@@ashleyhearts8561 certified comedian bana, Awiti uwa anakuchapa punchline na machungu na ukijaribu kucounter anakuambia atakunyorosha physically inabidi utake the L😢😂
"Kama kuna maagizo, yasipitie vichochoroni ! Sisi ndo tupo ! Sawa ?" Wow ! Mama mkwee ! Hapo umeweza !!🤣🤣🤣😉 ! Maxximus outtah Mtongwe naval base . Mos def. My hit show ! Hip hip hurraaay !
Mr Klotas Abong , very arrogant , but good act
The mother in law is just funny 🤣🤣 changing the menu yawa
Finally but mkue mnaifanya ndefu kiasi coz inaisha araka meehn🤣
Mambo ya urefu enda u watch afro sinema
@@barygarcia3128 umeamua violence left right and centre
@@barygarcia3128 chill
@@barygarcia3128 🤣🤣
Ndefu ni kwa bedroom ya wakisii
Crotus and Truphena are the most authentic actors on this show.
Exactly 💯
Bentaaaaaa
🙏🙏
Inaitwa Cityuation...nimeona siz wa msaniii
Nkirote is so pretty bana🔥
Can we talk of what a bully Awiti is? Vile alishfua uyo slay queen ata mi nlikafeel
Nkirote ni keki si ati nini!
@@PrinceUxas man macho zako ziko sawa unafaa kupewa kazi ya treasury watu wasituibie😊👍
I love Awiti!! In fact when I grow up I want to be like Awiti🤣🤣🤣🤣🤣 she’s too funny!!
@@ashleyhearts8561 certified comedian bana, Awiti uwa anakuchapa punchline na machungu na ukijaribu kucounter anakuambia atakunyorosha physically inabidi utake the L😢😂
@@sawyergiverns8010 Nikiingia treasury naiba pia... ushaiitwa na mabilioni mtu wangu?
"Mr Scrotum"
This new actor is insaaaaane😂😂😂
Nice to see you Truphena, na Makena pia akuje sasa na TIpixi..
Crotus amerudi akiwa handsome wadau. Or is it my eyes.
Continue with the good work guys, we will continue supporting you🙏🙏
Mother in law is 🙌🙌🙌🙌🙌🙌✴️✴️✴️
I had really missed this bt finally its here am happy for this 🤗
Very nice.very nice
Si ubarikiwe 2023 happy new year
Dem wa ras kumbe ako hapa.
Amazing the Nyanya and nkirote are also lit
Mother in law ananitia wasiwasi! mchicha kwa wageni jamani🤣
Jakababa wa zora nice to see you again
Ooh yeah, nilikua najaribu kukumbuka nilimuona wapi😅
This is good next episode ikuom
Crotus theofilas abong 🤣🤣🤣🤣 I DNT engage in free hand outs 🤣🤣🤣🤣 banii
Kitu ya kufurahisha minyoo 😂
Crotus: Ebu fanya "aaah" 😂😂😂😂😂😂
Hahaha "nakupea mia mia kwa kila mtungi," ~ Crotus
"Kama kuna maagizo, yasipitie vichochoroni ! Sisi ndo tupo ! Sawa ?" Wow ! Mama mkwee ! Hapo umeweza !!🤣🤣🤣😉 ! Maxximus outtah Mtongwe naval base . Mos def. My hit show ! Hip hip hurraaay !
🙏🙏🙏 Wape salami zetu!👊
The last scene was hilarious 😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nacala qosolka iga dameeyseen😂.!
Nebu I like your scripts kudos endelea hivyo uko juu
Finally alinona 😅
Kamotho wa Njambi is back 😂
😅😅Nkirote hananga bahati, kila saa lazima awekwe pressure
Huyu kijana wa maji si kaka ake awitii🤣🤣🤣🤣
Wow nice one 👍
Then make it downloadable
Enyewe turu ni kienyeji kabisaaa😅
Very short,but nawashukuru sana ,nilikuwa nawamiss saana from kigali
🙏🙏🙏🙏
Kamotho the shop keeper sikuwahi mkumbuka ata🤣🤣🤣🤣
The last scene was the best 😂😂
Where krotas is.... I'm happy
Turuuu any day!!!!!!
Talent on point banaa.
🙏🙏
Mmeamua kutoa hiyo part ya mr.scrotum 🤣🤣
Truuuu omwana wefu
Mboolera umbulire!...😅
@@turutrhk glad to see you back on screens mwana wefu
Wakamba in the muuuud😂
Ety alidhani wakamba wanafanya harusi mtoni
Kumbe ni mitungi za yellow 😂😂😂
I love this mother inlaw😂
😅"Cc ndio tuko"😂🤣....
Tunasubiri achilia
Aki crotus ww hunifurahisha na iyo kijaka sana
Iko tops sana, 🔥🔥🔥
🙏🙏👊
Ebu fanya aaaaah 😂😂🤭
My besty @8:38😩😩❣️❤️
Khaii mnatuweka🥺🥺🥺😂😂😂
& Kamotho is finally back😂
He nailed ???
🤣🤣🤣🤣khalii hadi wa duka ako maarea
I need shiti back please
Enjoy what they can offer. There is time for everything
Iko kwa TV gani kindly I miss it
KTN
Enable us to download these episodes kama kitambo
Kirote karembo kamenona
Ngumbaru 😂😂😂
Show Iko lit but bila dj shiti I feel like it's not the show I know
😅😅😅😅team avocado hoyeeee
Uyo ni kamotho wa jambi 😂😂
Ndio weakness yake🤣
Yoh, this new thing is liiiiit!! Shosho pale, turu, crotus, mwobobia, michi.....hapa mtanimalizia data😂😂😂😂😂😂😂
njambi naweza muzia biz yangu 😊😊
Mko dope sana 🤣🤣🤣
🙏🙏
Kamotho amemake it buana 😂 hiyo stock yote
The new guy looks like Awiti’s brother back in the days
Bro kumbe unamkumbuka ww ni muoto
Its him
@@cyrusmaky3455 mimi ni shabiki mkubwa
Nebu,Moto Sana huyu
Ati ni aje umeingia ka mtu amekazwa na pupu?!!😂😂😂😂😂😂😂
Nebuu..Nebuuu Nebukadnezar !! Eti wakamba wawili wamevaa yellow wafupi wafupi !!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wah,hapo nimecheka mbaya
Hahaa ogola karibu sana
Nawapenda bureeee 🥰🥰🥰
🙏🙏
40 40 bila VAT😂😂😂 40 namnastuka aaha😂
Crotus ayieeee
😂😂😂Niko Sindo ....Crotus Theophilus Abong'😂😂
Mtu atajinyonga😂😂😂
Show on fire 🔥 😂😂😂
🙏🙏
"Aki mandamu Mimi nilifanya tu venye nyanya alisema"😂
Akh wameru Sisi 😂🤭
I need shiti back aseeh
Finally...😌
Turuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Crotus mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣
I need to find a Meru gal,that Nkrote accent Huwa inanimabamba😋
Waiting for brayo and onyi
Kwani hile part ya Mr. Scrotum iko wapi😅
Ogola is here,mzee kijana
Crotus theophilas abong😄😄😄😄😄
I don't entertain free ginene hahaaa
Bhajia za nkirotee ziko??😋
Avocado court is out of water
Turuu..😂😂😂uko na bazenga mummy
Yeah 👊☺️
😁Nkirote wapi recipe ya Biriani....🍲
My favourite kenyan show
And ogola is here
Episodes ziwe refu please.
Sipendi mskini 😢😅
Shiti and shiphira making it incomplete
Waiting
Ogola of zora series is here😅😅
They killed the show...inabore kabisaaa
wacha kuwoch no one has forced u, wacha sisi tuenjoy, ni vile shida zako ni kubwa mpaka huoni humour hapa
Hey waiting 🙄
🔥🔥🔥
uko sindo😅😅
Hii ndo inabamba sasa
pia we enda
Huyo mother-in-law wa Aisha 😅arudi ushago inabooh ukiwa😅