Musukuma afunguka kuhusu kikokotoo, "tunakwenda kutengeneza taifa la watumishi wezi..."

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 апр 2024
  • Mbunge wa Geita Vijijini (CCM) Joseph Musukuma amesema kuwa ikiwa serikali haitasikiliza kilio cha watumishi kuhusu kikokotoo itatengeneza taifa la wezi.
    Musukuma amesema hayo leo Jumatano Aprili 17,2024 wakati akichangia makadirio ya mpato na matumizi ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kwa mwaka 2024/25.

Комментарии • 17

  • @raimosmwashilindi2825
    @raimosmwashilindi2825 Месяц назад

    Pambaneni wabunge kuhusu kikokotoo kinatuumiza sana unganeni wote kwa pamoja bila kumsahau Esther Bulaya Big up sana.

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 3 дня назад

    Msukuma anafaa kuwa mtu wa Fashen anavaa vizuri sana

  • @user-vp2tk3rv7o
    @user-vp2tk3rv7o Месяц назад +1

    Wabunge waache unafiki inamaana kikokotoo hawakupitisha wenyewe wanaleta salakasi zao kisa tunakaribia uchaguzi mkuu

  • @TomasKamani-rr1tw
    @TomasKamani-rr1tw Месяц назад

    Munger aliyetetea kikokotoo aanze kukatwa kwenye posho yake ili aone kilivyo.NAMALIZIA KWA KUMWOMBEA ASIRUDI TENA BUNGENI

  • @gndunguru
    @gndunguru Месяц назад +1

    Kama kikokotoo kina nia njema. Kianze na wabunge na madiwani na rais

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Месяц назад

    Si suala la kujadiliana ni kurudi Tu 50%, well done King Msukima

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula Месяц назад

    Wenye pesa walishakataa. Hv kweli 140 mln umpe mstaafu 45 mln?!! Itamsaidia nini. Wape pesa zao wakajenge majinba ya wapangaji

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 Месяц назад

    Nguvu nyingi zinatumika kupiga kelele za kikokotoo, hivi nani ni muasisi wa hicho kikokotoo? Wakati kinaanza na kuanza kutekelezwa ninyi mlikuwa wapi? Kina wahusu wafanyakazi je mliwashirikisha katika kukiasisi? Je na ninyi mnapomaliza miaka yenu huwa kinawahusu? Hili jambo linatia shaka kwamba linataka mtu apate sifa katika kuliondoa ili kujijengea umaarufu. Ni aibu kutengeneza tatizo na kulifanya mtaji.

  • @user-vp2tk3rv7o
    @user-vp2tk3rv7o Месяц назад

    Kwenye posho zao hakuna kikokotoo kingewagusa wasinge pitisha pesa wanakata kutoka kwenye mshahara wako muda wa kulipa mashariti kibao

  • @user-es1fu8wk5f
    @user-es1fu8wk5f Месяц назад

    KIKOKOTO Cha wasitaafu ni wizi Wa SERIKALI yetu ,,,

  • @MohamedKaribi
    @MohamedKaribi Месяц назад

    Huu ni uonevu kwa kwel ndo maana wizi hauwezi kuisha 30% hapana kwann umpangie mtu na wakati pesa ni zake basi kama shikika halina uwezo wa kulipa hakuna haja ya watumishi kukatwa nssf

  • @user-vp2tk3rv7o
    @user-vp2tk3rv7o Месяц назад

    Wabunge waache kuleta salakasi wasiwalaumu mawaziri kuhusu kikokotoo wajitathimin walichofanya

  • @brightontibenda2346
    @brightontibenda2346 Месяц назад

    Huwa ninakukubali kwa uwazi ulionao bungeni.

  • @hadijakindopa8518
    @hadijakindopa8518 Месяц назад

    Umenikuna mweshimiwa

  • @DenisWilson-ii9fb
    @DenisWilson-ii9fb Месяц назад

    Nimekuelewa Doct. wa akili

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 Месяц назад

    Msukuma yupo sahihi.serikali inawadhulumu wafanyakazi. Sijuwi kwanini Bi Mkubwa kwa Nini hachukui hatua ya kuwasaidia wafanyakazi? Au kwa sababu yeye Ni Rais,aliacha urais,atalipwa pesa nyingi? Hii itamletea shida kwenye kura.uchaguzi utakuwa mgumu kwa upande wa wafanyakazi.itaketa shida

  • @williamwihala548
    @williamwihala548 Месяц назад

    Kwa kweli hoja ya kikokotoo linaumiza sana watumishi. Ni vema serikali itafakari upya ili watumishi wajisikie wapi huru na nchi yao