Brian ana angusha wanaume why beat a woman as if she's your property! Esther run run run never look back erase him from your mind completely ukijaribu kurudi utamalizwa kwanza venye ametaja kaburi ya mtoto he just wants to finish you imutoke he has that devilish anger in his heart . Potea kabisa musiwahi patana na yy
He is only coming back because he has failed to find someone. Please, can he go and work on his temper and anger issues before settling down in a serious and committed relationship.
Wanawake kama hawa huwa wanakuja kuuawa baadaye ju ya ufala..sasa hii voice ya kuomba msamaha zuri inaeza fanya mtu arudie hii shezi...kwani kama mliteseka ilimaanisha umtese?ju alitoka shule ju yako inamaanisha umtese??ESTHER KAMA UNAONA HII MESG USIJIDAGANYE URUDI KWA HUYU MNYAMA...ATAKUUA.
Esther vile umeanza hivo mbele kuzuri.Fanya KAZI focus na life yako.Nachukia kichapo cha wanaume wajinga Kama huyo.He used to beat you like a drum,now he's having sleepless nights over stressful 😅😅songa na maisha Hadi ufike hii gulf tunaishingi Sisi tuliotupwa😂😂😂😂🙏
Brayo ashukuru mungu Esther ni mluhya. Kama angekuwa ameoa Shiru kutoka Mathira Nyeri kwa akina Gachagua, angejua hajui. Shiru angekuwa amemng'oa meno yote na kitu kingine mwilini.
Eeh bro sorry kwa kuingilia comment yako but you have to use ur wisdom. What if that girl she was ur sister ungemwambia arudi kwa Brayo na akiuliwa ? Saa zingine tujitahidi kuwa na ubinadamu bhana !
Plz Esther don't go back. Move on kabisa Mungu atakusaidia
Ester my siz focus kw kazi yko waàa God will give u another chance but sai shikilia kazi yako
Wa kwanza kufika kwa comment section ...😊Esther don't go back Brian amerudi kukumaliza😢
Brian ana angusha wanaume why beat a woman as if she's your property! Esther run run run never look back erase him from your mind completely ukijaribu kurudi utamalizwa kwanza venye ametaja kaburi ya mtoto he just wants to finish you imutoke he has that devilish anger in his heart . Potea kabisa musiwahi patana na yy
Ati kwa kimila ya nan?? Eeeish Esther murifeee
Esther don't go back Brian atakumaliza,,,, kama aliogea hayo maneno please focus with your life,,,don't believe that man,,,,
Ester hio umbwa itakupararisha na ikuteme tena don't dare to go back,,, focus mamaa!
Huyu ester asijaribu kurudi kwa Brian..hiyo ni kifo anamtafutia
Esther don,t go back
Esther... I sense danger here....run....Murifeeee
Weeh, mrife ruuuun, usijaribu kurudi huko maisha yako ni ya muhimu dada yangu
The ironic laughter of Gidi na Ghost killed me😅😅😅😅
Hawa wanapendana!
This is a narcissistic man ata venye anaongea tu...Esther run for your life sai mwanaume kukuua its not a big deal
Aty *yes Gidi **😂😂😂😂😂
Esther gal toto usiwahi assume red flag kurudia Mtu anakupiga hio n hatia😢
Mpango Wa kando seems to be unforgivable for this Brian's former wife.
DEAR MEN NEVER EVER KUPIGA MWANAMKE AKIWA MJAMZITOOO
Yes Gidi😅😅
Na si amuv on... NKT!
When he was with the lady he was seeing other ladies, after losing her he now appears desperate.
This is a mad man.
Be neutral
He is only coming back because he has failed to find someone. Please, can he go and work on his temper and anger issues before settling down in a serious and committed relationship.
The way he was talking hiyo nayo ni bure kabisa. Na kwanini yeye akukuchapa
Wachana na huyu love yourself Esther na kazi yako
Police case
Asiwahi rudi kwa huyo katili. Mungu alimtoa for a reason. Patanisho crew has done well not to encourage a reunion.
Nmeboeka tu pale amesema ati sister yake ndie alimharibu!!
Nicheze the men can lie song😂
Kila mtu aende njia yake why force?
Huyu ako na na zake,,,,kama bibi alikua mhanya mbona anataka kumrudisha....run for your life baby girl...huyu mme ni jangili
Aende akaoe mpango wa kando mmoja waanze life akome estee kabisa
But ukweli Gidi nyinyi Ndio mnavunja ndoa za watu, instead ya kupatanisha. Mara mnakuwa side za wanawake, mbona mnapenda kutetea wamama, Be honest
Esther Rudi kwa jamaa mtu ubadilika na mtu ujirudia na huo muda mmetengana kila mtu amesoma mistakes
Msamaha amsamehe but mwanamke a move on,,
Kama Brian alibadilika basi atafute mke mwengine...
Wanawake kama hawa huwa wanakuja kuuawa baadaye ju ya ufala..sasa hii voice ya kuomba msamaha zuri inaeza fanya mtu arudie hii shezi...kwani kama mliteseka ilimaanisha umtese?ju alitoka shule ju yako inamaanisha umtese??ESTHER KAMA UNAONA HII MESG USIJIDAGANYE URUDI KWA HUYU MNYAMA...ATAKUUA.
How dare you slap a woman who is in a family way???
Kuna mjinga hapa ataleta patanisho afungwe jela sababu ya makosa
Esther vile umeanza hivo mbele kuzuri.Fanya KAZI focus na life yako.Nachukia kichapo cha wanaume wajinga Kama huyo.He used to beat you like a drum,now he's having sleepless nights over stressful 😅😅songa na maisha Hadi ufike hii gulf tunaishingi Sisi tuliotupwa😂😂😂😂🙏
Brayo ashukuru mungu Esther ni mluhya. Kama angekuwa ameoa Shiru kutoka Mathira Nyeri kwa akina Gachagua, angejua hajui. Shiru angekuwa amemng'oa meno yote na kitu kingine mwilini.
@b.3940 mmmh yule mwanamume alimwagiliwa acid juzi akafa huyo mwanamke alikuwa Shiru from mathira... Some comments huuudhi sana
Ana muita muhajaji tena Ana mutaka
Nyote wahanyaji........
Brian enda uoe hao wanadada ulikuwa unaanya nawao
Ester ukijaribu kurudi kwa brayo ambia watu wako watayarishe ngombe ya kuchinja watu wakule.juu utarudi ukiwa mkufi
kana pigwa
ATI mluhya,mnatuaibisha bibi hachapwi ata kidogo na akiwa na mimba hiyo ni unyama ya hali ya juu .
Gidi, this is patanisho not tenganisho, try and help Brian get back his girl not destroy them further.
Eeh bro sorry kwa kuingilia comment yako but you have to use ur wisdom. What if that girl she was ur sister ungemwambia arudi kwa Brayo na akiuliwa ? Saa zingine tujitahidi kuwa na ubinadamu bhana !
GIDI NITUMIE NUMBER YA ESTHER PLEASE
Msamaha amsamehe but mwanamke a move on,,
Msamaha amsamehe but mwanamke a move on,,