Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Poleni xna Kwa familia Mungu awatie nguvu,Mimi binafsi nilikua nampenda xna Uyo mama grace Mungu ailaze roho yake mahali Pema peponi😢😢
Poleni sana familia.... Tesa being my best ❤ kwa huba
Poleni sana kwa msiba mzito kuondokewa mpendwa wetu Mungu ampumzishe salama amen
Poleni sana familia nikiwa kenya mji wa Mombasa nasema tuko pamoja kwenye msiba huu Dadaetu Grace aka Tesa tulimpenda ila mola alimpenda zaid
❤️❤️
Nilimpenda sana hu yu mama ktk kuigiza kwake kwa hisia akilia mnalia wote,kweli kufa anayeumia ni yule anayebaki,Nimeumia sana.
Poleni sana nikiwa kwetu Kenya mji wa Mombasa ila tesa ni shabiki wangu kwa mdaa mrefu kwaio imeniuma sana
Jmn kwa mv za huba tutapata wap tena vtam Jmn nauumiaaa poleen sanaa
Pole sana kwafa miliya iyo tulimu penda sana ila mungu kamu penda zaidi yetu
Asa huo Ujumbe ulokutwa nyumbani uko wap 😢umbea tu 😏muacheni mama apumzike kwa aman😢
Sijui majitu mengine Yakoje Yani umbea tu 😢 kuzusha mambo
Wapumbavu mtu ataka kujua kmbe hkuna lolote@@NasmahHassan-y1u
Yaani ni waongo hawa jamaaUjumbe hata haupo
Allah ampe kauli thabiti mama kipenzi Cha wengi
Mama alikuwa ana cheko tamuu sanaa aisee dah
Na urembo nao..wacha tu! Alibarikiwa.
We acha jaman akikuchekechea tu hoi
Poleni sana ndugu wa marehem
Polen sn watanzania haki typo pamoj❤❤❤
Dunia ziara subhanallah kila nafsi itaonja mauti
Poleee xanaaa h😭😭😭
Apumzike kwa amani kipez Cha wengi
Innalilllaaah wainnalilaah rajuun mungu amrehemu mama yetu amlaze pahala pema😢😢
hivi kuna mtu anaweza kujua ni siku gani atapoteza maisha?nyie mkoje? eti hakujua ndio siku atapoteza maisha daaaa
Daaah! Imeniuma Sana 😢😢😢
Pole kwafamilia
Jamani duh kwa aunt Ezekiel nimwanae mi mbona sijaelewa
Amemuita tu kma mtoto wke. Aweza mzaa dhumuni kumtakia happy birthday
Poleni sana kwakweli ina uma
Nilipenda tabasam yake
Poleni sana
Pumzika kwa amani
Apumzike kwa amani
😭😭😭😭😭😭😭
Poleni
Kullu nafsi zalika lmaut
😭😭😭😭🇧🇮🇧🇮🇧🇮😊
Polen jaman😭😭
Poleni xna Kwa familia Mungu awatie nguvu,Mimi binafsi nilikua nampenda xna Uyo mama grace Mungu ailaze roho yake mahali Pema peponi😢😢
Poleni sana familia.... Tesa being my best ❤ kwa huba
Poleni sana kwa msiba mzito kuondokewa mpendwa wetu Mungu ampumzishe salama amen
Poleni sana familia nikiwa kenya mji wa Mombasa nasema tuko pamoja kwenye msiba huu Dadaetu Grace aka Tesa tulimpenda ila mola alimpenda zaid
❤️❤️
Nilimpenda sana hu yu mama ktk kuigiza kwake kwa hisia akilia mnalia wote,kweli kufa anayeumia ni yule anayebaki,Nimeumia sana.
Poleni sana nikiwa kwetu Kenya mji wa Mombasa ila tesa ni shabiki wangu kwa mdaa mrefu kwaio imeniuma sana
Jmn kwa mv za huba tutapata wap tena vtam
Jmn nauumiaaa poleen sanaa
Pole sana kwafa miliya iyo tulimu penda sana ila mungu kamu penda zaidi yetu
Asa huo Ujumbe ulokutwa nyumbani uko wap 😢umbea tu 😏muacheni mama apumzike kwa aman😢
Sijui majitu mengine Yakoje Yani umbea tu 😢 kuzusha mambo
Wapumbavu mtu ataka kujua kmbe hkuna lolote@@NasmahHassan-y1u
Yaani ni waongo hawa jamaa
Ujumbe hata haupo