Joto la ugavana Mombasa: Mbogo, Sonko wavutana

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии •

  • @kvfihf6324
    @kvfihf6324 2 года назад +1

    Sonko haezi pata kiti mombasa in sha Allah hapati tena hapati ng,ooooo

  • @danielmacharia5945
    @danielmacharia5945 2 года назад

    Go Independent Sonko you will win people love you for your good deeds sir.

  • @bentaaumrau8532
    @bentaaumrau8532 2 года назад +3

    Mombasa musikubali sonko ,mwishowe atawatukana huyo hana kichungi kinywani, mbona asipewe ya ukambani,mombasa mujichaguwe, nimesema Yangu mwenye kunitukana shauriyake

    • @mjahmed3809
      @mjahmed3809 2 года назад +1

      Na kupenda roho safi kwa akili zako, ukweli wako sis

    • @happysoul5356
      @happysoul5356 2 года назад

      Wakimchaguwa shauri yao,watumie Akili wakitaka maisha poa

  • @sylviaochieng8786
    @sylviaochieng8786 2 года назад

    Sasa hyu anamuogopa Sonko na wote wanava suruali🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @s2thek323
    @s2thek323 2 года назад

    Mombasa ni Gome la Abdulswamad Sharrif Nasir

  • @kyalomproduction3105
    @kyalomproduction3105 2 года назад +1

    WA MUSILI OFFICIAL TV welcome and listen carefully

  • @mjahmed3809
    @mjahmed3809 2 года назад

    Mombasa si ya wakamba, ina wenyewe ,kalonzo wa upuzi and we don't tolerate criminals from other counties , give him one of ukambani

    • @Sandra39823
      @Sandra39823 2 года назад

      Sonko ni wa mombasa na ni wa ukambani, mamake ndio mkamba, babake ametokea mombasa, Sonko mwenyewe kikamba chenyewe hajui kuongea vizuri

    • @danielmacharia5945
      @danielmacharia5945 2 года назад

      Mombasa yetu wote ngugu zanguni

  • @bentaaumrau8532
    @bentaaumrau8532 2 года назад

    Mbogo apewe cheti amenyane na Abdul Swamad Nasser, hao ni wanaume kamili pia, sonko akitaka ugavana aende ukambani, Mombasa ni tourist destination haitaki mtu mkorofi kama sonko, watu wa Mombasa musikubali, kalonzo asidanganye watu eti sonko akona haki kugombea popote, mbona asimpeleke kisumu ama Eldoret,? sonko hafai hata kuwa mzee wa kijiji, mawe zikuje

  • @abdullatifyusuf3531
    @abdullatifyusuf3531 2 года назад

    .