DKT. MSONDE AHIMIZA KASI UJENZI JENGO LA WIZARA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 сен 2024
  • Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde amemtaka Mkandarasi Vikosi vya Ujenzi anayejenga jengo la Wizara hiyo kuhakikisha anapanga ratiba maalum ya utekelezaji wa mradi huo ili iendane na kasi ya muda wa nyongeza aliopewa.
    Maelekezo hayo ameyatoa Septemba 26, 2024 wakati Naibu Katibu Mkuu huyo pamoja na Menejimenti ya Wizara hiyo ilipokagua jengo la Wizara ya Ujenzi, katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma na kusisitiza Mkandarasi huyo kufanya kazi usiku na mchana ili kuhakikisha jengo hilo linakamilika kwa ubora na kwa wakati.

Комментарии • 2

  • @julianaedward4190
    @julianaedward4190 Час назад +1

    Hongera Vikosi vya ujenzi

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 День назад

    Ni siasa tu mnatupiga haiwezekana majengo yote yalianza karibu muda ulifanana lakini kwenye umaliziaji yapo majengo baadhi yalikamilika zaidi ya mwaka umepita sasa alafu mengine mpaka leo yanasusua, si vibaya mkaweka wazi kuwa tunajenga kwa kulingana na kiwango cha budget za mwaka za kila wizara na si vinginevyo