Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Hujawahi kutuangusha Kamaradi Vitali. Nawapongeza na kuendelea kupata burudani elimisha. Amandla
Hongera sana, wimbo mzuri sana
Kazi zako kwa tunao kuelewa ni miongoni mwa kazi Bora sana, shida iliyopo baadhi ya vijana wa leo hawaangalii Content nzuri kama hizi wamebakiwa kwenye Midundo tu.
Live long brother mama ana kusalimia saana mlisoma wote bagamoyo #paulina katabazi
Wee mkali sana broo sema Umezaliwa kwenye Ya Uongo na Vibovu...........
Wimbo mzuuri tena taratiibu
Asante sana!
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍.
Sijawai Kujuta Kukufahamu Miaka Yote Toka Sumu Ya Teja Mpaka Leo Huwa na Furahi Kuiona Fasihi Ikifanya.Kazi Ya Maaana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😗😗
Kazinzuri bro
naupenda sana muziki wako, hujawah kosea. lugha murua, sauti safi na vyombo ni pamoja na asili....asante maembe
👏👏👏👏👏👏👏unazidi kuniongezea sababu ya kukufatilia na kuzidi kupanga safari ya kuja bagamoyo kukusalimia.@vitali Guitar
Mtetezi wa Wanyonge,Sumu ya nyigu,Mtu wa watu Endelea kubarikiwa kaka.
Elimu,ujuzi na imani.Kaka nakuombea sana upate ile nafasi ya kuwakilisha wananchi.Kazi zako zote nzuri na zakuelimisha
Sana Nguli
Kazi nzuri sana Ndugu zangu
Kwa siku huisikiliza hata mara tano 🔥
Maneno mazuri 👏 kazi poa sana 👏
Sawa Mwalimu..shukran kazi nzuri
Nyimbo nzuri Sana ila video mbaya Yani haifanani na ubora wanyimbo,Huyo Rea na gile wasingevaa nguo nyeusi,ila hongera kaka.
to me kwa content ya wimbo, nguo zao zimewasilisha maombolezo, kuonesha tuna janga
Maembe uko vizur brother!
My brother Vitali. Public education with clear messages to people it is important. I'm proud of the work you do. I love you all my friends.
Kijana uwezo wako mkubwa kaza buti
Bro 🇹🇿 mtetez wa wanyonge
Album zako zinapatikanaje/wapi mkuu??
Nyimbo mzuri sana bro
Hujawahi kutuangusha Kamaradi Vitali. Nawapongeza na kuendelea kupata burudani elimisha. Amandla
Hongera sana, wimbo mzuri sana
Kazi zako kwa tunao kuelewa ni miongoni mwa kazi Bora sana, shida iliyopo baadhi ya vijana wa leo hawaangalii Content nzuri kama hizi wamebakiwa kwenye Midundo tu.
Live long brother mama ana kusalimia saana mlisoma wote bagamoyo #paulina katabazi
Wee mkali sana broo sema Umezaliwa kwenye Ya Uongo na Vibovu...........
Wimbo mzuuri tena taratiibu
Asante sana!
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍.
Sijawai Kujuta Kukufahamu Miaka Yote Toka Sumu Ya Teja Mpaka Leo Huwa na Furahi Kuiona Fasihi Ikifanya.
Kazi Ya Maaana
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😗😗
Kazinzuri bro
naupenda sana muziki wako, hujawah kosea. lugha murua, sauti safi na vyombo ni pamoja na asili....asante maembe
👏👏👏👏👏👏👏unazidi kuniongezea sababu ya kukufatilia na kuzidi kupanga safari ya kuja bagamoyo kukusalimia.@vitali Guitar
Mtetezi wa Wanyonge,Sumu ya nyigu,Mtu wa watu Endelea kubarikiwa kaka.
Elimu,ujuzi na imani.
Kaka nakuombea sana upate ile nafasi ya kuwakilisha wananchi.
Kazi zako zote nzuri na zakuelimisha