What I've learnt 1. The information we get is profound and how we interpret it 2. Good learning takes time 3. RRR and winning rate are key determining factors 4. Having statistical data from fore testing and rating your trades by probability 5. Learning how to Secure your profits
Una share vitu ambavyo kimsingi mtu alipie hayo maarifa lakini unatoa for free . Nice bro tupo p1 kwenye mission ya kufikia dream. Nauna wasogeza watu kwenye dreams zao 💪🏆
nice information bro ila tu ushauri wangu kwa beginners wenzangu tusikate tamaa profitable tarders wote walikua na mwanzo mgumu kuliko hata sisi tulioanza miaka ya karibuni
@@BakariKombo-cj5iu As a beginner huwezi kupata profit yoyote labda Kwa bahati tu, isipokuwa ukiwa na mtu wa kukupa ishara za soko Kwa siku hiyo. Lasivyo tafuta elimu kaka soma sana wekeza muda wako sana kuwa na subira utapata matokeo mazuri
BE blessed sana Kaka AMRISALIM. Hakika naenda kufanyia kazi kila kitu ambacho umefundisha na nitarejesha my testimony kwako. RR is the Best approach than Win rate🤝✊
Maybe you can address or talk about this one" my experience , I'm not profitable, been learning for a year now , learned alot , but the issue is when i hot to chart i dont apply anything i learned and back test"
Kuna mtu nimeangalia interview yake , ana 80% win rate ila kilicho nishangaza ana -ve risk to reward, yani ana risk dollar 10 to win dollar 5, na yuko profitable na history nzuri kwenye graph ya propfirm
Waiting for a technical analysis video..and next time tells us how your view fundamentals and sentiment analysis 👍 Amazing video though view great information ❤💯
For sure intelligence fx it impacts millions
Sure brother, more to come, mission🚀
Value from intelligence FX is unmatched💪🔥
Thanks brother everyday I keep learning from you, be blessed
I appreciate that, you are mostly welcome 🤝
..unajua sana brooh 🙌
Thank you brother, i appreciate 🤝
🦁's attitude + 🦅's focus c u at the top.
Haya madini ni Adimu, Atsante kwa Madini haya kutupatia Bureee. Huku Duniani wengine wanayauza yan👏💪
Karibu sana kaka, I really appreciate
More to come🫡🤝
Intelligence fx 👍 Kila kitu katika mafanikio ya trading ni mipango tunajifunza mengi kutoká kwenu masuala ya winning rate na risk to reward ratioo ✨✨
Kweli kabisa, 🤝🚀
One of the best information 💯💯🔥🔥
Thank you for feedback, i appreciate brother 🔥🤝
Thanks bro I got what I deserve 🙏🏽🙏🏽
You are mostly welcome, i appreciate 🤝
Thank you Mentor for this 💪
Any time, you are mostly welcome🤝
very helpful brother Amri
Glad to hear that🤝
Apreciate brother..🌏
Thank you, more to come brother 🤝
What I've learnt
1. The information we get is profound and how we interpret it
2. Good learning takes time
3. RRR and winning rate are key determining factors
4. Having statistical data from fore testing and rating your trades by probability
5. Learning how to Secure your profits
Very true brother 🔥💯💯
Simple and clear information ❤
Thank you🙏
Asante kwa kuendelea kutuelisha kuhusu hii biashara ya forex
Shukran na karibu sana, mengi zaidi yanakuja🤝
Great content kaka❤
Thank you 🙌, i appreciate
Fully understood🔥🔥🔥
Thank you for feedback, stay tuned for more💯🤝
True Gem
Sure brother 🫡💯
Una share vitu ambavyo kimsingi mtu alipie hayo maarifa lakini unatoa for free . Nice bro tupo p1 kwenye mission ya kufikia dream. Nauna wasogeza watu kwenye dreams zao 💪🏆
Kweli kabisa, more to come 🫡🤝
Very informative brother 👏
Glad you liked it, more to come🤝🤝
Knowledge za bure🔥🔥
Kabisa mkuu💯💯
Imekaa poa sana
Ahsante 🤝
I appreciate it
You are mostly welcome
next video Bro help us to elaborate through video illustration
Let’s see in the near future 🤝
Fact tupu zipo huku zinatuandaa tunaotaka kuanza na kututia moyo at the same time🤝🏿✌🏿
Unyama bro
I appreciate brother 🤝
Nakubali kaka kwa kutoa madin
Pamoja sana🤝🤝
Next vudeo you need to talk about the energy,time and focus it take to be profitable trader
Ok brother, thanks for suggestion, i will record video about this soon…🤝
Powerful !!!! huo ndo ukweli wa mwisho kwenye forex RISK MANAGEMENT ndo mchezo mzima upo apo
Kweli kabisa kaka💯💯
Thanks🙏🏽
You’re welcome , anytime🤝
You are mostly welcome🤝🙏
@@intelligencefx be blessed you and Your Team
nice information bro
ila tu ushauri wangu kwa beginners wenzangu tusikate tamaa profitable tarders wote walikua na mwanzo mgumu kuliko hata sisi tulioanza miaka ya karibuni
Thank you, ushauri mzuri sana🤝
Nikuulize Kwa biginner waeza make 50dollars per day ukimakinika
@@BakariKombo-cj5iu
As a beginner huwezi kupata profit yoyote labda Kwa bahati tu, isipokuwa ukiwa na mtu wa kukupa ishara za soko Kwa siku hiyo.
Lasivyo tafuta elimu kaka soma sana wekeza muda wako sana kuwa na subira utapata matokeo mazuri
Value first that's what IFX provide
Values first 100%🤝🤝
Asante sana bro very appreciate na elimu
Karibu sana brother, more to come🤝🤝
Mzee una reason sana uko smart sana brother akili mingi so powerfull🎉
Ahsante sana mkuu, i really appreciate 🚀🙏
Golden information always
More to come 🔥🚀
Bro izi ratio na risk reward walahi nilikuwa sielewi untill this video. Ahsante nazidi kujifunza mdogo mdogo.
Karibu na ahsante pia kwa feedback, more lessons to come🔥
Madini
Madini mengi zaidi yanakuja🤝🫡
BE blessed sana Kaka AMRISALIM. Hakika naenda kufanyia kazi kila kitu ambacho umefundisha na nitarejesha my testimony kwako. RR is the Best approach than Win rate🤝✊
They say Never give up on trading ... there is a day when only a single or two trades will clear all the losses you made previously.
This is very true💯💯
Bro do you have any online lessons to teach forex
Maybe you can address or talk about this one" my experience , I'm not profitable, been learning for a year now , learned alot , but the issue is when i hot to chart i dont apply anything i learned and back test"
Ali actually scalping 1 or 5 min chart, which I think it's bad
Well, stay tuned - i will talk about this in the near future 🤝🤝
FACTS💯💯💯
Fact 100%💯💯
UNLOCK 🧠
🧠🧠🔥🚀
Kaka kuna bado umeniacha tutumie R:R ipi yenye manufaa zaidi 1:3 au 1:3+ ?
Risk Management inatakiwa sn ili kuepuk kufulisik 5 to 3% in every deal
Tajiri umekaa poa kinyama
I really appreciate brother 🫡🤝
Asante sana
Karibu sana kaka
Broker hawez kukupangia lot size🤣
Kuna mtu nimeangalia interview yake , ana 80% win rate ila kilicho nishangaza ana -ve risk to reward, yani ana risk dollar 10 to win dollar 5, na yuko profitable na history nzuri kwenye graph ya propfirm
Kuwa profitable in the long term na -ve risk to reward ni ngumu sana, maybe ni profitable in short term results💯💯
👍👍👍
🤝🤝
Nishatambua makosa yangu kwenye trading
Safii, yafanyie kazi mkuu, all the best🤝🤝
✅
🔥🤝
Naomba namba zako kaka
Kaka endelea kutupa madini yamoto motot
Mengi zaidi yanakuja🔥🚀
madini kama haya huwezi kuyapata popote zaidi ya IFX
Kweli kabisa brother 💯🤝
Waiting for a technical analysis video..and next time tells us how your view fundamentals and sentiment analysis 👍
Amazing video though view great information ❤💯
Will do soon…🔥🚀
Premium content
More to come 🤝🔥
Another one 🔥🔥
🔥🔥🔥🚀
🧨🧨🧨🧨
🔥🔥🚀🤝
One Week. No skill takes a week to learn
Very true💯
It takes one day to learn how to lose
😊😊
@@johnjulius6986 🔥🚀
Nondooo ✊🫡
Nondo nyingi zaidi zinakuja🔥🫡
value 🫶🏾
🫶🤍