MTOTO WA MAJUTO: "Maiti ya mzee ipo ndani mama hali chakula cha msiba, ananunua nyumba ya tatu"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 271

  • @zaynsalma3466
    @zaynsalma3466 6 лет назад +2

    Sina lakusema ila nasom comment but family zina meng siwez sema kitu maan bado namuezi Baba King Majuto R.I.P father🙏🙏🙏

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 лет назад +3

    Uyu Bro anajua kujieleza, Mashallah, Mzee majuto mtupu uyu brother.

  • @aibonkinya2817
    @aibonkinya2817 6 лет назад +1

    Ndugu umeongea vema sana love u.watoto wa mzee majuto asiweko atammoja wakuwa tenganisha

  • @tinasanta4080
    @tinasanta4080 6 лет назад +16

    Waaa hapa kuna maneno kweli,Mungu ndiye anaye ijua siri hii kubwa

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 6 лет назад +1

    Jmn nashukuru Ayo TV mmetafuta upande wa 2 tulinganishe maneno, maana ni vzr kubalance wote wawili.

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 6 лет назад +3

    Poleni sana Kazi ya mungu haina makosa, Na Kama unayo ongea ni kweli ok muishi vizuri na huyo mama.vutavuta ina sifa mbaya.

  • @kojckkojckmudy4199
    @kojckkojckmudy4199 6 лет назад +2

    mzee wetu alikua mtu wabusara hakupenda yajeyotokee hayaaa

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 6 лет назад

    Amen Amen. Ukiwa mkubwa unganisha familia. Na epukaneni na maneno ya mitandaoni. Barikiwa.

  • @elizabethmwandu9899
    @elizabethmwandu9899 6 лет назад +3

    Yeye alisema hakufukuzwa isipokuwa alisema yeye aliona akakae eda nyumbani kwao kwenye huduma nzuri. Halafu huyu kijana mkubwa anafanana na Majuto kweli. Jamani kaeni muelewane mali, nyumba, magari vyote vinapita. Hongera Mohamed umeongea point sana.

  • @maryamammar1702
    @maryamammar1702 6 лет назад

    Millard Ayo yaani nyie wanapenda maana hufuata ukweli hata uwe mbali kiasi gani 😍😍😍Inna lillah Wainna Ilaihi Rajiun

  • @shukurudavid4369
    @shukurudavid4369 6 лет назад +1

    Daaaaaaa, hapo mwjifunza sasa. wabongo tujitahid kusiia pande zote mbili, this conversation it balance issue na kama uko curious utakuwa unejinza kitu.

  • @josephhaule415
    @josephhaule415 6 лет назад

    Ninyi wakubwa sasa mtumie HEKIMA huku mkitambua huyo ni Mama yenu na mjitahidi kuyamaliza nje ya media, na mtambue mnadharirisha familia nzima kuyaanika mambo ya familia. Asante

  • @koja_26
    @koja_26 6 лет назад

    Dooh ....polen Jaman Mwachen King Apumzike😭

  • @edrickelias365
    @edrickelias365 6 лет назад +3

    Si kila kitu ni habari....habari zipo nyingi nyingn za familia za watu si vzr mkazifuatilia...

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 6 лет назад +1

    Waswahili wanasema ukiona mwenzio ananyolewa, ww tia maji. Wanawake na wanaume tusomeni dini yetu sana, haijalishi mpo wake wangapi au watoto wangapi. Km elm ya dini ingekuepo nyoyo zingejaa khofu, na zingekua zinamfikiria zaidi mzee wao au mume wao huko alipo na sio mali.

  • @ziakaitala6465
    @ziakaitala6465 6 лет назад +1

    Kiukweli mtu akifa maskin changamoto hzi huwez kuziona ila ukiwa na kitu mambo yanakuwa kama hv tena mtu mwenye mali akiwa anaumwa tu ndugu wapumbavu wanafurah na kufanya jitihada ufe ili wajimilikishe mali, ikitokea family yenye urithi asipokuwepo mojawapo akawa na busara lazima wauane kweli kweli, kama madibiraa

  • @omarionsaid9356
    @omarionsaid9356 6 лет назад +1

    Ipo waz kabisa kua mrs majuto anazingua sana na tokea enz za uhai wa mzee majuto huyo mama anazingua anawatenga watoto wasio wake..me naifaham vzr hyo familia ni jiran wa karb sana..

  • @sophiamose1328
    @sophiamose1328 6 лет назад +2

    Huyo mwanamke anaonekana Nimnafiki na mungu Atamuaibisha atakosa Pa kuangalia

  • @fatumaally3266
    @fatumaally3266 6 лет назад +19

    Mhhh mke wamajuto anaanza vurugu mtihan mkubwa mungu awa simamie huyo mama kivuruge

    • @fetyykisabo4747
      @fetyykisabo4747 6 лет назад

      Fatuma Ally wewe unawajua watoto wa mume au

  • @winjanuary7632
    @winjanuary7632 6 лет назад

    #Vido Vidox sante kwa tarifa nzur..pole kwao kwakuondokewa na mzee wetu tunamwombea sana

  • @khamiskhamis5323
    @khamiskhamis5323 6 лет назад

    Dahh Subhannallah poleni sn jaman,,uwo nimtihan kwenu Sasa naanza kupata picha,,,

  • @saidasaida9158
    @saidasaida9158 5 лет назад

    Mama anamatatizo sana kukosa kula chakula cha ndani kwake anapikiwa na majilani nikosa sana basi ma akosei lakini mungu ndiyo anajuwa

  • @amanijolam4140
    @amanijolam4140 6 лет назад +35

    jamaa anajua kujieleza safi sana anasema kweli

    • @mariamushaban6157
      @mariamushaban6157 6 лет назад

      Amani Jolam au ...powa niad

    • @leokamil2075
      @leokamil2075 6 лет назад

      Kweli sisi binaadam tunajua kulaumu wtt sana.Sisi wenyewe baada ya Baba yetu kufariki Mama wa kufikia katuambia mpaka makaburi yaani tusikanyage Kwenye nyumba alioacha Baba yetu.

  • @hechihechie5558
    @hechihechie5558 6 лет назад +37

    Ukifiwa na Mume unakuwa huna nguvu unachoka mpaka akili,huyu mama watoto wake ni wadogo hakupata mtu Wa kumjali km kala au hajala,watu Wa lipoona chakula cha wote kitachelewa na hakuna utaratibu Wa kumpikia ndio wakajitolea wenyewe wakampikia chakula walichoona ataweza kula na kwa wakati ..sasa hilo lisiwe tatizo LA kuona kajitenga.watoto Wa kubwa pia sio rahisi wangekumbuka habari ya Huyo mama kula.haifai kulazimisha wasikie uzito km ambavyo wangesikia kwa mama aliyewazaa.cha msingi ni kuwekana sawa na kila mtu apate haki yake upendo uwepo na maisha yaendelee .Naomba mjane ahurumiwe na apewe faraja jamani ni kazi ngumu kuwa mjane.Mungu msaidie huyu mjane apate Amani

  • @azzakhamiz3858
    @azzakhamiz3858 6 лет назад

    Hongera kaka kwa maneno yenye busara

  • @munaseif9769
    @munaseif9769 6 лет назад +6

    pole kaka umeongea vizuli tu na wew mkbwa kuwa makini usiwe na hasila sana

  • @scheffertomar2069
    @scheffertomar2069 6 лет назад +2

    Kweli kama ... lakini mama akosei ata akisema uongo ni Mama, akiwa mwizi ni Mama. Mupendaneni na mushikaneni . Tamaa ya vitu vya dunia ni mapito tu. Baba yenu ameviwacha na nyunyi mutaviwacha . Umoja ni nguvu. Mfurahisheni marehemu huko aliko koka.

  • @yusuphhatibu9742
    @yusuphhatibu9742 6 лет назад +67

    Uko ni kumfedhehesh mait ata arobain bad kunakuwa na migongano haistail kabisa yan nalaan migongano iyooo kama upo pamoja nami gonga like

    • @umturki5093
      @umturki5093 6 лет назад

      Yusuph Hatibu bibi mtu mzima kukosa kukaa ukajistiri eda ni ktu cha stara mwanamke umiparama unasema mbele ya media upuzi mtupu ma baba yko mtu mzima anasema uongo eti hawajapewa chakula msibani kwanza msiba gani watu hawapewi chakula ww kizuka kma ham yako pesa alozitafuta kaondoka na ww kama unajitaftiya kipato kutokana na media bs umishatia dosari tena mm ni mwanamke lkn nakwambia jitu zima ovyo na pumbavu na eda itakudhuru na mkuli. Wa king majuto utakusimamia

    • @maryamdounga2290
      @maryamdounga2290 6 лет назад

      @@umturki5093 nakwl yule mwanamke niwaajabu subhanallah Allah atunusuru hatumteti lakin alikosea sana

    • @silivestalusangija1658
      @silivestalusangija1658 6 лет назад

      Huyo mama msenge sana

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 6 лет назад +1

    Huo ni mtihani mgumu saana..
    Na mimi nimeupitia.. Inasikitisha sana kuona Mali za urithi kuleta mifarakano..

  • @ngemabohero2853
    @ngemabohero2853 6 лет назад +2

    apo atujui nani mkweli nan muongo sababu kimtazamo wangu kizuka awezi kuwa na nguvu pia umati wa watu iko chakula kinanunuliwa wapi duh familia zinasiri yake.

  • @victoriachesco35
    @victoriachesco35 6 лет назад +15

    Huyo mama anaonekna ana tamaa ya mali tu na anajihami mapema kwa kuhic atapokonywa

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 6 лет назад

    Hapa Millard umepata MTANGAZAJI. Nicee choice.

  • @frankjully5457
    @frankjully5457 6 лет назад +24

    huyu Jamaa aliyevaa Shati jeupe kweli ni mtoto Wa mzee majuto wamefanana

  • @beautywithnay5974
    @beautywithnay5974 6 лет назад

    Uyo mama sio mtu mzuri watoto wanaongea kwauchungu jmn pole sana

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 6 лет назад +1

    Hapo kwa kula kando maiti ikondan alifanya vibaya mama Kanawa nao

  • @eileenremmy8576
    @eileenremmy8576 6 лет назад +38

    Dooo anafanana na baba yake rest in peace king majuto

    • @dakotalayne7717
      @dakotalayne7717 3 года назад

      I guess Im kind of randomly asking but does anyone know a good site to stream newly released series online ?

    • @rowandante7414
      @rowandante7414 3 года назад

      @Dakota Layne flixportal :)

    • @dakotalayne7717
      @dakotalayne7717 3 года назад

      @Rowan Dante thank you, signed up and it seems to work :D I appreciate it!!

    • @rowandante7414
      @rowandante7414 3 года назад

      @Dakota Layne No problem xD

  • @asuntaasunta4204
    @asuntaasunta4204 6 лет назад

    poleni sana anafikiliya ulisi

  • @najmamakame9881
    @najmamakame9881 6 лет назад +4

    Wallah huyu mama alitaka pesa za wananchii na anaagenda mbaya juu yenu huyu mama Allah awasimamie nilisema Mimi anaonyesha kabisa mtu sie afu anapenda sana pesa duh

  • @ummali7942
    @ummali7942 6 лет назад +1

    Huyu mama Alikuwa Anataka pesa Na mungu Atamfedheheshaa

  • @munakassim3521
    @munakassim3521 6 лет назад +2

    Huyu mama hajafanya vizuri kabisa. Anatamaa ya mali

  • @هلااهليني
    @هلااهليني 6 лет назад +1

    Jamani eeee kila muamba ngoma ngozi uvutia kwake jamani tumuelewe nani yule mama nae anaonekana kwer muongo ata kama kwer kafukuzwa ni jambo la ki familia wangekaa chini wajiulize wapi wamekoseana wakae chini yaishe sasa kitugani kilichomfanya yule mama kujitangaza mbele ya kamera

  • @saadsalum3253
    @saadsalum3253 6 лет назад +18

    hakika unamaneno yalio sahihi na mazima yeye mwenyewe ndio mbinafsi dahhhh au anatamaa zamali nini huyo mama

    • @hassanirajabu9191
      @hassanirajabu9191 6 лет назад

      saad salum Hapana msimuhukumu wakati kuna makosa yalifanyika mapema kabla kuzika chamsingi ni kuirudisha familia mahali pamoja kurekebisha palipokosewa maisha yaendelee.

  • @nkatakulimamkuwa4872
    @nkatakulimamkuwa4872 6 лет назад +2

    Hawa waongo Sana yaan inaonekana kabisa waroho wa Mali mitoto mikubwa Kama hii inataka kukomalia Mali za marehemu baba yao baada ya kupambana wao

  • @eliyasanga6374
    @eliyasanga6374 6 лет назад +6

    Huyu mama kachanganyikiwa sana na mme wake inabidi apatikane mwanasaikologia amfanyie kasera kwanza pole sana kaka kuweni wavumilivu atarudi nduguu zake wana maneno sana

    • @fetyykisabo4747
      @fetyykisabo4747 6 лет назад

      eliya sanga ngoja nawe ya kukute ndio utajua sukari ina laza gani una jua ndugu wa mme ww

  • @kibongobongo4608
    @kibongobongo4608 6 лет назад +2

    Kwakweli mali huwa inaleta fitna na short cut ni kuita masheikh waliosomea mirathi wagawe baass yatakwisha kila mtu ataendesha maisha yake

  • @safinahassan4423
    @safinahassan4423 6 лет назад +1

    Gonga like kama nawe hupendi wamama wenye roho chafu kama huyu

  • @asmabintikiwasha13
    @asmabintikiwasha13 5 лет назад

    Upo sawa ila bora mukutanishwe

  • @neemaabdul9553
    @neemaabdul9553 6 лет назад

    Allah atawawekeni pamoja inshaallah

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 6 лет назад

    mtihani huu Allah atupe salama kwa sote

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 6 лет назад +1

    Mamvo mengine ni privet watanganyika jaribuni kuwa wastarabu

  • @lilianoduor2943
    @lilianoduor2943 4 года назад

    Ndugu I like your talk

  • @dotomohd9156
    @dotomohd9156 6 лет назад +1

    Soce apo Huyo mama siomamayao mzazi wa hao watoto nimama wakufikia kwahiyo iposhida

  • @makamefoum8058
    @makamefoum8058 6 лет назад +2

    Mambo mengine hayahitaji mtandao ya kijamii, mambo ya kifafamilia yanahitaji vikao vya ndani ya familia, hao waandishi munawapa point tatu tu

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 6 лет назад +1

    Lakini Yule mama anaonekana Anaroho mbaya

  • @chinangomwiro6191
    @chinangomwiro6191 6 лет назад +1

    Wanawake wengi akifariki mume hupatwa na kaugonjwa flani cha kutaka kuhodhi kila jambo. bahati mbaya katika ndoa za kiislam huwa kuna taratibu za mirath ambapo kwa kiasi kikubwa mali huwa za watoto. Mama hupewa 1/8 ya mali husika baada ya kuondoa share yake..... kwa maana kama mzazi ameachwa 100,000,000/= kati yake ikawa share ya mke ni 50% then itatolewa 50,000,000/= apewe yake kisha hiyo 50,000,000/= inayobaki ni ya marehemu. then 1/8 (50,000,000/=) atapewa yeye tena kama mirath.....
    Tatizo linakuja kama hakuwa na share katika ile 100M. atapata 1/8(100m) inayobaki ya watoto. hapo ndipo wamama hawataki. wanataka wapewe kila kitu wao as if hawakuolewa kwa msingi wa uislam.

  • @nicodemusmaelo3442
    @nicodemusmaelo3442 6 лет назад

    Yenyewe

  • @kulwawaziri1502
    @kulwawaziri1502 6 лет назад +1

    Mi ninavyojua huyo ni kizuka na kizuka kama familia upo uwezo anahitajia ale vizurii mbona ni kawaida tu.Na kuhusu kuletewa chakula na jilani ndani yake kuna namna tu sio buree.Cha muhimu acheni mambo ya mitandao tuatilieni wosia wa Baba yenu kuwa mpendane msipo zingatia itakua tabu kila siku kwenye mitandao.Msomeeni duwa mzee wetu.Mi nimemjua Mzee wenu tangy 1984 ni mstaalabu sana.Yamalizenu mpate baraka zake

  • @sudymalema2796
    @sudymalema2796 6 лет назад +1

    Safi blanza umejieleza vizuli Ila muwe kitu kimojo

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 6 лет назад +3

    Jamani hawa wanaonekana wana uchu na mali.kama mm naondoka kimyakimya sitaki hata chochote.mbona tutakufa tutayaacha mali zote

  • @naahdee9706
    @naahdee9706 6 лет назад +1

    Gud xaaana yan iko. Pw big up broo

  • @nusaibahassan5842
    @nusaibahassan5842 6 лет назад

    Well Said My Kaka Huyu Mama Ana Matatizo

  • @rehemahramadhani3428
    @rehemahramadhani3428 6 лет назад +5

    kaka umetoa maelezo mazur tuu ila mwanake akifiwa na mume bas anajua kuwa mahusiano na ndug wa mumew yameisha lkn sio hivo na maneno ya pemben pia yanamtia pampu

  • @MteuleMabuku
    @MteuleMabuku 6 лет назад +23

    Kuna dalili ya unafiki kwa huyo Mama,Watoto na ukweli utamuumbua.
    Jamaa naona hafichi kitu.
    "Njoo siku ya arobaini utaona,wewe njoo mapema"
    Kuna mtu ataumbuka huko either akatae kuongea na media.

    • @amoremio6985
      @amoremio6985 6 лет назад +1

      Thobias Mabuku hahahah we njoo mapema siku ya arobain

    • @subirahamza2668
      @subirahamza2668 6 лет назад +1

      Huyo mama muongo anataka misada tu

    • @stevenpaul4818
      @stevenpaul4818 6 лет назад

      Niliona siku hiyo mama anaeleza nikasema huyo mama ni mjinga tu hajielewi

  • @neemajavan4125
    @neemajavan4125 6 лет назад

    duuh kama we ni MTU mzima kama mm umemuelewa na kumkubali gonga like

  • @dorisemponda4265
    @dorisemponda4265 6 лет назад

    kuorodhesha mali kwa mkazo means mna maana yenu na hiko ndo kikubwa kilichowafikisha huku kwenye maugumvi,mana huo mkazo wa kutaja Mali inaashiria kitu

  • @happymerry8735
    @happymerry8735 6 лет назад

    upon safi sana.

  • @emmymwakalinga764
    @emmymwakalinga764 6 лет назад +3

    uyo baba Ake Mdogo dereva ni mnafiki anaroho mbaya awalaake uyo

    • @omanioman8952
      @omanioman8952 6 лет назад

      Ndio maana sikuile alikaa macho kama mayai ya kuchemsha 👉🙄🙄🙄anaongopa

  • @japhetjoseph5773
    @japhetjoseph5773 3 года назад

    Umenena sanaa

  • @helenmark7965
    @helenmark7965 6 лет назад

    Tulihisi sio kweli watu wa Tanga ni wakarim Mashallah

    • @salamasaidi7363
      @salamasaidi7363 6 лет назад

      Na yeye alikili hakupewa chakula wala Huduma akaamua kuondoka sasa kizuka sio mgonjwa au mzazi nyumbani kwake siangekaa tu na wanawe au Mfanyakazi wakumtuma gengeni yule mama nae ana matatizo yake in mswahili anataka umaarufu na vyombo vya habari ili apewe msaada mbona anaomba mtaji sio kutaka pesa maana kidini ana sumni yake atapewa hafai hajijui kama yupo Eda USO katikati ya wanaume uso wazi kakera ni Fedheha hats kwa familia yake

  • @mundhirsuleiman1872
    @mundhirsuleiman1872 6 лет назад

    Jamaaa anasema ukwel wanawake wengne ni mbwa tu pumbavu ukimskiliza huyu unajuwa kuwa ni mkwel huyo mama anataka mali tu pumbavu

  • @motherland2279
    @motherland2279 6 лет назад +5

    sio kweli anunue chakula wakati kunamsiba mkubwa watu walikuwa wengi sana tatizo uyo mzee majuto alishindwa kupanga tangu akiwa hai alijua watt wake ni wazuri kumbe wamejaa roho mbaya inaonekana walimchukia uyo mama tangu baba yao ajafa

    • @zulaykhajuma41
      @zulaykhajuma41 4 года назад

      umsiwalaumu watoto. Matatizo huazwa na mama wa kambo. Mama wa kambo wana roho mbaya ajabu. Na haiwezekani mtoto mdogo ukaolewe na mtu mzima anaekuzaa. Jua alikuwa analake jambo. But, kaanza kujiadhirisha mwenyewe na mapemaaaaa

  • @railamypresidentrailamypre629
    @railamypresidentrailamypre629 6 лет назад

    namuelewa huyu kaka yuko sahihi👌

  • @TheBlkk100mk
    @TheBlkk100mk 6 лет назад

    Jamaa.muongo ndio munazidi kuadhirika

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika7477 6 лет назад +5

    Lakini mwanamke ni mru m'baya sana..kaanzisha visirani dah..huezi kosa kula chakula cha msiba wa mumeo..halafu hamna chakula cha msiba..dah..

    • @fetyykisabo4747
      @fetyykisabo4747 6 лет назад

      Mama wa nyumba kumi ngoja nawe ya kukute ndio utajua

    • @mbodzebemasika7477
      @mbodzebemasika7477 6 лет назад

      @@fetyykisabo4747 nawe yaendekeze ujione..thats so mean..huezi onyesha visirani in the name of kufiwa..shirki

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 6 лет назад

    Mmmm mtihani na Kila msema pweke hushinda hawa inatakiwa wakae pamoja wayamalize

  • @sophiamose1328
    @sophiamose1328 6 лет назад +4

    Mmm huyu mwanamke Aliongea pekeake Akaonekana mkweli Dunia nzima kweli msema pekeake nimkweli kumbe Balaa anazo mwenyewe Bhuuuu aache Yamaaa ya mali Shiiiii amenishinda kwa Tabia kunauwezekano akakosa kuja kwa Arubaini Huyo 😂😂😂😂 aibu ya ku chet Dunia nzima

  • @munnawwaryaqoob3414
    @munnawwaryaqoob3414 6 лет назад +41

    Mi nilisema hakufukuzwa kwa mtu anaejua kiswahili fasaha,hakufukuzwa ila anasababu zake binafsi

    • @sekinatalibtalib8246
      @sekinatalibtalib8246 6 лет назад

      Munnawwar Yaqoob kweli kabsa ana sababu zake binafsi
      .kitaeleweka tu sku ya arubaini in sha Allah mola alete kheri baina yao.

    • @aishachambo3293
      @aishachambo3293 6 лет назад

      Munnawwar Yaqoob Anataka mali tu

    • @durkasmaghuwa2201
      @durkasmaghuwa2201 6 лет назад +1

      Sisi tulishangaa huyu mama ako arubaini na anaongea na wanaume uso hajaufinika jamani kisilamu haifai

    • @TheBlkk100mk
      @TheBlkk100mk 6 лет назад

      Roho ziliwaruka mukaanza kumtukana Steve Nyerere.... steve ndio aliyesaidia baba yao kwenda india

    • @jedidahquidic4835
      @jedidahquidic4835 6 лет назад +1

      Akufuzae hakwambi toka

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 6 лет назад +1

    Jambo la muhimu wakutane wote yule mama ni mtu mzima ana akili zake makubwa haya mmh

  • @tatuomar4164
    @tatuomar4164 6 лет назад

    uyo mama achunguzwe mmmhh mama ata mwezi bado wewe uyoooo kwenye vyombo vyahabari kwakweli mimi siku nimeskiyaga ile interview yko nimebakiyaga kinywa wazi wala sikuku saport umeongeyag bila atahaya hukujiwaza atakama upo kwenye eda duuh mama wwe nimekuvuliyag kofiya hatakama yangekewa yakweli ungesubiri ata arubaini iyishe njo uwanze kuongea lakini umekuwa mkavu mungu ampokey mze wetu

  • @myself4128
    @myself4128 6 лет назад +1

    Umasikini ni shida....huyo mama hakuwa na kitu chochote alitegemea mali ya urithi tu! Umasikini mbaya sana na unaendana na imani za kishirikina! Huwezi sikia tajiri kafariki wakatafuta mchawi

  • @mancankwee5740
    @mancankwee5740 6 лет назад

    Anaongea kaa mzee Majuto

  • @maloshamalosha2148
    @maloshamalosha2148 6 лет назад

    Mmh! Kumekucha

  • @manyaramrema6531
    @manyaramrema6531 6 лет назад +10

    Huyu Mohammed kafanana na mzee majuto tena akiendelea kuzeeka mhh copy kabixa

  • @mankamushi3738
    @mankamushi3738 6 лет назад

    Huyo mama sio mtu mzur anajuwa kwasababu yy ni mwanamke basi akijisikitisha kwawatu basi watu watakuwa upande wako

  • @elivtv.baseafrica3988
    @elivtv.baseafrica3988 6 лет назад +1

    Mmerusha vinn TV ya kishamba hii sisi avituhusu bana

  • @onlinemateustv1925
    @onlinemateustv1925 6 лет назад +3

    Macho ya mtu anavyoongea huonesha ukweli ndani yake
    Huyu anaongea ukweli

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 6 лет назад

    Izi ni aibu tu lkn ukijulikana ndio mingongoro kwa vyombo vya habari ningekuwa mmi mlala oi ningeonewa na nani bac pole lkn tumie busara kitu kindogo kinakuzwa hadi chatia kichefuchefu

  • @salimsaid5704
    @salimsaid5704 6 лет назад

    Huyo mama mnafiki Sanaa ywataka mali tuu.

  • @mariumdismas3518
    @mariumdismas3518 6 лет назад +1

    shida ni mali, mzee angekuwa kapuku, kila mtu baada ya kuzika angapangusa matako na kuondoka, kweli mali nayo ni tatizo

  • @geitanjonas4034
    @geitanjonas4034 6 лет назад

    Wakin mm ndio walvy apo akili yake anatk kutngenezea mzngr wanae mshnz San uyooo kimbza kbisaa

  • @alsadymateke8695
    @alsadymateke8695 6 лет назад +3

    Dah mtiani ndugu zangu kweli mama kama kweli basi hame teleza. Haku hombeni

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 6 лет назад

    Well said

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 6 лет назад

    Jamani sasa cc tumuamini nani nyinyi watangazaje wawekeni pamoja kila mtu aongee

  • @zahabujoseph6584
    @zahabujoseph6584 6 лет назад +1

    jamaa ana hoja za nguvu kweli kweli.

  • @bintlola3127
    @bintlola3127 6 лет назад

    Kwani hawa watt wake wa kambo au

  • @kamenemercy954
    @kamenemercy954 6 лет назад

    Huyu kijana yuko sawa kabisa

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 6 лет назад +1

    yule mama kwakweli nilimuona mapema kabisa sio mkweli kabisa

  • @munguaibarikitanzanianawat9254
    @munguaibarikitanzanianawat9254 5 лет назад

    Kaza huyo mama au

  • @tajibetese5567
    @tajibetese5567 4 года назад

    huyo mama hana akili kabisa ana kaataa kula chakula cha msiba ana laaanaa

  • @madinakipingu4252
    @madinakipingu4252 6 лет назад

    Vido vidox nakupenda unajua sana bro👏