Sub-haanallaah Yaani kiukweri mashekh wa kisalafi wapo makini Yaani shub-ha ikijitokeza kidogo teari ishajurikana na inatahadharisha Allah awabaarik ktkn na juhudi zao
Kama kutakuwa na ukweli wa kuyasapoti au kuyapinga maulid sheikh sudes nyinyi mulioleta ligi hii tunakuombeni mutuletee na kutuwekea mkanda wote pasi na kuukata kata vipandevipande kama munataka kweli ya m/mungu na Kama hamtaki nyinyi mtakuwa mpo kwa lengo LA kuwagawa waislamu
Bila kujali upande, MASHEKHE zetu tukiendelea kwa utaratibu huu was Sasa, ya RADDI, kusubiri kila misimu ya marukio tunayotafautiana ili kuanza kushambuliana Kama mnavyofanya, basi hapo tujue TU ukweli kwamba hatupigi hatua kupeleka uislam mbele, na Kama hatutaki kubadilisha Hilo, tujue TU kwamba tunapiga mark time.
mashekhe badala ya kufocus na mafundisho ya msingi katika jamii wamekazana na kuksoana wao kwa wao na kufanya umma wetu unakua na migawanyiko ....mbona wakati wa maimaamu tofauti zilikuwepo lakini hawakukoseana adabu kama mnavyo fanya nyinyi ...hio ndio hasara ya kupata elimu pa si nakujua adabu na hekima za elimu uliyo nayo ......ndio maana kuna kauli inasema ukisoma sana kama huna adabu na malezi bora ya kiislam bhas elimu hiyo hiyo itachukua nafasi kubwa kudhihirisha ujinga ulio nao
Wewe mambo ya msingi niyapi unayo taka Masheikh wa focus nayo? Kipindi cha maimamu tofauti zilikua za kifiqii sio akida, alafu wao walikua wanatofautiana ila walikua awazui wala kutetea bidaaa. Sasa maulid yana tofautiana na nini na asili yake na wapi na hao maimamu ulio wataja wao wana lijua hili la maulidi kwa. Sura gani! Kuna ata mmoja aliwai kusema maulidi sio bidaaa, wewe unatakia kuwauliza hao wazushi hili swala la baulid wa wamelichukua kutoka kwa nani?
@@mohdkhatib223ingia kwenye klip yake nzima isikilize utaelewa achana na hizo programu za kusikiliza kipande kisha inatafsiriwa uongo na nyie mna amini nawaambieni akuwekeeni klip nzima kisha awatafsirie
Mie naona ujinga miongoni umetamalaki sasa iwe ndio nn kila mmoja ataondoka na amali zake yy ni kama yy.tafuteni wakirito mualinganie si kuumega na kujiona kundi hili bora kuliko jengine tjnaweza kuishia Maputo na wala hayo makundi yasitusaidiye mtume hakuwahi kujinasibisha na kundi na alikuwa anawalingania watu nauchamungu kwann tusiige hayo
حفظه الله تعال و رعاه
Sub-haanallaah
Yaani kiukweri mashekh wa kisalafi wapo makini
Yaani shub-ha ikijitokeza kidogo teari ishajurikana na inatahadharisha
Allah awabaarik ktkn na juhudi zao
Amin
Jazakallahu khayra
Baarakallahu fiykum
Allah awahifadh kwa kazi nzuriiiii
Jazakallahu khaira
Jazaqallah kheyr kwa kubainisha uongo
BaarakaLLāhu fiikum
Kazi ya Wazushi Ni Kuzua
Kama kutakuwa na ukweli wa kuyasapoti au kuyapinga maulid sheikh sudes nyinyi mulioleta ligi hii tunakuombeni mutuletee na kutuwekea mkanda wote pasi na kuukata kata vipandevipande kama munataka kweli ya m/mungu na Kama hamtaki nyinyi mtakuwa mpo kwa lengo LA kuwagawa waislamu
Bila kujali upande, MASHEKHE zetu tukiendelea kwa utaratibu huu was Sasa, ya RADDI, kusubiri kila misimu ya marukio tunayotafautiana ili kuanza kushambuliana Kama mnavyofanya, basi hapo tujue TU ukweli kwamba hatupigi hatua kupeleka uislam mbele, na Kama hatutaki kubadilisha Hilo, tujue TU kwamba tunapiga mark time.
wote hawana adabu
mashekhe badala ya kufocus na mafundisho ya msingi katika jamii wamekazana na kuksoana wao kwa wao na kufanya umma wetu unakua na migawanyiko ....mbona wakati wa maimaamu tofauti zilikuwepo lakini hawakukoseana adabu kama mnavyo fanya nyinyi ...hio ndio hasara ya kupata elimu pa si nakujua adabu na hekima za elimu uliyo nayo
......ndio maana kuna kauli inasema ukisoma sana kama huna adabu na malezi bora ya kiislam bhas elimu hiyo hiyo itachukua nafasi kubwa kudhihirisha ujinga ulio nao
Wewe mambo ya msingi niyapi unayo taka Masheikh wa focus nayo? Kipindi cha maimamu tofauti zilikua za kifiqii sio akida, alafu wao walikua wanatofautiana ila walikua awazui wala kutetea bidaaa. Sasa maulid yana tofautiana na nini na asili yake na wapi na hao maimamu ulio wataja wao wana lijua hili la maulidi kwa. Sura gani! Kuna ata mmoja aliwai kusema maulidi sio bidaaa, wewe unatakia kuwauliza hao wazushi hili swala la baulid wa wamelichukua kutoka kwa nani?
Wapumbavu wa kisufi baada ya kukosa dalili kwenye Quran na Sunnah wameanza kuwasingizia uongo masheikh wakubwa.
Kama hao mnaosema waongo basi tuwekeeni hiyo clip ambayo haija katwa ili tujue mkweli nani muongo nani sio mnatuhumu tu
Sio laita akhy ni laysa ليس وما هي بليت
Yaweke maskio yako vizuri,hiyo sio
ليس
Ni
ليت
Mmmm
Akh hujasikia vizuri
Baarakallah fiikum sahihi ni layta
Nakama kaunga mkono kunashida gani au kama hakuunga mkono kunatatizo gani nyie bakini na msimamo wenu na wanao fanya maulid acha wafanye malumbano yann
channel potofu
Sio وليت bali ni وليس
Ni hivyo hivyo ليت ustadhi.
Sikiliza zaidi.
Baaraka llaahu fiyka.
Sikiliza vizuri akhy
Naam naam sahihi ni وليت nimetabayyan baaraka llah fikum
Nyie ndo waongo rusheni klip nzima ya shekhe ndo tutajua nyie niwakweli
Watu waongo ni mashia na punda wa mashia ambao ni masufi.
Wewe uliwahi kumuona Sheikh Sudeis akisheherekea uzushi wa maulid?
Unaposema sisi waongo thibitisha uongo upowapi kama tulivyothibitisha uongo wenu waziwazi
@@mohdkhatib223ingia kwenye klip yake nzima isikilize utaelewa achana na hizo programu za kusikiliza kipande kisha inatafsiriwa uongo na nyie mna amini nawaambieni akuwekeeni klip nzima kisha awatafsirie
Subutu wana wezaje KURUSHA YOTE WAUMBUKE😂😂