Mungu akimuinua mtu kwenye Maisha familia mnatakiwa kumuombea sana sbb vita yake Huwa ni kubwa sana maana watu kama hawa ni kama mbegu na Mungu huwaweka kwa makusudi maalumu nasema pia kwa niaba ya wengine ombeeni sana hao watu kwenye familia zenu vita zao Huwa ni kubwa na mambi ndio ulinzi wao. Poleni sana kwa familia yote Mungu awafariji aana
Dada acha fikra potofu hamsikii mke kasema alikuwa na uvimbe kwenye ubongo Mimi imetokea bint wa dadangu mdogo tu naye alipata upofu na ulemavu wa miguu kwa sababu ya uvimbe kwenye ubongo
@@arafawilliam2142 daaah mwenyezi mungu atunusuru. Lakini uvimbe huo ulionekana siku chache mpaka kifo. Basi tujiwekee utaratibu wa kuwa tubacheki afya zetu
Mungu awatie nguvu jamani simmjuiuyu victalakini inafatilia Toka mdogo wake akitoa hotiba yakakayake mpk wafanyakazi wenzke marafiki mpk watoto kuimba japo hayupo duniani lakini victer mungu kampa neema kubwa ktk maisha yake aloyaishi na kumjua zaidi mungu nimeimia sana kwamba huu nikimtazama rafiki familia yake nimebaki nalia TU poleni sanawanafamilia mungu awatie nguvu victa yupo mbinguni kwa mungu baba .mwendo kumaliza AMEN ON, 😭😭😭🙏🙏🙏🙏
Waandishi uchwara punguzeni maswali ya kipuuzi "Utakumbuka nn kutoka kwa marehem mume wako" kuna moment ipi utakuwa unaikumbuka kipindi ulikuwa na mume wako" 😂😂 shubamit Yaani mke wa marehem
Hapa kna kitu ci bure mke anahojiwa hata mwili hautetemeki na kama mke ni wa mikoani tyr kashaangshiwa zigo mi nawajua watu wa Musoma hapo ndg wa jamaa hawana mda na wifi yao.
Mungu akimuinua mtu kwenye Maisha familia mnatakiwa kumuombea sana sbb vita yake Huwa ni kubwa sana maana watu kama hawa ni kama mbegu na Mungu huwaweka kwa makusudi maalumu nasema pia kwa niaba ya wengine ombeeni sana hao watu kwenye familia zenu vita zao Huwa ni kubwa na mambi ndio ulinzi wao. Poleni sana kwa familia yote Mungu awafariji aana
Yaan amefariki Bado kijana kweli jaman
Asante Kwa funzo muhimu saana
Asante saana Kwa somo zuri hakika nitaombea ndugu zangu
Yaani hii Dunia bila mungu hutoboi wanadamu wameshakuwa wabaya kabisa
kabisa umenena vita ni kubwa sana twatakiwa kuomba
Poleni sana wanafamilia, jamaa na marafiki. Mwenyez Mungu ampumzishe kwa amani Victor…🙏🏻
Vizuri kweli havidumu. Cha mhimu tudumu ndani ya Yesu
Subhannallah subhannallah hiyo hasada tu ila Allah atawalipa walio mdhurumu nafsi. Mwenyezi mungu halali
Dada acha fikra potofu hamsikii mke kasema alikuwa na uvimbe kwenye ubongo
Mimi imetokea bint wa dadangu mdogo tu naye alipata upofu na ulemavu wa miguu kwa sababu ya uvimbe kwenye ubongo
@@arafawilliam2142 daaah mwenyezi mungu atunusuru. Lakini uvimbe huo ulionekana siku chache mpaka kifo. Basi tujiwekee utaratibu wa kuwa tubacheki afya zetu
Bwana ametoa Bwana ametwaa jina la Bwana liimidiwe Amina 🙏Poleni sana💔
Salimu na victor walikuwa wanapenda sana hata salimu alivyotangulia victor aliumia sana
R.I.P VICTOR
Kisasi ni juu ya Mungu, atalipa tu hata waliomfanyia mabaya hawatakaa kwa amani.
Kwa ni wamempa sumu humo Botswana au imekuwaje? Nasikia moyo unaniuma ingawa sisafahamu mmmh
Pole sana kipenzi Mungu akupe faraja ya kweli kabisamaumivu ya kuondokewa na Mume nayajua😢😢
Poleni sana Mungu atawapa nguvu
Dah pole sana totooo jamani Victor was so loving
Mungu awatie nguvu jamani simmjuiuyu victalakini inafatilia Toka mdogo wake akitoa hotiba yakakayake mpk wafanyakazi wenzke marafiki mpk watoto kuimba japo hayupo duniani lakini victer mungu kampa neema kubwa ktk maisha yake aloyaishi na kumjua zaidi mungu nimeimia sana kwamba huu nikimtazama rafiki familia yake nimebaki nalia TU poleni sanawanafamilia mungu awatie nguvu victa yupo mbinguni kwa mungu baba .mwendo kumaliza AMEN ON, 😭😭😭🙏🙏🙏🙏
Mh mungu yupo
Pole sana shemeji yetu
Ss ndio waafrica bwana ukipata mafanikio kidogo unatupiwa kitu 😢
Mmmh mbona ujasiri umezidi? Jamani!!!
Poleni sana kwa Msiba huu mzito Mungu awatie nguvu
Pole Dada Mungu atakufariji.
Polen sana wafiwa siku zote chema hakidumu!
Rest in peace Victor it's very young 😢
Waandishi uchwara punguzeni maswali ya kipuuzi
"Utakumbuka nn kutoka kwa marehem mume wako" kuna moment ipi utakuwa unaikumbuka kipindi ulikuwa na mume wako" 😂😂 shubamit
Yaani mke wa marehem
Kikumbwa kumshika yesu maana hatujui sku yakutwaliwa
Polesana kupoteza mume inauma
Poleni sana mama na watoto. Mungu ampokee na amlaze mahali pema peponi 😢😭😭😭🙏🙏🙏
Pole sana😂
Huyo kapigwa mdudu huyo
Kbsaa na hiyo nafasi cjui Kwa nini , maana hata hapa Manyoni alikuwepo mtu ktk hiyo nafasi ila alikufa ktk mazingira yasioeleweka
Poleni saan inauma
Nafasi nafasi imepiganiwa mpk tone la damu je atadumu hapo
Chini ya jua bila chanzo cha mema na mazuri hatutoboi, kwakweli tumfuste yeye.
Lambuda ilikua sumu anayajua mungu 😢😢😢😢😢
Apo umenena
Victot ni nani kwani
Pole mamii
😢😢😢😢😢da!
RIP Victor ….
Chema hakidumu!
POLE DADA ANGU NA FAMILIA kwa ujumla MUNGU AWAINUE
😢😢😢
Hapa kna kitu ci bure mke anahojiwa hata mwili hautetemeki na kama mke ni wa mikoani tyr kashaangshiwa zigo mi nawajua watu wa Musoma hapo ndg wa jamaa hawana mda na wifi yao.
Uchawi huo uchawi upo kaka jini hill
Musoma mmmhhh tema mate umeze wakwaya ni wachawi wamemroga aiseee
Atamkumbuka kwavyote
Postmortem report inasemaje?
Waswahili wanarogana ili wapate vyeo
Sure
Unacheka
Pole sana kipenzi Mungu akupe faraja ya kweli kabisamaumivu ya kuondokewa na Mume nayajua😢😢