MISSION IMPOSSIBLE [58]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 ноя 2024

Комментарии • 1,8 тыс.

  • @AbaidiiniNgweti
    @AbaidiiniNgweti Месяц назад +173

    Aya tumekutana tena wale familia ya chado master
    Like zionekane apo chini
    Ila cheusi kwa uongo yupo vizuri aisee anajua kutunga uongo ndio maan anagombn na kitengo
    Like nying kwa chado master 🎉🎉

  • @WaziriKibado
    @WaziriKibado Месяц назад +11

    Kusema kweli cheusi ni mmbea lakn ana roho nzuri mwayaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MehmetAshraf
    @MehmetAshraf Месяц назад +55

    yani hii mission tam yan jana ilibidi nijikumbushe kidogo ya nyuma nimeangalia episode kuanzia ya 50 ya haichoshi kuiangalia kiukweli kwangu hii ndo the best film mwaka huu bongo hii🙌🙌

  • @JanethErick-f2x
    @JanethErick-f2x Месяц назад +45

    Nywele breach nyekundu mchawi million kumi hiyo mi I like 🎉🎉🎉

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Месяц назад +26

    Wewe cheusi titiiiiiiiii weweee mbn unamdanganya kidem jau na mama ngwengwe wetu kitengo mungu akubariki sana🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @issashabani-c7r
    @issashabani-c7r Месяц назад +15

    Na hawa wasenge manyinga na kijicho jitaidi sana mzee chado wasichukuwe hata pwenti moja kwako ili move iwe mzuri zaidi lazima wewe ndo uwachachafye sana adi wao wenyewe wasamehe milioni kumi ila ukikubali kuchachafya na hawa mafala move itakuwa mbaya wapelekee moto ivo ivo

  • @JosephaSulle-yi4zr
    @JosephaSulle-yi4zr Месяц назад +25

    Me nampendaaaa sanaa chadoo anaigizaa vizurii sanaaaa atariii

  • @mchox1679
    @mchox1679 Месяц назад +40

    Cheus Media😀..... uyu jamaa anajua sana.... kwenye character yake anfany vyema sana😂👏👏

  • @ParthTank-w7g
    @ParthTank-w7g Месяц назад +15

    ❤❤❤❤❤ waooohhh!! Wakwnza leo jaman

  • @YeriKahindi
    @YeriKahindi Месяц назад +20

    Congratulations wahusika wa mover wote napenda saana Misson

  • @RinaAktar-y6x
    @RinaAktar-y6x Месяц назад +15

    KAZI mzuri akh sasa tunaomba muwe mukitoa angalau marambili kwasiku mm Niko Kenya ❤❤

  • @MichaelMbaga-id6xp
    @MichaelMbaga-id6xp Месяц назад +11

    Yule dogo asipotee sana pia tunamtambua kama msanii jasiri (Ngwengwe

  • @Zebuu-kp
    @Zebuu-kp Месяц назад +185

    Kazi ni safi sana 🎉🎉

  • @SamouOman
    @SamouOman Месяц назад +12

    Ila chado 😄😄nakupenda atar kaka ake hongera sana kwa kazi nzur

  • @GelewadaMtitu
    @GelewadaMtitu Месяц назад +23

    Nawapenda sana tim chado mko pow mnawakilisha vema anae kubali chado mpeni maua❤❤❤

  • @BucumiErick
    @BucumiErick Месяц назад +32

    Aise wallah nimefurahi sana wenzangu mahari tumefika wallah chado tumuombee mwenyezi mung inshallah allah amupe nguvu wallah ndo man na mpenda sana unajua ni kwanini na mpenda.wahuni wanajua kila kitu movies za bongo❤❤❤ like hapo chini 👎 plus

  • @NassramohdSheikhan
    @NassramohdSheikhan Месяц назад +13

    Asntee chado kwakazi nzuri 🎉🎉

  • @MaryamMaryamjuma-x6x
    @MaryamMaryamjuma-x6x Месяц назад +7

    Hongera chado ya movie inazidi utam ikiwa nda ya utamu we uwogopii

  • @ZarinahZari
    @ZarinahZari Месяц назад +15

    Jamani naomben hii move isiishe mana uko ndo kumeanza kuchangamkaa❤❤❤

  • @zuhurakhalfan
    @zuhurakhalfan Месяц назад +8

    Masha Allah Hadi raha naipenda sana hii filamu❤❤❤❤❤

  • @SaumuMohamed-qj5qp
    @SaumuMohamed-qj5qp Месяц назад +15

    Hongera sana chado kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉

  • @DianaMkembelwa
    @DianaMkembelwa Месяц назад +50

    756,, Chando masta awe 😘🎉🎉🎉🎉mnaonaje Tumuombe Chado awe anatoa Kila siku jamani.

    • @ZeyanaKhalid-t5i
      @ZeyanaKhalid-t5i Месяц назад +1

      Akitoa kila siku itakua kazi mbaya kwasababu atakuwa hana mda wa kujitaarisha

    • @EvelightProsper
      @EvelightProsper Месяц назад

      Rahaula kisemo cha cheusi

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 Месяц назад

      ​@@ZeyanaKhalid-t5iApo umenena

  • @HamadyFesto
    @HamadyFesto Месяц назад +60

    Aisee mambo yanazidi kuwa matu humu ndani mm labda ni mpongeze bro chado move ni nzuri sana na wamejitaidi kwa asilimia kubwa

    • @StephenSalum-c2p
      @StephenSalum-c2p Месяц назад +2

      @@HamadyFesto asilimia ni zote

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 Месяц назад +1

      Kabisa wanastahili tuzo

    • @HamadyFesto
      @HamadyFesto Месяц назад

      @@mohammedkidody5618 lazima wapewe na tuwe na upoja ili movi hii isambae zaidi maana ni nzuri na yenyekufundisha na pia inamaadili mema

  • @KanalidaOg
    @KanalidaOg Месяц назад +77

    Jaman movi hii ni kali sanaaaaa ila yote tisa aliye waona wake wenza waloanza ugomvi kabla ya kujuana naomba ani join kwa ku like hapa😂😂😂

    • @janetmaturu2377
      @janetmaturu2377 Месяц назад +1

      Nakuambia wameanza kupeana maneno mbele ya jua

    • @nyamokizainabu205
      @nyamokizainabu205 Месяц назад

      🤣🤣🤣leo video queen amekaza kamba

    • @ElizaFrank-i1q
      @ElizaFrank-i1q Месяц назад

      Nmecheka kwa saut

    • @JamesJeymoor
      @JamesJeymoor Месяц назад

      𝗵𝘂𝘂 𝘄𝗶𝗺𝗯𝗼 𝗮𝗺𝗯𝗮𝗼 𝘂𝗻𝗮𝘀𝗲𝗺𝗮 𝗷𝗮𝗺𝗮𝗻𝗶 𝗻𝗮𝗵𝗮𝗯𝗮...𝗻𝗮𝗵𝗮𝗯𝗮 𝗻𝗮𝗸𝘂𝗺𝘂𝗼𝗻𝗮 𝘂𝗻𝗮𝗶𝘁𝘄𝗮 𝗵𝘂𝘂 𝘄𝗮𝗺𝗮𝗽𝗲𝗻𝘇 𝗵𝗮𝗽𝗮𝗮 𝗸𝘄𝗻𝘆𝗲 𝗵𝗶𝗶 𝗺𝗼𝘃𝗶𝗲 𝗻𝗮𝘂𝗽𝗲𝗻𝗱𝗮 𝘀𝗮 𝗻𝗮𝘁𝗸𝗮 𝘁𝗶𝘁𝘁𝗹𝗲 𝗽𝗹𝘇

  • @SaidiSuleiman-z4d
    @SaidiSuleiman-z4d Месяц назад +11

    Nawatambua sana wanangu one love one bloody

  • @sesiliajoseph6514
    @sesiliajoseph6514 Месяц назад +30

    Hongera Sana chodo kwa kuonyesha upendo kwenye family ya kina najima na tunakupenda Sana ♥️💕💕

  • @Lovenesszani
    @Lovenesszani Месяц назад +17

    Kumbe mpo hukuuu nimewatafuta sanaa🙆‍♂️🙆‍♂️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

    • @AminaOman-v8x
      @AminaOman-v8x Месяц назад

      😂😂😂😂tulivyo bunda😅😅😅😅

    • @Hawa-x1u
      @Hawa-x1u Месяц назад

      Nimambo yakuwahi jmn mwaka huu mtatukosa kwasababu ya chado

  • @Nelly-s1g
    @Nelly-s1g Месяц назад

    Naipenda sana hii movie sana❤❤❤❤ chado mtu wa maana sana anamsaidia najma

  • @MauaKasulwa-k6y
    @MauaKasulwa-k6y Месяц назад +16

    Mungu atubaliki wote kila itwayo leo amin🙏🙏

  • @NgallaKihanda
    @NgallaKihanda Месяц назад +14

    Nakubali sana broo chado unajua kuwafrahxha mashabiki

  • @ZenaMsengi
    @ZenaMsengi Месяц назад +35

    Eeh Mungu ni dakika moja tu mpo hv msinikanyage tafadhal

  • @AshfainaKapanga
    @AshfainaKapanga Месяц назад +9

    kaaah chago kweli we ni masta kumkimbiza kijichoooo

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz Месяц назад +10

    Kazi niziri sana mungu awahinuwe juu zahidi

  • @AishaRamadhan-t1b
    @AishaRamadhan-t1b Месяц назад +34

    Napenda sana hi movi yan nataman itoke kila siku❤❤❤❤

  • @Bugana414
    @Bugana414 Месяц назад +15

    💯💯💯...mambo yanazidi kuchangamkaaaaa

  • @shishiklen
    @shishiklen Месяц назад

    naipenda sana movie yenu napenda vituko vya cheusi na anavyosema lahaula namkubali kwel

  • @SaumuNyale-s6h
    @SaumuNyale-s6h Месяц назад +13

    Chado naomba muwe mnaweza kututolea kwa wakati jmn 😊😊😊😊😊 twakupenda sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @amosmgisha8572
      @amosmgisha8572 Месяц назад

      Mbon anatoa wakati jamnii

    • @SaumuNyale-s6h
      @SaumuNyale-s6h Месяц назад

      @amosmgisha8572 yes but pia huwa anarusha siku moja broo kuchungulia You Tube kila time km imetok

  • @RahmaYunus-d8t
    @RahmaYunus-d8t Месяц назад +43

    Jaman fanyen Kila day sio kuruka ruka siku kiukweli chado upewe maua yako hii move ni kali sana hii mm ndy I like

    • @MonicaNathanael
      @MonicaNathanael Месяц назад

      Hawezi kufanya kila cku sabb bdo wanaendelea na ep za mbele hivyo wanaendelea kuigiza

    • @BrayEpimack-p7c
      @BrayEpimack-p7c Месяц назад

      Sio kubanako kiuno chako😂😂😂

  • @alexmachiby2464
    @alexmachiby2464 Месяц назад +12

    Chad masta raisi wamasela 😮😮😮 weka like apo

  • @kibibimlaula2526
    @kibibimlaula2526 Месяц назад +12

    Eeeh chado umeupiga mwingi mwanaa oya weee nmependa iyo part ya kuangalia mguu wa kuku😂😂

  • @phestogerald5200
    @phestogerald5200 Месяц назад +15

    Nakukubal sana Chado Master 🔥🔥

  • @swahabuyussufu1484
    @swahabuyussufu1484 Месяц назад +5

    Daaaaah chado umenikosha ahHahahs et mijitu kama ii unaparamia bila ngazi 😂😂😂🙌🏾

  • @JAY_P_BOY
    @JAY_P_BOY Месяц назад +18

    Mungu nimwema sana Bila kuchoka 🎉 kitengo nakubl san gonga like zangu apo ngoma I like 🎉

  • @HawaMazola
    @HawaMazola Месяц назад +32

    Hongera sana chado mastar move nzuri ❤❤❤

  • @ShaafrPmafukwe
    @ShaafrPmafukwe Месяц назад +201

    Wakwanza nipeni maua yangu ❤❤❤

  • @SalimaIssa-v8e
    @SalimaIssa-v8e Месяц назад +4

    Jamn mem nataka 😢 aimalizie hii move chado nakuomba jamn mem nalia kea ajili yako chado wangu 😢❤

  • @TeklaPaul-c2d
    @TeklaPaul-c2d Месяц назад +19

    Kunamtu alinifananisha Sasa naenda kujielezea hahahahaha 😂😂😂😂 et jitu

  • @ziadadenis
    @ziadadenis Месяц назад +4

    ❤❤❤ kaz nzur nakupenda sana chado mastar

  • @Rozi-k1y
    @Rozi-k1y Месяц назад +27

    Yan kila saa nilikua nachungulia kama mmetoa nyingine atimae ❤. Nawapenda Sanaa. Wap like zenu

    • @ZuwenaKingazi
      @ZuwenaKingazi Месяц назад

      😂😂nilikjua pekeangu nachunguli chungulia hatimae nimeipata mwezangu❤

  • @erickkomba7004
    @erickkomba7004 Месяц назад +2

    Aaaaaah Chado kubababako kiuno chako,, mwamba unajua 😂😂😂 best ideas, best movie, best flow of events, the quality one, Tuko pamoja mzee

  • @nikita_strawbery
    @nikita_strawbery Месяц назад +12

    Cheusi mkitoa humu kwenye hii series nitalia sana 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌nampenda sana ananifurahisha

  • @Bintsaid-c1g
    @Bintsaid-c1g Месяц назад +3

    Kazi nzur Mungu awazidishie na umoja wa nguvu

  • @RubyMohammed-cq1cj
    @RubyMohammed-cq1cj Месяц назад +11

    Chado ongeza mdaaa plzzzz kichau wangu😊

  • @beatricebarnabas-s7o
    @beatricebarnabas-s7o Месяц назад +9

    Mungu akupe maarifa zaid chado

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg Месяц назад +22

    Ila najima akivaa nguo za shule anapendeza sana 🌹 🌹 🌹 cheusi jishikilie punguza shobo na uchawa😅😅like kwa demu wa kitengo 🌺 🌺 wa mwisho nawa kwanza😅

    • @IreneIsambi
      @IreneIsambi Месяц назад

      Kwakweli ajishikilie amezidi mdomo🤣🤣🤣

  • @ramandau357
    @ramandau357 Месяц назад +10

    Chado hivy ndy navyopenda nilisubir sana siku ya kukutana na huyoo kijicho😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @YusraSultana-p8w
    @YusraSultana-p8w Месяц назад +53

    Hongera kitengo kwa kuununua ugomvi

  • @sõùdyürö
    @sõùdyürö Месяц назад +2

    Napenda snaa mwanangu misumari congarat guy❤❤

  • @TinaBenedictor-l8w
    @TinaBenedictor-l8w Месяц назад +5

    Nakukubali san chado master a.k.a kitengo.🤛🤛

  • @Peter-b3d2t
    @Peter-b3d2t Месяц назад

    Nawapenda wote kaz nzuri cheusi utanivunja mbavu

  • @mbarukumohamed2264
    @mbarukumohamed2264 Месяц назад +11

    Kunamtu kanifananisha naenda kujielezea kama sio mm hhhhhh kitengo umeua sana

  • @AminaKuyawa
    @AminaKuyawa Месяц назад +1

    Jamani hii move sitamani inipite maana naipenda sana,hongera chado umeritisha jitu limekimbia leo😂😂

  • @SarahIbrahimdenisDenis
    @SarahIbrahimdenisDenis Месяц назад +27

    Penzi la msela tamu I like na anaempenda penzi la msela agonge like hapa

  • @JescaFelix-e4x
    @JescaFelix-e4x Месяц назад +7

    Ivi cheusi mnamwelewa jamani Yani akafunge turubai na sio kumfata dady

  • @ZuberiAbdala-zp4ex
    @ZuberiAbdala-zp4ex Месяц назад +8

    kiuno chako kubababe chado umetisha yani i like hii movie kaka

  • @nitungatherance
    @nitungatherance Месяц назад +3

    Daah movie Kali afu inaisha hongela Xana chado

  • @NemaAli-zh6hr
    @NemaAli-zh6hr Месяц назад +9

    Jojoh ungevaa tu mabwanga au madera shoga angu km mama ngwengwe, ila ivyo vinjunga mhhhh😂😂😂

  • @FatmaOmarKahindi
    @FatmaOmarKahindi Месяц назад

    Ukipendwa na muhuni aiseeee umependwa. Ana mapenzi ya dhati sna❤❤❤❤

  • @MwanamkasiBakari-pb2gw
    @MwanamkasiBakari-pb2gw Месяц назад +5

    Ety kuna mtu amenifananisha 😂😂kitengo bana 🙌more luv 254❤

  • @ChantingAkili
    @ChantingAkili Месяц назад

    Nishatzama tzama filam zako nying but this the best bro salut Sana chado nice stor bro respect

  • @RateefRich
    @RateefRich Месяц назад +5

    Wakwaza ap japo nimechelewa like zangu😂😂 chado master

  • @ErickJonhfredy
    @ErickJonhfredy Месяц назад +1

    Hongera Sana nimeipenda Sana kiukweli chado ni master 🎉🎉🎉🎉

    • @feisalmkali
      @feisalmkali Месяц назад

      ruclips.net/video/I8WMRl7KlZw/видео.html

  • @ZainabuOmari-yk8fb
    @ZainabuOmari-yk8fb Месяц назад +15

    Mm wamwisho kutoka 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲jmn adonge ata like mtu mmoja jmn😂😂😂😂

  • @PeridahGregory-e6i
    @PeridahGregory-e6i Месяц назад

    Mungu awatunze jamani mnatufundisha sana ❤❤🎉🎉🎉

  • @DeboraLufingo
    @DeboraLufingo Месяц назад +9

    Chadooo ongeza dakika banaaa😢😢😢😢

  • @QueenGeorge-x9o
    @QueenGeorge-x9o Месяц назад

    Mpo vizuri sana nawapenda bure❤❤

  • @DazuuDazuu
    @DazuuDazuu Месяц назад +3

    Jaman kuna mtu amenifananisha huko,kwahyo naenda kujielezea 😂😂😂

  • @KasimAlly-sy7fc
    @KasimAlly-sy7fc Месяц назад +1

    Chado ya moto sana hiii movie ayseee umetisha sana

  • @bdvc7107
    @bdvc7107 Месяц назад +7

    Jana mjuku wangu wa miaka 3 kaniambia bib adisi adisi alitokea najima akaja chado na kaka ake naji akampiga mjiwe nilicheka sana jaman

  • @ZeyanaKhalid-t5i
    @ZeyanaKhalid-t5i Месяц назад +4

    Mi leo ndo nimeamini kwamba kuna matatizo mengine yanasolviwa kwa akili tu na sio kwa kutumiaa nguvu😮😮😮😊😊

  • @ZaituniShabani-dd2tm
    @ZaituniShabani-dd2tm Месяц назад +6

    Tulioludia kipande cha chado na kijicho tujuane🎉

  • @MercyAlly
    @MercyAlly Месяц назад

    Yan tuna enjoy sana na chadoo 🎉❤❤ congratulations master

  • @MasauShida
    @MasauShida Месяц назад +2

    Kazi nzuri sana Mr. Chado Masta🇹🇿

  • @ChristinaMakubi
    @ChristinaMakubi Месяц назад +1

    Jaman hii move isiishe maana hata sna bando lazma npate❤

  • @herllizzythaanaplatnumz8154
    @herllizzythaanaplatnumz8154 Месяц назад +15

    Kazi iendelee, nawapenda sana Mozambique

  • @LudeofficialXworldwide
    @LudeofficialXworldwide Месяц назад +1

    DAH cheusi hacha kutufunga kamba bas, ety wazee misumali, Mara eeh misuli, sema nn me ndo I like hyo, unanichekesha Sana cheusi, Mr cheusi media 😂😂😂

  • @hashimsoud1234
    @hashimsoud1234 Месяц назад +3

    Wanaomkubali vedeo queen jojo gonga like hapa

  • @AmisseBuraimoCanamo
    @AmisseBuraimoCanamo Месяц назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉 chado from mozambiq nakupenda bureee brother

  • @mponejajoseph1883
    @mponejajoseph1883 Месяц назад +10

    Cheusi muongo Sana duh!!

  • @SalhaMakame-j5x
    @SalhaMakame-j5x Месяц назад +6

    Mwisho mm nipewe like zangu

  • @DeeDan-sj1mr
    @DeeDan-sj1mr Месяц назад +28

    Wadada wabongo utaskia my naomba hela ya uchaguzi ...mamaee sana

  • @maryritahmkwizu28
    @maryritahmkwizu28 Месяц назад

    Chado hyo kupenda kuuliza umekula ndyo I like ❤❤❤❤

  • @ZainoMussa-ct4qo
    @ZainoMussa-ct4qo Месяц назад +16

    Leo wakwanza from Mozambique 🇲🇿🇲🇿 nnaomba like zangu

  • @MichaelMbaga-id6xp
    @MichaelMbaga-id6xp Месяц назад +2

    Lakini mwambie Najma anapendwa huku From Awasi in KISUMU

  • @AngelEduard-ml2cm
    @AngelEduard-ml2cm Месяц назад +5

    Naishi mtandaoni kusubil hii movie hongeren sana team chado😊😊❤

    • @ahmadikuku5395
      @ahmadikuku5395 Месяц назад

      Kwanini upate shida😂😂😂 fany ku subcribe tu

    • @ahmadikuku5395
      @ahmadikuku5395 Месяц назад

      Kwann upate shida 😂😂 fany ku subscribe tu utashinda kwa amn kabisa

  • @RukiahRukiah2
    @RukiahRukiah2 15 дней назад

    Oyo chado nakukubali mwanangu na kidemjau wako ❤❤❤

  • @SalimKenga-u1s
    @SalimKenga-u1s Месяц назад +10

    Wapi wale wa Mombasa Kenya🇰🇪 ❤

  • @عاملهمنزليه-ي8ض
    @عاملهمنزليه-ي8ض Месяц назад

    Nisalimieny huyo kijicho mwambiy penda san❤❤

  • @yasirabdalla9422
    @yasirabdalla9422 Месяц назад +12

    Jaman bonge hajakimbia na million kumi naona yuko zanzibar anatumbuwa tu😂😅

  • @LJONLINE486
    @LJONLINE486 Месяц назад +5

    Chado muda n mdogo sana jamani tuongezee muda