Brigedia Jenerali Anchila Kagombola Mwakilishi wa Jeshi EAC | Nishani Miaka 60 JWTZ
HTML-код
- Опубликовано: 29 окт 2024
- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimtunuku Nishani ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) Ikulu Dar es Salaam, leo tarehe 29 Agosti, 2024, PW0143 Brigedia Jenerali Anchila Kagombola.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.
Ongera sana kamachumu blood karibu uje utusalimie kamachumu ufike na Rutenge
Hongera sana matrorn
Mwalimu wangu Airwing huyo jaman...
Yupo vzur
Huyu ni Mwanajeshi Msomi na Mwenye Uzoefu Mkubwa, Ni Tunu ya Taifa.
Uyu ni mwanamke msimo jeshini
Alikuwa teacher poa sana huyo mama Mungua amjalie pale airwing wanafunzi tulimpenda xana haujui kumchapa mtu huyo zaidi ya kumuelekeza hasa cc watoro ila mwamasika alikuwa balaaaaa......!!!!?
2006-2009 sisi hatukumkuta....Ila Mwamasika ile ilikua Nishida Kweli Kweli.
2006-2009 sisi hatukumkuta....Ila Mwamasika ile ilikua Nishida Kweli Kweli.
2006-2009 sisi hatukumkuta....Ila Mwamasika ile ilikua Nishida Kweli Kweli.
Hongera sana mamkubwa,, wajukuu wa huku wamemaliza shule unatusaidiaje
835 KJ HOYEEEEE
37 kj miaka 60 tpdf tunasubiri tukailetee inchi mema.