Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Prophet nimekusikia kwa Mara ya kwanza na upo vzr. Nimekuelewa somo zuri Mno
Prophet nmekupenda mm nmejua ukweli kuanzia Leo ntakua nakufatilia mwenyezi mungu akubarik na kaz yako
Duuhhh dunia nzito hii ,,,nastaajabu Sana
Prophet Mimi naitaji ufungulivu wa family yangu yote tufunguliwe kwakila kitu
Naeza pata number yako mtumishi niko kenya
Amen Profet, je?ukiota unalamba damu ya mtu kidole nae ananyonya yako ya kidole maana yake Nini?profet
Agano
Mimi nimeota natokwa damu sehemu za siri na nimjamzito nikaota mimba imetoka mume wangu alia sana sijui inamaana gani maana mimi ni mjamzito kweli😭sijajua kinachoenda kutokea mbele yangu nabii ni saidie
Me pia nmeota hivyo lkn nilikuwa peke angu chooni inatoka najisafish choo kichafu kinanuka mar Kun kijn akanikut
Mbona ulichokiandika schoo unachokitasfili mtumishi wangu ulisema kuusu ndoto ya kutolewa damu mbona huzungumzii hilo
Daa mi nmeota natokwa damu puani maana yake nn?
Ok