Thank you Prophet for the word. I’m so blessed by the word “ thank u” it’s really true.To be where God wants u to be to pleases him is so sweet..and it’s good to under control of the Holy-spirit. Amen Amen Amen & Amen
Mungu nponye na mm kupitia ushuhuda huu wa huyu baba hapahapa nilipo kwa njia ya RUclips kwa lmani napokea uponyaji wa magonjwa yote maana yanasikia ktk Jina la Yesu Kristo, Amina
Nimechoka kunywa madawa sasa inatosha, naomba kwa Jina la Yesu niwe Mzima kupitia Nabii wa Mungu SUGUYE, Npo mpakani mwa Kenya na Tanzania, Naamini umbali siyo kizuizi cha uponyaji wangu, pls Dady help me.
MUNGU nisaidie nione kufanya mambo makubwa nifungue miradi yote ninayoiona kwenye moyo wangu pia anisaidie nione kuwa tayari xaxa mda wangu wakushika mimba umewadia
Mmm wahubiri Tz kede kede na mungu adhihirishe walio wakweli,mara Nabii mkuu,mara na Nabii Hebron,Mara Nabii Suguye Mara Nabii Gwajima na wengine wengi, Yupo kweli anafuata ile kweli ya Biblia kati ya hao wote licha ya miujija yao waifanyayo?
Hallelujah bwana Yesu akusaidie ufanikiwe sana kiroho
Ameeen! Ninafurahi sana maubili yako Mungu akupe nguvu milele..
Amen🙏🙏 natamni sana ningefika kwenye ibada yako ila kwa Imani nitafika na kupokea sawasawa na haja ya moyo wangu
Amina nimebarikiwa na nano hiliii naipenda iman
MUNGU akubariki nabii naponywa magonjwa yaliyotamkwa na adui zangu kwa iman
Nami mungu niongoze kwa imani usiniache,amina
Napokea uponyaji Leo amen
Nakupenda Sana prophet suguye,mafundisho yako yananipeleka mahali
Hakika kwa Mungu yote yanawezekana kwa jina la Yesu Kristo, Amen
Amina,nko tayari kupokeaemuujiza wangu naekushuhudia, Mungu nisaidie
Mungu nisaidie nimechoka na mitihaninya kiuchumi na ya I'ma I juu ya familia yangu mungu was prophet nihurumie na nisaidie kwa imani ameen
Barikiwa sana chief prophet sunguye Nashukuru Sana nami Iman yangu inazidi kuwa imaraa Mungu akubariki Sana
I'm receive in Jesus name, thank you Man of God
Exactly, Dady Pf. Suguye say. God blessed you APOSTLE
Nafunguliwaaa Bb Nabii Suguyeeeee ubarikiweee
Naomba maombi ya uponyaji, watching from Kenya I'm positive
Aminin mungu anaweza mambo yote
Amen mchungaji suguye nami mungu aniponye kwa imani
Ameeen tufundishe tupone
Natamani kuwa shujaa waima mahubili nimeyaelewa Ee YESU nifungulie milango yangu ya fahamu iliyofugwa,
amina baba napokea.bakazako baba kwajina yesu
Na pokea upanyaji Leo,. Mungu niponye pamoja na watoto wangu
Thank you Prophet for the word. I’m so blessed by the word “ thank u” it’s really true.To be where God wants u to be to pleases him is so sweet..and it’s good to under control of the Holy-spirit. Amen Amen Amen & Amen
Amen Amen Amen ,be with me this good Sunday and pray for me to get a good job. In Jesus name Amen.
Eeh Mungu nijalie kuwa Na imani thabiti
Amina baba napokea neno
GOD has no boundaries, JESUS CHRIST heals all manners of sickness- Thank u JESUS
FAITH sees VICTORY & PROSPERITY
Nakupenda mchungaji suguye baba wa imani na mungu azidi kukubariki
Amina mtumishi wamungu
Ur are a true man of GOD
Yesu niongezee imani
Mungu azindi kuwapa nguvu nyingi sana
Amina baba napokea
Amen Mtumushi
I like Lyimo always he has a courage to speak freely- May God bless CP SUGUYE
Amen nimalize nyumban angu
Amina amina barikiwa sana mtumishi wa mungu
Am really blessed
Uponyaji kwa mamangu kwa Imani
That’s my mentor, my teacher, my father and my friend I admire you CP NICOLAUS SUGUYE!
Wawoooo🔥🔥🔥
Awesome God of Daddy Prophet Suguye
Roho mtakatifu nifundishe kujua nguvu iliyomo ndani jina la YESU
Nabii Bwana akinitendea leo lazima nishuhudi matendo makuu ya Mungu atakoyonitendee
Ameen blessed
Mungu nponye na mm kupitia ushuhuda huu wa huyu baba hapahapa nilipo kwa njia ya RUclips kwa lmani napokea uponyaji wa magonjwa yote maana yanasikia ktk Jina la Yesu Kristo, Amina
Emmanuel
Amina Mt wa Mungu
AMEN 🙏
amina baba
Lyimo he has a courage to speak...... I like him
maombi yako profect
Mungu akubariki
amina baba natikisa mabenga
Napokea mmee sahihi
Hahaha Dad unatufurahisha sana
naomba tamka neno lako juu yangu mtumishi
Nitashudia
Nimechoka kunywa madawa sasa inatosha, naomba kwa Jina la Yesu niwe Mzima kupitia Nabii wa Mungu SUGUYE, Npo mpakani mwa Kenya na Tanzania, Naamini umbali siyo kizuizi cha uponyaji wangu, pls Dady help me.
Amen my Prophet
Amen indeed
Bwana akinitendea leo nitashuhudia
Hakika baba yangu
Eeeemungu usiniache kaandan yangu
Hallelujah
Camera bhana....... Prophet!!
Ndio lipo ,kivule matembele ya pili Dar es salaam ,Karibu
Nitendeee na mimi Mungu nikushuhudie
Amina atakutendea
Barikiwa
Nime barikiwa Sana. God give me strong and courageous
Hizi injili za mafanikio ya kidunia ndo zinapoteza watu wa Mungu
Yakimungu yanapatikana wapi acheni upuuzi
Warriors of Faith- Lord I need your help in every arrears of life.
Naona baraka zikimiminika juu yangu naona familia yangu ikifunguliwa
Amen Amen
Ameen
Naomba no ya Nabii Suguye, aliyenayo tafadhari ndugu zangu wapendwa
Locate me Lord in You Mercy
🙏🙏🙏🙏
God blessed
MUNGU nisaidie nione kufanya mambo makubwa nifungue miradi yote ninayoiona kwenye moyo wangu pia anisaidie nione kuwa tayari xaxa mda wangu wakushika mimba umewadia
Chief nakuona tu macho ya tai
Mh! Waliopo kalibu na kanisa hili Kama hamlitendei haki kwa kunena na kuomba yaani
ubalikiwe mtumishi
Deeper
Emeenn my dadyy
Amen
ameeeeennnnn
Amina
Ameeen
Nikumbukebeeh Yaweh....uniponye na magonjwa
Napokea upako nabii nataka kuwa shujaa wa imani
Jesus is Alive....
Ndio
How can I have the number off his pastor please anyone can help please help my best friend will like to call him 🙏🙏🙏
+255655448116/+255688448117
Dady
ndio
Lipo kivule matembele ya pili
🙏🙏🙏🙋♀️🙋♀️🙋♀️👏👏👏
Nami nahitaji maombi yako
Kwan hili kanisa lipo matembele ya pil?
Kitojo Kitojo rikokivurematembereyapi
akipandagariuendampakabanana unashuku unapaandagariyakwendakivurematembereyapi
Yes
Ndiyo mpendwa
kivule matembele ya pili nenda ukapokee
Tufundishe tupone
Ameeen tuponye baba
Amen 🙏🙏
Sara Msafiri amen babs
naminaponywareookwajinarayesu
Ameni napenda mahubiri yako mchungaji nipo sumbawanga mungu akulinde
Mmm wahubiri Tz kede kede na mungu adhihirishe walio wakweli,mara Nabii mkuu,mara na Nabii Hebron,Mara Nabii Suguye Mara Nabii Gwajima na wengine wengi, Yupo kweli anafuata ile kweli ya Biblia kati ya hao wote licha ya miujija yao waifanyayo?
Nabarikiwa sana