I was in secondary school and we didn't know any other great song than this one. Singing it in the morning service and later in the afternoon. Great memories for me.
naupenda sana huu wimbo, uikuwa ukipigwa kila jumapili saa nne usiku kwenye kipindi kimoja hivi, nabarikiwa sana! pleas upload na ule wimbo wa dunia imeisha
@@sharimartin_rafikipesa4629 Kwa kweli nyimbo zako za zamani zinanikumbusha mbali. Kama kuna namna naweza kupata nyimbo zako hasa album ya Tangazo la Ajabu na ile ya Christmas nitafurahi sana, hata kama ni kwa kuzilipia
@@robertelias4944 Yes! Na pastor PIUS MUIRU wa maximum miracle center " gone are the days" na hapa ndio nakumbuka na kupata maana ya wimbo wa Shari Martins, ule " I am going back to my home town church"
Aaa super, sung for God's glory , to spread the Gospel of Jesus Christ....sure talent . God Bless you servant of the Most High . Nikubalie niweke nyimbo zako kwa channel yangu pls .
Wow......Great memories.
In my teenage i used to listen this song in a program aired by KBC with the late Gladys Adisa Erude..salamu za majeshi and lala salama 10pm
The programme was " Baraka za bwana" by Gladys Adisa Erude
Oh hallelujah barikiwa Sana muinjilisti Shari martin nakusikia hapa Tanzania Dar es salaam. Tuchezee na ule wimbo wa Tamasha
Mid 90s when fear used to rule my Life. Fear of death fear of failure fear fear Allover I used to listen to this beautiful song.Rip bro Shari martin
RIP Shari Martin
UBARIKIWE SANA NIKO DAR ES SAAM TANZANIA HUU WIMBO NINAUPENDA SANA NA ULE WA JINA LA YESU LIBARIKIWE
Barikiwa sana pia Livingstone,wacha tueneze injiri kupitia uimbaji
It reminds of those days I used to in Kenya, Ntimaru, Kurya district by then. God is good.
So njce
I was in secondary school and we didn't know any other great song than this one. Singing it in the morning service and later in the afternoon. Great memories for me.
i love your songs.i was in college when this song was released.evergreen.it reminds me many things back then as a young believer.God bless you bro.
Amen,bkessings
Many yrs ago during my youth. Reminds me of Gladys Erude of KBC. This used to be my lullaby
Good memories, its a blessing
It was signature tune of baraka za bwana
Huu wimbo hunibariki zaidi Nitafutie Anaita yesu Tafadhali
It's on the way.
Nimefurahi sana kusikia tena huu wimbo. Asante sana brother Martin.
Mungu nisaidie nikupende
Great song! Memories! Looking for the song 'Natangaza hadharani wokovu uko.'
Ooh barikiwa Sana Mtu wa Mungu Shari Martin napenda nyimbo hizi kitambo kwel
amina
A favorite of all times It is FOAT
Amen
Gladys erude lazima angecheza huo Wimbo usiku jumapili .Good one
I remember waiting for that programme, baraka za bwana
Nice song
naskia kulia... nakumbuka mbali sana..........
Memories are made of this.
Naupenda huu wimbo Mungu asante.
Nachoweza kusema ni Mungu akubariki sana
Amina,barikiwa pia kaka Job
Amina,barikiwa pia kaka Job
naupenda sana huu wimbo, uikuwa ukipigwa kila jumapili saa nne usiku kwenye kipindi kimoja hivi, nabarikiwa sana! pleas upload na ule wimbo wa dunia imeisha
Amina,utaupata tu naedelea kuapload hizo nyimbo za zamani
Ni kweli kabisa. Saa 4 usiku
@@sharimartin_rafikipesa4629 Kwa kweli nyimbo zako za zamani zinanikumbusha mbali. Kama kuna namna naweza kupata nyimbo zako hasa album ya Tangazo la Ajabu na ile ya Christmas nitafurahi sana, hata kama ni kwa kuzilipia
Kipindi cha kuna Nuru gizani kila jumapili usiku kBC redio ya kale ni dhahabu
@@robertelias4944 Yes! Na pastor PIUS MUIRU wa maximum miracle center " gone are the days" na hapa ndio nakumbuka na kupata maana ya wimbo wa Shari Martins, ule " I am going back to my home town church"
.memories of close to 30 years back
God is good always,
Surely, we are aging with grace!
My prayer today is that I love you truly Lord Jesus ❤
Blessings my brother 🙏
Blessings too my sis Sally
@@sharimartin_rafikipesa4629 Amen
Thanks a lot for sharing. God bless you. 🙏🙏
Amen
Kwa kweli mungu wa upendo Ni msingi wa baraka nimepitia magumu lakini hata kwenye shida naendelea kukupenda mungu wangu🙏
Aaa super, sung for God's glory , to spread the Gospel of Jesus Christ....sure talent . God Bless you servant of the Most High . Nikubalie niweke nyimbo zako kwa channel yangu pls .
Amen,pole nyimbo huwezi weka coz the manager amezilock,for a reason
@@sharimartin_rafikipesa4629 Okay thanks. We are blessed.
What a inspiring melodies & word...