Dah! Support yenu ni kubwa sana, Nawashukuru sana! Niambie, umependa nini kwenye huu wimbo. Nasoma comments na nitajibu Usisahau kuLike, Comment, Subscribe na kushare. Follow me on Instagram instagram.com/buki_tz?igsh=MThvYW9kaGQ4emtydQ== Tiktok www.tiktok.com/@buki_tz?_t=8nDlB9Df2Q9&_r=1
Buki tz nakukumbali kwa nyimbo zako waniosha, kila nikisikiliza nasikia nafsi yangu niko peponi ❤❤❤❤ kwaushahuri wangu usindaganywe na lebo yoyote kama WCB, king music 🎶 🎵 ar Kode geng tayari ulisha jipata God bless you everything ❤❤❤❤❤❤❤
Verse ya kwanza kali sanaa mungu aliumba mabalamwezi kwenye giza lituanagaze akumba jua akumba miti maneno makali melody kali sanaa kazi imeshiba mwanangu
Unaujua vyema muziki, unaandika sana, melody nzuri, sauti inakubali keys zote, i wish you all the best, baada ya miaka miwili uwe ni miongoni mwa top 5 artist TZ
0:40 Ikitokea moyo wangu haudundi ... Nakupa Wangu.... Maana yake ntakufa Kwa ajili Yako ,,, hiii Ngoma Kali sana kaka Napenda sikia kazi Zako mungu akuongoze ufikie malengo🎉🎉🎉🎉 fighting
Buki tz kk ongera😍 yan hii ngoma imechorwa na imechorek na mashair yak ndan ni yakitofaut kabis hii ndo ngoma watu tunakuwa tunazimis ni nadr San kwa nyimb hiz hasa kwa wakat wa amapian👉HIT SONG🔥
Dah! Support yenu ni kubwa sana, Nawashukuru sana!
Niambie, umependa nini kwenye huu wimbo. Nasoma comments na nitajibu
Usisahau kuLike, Comment, Subscribe na kushare.
Follow me on Instagram
instagram.com/buki_tz?igsh=MThvYW9kaGQ4emtydQ==
Tiktok
www.tiktok.com/@buki_tz?_t=8nDlB9Df2Q9&_r=1
Daaah @buki_tz 💥💥💥💥
Daaaah we buki sasa umezidi kutoa ngoma kaliiiii
Mashairi kaka matam sana
Congratulations blood yang ❤❤❤
Broo ume uwa sana mwamba uko juuu miaka mia nane ✅👍🏽✔️✔️👍🏽
Hii talented ilitakiwa iwepo wasafi angezidi kua mbali zaidi mafanikio makubwa dhidi yake dahh unajua Sana buki
Buki your the best singer kwa nyimbo za mapenzi mkimbize Jaymelody
Buki tz nakukumbali kwa nyimbo zako waniosha, kila nikisikiliza nasikia nafsi yangu niko peponi ❤❤❤❤ kwaushahuri wangu usindaganywe na lebo yoyote kama WCB, king music 🎶 🎵 ar Kode geng tayari ulisha jipata God bless you everything ❤❤❤❤❤❤❤
Love from 🇰🇪.. keep it up the sky is the limit
Mwanangu weeeehh ushajipata tayari hakuna cha kwenda wasafi wala nn utapoteza mashabiki si unajuwa kuna mboso pale tulia kaka💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥
Buki noma sanaaa mwanangu hongera sanaa kaz ya moto hiyo
Ahh mistali kama ya mbosso ahhh mapenzi haya❤❤❤
Ngoma ni Kali kakaa. Imejaa ipo full package. Hiki ni chakula cha uongo. God bless you bro
Uko vizuri kaka yaani nmeiskiza zaidi ya mia moja❤❤❤❤
buki uko juuuu miaka mia nane 🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲 tuko La na twakwelewa sana
Verse ya kwanza kali sanaa mungu aliumba mabalamwezi kwenye giza lituanagaze akumba jua akumba miti maneno makali melody kali sanaa kazi imeshiba mwanangu
Huyu jamaa nimemsikia jana kweny mov leo nimesikiliza nyibo zake zote kali 🎉🎉GOOD BRO
Anaujua huyu mwamba🎉🎉
Asiyeelewa asielewe tuu but #Buki uko juu tuu sana. Ngoma zako zimetulia na kwa hii ndio umeua kabisa,,, 1 ❤ from 🇰🇪, big up bro
Hakuyaumba machozi alimradhi mibnawe tulizane whaaaaat!❤❤❤❤
Hii noma sana🔥🔥🔥💪
Big up bro... Hili goma nilikuwa nalisubiria mda kweli
B- ongo hits
U-ndisputed
Ki-ng
Wewe ni chuo cha Sanaa ya tz. najua unawafunza kuimba watu wa fire fire fire fire
Tunakusikia sana msa kenya usibadilishe style hio hio brother buki
mashallah mungu akuzidishie ufike mbali zaid ya hapa buki_ tz😍
Mwanangu ❤
Fundi kama fundi buki 🙌 🔥💐
Buki uwaga nakukubalig sana kaka ila uwa unakawiya kutoa ngoma mpy kwann❤❤
Wa motooooooo sanaaa🎉🎉🎉
wimbo mzuri mno ❤❤
All the from 254 KENYA..Mwana anaujua sanaa InshaAllah may Allah protect you kwa Safari yako Buki...UTUNZI WAKO UKO SHWARI KABISA
Hongera sana njimbo ninzuri aana
Nilianza kukufuatilia kwny sound effect ya Kivyere had sasa ww ndo msanii wng bora, unajua kaka
Allah akufanyie wepes bro
Buki si my favorite singer Broo keep it up yes you can🎉❤bro unamfunika kaka yako mbosso kwenye moment of love song❤Mziki wetu halisi ndio huo uko 🔥
Kwenye pita zangu nikasikia huu wimbo jamn something nice
Gud music my brother ❤
Hapo kwenye peponi kumfata motoni mmmh kwangu ngumu weeeeeeh chezea moto ww
Nimecheka saan 😂😂
@@Slama-jg9wn
Kwani uongo
😂😂😂😂😂😂mfate bana
@@ashaaliameir2271
aaawee mm yananitoaha
Hapo ndio kakosea sasa
Sio poa huu wimbo Dah! 😮😮❤❤
It is really nice song ❤
umetisha sana mzee inatakiwa ufanye limix moja na mboso
♥♥♥ unatisha sana bro
Napenda sanah unachofanya mdogo wangu pokea maua yako unajua kuimba na misitari imenyooka
Duh nice mwanangu
Waooooooooh nmeisubr sana I like it
Buki your so talented Shah Rukh Khan wa Bongo
❤verry song my brother
Kipaji kikubwa sanaa naamini uwekezaji tuu utakua zaidi ya apo
Unaujua vyema muziki, unaandika sana, melody nzuri, sauti inakubali keys zote, i wish you all the best, baada ya miaka miwili uwe ni miongoni mwa top 5 artist TZ
Nomaaaa kaka
Mashaallah unaweza ndugu Yan unanikosha kwanyimbo zako nainjoi
Kwakwer
Buki unajua san
#ngoma Kali sana
Nyc song 🔥🔥
Dah acha nta tumtumiya mtoto wa mama mkwee❤❤❤❤
I'm your big fan bro na napenda sana tungo zako I'm an artist pia naombaga sana one day tumeet tufanye kitu
huna mpinzani bro🎉
Kubwa 👑
Another one 🔥🔥🔥🔥
Mashallah kwa song
Baba umeuwaaa🔥🔥
bongofleva for ever❤❤❤ viva buki viva❤❤❤🎉🎉🎉
Aaaawwww😢 nice buki welcome kenya😊
Nakukubali sana kamkubwa
Mimi naisikiliza mar kwa mara kitu waah❤❤
Nilisema sipendi tena mbona napenda jaman uwiiiiiiii🌹🌹🫀🫀🫀
Buki wa Kivyele anajua mpk anajua tena
0:40 Ikitokea moyo wangu haudundi ... Nakupa Wangu.... Maana yake ntakufa Kwa ajili Yako ,,, hiii Ngoma Kali sana kaka Napenda sikia kazi Zako mungu akuongoze ufikie malengo🎉🎉🎉🎉 fighting
Chorus imetulia sana
Unajuaaa
Good music 👍
Umetisha
mashairi umeyapanga mzee
Top 🙌🏻
Ubunifu Mashallah 👌
Bukiiiiii 🔥🔥
Oyaaaaaaa
Hahaha kali sana idea ya wimbo
From kenya 001 much love
❤ hot ....
Buki tz kk ongera😍 yan hii ngoma imechorwa na imechorek na mashair yak ndan ni yakitofaut kabis hii ndo ngoma watu tunakuwa tunazimis ni nadr San kwa nyimb hiz hasa kwa wakat wa amapian👉HIT SONG🔥
Buki 🔥🔥🔥
Ukiliacha gubu wivu ndo udhaifu wake, amenikataza mazoea na jinsia yake♥️♥️ aisee umelia San hapo nimeipenda😍
Kama umeiskiza zaidi ya mara tatu tujuane❤❤❤
J'adore cette chanson wallah tu chante bien machaallah ❤❤❤❤❤❤
Hujawahi kuzngua kabisa mwananguu. #Ikitokea
Njema sana hiii
Imeweza❤ ujumbe umefika
Yani yoyote mwaona hawe wasafi...usikubali Buki pambana wasafi wabaya bro
Umetsha mzey 👊👊👊
❤❤❤❤😂kabla hujanipa utaamu naomba umtumie meseji ajue umenikataza mazoea na maEx🎉🎉🎉🎉🎉 much luv kwa buki kma umependa gonga like ukisonga
Umeweza🎉🎉
Hii noma sana ❤
I love your music very much ,, From Kenya
Yaaan ni 🔥🔥 keep going Buki
Yamoto my gee💥💥
Ngoma imejipangilia kila kitu
Hapoo mwenge whistling mluzii ...😊
Umeuwa sana ❤❤❤❤❤
Umeuwa sana
Kaka unajua sana 🤝🤝🤝
kama unamkubali buki gonga like hapa👇
Kaka ckupingi umefanya kaz ambayo imetawala mashabiki zako m shabiki yako nasema kaka fika mbali tuone mengi
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
😂😂😂kubabekiii huyuu bukii kaa Jiniii u kill ankoL
Nikimpata mungwana anayenijaali mapenzi yangu dhamana siezi cheat❤safi
Buki hili Goma lina balaa