
Najma Abdallah, you are very right. "This is Yanga"
@@stanslausdaniel7170 yeahhhh
Anae mkubal kocha mwiny zahera agonge hap ili tuende sw
Nassir Mohd
we mjanja
kama unamkubali fei toto gonga like apa twede sawa
Mirro apoulpo
Hiyo ndo yanga bahana weka like hapa
Selemani Athumani
Hongera yanga lkn viongoz 2nawaomba mmsikilize kocha gonga like kama unamkubali zahera
yanga ninoma sana akuna kama yanga ata mkija mtapata aibu yanga n
mbele nyuma mwiko
kwa yanga hii mtapata tabu sana
Omary Maliwa nc
hongera xan chama langu
Tuliokuwa tunaisubiri hii highlights tujuane
Umejuaje mm mpaka nshakasirika siioni
Hii highlit ya ukweli
Hehehe tupo hapaaa
Hii yanga ni ya maajab sana
Yanga ipoo on fire, vjana wana morali
Gonga like hapa kama kwenye highlight hii yanga atashinda 3-2😂😂😂
Mr CaN hahahaha
simba
Mtoto Halali Na Pesa Maana ataibiwa Kwa Usingizi Zetu Pont 3 viva Yanga viva
Nani wakuwapiga Yanga
Nani Kasema watapoteza Mchezo Huu
44
44
44
44
....444
44 Daima Mbele
Paulo Bruno hakuna wakuipiga young mwakahuu
ivo!
@@allysanyunda4311 kumbe
Ally Sanyunda Amini Kwa Bongo Bado Labda Mabala Mengine huko
@@paulobruno6971 sw
Yanga ni mwendo was point 3 possession wamilk lkn cc tunaangalia point 3 mhimu
Sana yani mbk wakome.kwanza watupishe kwenye safasi yetu.
Yanga-53%, Ruvu-47%
yanga bingwa
Well done boys! Ever forward never back ward! Yanga mbeeeeleee daima!!
Mwambieni Masau bwile Azisome Hapo ni Tatu Mbili
Wamebana wamebana Mpaka Wameachia
Walichola Saba Wakakamatia goti Bx Utamu Ukiwa ndi basi Makambo akafungulia koki
nawakubark sana yoong africkaz
Namkubali Ajibu
Mtasema mengi tungekuwa na hela mngesema tunanunua mechi
@@doricefaridi4167 kwn uongo
yanga raha sana jamani
yanga ya sasa Haikuachi salama
Issa Matula
uyu zahera kocha bola dunia nzims
Noma saanaaaaa
Yanga ukiwafunga wanazidi kupata njaa ya magoli
mm namkubali fei tooo moto wa kumvi
Hivi ule utaratbu wa kuchangia timu umefkia wapi maana sahv ndio penyewe
Kwel kabisa
Watupe namba ya kuchangia.
tena hima lifnyke
Engenr Soma hiyoooooooooo
natoa ushauri wangu mm nahic highlight ikimaliza wekeni na msimamo wa ligi bila kusema ili watu waone itapendeza sana
Yanga tumekekosa bahati ila safari hii ubingwa lazima
Kabisaaa Bora waweke na msimamo wa ligi
Nice
Yanga tunaweza kwa lolite
hmm
Goalkeeper amechuchumaa anasema mama wee nakufa 🙆😂
Juliana Mpinda hahahaha mpenja bhNay
hahaha
hehehe
Juliana Mpinda tumhurumieeèe
XXX
Tunamarefa waajabu sana tz.yaan yanga wanafunga magoli yakuotea wananawa hadharan kabisa lkn refa anajifanya haon,huuu siyo utaratibu wa mpira.refa anaongeza dakika tano lkn anaona yanga inapotea anajifanya amejisahau vile.tukienda hivi tz kusonga mbele kisoka ningumu sana
Twende pamojaa
Nafurahi nikiona yanga inanjaa hadi ya magoli uwanjani hongera sana twendeni tú mambo yako njiani kunoga hakika mnatudai sí mshahara tú na fadhila ya kutupa furaha inatuhusu sana chapeni kazi vijana
Hata magoli ya ulaya yaakina drogoba tunayo yanga
@@athumankondoyangakamayanga263 ivo!
safi makambo
Mi nashauri tuandae modarity na namna nzuri tuchange na tupeleke fedha zetu pale ofisini ,, tupokee na risiti yake kabisa.
ivo
Watu wanamlaumu golikeeper hiv goli gan unaona anafungwa kwa uzembe
mlinda malngi gani
Nyinyi yanga hamuna lolotee gemu yenyew munabebwa kaz kweli tanzania kw mpira huu mutachina sana tu
nkana hamjambo?? tusubiri kuona maporo. mtashinda vyote yangu macho na masikioo ..
hzi pasi mpenyezo z ajibu hazizuiliki kabisa kwa ss
hhh
Hili likipa la Ruvu linajidondosha ovyo
hutaki ama!?
Goli hilo la pili LA Feisal salum ullitisha mpenja
wa kimataifa oyii
masau bwile soma ngap hiyoooooooo!
ingia www.soundcity award. com, kula zote kwa tz
Soma huko Ni ngap
mwamuzi kwa namna gani makambo aondoka huu mchezo bila kadi ya njano?! kumzonga mwamuzi ni tabia hii tayari sio?! maana mwataka mharibu hata mlinda mlango wetu wa timu ya taifa ya u23 asee na hat bdae timu ya taifa pengine.,na vipi kuhusu mkwaju wa nani ya maguu 18 waliyonyimwa madogo asee, ila hii ligi hii haya bhana!!
Pongezi washindi kwa kutumia uzembe wa mwamuzi
Akika tim za bongo siko mbl to kwan nyine sio tim walala wamzi wa mpira sio kwani awana aki kwa tim nyine
mhh
Yan hapo unamwambia tuu shabk wa upande wa pili soma hiyoooo
Kipa akinya atazoa😁
na ww ukinya nitazoa
@@mnzavachris5423 Utajiju
@@sarahhaule3964 hh fny ivo bahsi
Hvi hakunaga jezi saizi kwa hao watoto? Mnatia aibu
Godi
Pointi tatu mhimu
Kweli tatzo LA Yanga ni viongoz asee, usajili ndo umeisha hivo?
Wanazingua sana hao kina nyika
@@omigaiamasi9829 kwn Yanga ana mashindano gan
hakika
Mambo
YOU TUBE E
yanga ya sasa Haikuachi salama
Yanga ipoo on fire, vjana wana morali
nkana hamjambo?? tusubiri kuona maporo. mtashinda vyote yangu macho na masikioo ..
Nice