Makosa mengi yafanywayo Katika Sherehe za Maulid ya Mtume

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 59

  • @RashidRandykarisa
    @RashidRandykarisa 17 дней назад

    Mashaallah

  • @ZubeirHamada
    @ZubeirHamada Месяц назад

    Kiufupi nawakubali hawa mabwana hapa na kuna Shike Shaaban Batashi namuona sana pale Jaamia Zinjibaar namna anavyopiga Udi(BUKHURI)pale Msikitini.
    Maashaa Allaah.

  • @Mohamed-vv8fc
    @Mohamed-vv8fc Месяц назад +2

    Maoni
    Anwani ya kipindi iwe ni
    KUBORESHA AMA KUDHIBITI sherehe za Maulid ya Mtume صل الله عليه وآله وسلم
    Independeza pia muhudhurishe wazee masheikh wetu

  • @SadaKassm
    @SadaKassm Месяц назад

    Hichi KIPINDI ni kizuri sana mashaallwah, nashauri kiwe ni endelevu na wengine waige . Lkn watasema na hii ni BIDAA .

  • @SanuriAShefaya
    @SanuriAShefaya Месяц назад +3

    Maulidi yanawahusu wenye maulid yao wewe usiye jua umuhimu wake wache wanaojua umuhimu wake

    • @soudsoud335
      @soudsoud335 Месяц назад +1

      Khalas ! kosa liko wapi ! Anaefanya Maulidi na afanye na imani yake , asiefanya Maulidi na asifanye kosa liko wapi kelele za nini hukmu mwenyewe Mungu ndie ataehukumu mfarikiano na malumbano yeshe.

  • @KhamisBakar-ge4sp
    @KhamisBakar-ge4sp Месяц назад

    Nawapenda kwa ajili ya Allah

  • @abubakarbakari7042
    @abubakarbakari7042 Месяц назад +1

    Masha allah

  • @sadaomar7370
    @sadaomar7370 Месяц назад

    Twasimama kwahishma ya mtume kuzaliwa

  • @bagalucha
    @bagalucha Месяц назад +1

    Haruriyah,Al fasiqin.

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 Месяц назад

    Nia kumswalia mtumie mohamed s w

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 Месяц назад +5

    Sheh abdalla saleh farysii ananasema hakuna maulid hakuna arubaini hakuna hitma tena alikua kadhi wenu kenya jee mnailmu yakumpinga na mtume kasema jambo nisilolifanya mimi wala halimo katika kitabu cha kurran halo jambo msilifanye msitafute njia wakati haipo

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 Месяц назад

      masoudalriymy6298 wewe ulimuona Sheikh Abdallah Farysi sisi tulomuona alikuwa akihudhuria Maulid ya makubwa Makadara ground na yeye ndie anaesoma ile Dua ya mwisho ktk Barzanji, pili unayo Dalili ya kukatazwa Maulid? usiseme Mtume SAW hakufanya kama ni hivo basi kuna mengi Mtume SAW hakufanya hata huko kwenu uwahabini kuna Bid'aa Uzushi kibao na kuna vitabu vizima vya Uzushi wa mawahabi Mtume SAW hakufanya wala ndani ya Quran hakuna hakuna

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 Месяц назад

      masoudalriymy6298 wewe ulimuona Sheikh Abdallah Farysi sisi tulomuona alikuwa akihudhuria Maulid ya makubwa Makadara ground na yeye ndie anaesoma ile Dua ya mwisho ktk Barzanji, pili unayo Dalili ya kukatazwa Maulid? usiseme Mtume SAW hakufanya kama ni hivo basi kuna mengi Mtume SAW hakufanya hata huko kwenu uwahabini kuna Bid'aa Uzushi kibao na kuna vitabu vizima vya Uzushi wa mawahabi Mtume SAW hakufanya wala ndani ya Quran hakuna hakuna

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 Месяц назад

      @@masoudalriyamy6298 wewe ulimuona Sheikh Abdallah Farysi sisi tulomuona alikuwa akihudhuria Maulid ya makubwa Makadara ground na yeye ndie anaesoma ile Dua ya mwisho ktk Barzanji, pili unayo Dalili ya kukatazwa Maulid? usiseme Mtume SAW hakufanya kama ni hivo basi kuna mengi Mtume SAW hakufanya hata huko kwenu uwahabini kuna Bid'aa Uzushi kibao na kuna vitabu vizima vya Uzushi wa mawahabi Mtume SAW hakufanya wala ndani ya Quran hakuna hakuna

    • @MasaeoudSudi
      @MasaeoudSudi Месяц назад

      Tengeza vdio clip yako ya darasa tuone hapa, kama huwezi shut up huna ujualo isipokua kupinga tu

    • @jumafaki2891
      @jumafaki2891 Месяц назад

      bibi Aysha ametwambia mtume alikua akimuekea membari hasani bin thabiti asimame juu ya hiyo membar amsifu mtume na kina Saadi na masahaba wenziwe walikusanyana wakachinja mbuzi wakamsherehekea mtume hayo ndio miongoni ya mambo ya maulidi Sasa ukisema abdalla farasi sijui nani fahamu abdalla Saleh si mtume wala mkata kalamu sisi tunafuata mtume taka kufahamu kaifanya mtume kaifanya sahaba na sisi tutafanya basi hata wahabi ahamaki vipi kwani makafiri Madina alipo shangiriwa mtume walihamaki kuliko munavo hamaki nyinyi mawahabi fahamuni hivo

  • @sadaomar7370
    @sadaomar7370 Месяц назад

    Mutabaki hivyo na mutapinga mpaka mwafa na maulid yatasomwa mpaka kiama

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 Месяц назад

    السؤال الأول:
    هل عَلِمَ النبي (صلى الله عليه وسلم) أهمية الاحتفال بمولده وفضله أو لا؟
    قلنا لكم: فلماذا لم يأمُر أمَّتَه به؟
    ولماذا لم يرشدنا إليه؟
    ولماذا لم يبيِّن لنا يوم مولده بالتحديد؟!
    قلنا لكم: فهل تَدَّعُون أنكم علمتم شيئًا لم يعلمه النبيُّ (صلى الله عليه وسلم)؟!
    وهل أنتم سبقتم إلى فضيلة قَصُر عنها النبي (صلى الله عليه وسلم)؟
    السؤال الثاني:
    حياة النبي صلى الله عليه وسلمالمباركة فيها أيام أعظم من يوم مولده، وهو يوم بعثته؛ ولذلك لما امتنَّ الله على المؤمنين امتنَّ عليهم بنعمة البعثة لا المولد، فقال الله عز وجل:
    ﴿ لَقَدْ مَنَّ اللَّهُ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ إِذْ بَعَثَ فِيهِمْ رَسُولًا مِنْ أَنْفُسِهِمْ يَتْلُو عَلَيْهِمْ آيَاتِهِ وَيُزَكِّيهِمْ وَيُعَلِّمُهُمُ الْكِتَابَ وَالْحِكْمَةَ وَإِنْ كَانُوا مِنْ قَبْلُ لَفِي ضَلَالٍ مُبِينٍ ﴾ [آل عمران: 164].
    السؤال:
    لماذا لا تحتفلون بيوم بعثته وهو أفضل من يوم مولده؟
    السؤال السابع:
    عندما أرَّخ الصحابة التأريخ السنوي، وأرادوا أن يختاروا الشهر الذي يبدأ به العام، لماذا لم يذكروا مولده عند ذِكر بعضهم البدءَ بشهر ربيع الأول؟
    فلماذا لم يذكروه مع أن بعضهم ذَكر شهر ربيع الأول؟
    فـقال بعضهم: يكون -بداية التأريخ- ربيعًا الأول -أول السنة-؛ لأنه وقت الهجرة.
    وقال بعضهم: ابدؤوا برمضان.
    وقال بعضهم: ابدؤوا برجب.
    وقال بعضهم: أرِّخوا من المحرَّم؛ فإنه شهر حرام، وهو أول السنة، ومُنصرَف الناس من الحج[9].
    السؤال الثامن:
    لماذا لم يُذْكر المولد عند ذكر شهر ربيع الأول في التأريخ الذي حدث بمشورة عمر (رضي الله عنه) للصحابة (رضي الله عنهم)؟!
    وأين يوم مولده (صلى الله عليه وسلم) في حياة أصحابه (رضي الله عنهم)؟!
    السؤال:
    لماذا لم يحدِّثنا النبي (صلى الله عليه وسلم) عن مولده وتفاصيله كما حدَّثنا عن تفاصيل بعثته وغيرها، لتكون منه إشارة للاحتفال بمولده (صلى الله عليه وسلم)؟

  • @bagalucha
    @bagalucha Месяц назад

    Kwa hiyo hayo mmeyatunga nyinyi,na nani alikwambieni mfanye hayo ,kwa program hizo???????

  • @aminaali6388
    @aminaali6388 Месяц назад

    Hapo yaonyesha wazi kufeli kw aweso ...tangu lini shk wa kikweli na uhakika ajiite shk !? Hapo umeshaenda na maji ..

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 Месяц назад

    Asalam aleykm maulid si bidaa Hila hayo matwari na kicheza ndio bidaa

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 Месяц назад

    Na hadithi كل أمر ذي بال لا يبدأ فيه ببسم الله فهو أبتر أقطع أجذم؟ haimanishi ku somwa suratul fatiha

  • @jumabeja956
    @jumabeja956 Месяц назад

    Hivi ni kwa nini mnasimama mlango wa nne ?

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 Месяц назад

    Kama mawlid nimiongoni za ibada na kuanzia na bismillah imepokea kwanani

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 Месяц назад

      @@hassanmohamedabdalla4108 kwani wewe waonaje ktk au ndani ya Maulid Kusoma Quran kuleta Dhikri kumtaja Mwenye Ezi Mungu na kumswalia Mtume SAW na mengeneo je manaoni yako hayo yanayo fanywa sio IBADA au ni vipi?hebu tupe jawabu

  • @bagalucha
    @bagalucha Месяц назад

    Inna mal amali min niyat,hii nia ya kuifanya hii iwe ibada,ya kurudiwa kila mwaka,sasa hii itakuwa amali au ibada iliyokosa radhi za Allah na mtume wake.

    • @MasaeoudSudi
      @MasaeoudSudi Месяц назад

      Sasa wapinga elimu.huna hata kuandika hicho kiarabau hujui na unacho Andika pia Ni makosa Si unyamaze tu

    • @bagalucha
      @bagalucha Месяц назад

      @@MasaeoudSudi Usitake kushindana kiarabu na mimi,hilo la mwanzo,la pili elimu si kiarabu,kiarabu ni lugha,tena ina fasaha tofauti,na huu ndio ujinga wenu masufi na kiarabu chenu kibovu

    • @MasaeoudSudi
      @MasaeoudSudi Месяц назад

      @@bagalucha Wewe nyamaza lugha hujui Shahada ulo nayo Ni ya matusi tu

    • @bagalucha
      @bagalucha Месяц назад

      @@MasaeoudSudi Nani unamnyamazisha,na kibri chako hicho,kilichokutoa adabu.

    • @bagalucha
      @bagalucha Месяц назад

      @@MasaeoudSudi Hawa wanajadili namna ya kuboresha hii ibada,iliyokosa radhi za idhini ya Allah na mtume wake,huwenda kusudio lako ulilokudia kwa wema,likazaa upotufu kwa wengine,watabakia kuwalaumu wengine,kwamba wanafanya kwa upotofu,wamesahau ya kwamba kadara ya Allah,ndio inayotengeneza ibada makhsusi,Iwe kutoka kwake au mtume wake,wanakwenda mbali zaidi na kujipa utukufu,wanayoyatengeneza ni sawa??,kuna mengi mazuri ambayo kwa fikra za binaadamu ni mema kuyafanya,na hata kuyatengeneza yakawa ibada,lakini sisi tuna ulwa ya kumtengenezea Allah ibada,yanayozungumzwa kwa hisia zetu,huenda tukaona ni mambo ya heri,lakini tunayo kadara ya kuona mbele tunakokwenda????.

  • @omaryabduli7328
    @omaryabduli7328 Месяц назад

    mmetumwa nani😂

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 Месяц назад

    Maulid kayaasisi nani mtume msahaba maimamu au jafary barazanji

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 Месяц назад

      masoudalriymy6298 wewe ulimuona Sheikh Abdallah Farysi sisi tulomuona alikuwa akihudhuria Maulid ya makubwa Makadara ground na yeye ndie anaesoma ile Dua ya mwisho ktk Barzanji, pili unayo Dalili ya kukatazwa Maulid? usiseme Mtume SAW hakufanya kama ni hivo basi kuna mengi Mtume SAW hakufanya hata huko kwenu uwahabini kuna Bid'aa Uzushi kibao na kuna vitabu vizima vya Uzushi wa mawahabi Mtume SAW hakufanya wala ndani ya Quran hakuna hakuna

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 Месяц назад

      masoudalriymy6298 wewe ulimuona Sheikh Abdallah Farysi sisi tulomuona alikuwa akihudhuria Maulid ya makubwa Makadara ground na yeye ndie anaesoma ile Dua ya mwisho ktk Barzanji, pili unayo Dalili ya kukatazwa Maulid? usiseme Mtume SAW hakufanya kama ni hivo basi kuna mengi Mtume SAW hakufanya hata huko kwenu uwahabini kuna Bid'aa Uzushi kibao na kuna vitabu vizima vya Uzushi wa mawahabi Mtume SAW hakufanya wala ndani ya Quran hakuna hakuna

    • @abuuayoubayoub9260
      @abuuayoubayoub9260 Месяц назад

      Huna inswafu na ukitaka kuwa munswifu soma na upande wa pili ili ujue wana hoja gani maana bidaa ziko nyingi tu

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 Месяц назад

      @@masoudalriyamy6298 wewe hatujui wataka kaasisi jina Maulid au wataka kujuwa nani kaasisi yaliyomo ndani ya Maulid? kama wataka kujuwa nani kaasisi jina la Maulid mwanzo tafuta maana ya Maulid.

  • @bagalucha
    @bagalucha Месяц назад

    Kwa hiyo hayo mmeyatunga nyinyi,na nani alikwambieni mfanye hayo ,kwa program hizo???????

    • @bagalucha
      @bagalucha 29 дней назад

      Suratul Maieda 49 (49. Na wahukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, wala usifuate matamanio yao. Nawe tahadhari nao wasije kukufitini ukaacha baadhi ya aliyo kuteremshia Mwenyezi Mungu. Na wakigeuka, basi jua kwamba hakika Mwenyezi Mungu anataka kuwasibu kwa baadhi ya dhambi zao. Na hakika wengi wa watu ni wapotofu.)
      Kila Kaumu na mitume wake na Sheria zake ,lengo ni kuusimamisha utukufu wa Allah na rehma zake,na angetaka Allah Subhana wataala aifanye iwe Sheria moja toka alipomuumba Adam angeweza,lakini kafanya hivi iwe ni mtihani kwa kila kaumu,na anmsisitiza mtume kutofuata hawaa za wafuasi wake,na watakaotoka katika njia aliyoipanga Allah na mtume wake,watakuwa wamejisibu.
      Hawaa zenu hizo zinatengeneza upotofu,mkae mkijua,hiyo ibada ya kila mwaka mliyotunga,haikutoka kwa Allah na mtume wake.