why can't our Kenyans support our own music ,Sasa hii hit haezi make 1m views,you people ain't serious, anyway still my favorite song and many more hits from my mother land,🇰🇪
Jamani Kenyans what's going on akii...kama hii song ijafika ata 1m views hadi saizi je mm up coming nitawai fika ata 100k jamanii...anyway sudi and timmy hii nayo mliuwa jamaa big up
Old good memories 😃sudi my guy😍😍I jst love how u sing.kenyans tulikosea wapi,KAZI nikusupport tz na kuwapea million views.i watch this song every now n then nione ka imefika 1m bt wapi.
100% Kenyan... love our artists, athletes, big up to all talents in Kenya. dope song from great artists, Kenya djs plz play this instead of davido's songs. nija music ishindwe
Uuuuuuuuuujiiiiii.... Goma Hilo.... Big up wakuuu
Kali ni Kali lazima utaikubali...nipe likes 2024
Who else listening to this banger.. after seven years...🔥🔥
Still my favorite❤
Me!!!!!
We here
I'm here
@@CaptainKenya Dude tmi
2024 listeners❤❤
why can't our Kenyans support our own music ,Sasa hii hit haezi make 1m views,you people ain't serious, anyway still my favorite song and many more hits from my mother land,🇰🇪
True
True indeed
Truely Kenyan
I wonder 🤔
So sad
Jamani Kenyans what's going on akii...kama hii song ijafika ata 1m views hadi saizi je mm up coming nitawai fika ata 100k jamanii...anyway sudi and timmy hii nayo mliuwa jamaa big up
Who is here 2024 July 🎉
Big tune still Tdat
I'm here
Ndani mkuu😂😂
team free wifi na kusoma comments hope mko ndani kabisa....
Donge aneno kiromo 💯. That part 👍🏻👍🏻👍🏻🤜🏽🤛🏾
Sikuwa na simu ikitolewa😢😢😂
pole 😂😂😂😂❤
sudi's voice😍😍😍nimependa concept ya video. hii no kubwa wish guy's can watch; share and support. 254👌
Hii song unipea energy ingine kali❤nitarombosa na who😊🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥
pin location
@@jumaderrick9679 sa location za wat😅
timmy tdat,mbona unanitesa na hii tune kweli,isokei
Who is here?
who like how timmy sings. .kuna that special twist in it 👌👌
its waoh
haki cee like the way he sang
haki cee huu msee ni mnoma sana. Venye anaimba hufanya mtu kusikiliza sana songs zake
Jaffa Riouz mk
Timmy ako top tu xaaana
If this was released this year. It could have gathered much views ❤❤💯
@timmyTdat@sudiboy u guys ni mafundi nic I love it 🔥👆👍👂😍😍😍😍
Old good memories 😃sudi my guy😍😍I jst love how u sing.kenyans tulikosea wapi,KAZI nikusupport tz na kuwapea million views.i watch this song every now n then nione ka imefika 1m bt wapi.
True I'm always here too ...
Tuskizeni Hadi ifike 😂😂
@@mtaanitvkenya8008 am here again 😅
Am here again 15-10-2022
This song deserves 3M viewers minimum. The beat and the flow of the song is well articulated.
Am good to view it 27 times using different profiles till we hit 1M .
Mziki ya kenya ni mwoto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
This banger is still 🔥🔥🔥. It deserves million views
Sudi alienda waapi...tunammiss kwa industry,,😭
This song still heats 2023 💗❤️💕
Eeeeiish!!! noma sana
kama si moto basi yachomaaa♨♨♨kali sana.
Trueeee
timmy's intro is on point 'kama unanipenda si unisoo'
dop jam @timmytdat inaweza. video is a killer why liar
Timmy tdat me ni fun wako mbaya iyo song ni Kali.....big up man.
timmy mazee,uko sawa,shikilia tu hapo uinue musik industry mazee,we mtu wangu
These guys are really vibes ,, my kenyan pipooo, remember our artists woiyeeeee
Hii banger ni noma sana,let's all kenyans start supporting our own artists
enyewe hiyo sauti ya Timmy ni mwaaaaa!!!. a sweet song it is. big up sudi n timmy. you make a good duo
Can't get enough of this song, loving it
Walahi💯🔥🔥
Its 2022...lets see how many are still listening to this hit
sudi timmy its a mess sema noma sana
8yrs na kidude bado kiko fiti mazee🎉
who was attracted by intro !!!dope😍
SONGBIRD SUDI! UNAWEZA BRO
I never used to b a fan of Timmy bt the more u hear his voice the more u love it.. It's infectious
Back here to enjoy the greatness of this living legend Timmy td@ 🎉🎉🔥🔥
Kali sanaaaaaaaaaaaaaaa
ɷɷɷ Heeyy Frienddsss I Haveeeee Justttt Won Brand New iPhone 6s From visitt : - t.co/uJJJNEJb5q
This song reminds me of my childhood person back in 2016 we use to go disco matanga. Right now we are grown up though
Hii banger inafinish kumalo🔥🔥🔥🔥🔥🔥
100% Kenyan... love our artists, athletes, big up to all talents in Kenya. dope song from great artists, Kenya djs plz play this instead of davido's songs. nija music ishindwe
Hii sasa inatosha! TUMEKUBALI! #kasabun
buuuuda!!! timmy we ndio ule msee
more content more shows
more fans kama mimi
Timmy alienda wapi? Venye anachuna mziki hapa? Kenya tupromote wetu
woow hua nckiza tu audio n kidance... napenda sana hii nyimbo
inawesa, inatosa, ni dus nyau.... OROMO!
wah Timmy is the new face that runs the place you are dope pia sudi mkali wa vocals
Nice one to give competition girllover
🎉🎉🎉🎉🎉 hii n moto watu wangu
I like it ndoge aneno kiromo yeah unatosha mwaaaah
I love it watu wangu shikilieni tu hapo
Donge aneno kiromo.....hehehe!!!Timmy uko juu tu sana
Miss Timmy so much ..
Keeep it up man I like your songs
Nivute nikuvute maaa! Kwako nipata manyangaa. A great song
walai mko juu kuruka!!! imeninyce ile mbaya, thumbs up guyz
Here in 2024 November
Apo 0.06,0.07 sudi boy🔥🔥🔥
Walai hii wimbo ilikua moto cheki Tmmy ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nimeteleza nimefall in love...mbayaaaaaaaaaa sana
@Timmy T dat ....vida imemada na song imeweza!!. #kasabun
baddest chune deh pon Timmy's playlist 🔥🔥🔥🔥🔥💯
hii Iromo inaweza, inatosa, na tunakubali kwa mpigoo. These guys killed it they did it like nobody`s business!!!
swee mbona unanitesa swee mbona unanitesa sweety
Aneno kiromo,,,,,,,,,,,,,Noma sana.SMASH HIT!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nimeteleza nmefall in love na ii song
aiyee eeeeeh!!!
This jam iko na kautamu flani nikama imeongezwa royco. I looooove it
timy uko juu tu sana best hit ever in your albam
I first heard this song on radio maisha drive show with Lynda Oriaso.
Where's Sudi boy my guy?
kavida kasimple ka animeson...imeweza
Sudi hamna siku kaniweka chini.. beat yenyewe inatesa.. kazi nzuri
Leo nimepata mki romancing leo najua unampa dat ting.
Timmy tdat will kill me one day
timmy wawawa umeweza na unatosa,,,,,,sudi boy.......big up
Bado iko more 🔥 2024 bado naiskiza manze❤
twende kasipul usiende dar 'ngoma kali hiyo..Aiyeee--eeeeeeeh--------
Hahaha 'twende kasabuni'
Timmy tdat😂😂😂😂....mahn u great 😂😂..sudi killing it kama kawa.
beats imeenda shule soft music and the video 👌👌👌
aiseee sudy voice baba aiiiiiii yatoa jasho
Can’t believe it’s 7yrs old. Time flies.
one of ma best timmy tdat &sudi boy on tops +254 tumekubali kwa mpigo
Inakaa gospel fulani. hehe
Imeweza...
wow! uyu sudi anafaa kuwa international
Kali sana mtu wangu wa cococoasto
pulllllllll uuuuupppp!!!!...how we dooo kii kwetu
This song makes me love someone in this world ❤❤❤
beat iko juu tu sana
inaweza kasabun,,👊💪💪,,
hit noma manze,,teddy b kazi wagwan,hio beat!👊👊
#IromoKabisaa😍😝😝
wakali kuliko classic.....mstari ya watu wazima
Nimeteleza nimefall inlove with u Sudiboi
Haentel 🥺
How comes hii song haikufikisha 1m views na ndivyo iko fity
waoh!nice song,oromo ndi!jaluo okduwa tugo...
I was in high school those times.... reminds me alot
sudi boy uko na mazigwembe haikosi wewe ni mluhya hahaa love it
Just remembered this hit ....stilll a vibe❤️❤️❤️
Hahahaha............ Timmmmmmy darl........ He has never disappointed but this one I must say it's a big hit.............mad love.
eyii Aromo yawa nishakubali..😘😘
hii ngoma iko juu, hapa uliweza, dope
Haneno kiromo# timmy tdat x# sudi boy 254 awesome music ever 👌 👌 👌
Ambia Sudi Boy ako strong❤
timmy tdat dope .....uko juu tu sana