Glory to God, shuhuda zilizotolewa zimenitia nguvu sana, namwamini Mungu kama muumini wa kanisa hili kwa njia ya mtandao Mungu ananiandalia ushuhuda mkubwa. Wachungaji wangu wote nawapenda sana na kanisa kwa ujumla
Shuhuda zimejaa matendo makuu ya Mungu japo inaonekana muda umekua mchache ila naamini Mungu amejidhihirisha. Ushuhuda wa Dada Mese inaonekana wazi amekua na mambo mengi ya kutufundisha namna ya kuwa na imani na kusimamia kile unachoamini na Mungu anakiheshimisha. Ikiwezekana tunaomba siku nyingine atueleze kiundani. Wapo watu wengi wanaokumbana na maswala kama ya Dada huyu lakini kwa sababu ya kukosa watu wa kuwashika mikono ndoto zao huishia pasipo julikana. Kingine nilichojifunza ni kwamba Mungu anapowainua watu kwa ajili yako haitojali wanatoka wapi au wanaabudu wapi. Huyu dada magumu aliyopitia pamoja na yote Mungu kamuinulia mtu wa Dini nyingine kabisa ambaye sio mkristo na kwa upendo wa pekee Bwana huyu anamsaidia Dada huyu bila ya kujua lililua ni kusudio la Mungu yamkini alitafuta msaada toka kwa wakristo wenzie na walikua na uwezo ila hawakuweza kumsaidi lakini Mungu aishie milele akamwinua Mwislamu hukoo na kuja kumsaidia, Mungu ambariki sana huyo Kijana. Hii inaonesha wazi kwamba Mungu anaweza kuinua hata Mawe yakakusaidia kuliko Mwanadamu mwenzio unayesali naye sehemu moja. Mungu awabariki sana kwa huduma hii ya leo ni mengi tumejifunza. Kingine ni kwamba hata namna amekua akitamka mambo kwa uhakika wakatui kiuhalisia hakuwa nayo ni ishara tosha kuwa ni imani kubwa sana anayo huyi dada na ninaamini kuna mtu mmoja au wawili Mungu alitaka wausikie ushuhuda huu. Pastor kama iko namna mtafute hutu Dada pembeni huenda akawa na mambo mengi zaidi ya hapo na alelewe vizuri ndani ya kanisa adui asije pata nafasi ya kudeal naye tena, hilo naamini Baba Pastor liko ndani ya uwezo wako. Kuhusu shuhuda nyingine nazo kwa kweli zime shiba sana. Huduma hii na iendelee daima. Mungu awabariki
Glory to God, shuhuda zilizotolewa zimenitia nguvu sana, namwamini Mungu kama muumini wa kanisa hili kwa njia ya mtandao Mungu ananiandalia ushuhuda mkubwa.
Wachungaji wangu wote nawapenda sana na kanisa kwa ujumla
Shuhuda zimejaa matendo makuu ya Mungu japo inaonekana muda umekua mchache ila naamini Mungu amejidhihirisha.
Ushuhuda wa Dada Mese inaonekana wazi amekua na mambo mengi ya kutufundisha namna ya kuwa na imani na kusimamia kile unachoamini na Mungu anakiheshimisha. Ikiwezekana tunaomba siku nyingine atueleze kiundani.
Wapo watu wengi wanaokumbana na maswala kama ya Dada huyu lakini kwa sababu ya kukosa watu wa kuwashika mikono ndoto zao huishia pasipo julikana.
Kingine nilichojifunza ni kwamba Mungu anapowainua watu kwa ajili yako haitojali wanatoka wapi au wanaabudu wapi. Huyu dada magumu aliyopitia pamoja na yote Mungu kamuinulia mtu wa Dini nyingine kabisa ambaye sio mkristo na kwa upendo wa pekee Bwana huyu anamsaidia Dada huyu bila ya kujua lililua ni kusudio la Mungu yamkini alitafuta msaada toka kwa wakristo wenzie na walikua na uwezo ila hawakuweza kumsaidi lakini Mungu aishie milele akamwinua Mwislamu hukoo na kuja kumsaidia, Mungu ambariki sana huyo Kijana.
Hii inaonesha wazi kwamba Mungu anaweza kuinua hata Mawe yakakusaidia kuliko Mwanadamu mwenzio unayesali naye sehemu moja. Mungu awabariki sana kwa huduma hii ya leo ni mengi tumejifunza.
Kingine ni kwamba hata namna amekua akitamka mambo kwa uhakika wakatui kiuhalisia hakuwa nayo ni ishara tosha kuwa ni imani kubwa sana anayo huyi dada na ninaamini kuna mtu mmoja au wawili Mungu alitaka wausikie ushuhuda huu. Pastor kama iko namna mtafute hutu Dada pembeni huenda akawa na mambo mengi zaidi ya hapo na alelewe vizuri ndani ya kanisa adui asije pata nafasi ya kudeal naye tena, hilo naamini Baba Pastor liko ndani ya uwezo wako.
Kuhusu shuhuda nyingine nazo kwa kweli zime shiba sana.
Huduma hii na iendelee daima. Mungu awabariki